Sabra Machano awajibu wanaosema Wazanzibari hawakujaa kwenye msiba wa Mzee Mwinyi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 มี.ค. 2024
  • Sabra akijibu mjadala wa mitandaoni kuhusu maziko ya Mzee Mwinyi

ความคิดเห็น • 115

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 5 หลายเดือนก่อน +10

    Kwani kuzikwa na watu wengi ndio kuipata JAANNAT tuache imani mbovu ❤❤ kitu nampongeza Rais Mwinyi ni kuruhusu watu waende kazini hakuna ku stop kazi AMANI NA MSHIKAMANO NDIO NGUZO NA KAULI MBIYU YA MH MWINYI AMIN❤

  • @saidrashid5972
    @saidrashid5972 5 หลายเดือนก่อน +4

    Ukumbusho mzuri Sabra. Atakaeona ni porojo na hauna kazi ni yy na uono wake. Watu 200 hawawezi kuhisabu nywele kichwani na wakapatikana hata 10 ambae watakua majibu yao yanafanana.
    Thanks 👍

  • @user-oe9oq5tf6m
    @user-oe9oq5tf6m 5 หลายเดือนก่อน +5

    Mm sijaona kituu kibaya hapo alicho sema yaani nakupenda bi sabras mungu akuekee

  • @ashuus946
    @ashuus946 5 หลายเดือนก่อน +5

    Barakallahfik, kwa ukumbusho

  • @khamisjuma3841
    @khamisjuma3841 5 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera kwa kuitaja na kuitukuza kaskazini. Nimefarijika pale uliposema huku kwetu kaskazini.

    • @mwanaishanadi5828
      @mwanaishanadi5828 5 หลายเดือนก่อน +1

      Na mm kanifurahisha kwa kweli mkaskzn mwenzangu mkataa kwao mtumwa

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@mwanaishanadi5828Bila shaka mkataa kwao ni mtumwa tu.

    • @khajumkhamis7910
      @khajumkhamis7910 5 หลายเดือนก่อน

      Wakaskazn tupo

    • @ayshaali1384
      @ayshaali1384 5 หลายเดือนก่อน

      Tupo wengi😂

  • @user-hu4sd7bg8n
    @user-hu4sd7bg8n 5 หลายเดือนก่อน +3

    Asnt sana dada. Kwa ukumbusho. Mzuri hataka kama ni nani utarud kwa mola wako na utaulizwa uliyaishije maisha yko na familia yko uliwaamrisha nini

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 5 หลายเดือนก่อน +6

    Wambie warudiahe kiti cha zanzibar tu na kuwacha kudhulumu wazanzibar halaf wabadilike roho zao mbaya na chuki hapo.ndio tutakuwa nawao

    • @mariambintsaid3814
      @mariambintsaid3814 5 หลายเดือนก่อน

      Mmmh

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 5 หลายเดือนก่อน

      Akili huna wewe

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@jumakapilima7295Kwani wazanzibari hamtudhulumu? Mtaenda Jehanamu 🔥 nyie, acheni kujitia Uislamu mkifa mjione bado watakatifu, mkisifiwa kwa wema kumbe miovu mikubwa, imejificha misikitini, siku zao za kujipa madaraka zikifika wauwaji ndio wao, watesaji ndio wao, wafungaji ndio wao, wapigaji ndio wao, misikiti na uislamu ni chaka wamejiweka, ati wakifa waende peponi, hata mwisho wa kuondoka kwao duniani mila zao tofauti na Uislamu. ....Itakuwa pepo ya firauni iyo

  • @omarsultan4502
    @omarsultan4502 5 หลายเดือนก่อน +2

    Maneno mengi akija maskini siku 2 tu kuomba msaada unamchoka na kumuambia kila siku ww tu 😅😅😅

  • @Muhamed_mo
    @Muhamed_mo 5 หลายเดือนก่อน +4

    Unayajua hayo usengeshirikiana na madhalimu mkadhulumu haki za umma.

  • @BestBest-rx3sb
    @BestBest-rx3sb 5 หลายเดือนก่อน +11

    MAMA SABRA PUNGUZA KUTAFUTA KIKI KUWA MUTAAWDHII MTOTO WAKO MDOMO WAKO HUO DINI HAITAKI UJUAJI DINI INATAKA UJUZI NA UCHAMUNGU

  • @chidi_don
    @chidi_don 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kaongea sana mashallah yani ni yakweli hakika 😢

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sabra on point 👌

  • @salehmohammedsalum2054
    @salehmohammedsalum2054 5 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu Bi dada anahitajia mume la sivyo atazidi kuchanganyikiwa

    • @salehmasoud5104
      @salehmasoud5104 5 หลายเดือนก่อน

      😂

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 5 หลายเดือนก่อน

      Exactly!!

    • @fatmamansour676
      @fatmamansour676 5 หลายเดือนก่อน

      Na mume hamuwezi kutwa atakuwa njiani naona anamnyemelea mzazi mwenziwe na alivosema vibaya

  • @user-jx7ot4ru7l
    @user-jx7ot4ru7l 5 หลายเดือนก่อน +2

    Waume zako wote wa 2 walokuowa ulikua huwapi mawaza ulikua unawatolea ukali tu

  • @swahibually8349
    @swahibually8349 5 หลายเดือนก่อน +3

    Mhm!!Huyo Sabra mwenyewe Mzuri nkiyama, Naomba kumposa mwanao Dada Sabra.Afwan minka

  • @kimsamir965
    @kimsamir965 5 หลายเดือนก่อน

    Sawa mama

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hivyo vyombo unaosha unapaka sabuni sikuoni kuvisigua osha ovyo huko achana na mambo ya watu kila kitu kukiongelea

  • @sarboko
    @sarboko 5 หลายเดือนก่อน +4

    Nawewe ukumbuke pia mda wako hauko mbali hiiiiiivooo uwache kujishebedua shebedua kwenye mitandao.
    Kutwa Kucha liangukalo mjini ulisikialo popote huyooooo kwenye kiiooo.navipodozi vakila kona ukituonesha maumbile na mikono yako Kwani unafkiria hatuna hisia kuona hata hio mikono ilojaza jaza

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 5 หลายเดือนก่อน

      @Sarboko, Una jambo lako! 😅😅 Dada wa watu yuko sahihi! 🤣🤣

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nataka kujiunga na darsa uko ukhti nakupenda sana

  • @HassanMchoro-nh9gv
    @HassanMchoro-nh9gv 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hhhhhh maisha bwana wanzanzibar tumechoka labda njaaa tu mtu kashakufa azikwe lakin anamiyangishwa tu nadunia nan mwenye muda uwo choka siye wanzanzibar

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 5 หลายเดือนก่อน +2

    Sio mzanzibar kwa kila mwislam yeyete akifa azikwe usivuke mipaka

  • @abdulfatahshafii7835
    @abdulfatahshafii7835 5 หลายเดือนก่อน +2

    kiki hazna maana na jina lko na vitendo vyako tofaut

  • @sulemanmohammed7133
    @sulemanmohammed7133 5 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu porojo jingi nae sasa yeye hasa ni kama Nani hats itumie dini kwa kutafuta kiki mitandaoni anajifanya anaijua sana dini mbona hafumbi mdomo wake mchafu mwanamke hatakiwi apaze sauti yake yeye anjiuza kwenye mitandaoni ili iweje

    • @user-gd2xj3xd1b
      @user-gd2xj3xd1b 5 หลายเดือนก่อน

      Niporojo la ukumbusho kwa atakae amini❤❤❤

    • @feisalboy6702
      @feisalboy6702 5 หลายเดือนก่อน

      Ukumbusho gn mwanamke ni stara c mitandaoni

    • @user-zk2cn7xf9g
      @user-zk2cn7xf9g 5 หลายเดือนก่อน

      Malaya tu huyo wadonge hao siunamuona mauzinde

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 5 หลายเดือนก่อน

      Kwani kafanya baya gani hapo, mbona watu wengi katika mitandao ya kijamii wanaposti na kucoment ila kwasababu kaposti yeye ndo imekuwa nongwa. Acheni chuki na husda

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 5 หลายเดือนก่อน

      @@user-zk2cn7xf9g acha chuki na husda za kijinga. Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni na kusema anachotaka ilimradi havunji sheria

  • @user-ym3fx7dq9w
    @user-ym3fx7dq9w 5 หลายเดือนก่อน

    Duuu jamani anapoelekea huyu dada kuchanganyikiwa

  • @OmanOman-iu7jf
    @OmanOman-iu7jf 5 หลายเดือนก่อน

    Kumbe nduguu my mkaskazini mwenzanguu

  • @BestBest-rx3sb
    @BestBest-rx3sb 5 หลายเดือนก่อน +13

    MAMA SABRA IKIWA KUSEMA NI DHAHABU KUNYAMAZA NI ALMASI MAMA FUNGA MDOMO WAKO HUO

    • @rashidmkoga3053
      @rashidmkoga3053 5 หลายเดือนก่อน +1

      Na mwanamke haipendezi kuwa kidomo domo

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 5 หลายเดือนก่อน +1

      Exactly

    • @monalisaally4387
      @monalisaally4387 5 หลายเดือนก่อน +1

      Yaan anaongea mpaka yasio muhusu khaa

    • @fatmamansour676
      @fatmamansour676 5 หลายเดือนก่อน

      Slesi hizo anoona mama noko

  • @tatumakadara5793
    @tatumakadara5793 5 หลายเดือนก่อน +1

    Watu wengi hatuekewu kwamba hata mtu ukimuona kwa fikra zako anaongea upuuzi tumia hata dk kidogo kumsikiliza 7 katika upuuzi ule kuna kitu utajifunza aidha ww usiwe kama yy. Naomba radhi kwa hili

  • @wizzditto747
    @wizzditto747 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ndio kwani maziko lazima kwenda kaburini? Watu wakifikia 40 tu basi inafaa, alafu siolazima sana kwenda maziko ya mtu ambae sio jamaa yako. Ila vizuri kwenda kumshindikiza

  • @fanijumahajj9636
    @fanijumahajj9636 5 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nakueka uporo

  • @user-iw5hu3mc7l
    @user-iw5hu3mc7l 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wemwenyewe si mzanzibari

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 5 หลายเดือนก่อน +1

      Mzanzibari ni nani hasa? 😮

    • @user-gd2xj3xd1b
      @user-gd2xj3xd1b 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@j.c.maxima816kweli si mzanzibar ni mtu wakivule wilaya ya mkuranga mkowa wapwani mzazibari ninani utajuwa ww wakuja

  • @omarsultan4502
    @omarsultan4502 5 หลายเดือนก่อน +1

    Taratibu gn huja unalojua hio ndo dini inavyosema ama tuna utaratibu wetu

  • @abashamad9929
    @abashamad9929 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nakupenda sana wewe dada unamume wwe

  • @vedastamalekela8711
    @vedastamalekela8711 5 หลายเดือนก่อน +1

    Dada anaongea huyu

    • @fatmamansour676
      @fatmamansour676 5 หลายเดือนก่อน

      Anaona sifa anapenda kujifakharisha

  • @SurprisedCricket-gh4hj
    @SurprisedCricket-gh4hj 5 หลายเดือนก่อน +2

    Upuuzi tu hakuna unachoongea mmejaa ubaguzi tu ondoka apa

    • @samwa9496
      @samwa9496 5 หลายเดือนก่อน

      Hapo ubaguzi umetokea wapi kama huna la kucomment pita kushoto

  • @omarhusna1766
    @omarhusna1766 5 หลายเดือนก่อน

    🎉WEYE SABRA WEYE MWENYEWE MSAGAJI BISHA TUONE USIONE WATU HAWAKUJUI NA KUOATA KAZI TU UKAJIONA KIBURI UKAMUWACHA MUMMEO USIJIFANYE MTU WADINI HUNA LOLOTE😢😢😢😢😢😢.

    • @salmahassan3861
      @salmahassan3861 5 หลายเดือนก่อน +2

      mathalan anafanya kweli hayo mambo kwanini usimsitiri? umesahau kuwa tumeusiwa na Mtume Muhammad SAW kustiriana? tuna yetu mangapi ambayo yanataka stara? msitiri mwenzako ili nawe ustiriwe. usijibebeshe dhambi.
      Muislamu atakapoona kwa ndugu yake maasi basi ni wajibu kwake ayasitiri na wala asiyasambaze kwa watu, kwani hilo ni katika kusambaza machafu, na atakayefanya hivyo kwa kutaraji radhi za Mwenyezi Mungu, basi Mwenyezi Mungu Mtukufu atamlipa siku ya kiyama; kwa kumsitiri aibu zake na wala hatomfedhehesha mbele ya umati uliopo.

  • @HafidhOmar-rs4ty
    @HafidhOmar-rs4ty 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mm naona wwe hunachakuongea msiba ushapta muhimu dua kuzungumzwa hta mtume wamungu anazungumzwa chamsingi tumechoka upuuzi wko sabra

    • @fatmamansour676
      @fatmamansour676 5 หลายเดือนก่อน

      Anataka mwinyi amridishe

  • @user-pf6yw7vh1p
    @user-pf6yw7vh1p 5 หลายเดือนก่อน +2

    Dada nakukubali sana lkn hebu punguza kujianika mitandaoni wewe msomi na unauwezo mkubwa very talented ,nyota yako itangara tuu hata ukififirishwa.fanya mambo yako binafsi yatakupaisha jifiche utafutwe usijianike .ombi langu kwako lkn nisameh sana

    • @saidmohamed4619
      @saidmohamed4619 5 หลายเดือนก่อน

      Hem usituletee mambo ya kizamani hapa, kama huwezi mtandao.jifiche wewe, na wewe jianike basi kama rahisi ?

    • @saidyussuf2291
      @saidyussuf2291 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@saidmohamed4619 unakataa nasaha

  • @hassanjuma9038
    @hassanjuma9038 5 หลายเดือนก่อน

    Hivi hao wazanzibari ni kina nani na makabia yao ni yapi.

  • @princesaha3262
    @princesaha3262 5 หลายเดือนก่อน +1

    Duuu!! Madam upo kumbeee

  • @piusjuma7384
    @piusjuma7384 5 หลายเดือนก่อน +1

    Una jambo lako

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis9825 4 หลายเดือนก่อน

    Kwahyo Una Maanisha Serikal Ilifanya Makosa Kuweka Utaratibu Wa Kuagwa Kwa Rais Au Unamaanisha Kitu Gani..? Acha Ubaguz Wa Ukanda Na Kujinadi Kwa U-Zanzibar Wako

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 5 หลายเดือนก่อน

    Watu wote waliokaa kimya unadhani hawayajui haya au wao hawajayackia hayo? Ww n meananmke hii c hesima y mwananmke acha wanaume waongee

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 5 หลายเดือนก่อน

    Kwenye Suala la kwenda Uwanjani kuaga hii sio Rahisi kwa Wazanzibar kujaa na kwenda mfano wanawake na wanaume.... sio kabisa katka mila za jamii hii... ila ni masuala ya kiitifaki... Lakini kwenye maziko msikitini watu ni wengi kupindukia... na khitma zote watu ni wengi pia.... Sabra amekusudia kuhudhuria wanawake kwenye mazishi na kuaga ..... I THINK 🤷‍♀️

    • @ZanzibarKamiliTV
      @ZanzibarKamiliTV  5 หลายเดือนก่อน

      Yeye anawajibu watu waliosema hakukuwa na uitikio . Kwenye mitandao ndo mada ilivyokuwa ati Wazanzibari hawakutokea . Ndo yeye akajibu

  • @SHABANIDILUNGA
    @SHABANIDILUNGA 5 หลายเดือนก่อน

    Sabra uko.vizui umetuhsia.vzri

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 5 หลายเดือนก่อน

    Sema ww mm sisemi kitu😮

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 5 หลายเดือนก่อน

    Mbona watu walikuwa wengi tu? Mna mila la kizanzibar au mila za kiislam?

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada domo kaya..kila kitu linajua kupanu domo lake tu...na tumbo lake ka msechu

  • @swahibal-karama145
    @swahibal-karama145 5 หลายเดือนก่อน +4

    We ushaiba pesa hataaa, sasa ivi ndio Mungu kawa kipaumbele?. kwa sababu umepigwa na chini?. Wakati unafanya kufru na kibri cha pesa mungu Hakuwapo?.

    • @noorbazaar9063
      @noorbazaar9063 5 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe kwani ndio unaepokea toba mpaka ujadili makosa yake ya nyuma?! Na unatamani afanyeje?!

    • @ahmadamohamed1907
      @ahmadamohamed1907 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@noorbazaar9063tooba haikubaliki kwanza arejeshe mpunga walioiba

  • @mbwanahussein98
    @mbwanahussein98 5 หลายเดือนก่อน

    ATA MAREHEMU ALIKUWA MTU MWEMA TENA MCHA MUNGU NYIE HIVI SASA KILICHO BAKI VYAMA VIMEKUWA KAMA DINI ATA WAISLAMU WABAARA MNAWAONA KAMA SIO WAISLAM HAMNA TOFAUTI NA WAARABU WALIVYO MBAGUA BILALI KUHUSU KUADHINI KISA MTU MWEUSI ATA QURAN ANI INAPOTEA ZANZIBAR IMABAKI VIGOMA NA TAARABU TU MJITAZAME NA UBAGUZI WENU ALLAH NI MJUZI

  • @abdultour1647
    @abdultour1647 5 หลายเดือนก่อน

    Sio sida zetu zile eleweni hivyo Watanganyika

  • @user-hy7op6tr8p
    @user-hy7op6tr8p 5 หลายเดือนก่อน

    Eti huyu ndo msomi lkn mambo yke ya kitoto 😅

  • @EshaHamd-ed9yv
    @EshaHamd-ed9yv 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe Wacha kujipendekeza ili upate cheo au kurudishwa kazini kila anayedhulumu Kwa pesa cheo Madaraka kuwadhulumu watu haki zao na hukuwaomba radhi uliowadhulumu haki Yao Mama unao mzigo mzito wa dhambi tubiya kabla ya mauti Yako na Wewe Kama umedhulumu watu uliopokuwa ZSSF ujuwe utakwenda kujibu mbele ya Allah Kazi kwako Bibi Wewe. Sijitiye unamjua Mungu Wakati dhuluma ulikuwa chumo lako la Kidunia

    • @user-zl5mt6lk4n
      @user-zl5mt6lk4n 5 หลายเดือนก่อน

      umejua nafsi yake namna anavyoiadhibu kwa toba kama nikweli alidhulumu? na kama ni kweli jee una uhakika kuwa Allah hajamsamehe kwa toba yake? na jee vipi kama hakudhulumu yeye? Hakuna dhambi isiyosamehewa muhimu utubie toba ya kweli kabla ya mauti vinginevyo tutajikuta sisi ndio tunayabeba madhambi yake kwa kumuhukumu na kumdhania vibaya na kuyasahau madhambi yetu sisi......kwakifupi fanya ibada, tafuta pesa utaondokana na hzo stress na makasiriko uliyonayo.....Allah anajua zaidi

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 5 หลายเดือนก่อน

    Ahlan wasahlan

  • @alhamod5597
    @alhamod5597 5 หลายเดือนก่อน

    Mbona mm sijasikia mtu kusemaivo ndokwanza wewe wasema mmmmh mama punguza kidog

  • @rashidmkoga3053
    @rashidmkoga3053 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu nae mbona mdomo mwingi

  • @khajumkhamis7910
    @khajumkhamis7910 5 หลายเดือนก่อน

    Wakaskazini tujuane

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 หลายเดือนก่อน

    Shida nn Kwan wamejaa hawakujaa si kazikwa tayar

  • @najimsharif9694
    @najimsharif9694 5 หลายเดือนก่อน +6

    Anatafuta umarufu tu kwani pilipili usoila inakuwashia nini ametoa mchango gani mpaka aongee yasomuhusu kutafuta kiki tu ili iweje?

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 5 หลายเดือนก่อน +2

      Ana haki ya kusema na kujadili, wewe inakuuma nini?

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 5 หลายเดือนก่อน

      Ana haki ya kusema na kujadili, wewe inakuuma nini?

    • @asyamgeni9819
      @asyamgeni9819 5 หลายเดือนก่อน +1

      Tatizo huyu anajifanya mjuaji sana hilo ndo tatizo

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 5 หลายเดือนก่อน

      @@asyamgeni9819 hapana ni chuki tu, mbona wanaojifanya kujua wapo wengi na katika mitandao ya kijamii watu wanaposti na kucoment

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 4 หลายเดือนก่อน

    WAAMBIE NA HAO VIONGOZI, WANAHIYARI KUTOA ROHO ZA WATU ILI WATAWALE. WAKATI KABURINI HAWAPENDI NA VYEO!

  • @abubakaradnan4689
    @abubakaradnan4689 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu achukuliwe hatua za kisheria haraka sana ni fitna

  • @hamilsaleh-zo3hp
    @hamilsaleh-zo3hp 5 หลายเดือนก่อน

    wao wamejaa? kujaa kwao kunasaidia nini? na kama wasingelienda asingalizikwa? watu kwa kuleta mambo yasiyo na faida! ilimradi wazushe fitna tu! na ubaguzi

  • @user-yk1sn8gp9z
    @user-yk1sn8gp9z 5 หลายเดือนก่อน

    Watu wapuuzi kama huyu sabra lazima wafundishwe kama watakuwa hawaelewi walazimishwe kufunga midomo yao

  • @africaonechannel1289
    @africaonechannel1289 5 หลายเดือนก่อน +3

    Ni Leo hii nilikua namfahamisha Mwanamtandaoni mwenzangu kua; MAMBO YA WAZANZIBAR USIYATOLEE Comments kama HUWAJUI WATU WA ZANZIBAR NA UTAMADUNI WAO. Linaweza kukustaajabisha JAMBO Kumbe kwao Ndio USTAARABU Wenyewe huo😂

    • @AyoubAbdullrahmanAmir
      @AyoubAbdullrahmanAmir 5 หลายเดือนก่อน

      Kama vile kula popo pia ni ustaarab?😂😂

    • @africaonechannel1289
      @africaonechannel1289 5 หลายเดือนก่อน

      @@AyoubAbdullrahmanAmir
      Moja ya USTAARABU wa Watu wa MADINA Ni Kula nyama ya KENGE!
      BUT Watu wa MAKKA Hawali nyama ya KENGE!!
      HII DUNIA KILA SEHEMU INA MAMBO YAKE, SO Usishangae Watu na MAJAMBO YAO😁

    • @AyoubAbdullrahmanAmir
      @AyoubAbdullrahmanAmir 5 หลายเดือนก่อน

      @@africaonechannel1289 Kenge ni kenge tu, na popo ni popo tu, aimaanish watu gan wanakula, mkila hivyo vyakula mjitasmin kifikla kabla ya maamuz, kwamfano huo wa Waarab kwan Arabun hakuna mijitu isio jitambua?...kwa mfno leo kule muangali Prince Suleiman anayoyafanya .

  • @omarkapula588
    @omarkapula588 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wajinga hao wao badala ya kuangalia hatma ya mzee wao wanaangalia kazaliwa wapi wao wapo kwenye ubara na uzanzibari lakini wanasahau kuwa sisi ni waislamu sio wajinga kama wao na,mambo yao ya siasa ni wajinga sana

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 5 หลายเดือนก่อน

      Siku ya kuzikwa Mwinyi ni siku ambayo Zanzibar kulikua na misiba mingi sana so kwa asiejua atajua hivo lakin watu wengi wame enda misiban siku hio

  • @abubakaradnan4689
    @abubakaradnan4689 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni fitna mkubwa

  • @almaskirysalehissasaleh
    @almaskirysalehissasaleh 5 หลายเดือนก่อน

    KWANI LAZIMA KILA JAMBO LISEMWE AU LITOLEWE UFAFANUZI, NANI ALOSEMA KWAMBA WAZANZIBAR HAWAJAJITOKEZA ? KASEMEA WAPI HAYO MANENO, HUJAYASEMA WEWE LAKINI? AFU HATA SIJAELEWA POINT ZAKO

    • @alhamod5597
      @alhamod5597 5 หลายเดือนก่อน

      Yeye ndo anoyasema