Mimi nampongeza sana Askofu Mkuu Thadeus Ruwa'ichi kuteuliwa kuwa Askofu Mkuu Mwandamizi wa Jimbo Kuu la D'Salaam ingawa nasikitika kutuacha sisi Jimbo Kuu la Mwanza.
, You are a special person, humble and all kindness. I met him while he was in the diocese of Dodoma presently Archdiocese of Dodoma. God bless you be the same person.
It's such a humble yet rich message of blessing giving in mind that the arch bishop is at a high level ministers of God meeting God bless you arch bishop
Tunafahamu yakwamba imeandikwa katika Biblia Takatifu Mathayo 10;1-Akawaita wanafunzi wake kumi na wawili akawapa amri juu wa pepo wachafu,wawatoe,na kupoza magonjwa yote na udhaifu wa kila aina.Je Huu Uteuzi wa Mh Umetoka kwa Mungu wa Biblia au kwa yule mwingine? Sijawahi kusikia wala kumwona Mh akifanya mapenzi pia kazi ya Assignment ya Kristo YESU ya kutoa pepo wachafu,pia kupoza magojwa kama Kristo YESU anavyosema katika Neno lake yaani katika Biblia Takatifu kwa Wanafunzi wake au sio dhehebu hilo halina sehemu katika Utendaji wa Uwezo wa Biblia Takatifu! Pia huyo anaeitwa mkuu wa hilo kanisa na dhehebu huko Roma hafanyi hayo!!!Je huo utume na utumishi ambao hautendi kazi katika Assignment ya Kimbinguni unaweza kuwa ni wa Jehova!!??...Jihadhari sana na Jiponye Nafsi Yako YESU Kristo Anaokoa.
Very humble, well spoken and eloquent. May God bless Bishop Thaddeus
Humble man full of wisdom and spiritual power by the Grace of Jesus our Lord.
May God bless you his servant Ruaichi Roho Mtakatifu akuongoze kuliongoza kanisa la tanzania
Mimi nampongeza sana Askofu Mkuu Thadeus Ruwa'ichi kuteuliwa kuwa Askofu Mkuu Mwandamizi wa Jimbo Kuu la D'Salaam ingawa nasikitika kutuacha sisi Jimbo Kuu la Mwanza.
, You are a special person, humble and all kindness. I met him while he was in the diocese of Dodoma presently Archdiocese of Dodoma. God bless you be the same person.
Awesome Bishop.This is soooooo good msg.Mungu awe nawe
Capuchin Ministry is so humble. Be Blessed Bishop! Your prayers wil meet the divine consideration is GOD the Almighy.
It's such a humble yet rich message of blessing giving in mind that the arch bishop is at a high level ministers of God meeting God bless you arch bishop
Am not tired to listen you .... your best
mwenyezi Mungu akutie nguvu katika utume wako
Be blessed Bishop we will pray for u. amen
Our almighty God bless you abundantly our beloved Arch Bishop Ruwa'ichi
Good man.Very articulate
Napenda msimamo wa As Rwaich Mungu akupe maisha malefu ulisaidie kanisa lisiyumbe
Hongera sana baba askofu, Mungu akujalie maisha marefu katika utume .
Great man! You can see God's light in his face
Mwenyezi Mungu akutie nguvu baba yetu mpendwa sana
May God Bless you Bishop
we remember your our bishop your good indeed
God Bless You our Bishop....
Mungu akulinde
askof ulienipa kipaimara nakupenda baba wa kiroho mpole san mwanza twakumisi babaa
Karibu Dar es Salaam askofu Ruwa ichi
Goodluck my bishop. You deserve to be there
Askofu Ruwa ichi watu was Mwanza tutakumis Sana.
hongera sana baba askofu
mungu amjalie brak n amn ktk maish yke yote
God is great
Hongera kwa uteuzi uliopata. Utume ni popote
Nilitoa machozi pindi alipotuacha jimbo kuu la Dodoma na kuamia Mwanza Mungu akubariki sana baba Lwaichi
Nampenda sana huyu askofu hana maneno mpole,mkarimu,pale mbulu ndo kanipa kipaimara
Hongera sana
asante Mungu akubariki baba
Amen
Be strengthened
Be blessed
Nice
long life bishop luaich
Ferix Mdugala Mungu akubariki
Tunafahamu yakwamba imeandikwa katika Biblia Takatifu Mathayo 10;1-Akawaita wanafunzi wake kumi na wawili akawapa amri juu wa pepo wachafu,wawatoe,na kupoza magonjwa yote na udhaifu wa kila aina.Je Huu Uteuzi wa Mh Umetoka kwa Mungu wa Biblia au kwa yule mwingine? Sijawahi kusikia wala kumwona Mh akifanya mapenzi pia kazi ya Assignment ya Kristo YESU ya kutoa pepo wachafu,pia kupoza magojwa kama Kristo YESU anavyosema katika Neno lake yaani katika Biblia Takatifu kwa Wanafunzi wake au sio dhehebu hilo halina sehemu katika Utendaji wa Uwezo wa Biblia Takatifu! Pia huyo anaeitwa mkuu wa hilo kanisa na dhehebu huko Roma hafanyi hayo!!!Je huo utume na utumishi ambao hautendi kazi katika Assignment ya Kimbinguni unaweza kuwa ni wa Jehova!!??...Jihadhari sana na Jiponye Nafsi Yako YESU Kristo Anaokoa.
Mungu akulinde baba nakupenda sana
❤❤❤
This is the pole we are waiting for ages. Yes poverty has many faces.
God bless you. .
Myself I love you bishop
Nampenda sana huyu askofu
Mmmh apo alipopanatisha
Unastahili!
Hongera na mungu akuangaxie mwanga maishani mwako ili uwexe kutungoza wana kondoo wake daima mpka atakapoamu kulichukua kanisa lake
mm binasfi nakuombea maisha marefu