Niliumia sana baba. Ukiwa utawala mlitangaza siku ya jumamosi mngeanza mkutano saa moja. Nikatoka mbali nije nikusikize lakini nilipofika nikaambiwa uko kwingine. Niliumia sana aisee.
Mchungaji Mungu akubariki..mimi hufwalia sana mafundisho yako lakini leo umenisamba kofi la maisha ulipotaja msukule - kwani mimi ni mama mkenya mtoto wangu kachukuliwa kwa hali hiyo na mtatibu mmoja wa kitanzania kanisaidia kumrudisha ila sasa ni miaka kumi natapeliwa kwa malipizi yasiofika mwisho ilinikabidhiwe na kuhofia mtoto wangu nafwata tuu ila nilishafika mwisha lakini lakufanya sijui..mchungaji ukiona huu ujumbe naomba tuu utusaidie kwa vyovyote vile..Mungu akubariki sana..
Really, l'm from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧 I like the way a pastor preaching, he's a good preacher into our neighbor's country. May God bless you forever and ever my preferred pastor. 🇮
Kwa maubiri na mafundisho unayo tutolea, mungu azidishe ufaamu wa injili kwa kuubiri na kutabiria mataifa, kwa kuwa siyo wewe unaye sema bali uwezo wa Yesu kristo. Mimi ni mkongomani DR apa Kalemie
Ni wetu,hivi karibuni twampa huduma number. Heheeeeeee. Hata kabila LA wana wa Israeli walikubaliana na Judah kwamba Daudi alikua wao wote ijapokuwa alizaliwa kwenye kabila LA Judah. Twajivunia mrusha nondo ,mchungaji Mugogo
Amen injili ya yesu na iendelee mbele
Amen. ....mtumishi barikiwa kwa mafundisho.....umetuelimisha sana barikiwa
Asante Sana pastor kwa mafudisho mazuri Baba Mungu azini na kukuinua
Amen mchungaji Mungu akubariki Sana kwa jina la yesu kristo aliye Bwana na mwokozi wetu amen
wambieee wanaume wanatunyanyasa sanaaa
Mch.Mgogo Mungu akubariki, umenifungua macho na injili hii ilyo hai,endelea kupiga nondo baba kanisa lipone.ahsante
Niliumia sana baba. Ukiwa utawala mlitangaza siku ya jumamosi mngeanza mkutano saa moja. Nikatoka mbali nije nikusikize lakini nilipofika nikaambiwa uko kwingine. Niliumia sana aisee.
Amen 🙏 hakika mungu akubariki
Am really blessed With your preachings Man of God
AMEN baliķiwa mno Baba mafundisho yako yananibaliki mno kila nisikilizapo ama kuangalia yananipandisha kiwango kingine
Rev mgogo I don't regret at all listening to you.Continue blessing many
Mchungaji Mungu akubariki..mimi hufwalia sana mafundisho yako lakini leo umenisamba kofi la maisha ulipotaja msukule - kwani mimi ni mama mkenya mtoto wangu kachukuliwa kwa hali hiyo na mtatibu mmoja wa kitanzania kanisaidia kumrudisha ila sasa ni miaka kumi natapeliwa kwa malipizi yasiofika mwisho ilinikabidhiwe na kuhofia mtoto wangu nafwata tuu ila nilishafika mwisha lakini lakufanya sijui..mchungaji ukiona huu ujumbe naomba tuu utusaidie kwa vyovyote vile..Mungu akubariki sana..
Pole sana my dear .Chukua namba ya WhatsApp hapo chini ili umtafute.
@@AminaAmina-sx1jn asante nimechukuwaya hapo chini kwa screen..
Mim ni muislam ila nakupenda wew baba mungu azidi kukuweka hakika unatufunza mengi
Issa John niaje mkubwa
Barikiwa mno Kila ninapoyasikiliza mahubir yako Mungu akubariki mno
Mungu akubariki sana sana👏👏👏👏
Email
Mchunganji umetuletea injili ya ukweli kabisa inayotuletea uhuru.
Mwenyezi Mungu akubariki sana Mchunganji #Daniel#Mgogo:
Thank you for your message. Amen 🙏 🙏. God bless you so much
Ubarikiwe saaaaaaana ndugu yangu, iyi ni kali na nusu. Mungu apewe sifa saaaaaaana. Jitahidi uwe una fanza mazowezi ya Mwili
Mchungaji nakukubali Sana mungu akupe Maisha marefu;!
Barikiwa sana baba nabarikiwa sana na mafundisho yako
Really, l'm from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧
I like the way a pastor preaching, he's a good preacher into our neighbor's country.
May God bless you forever and ever my preferred pastor. 🇮
Amina Mchungaji. Chapa kazi baba. Mwenyezi Mungu awe nawe.
Yesu ni mwema,Bwana na hakutumie mtumishi
Huyu mchungaji nampenda sana😂😂😂😂😂😂😂mchungaji funga na kuniombea Kkkkkkkkkk am done
Mungu akubariki mchungaji. Ponya baba ujumbe umefika
Ameeen Ameeen Barikiwa sana baba yetu kwa upako.huo.Mungu azidi kukubariki sana
Gracy Alexander ongera zako
Asante mtumishi kwa somo. Barikiwa sanaaa
Mungu akuongezee siku za kuishi umenijenga sana kwenye ndoa yangu
Amen, ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
Ameen ninabarikiwa sana mch.
Maubiri yako imejenga sana unyumba wangu 🙏🙏🙏
Mungu akubariki mch. Mgogo kwa neno la Mungu.
Mungu akubaliki sana🙏🏽🙏🏽
Amen Mchungaji nabarikiwa sana
Nakupenda sana mchungaji ubarikiwe sanaa
Da!!! Mtumishi Mungu akubariki saaaaaanaaaaaa,Amina.
Mtumishi napenda saaaana mafunzo yako Ubarikiwe na Jehovah 👏👏👏👏🙌🙌🙌
Mutumishi wa Mungu, ubarikiwe sana nakufutaka ni kiwa Canada
Nabarikiwa Sana mtumishi unanitia nguvu na ujasiri
Asante papangu kumafundisho
Uko vizuri mchungaji
Pastor Mungu akubariki sanaaa
Mungu azidi kukubariki mtumishi wa Mungu.mafundisho yako yana antivirus
Oh hallelujah praise wonderful name of Jesus
Yani mm nakukubali pastor
Mchngaji wewe ni noma mashine.Ubarikiwe
Baba Mchungaji Mungu akubariki sana pamoja na familia yako. Tunakuomba na huku Lushoto tupone baba.
Mtumishi wamungu ubarikiwe sana
Mchungaji we kiboko shikamoo yaani watakukoma.ubarikiwe na Mungu aendelee kukulinda
Kwa maubiri na mafundisho unayo tutolea, mungu azidishe ufaamu wa injili kwa kuubiri na kutabiria mataifa, kwa kuwa siyo wewe unaye sema bali uwezo wa Yesu kristo.
Mimi ni mkongomani DR apa Kalemie
Amina tutaelewa tu hata kama tuna vichwa vigumu, makofi paaaaaa!! Tutazinduka tu na huo mgawanyiko wa akili lazima ujiunge, barikiwa sana baba
Mtumishi. Mwema Mungu akubariki
Nakupenda saana kabisa kwa mahubiri ya kweli Mungu akubariki saana.From USA
Kwakweli namupenda huyu mutumishi wa mungu. Mungu azidi kumutumiya mtumishi wake. From UK
Dah! Natamni sikumoja nkutane naww ndontalizka mchungaji ubalikiwe sana bba
Hallelujah, kwa msaada wa Mungu tutapona. Barikiwa sana mtumishi
Amen Amen 👏👏👏👏👏
Barikiwa sana mch.
Mungu akubariki Mchungaji
Baba upo na nguvu za Mungu kweli nakupenda na mahubiri yako
Amina pastor
Mwanaume ni chombo cha swagger ahahaaaa 😀😀😀😀
Amen baba nabarikiwa sana
ila ww mchungaji Mungu anakuona et ata mshono wa suruali utaona tu akili zmegawanyka aaah, mtumishi Ubarikiwe
Baba una mafundisho mazur saan MUNGU akupe miaka mingi
Amen amen ubarikiwe
Kweli mshono ya suruali kaweka wengi kwa shida,,,jamaniiiiiiiiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😭😭
Nilicho gundua mungu kaampa upeo wa kuelimisha kuliko mahubir japo nayo ni mahubir lakn yuko tofaut sana na wamafuta
Watumishi wa Mungu wamegawanyika makundi mengi wengine wanafundisha.....nk hii sio injili ya makofi......anafundisha watu kuishi ktk maisha ya kawaida
Una maanisha nini kusema injili ya kawaida? Clause Msemwa.....Unataka Injili ipi?
Nashukuru Sana. Nimejifunza mengi sana
kazi nzuri haya mabomu na kwetu kakamega
Hahaha jaman Kwa kweli akili za wanaume Imegawanyika kama surual zao ... Amen dady
Hahaaaaaaaaaaaaaaaa merri wew
Ukweli kabisa
@@marrymethew1245 haya bwan
Asante mchungaji
safi mchungaji kwa kutukumbusha
BArikiwa saaaaaana mchungaji
Kweli zime gawanyika nakupenda sana mchungaji
Amen papa pastor god bless your😍😍😍😍
Karibu kwetu iringa mtumishi wa mungu?
Naomba mchungaji /mwinjirist kuwa tunamwalika aje kwenye usharika wetu wa kivule,matembele,Dayosisi ya mashariki ya Pwani karbuni sana
Mungu akubaruki na kukuinua ktk viwango vya juu.
Amina pasteur
Thank you Jesus tunajifunza mengi na yanaonekana
mungu akubariki mchungaji umenigusa ameen
Tangu nikufuatilie kwenye huu mtandao wa youtube aaah napenda na kufurahia mafundisho yako Mchungaji.
Ahsante sana mchungaji ubarikiwe na Bwana
Unaishi na mtu usiemjua, ni kweli kabisa maana moyo wa mtu ni kiza kinene sanaaaa
Asante nime barikiwa sana
Baba Mchungaji Nakukubali Sana kila Siku Najfunza Vitu Vingi Sana Kuptia Mafundsho Yako
Nabarikiw San na hay mafundish haya
ubarikiwe Mtumishi nimejifunza kitu barkiwa sna
Barikiwa Sana Mchungaji injili inatubariki na kutubadilisha
Ubarikiwe sana Mtumishi nikweli tunaishi na watu tusiyo wajua huku nikujitoa muhanga. Barikiwa sana sana Mtumishi
Balikiwa Sana we baba ivi ndoa yako inasumbuaga kweli maana c kwa kutufaham huko
That's true man of God
Amina sana
sana mchungaji
Ubalikiwe mtumishi
Mungu azd kukutianguvu
Hakika ninakuelewa vizuri sana injili unayopiga inagusa kila kona barikiwa Mchungaji (rusha nondo ukisikia kelele ujue shetan limempata)
Naipenda mahubiri yake
Nafarinjika sana na mafunzo yako mungu azindi kukupa ufunuo wa neno lake
Ubarikiwe sana
Kira kitu Mungu mbere .
Nimependa
Amen
Mchungaji mungu akubariki Sana
Mchungaji Mgogo bwana
Naona umeenda KUSHUSHA MABOMU Kenya 😆😆😆😆😆😆
Hivi yuko Kenya??
Laiti ningalikuwa nimetoka ughaibuni jamani😂😂😂
Lydia Aruba poleee
Kuweni makini maana hawa ndugu zetu wakenya hawachelewi kusema kuwa Mch. Mgogo ni mkenya
Kabisaa!
Hahaaaa
Ni wetu,hivi karibuni twampa huduma number. Heheeeeeee. Hata kabila LA wana wa Israeli walikubaliana na Judah kwamba Daudi alikua wao wote ijapokuwa alizaliwa kwenye kabila LA Judah. Twajivunia mrusha nondo ,mchungaji Mugogo
😂😂😂
Reen Makamu 🤣🤣🤣🤣🤣