Jugo Media nawapongeza kwa kuwa mstari wa mbele kuhabarisha hasa habari za kanisa. Hata hivyo mkiwa kama waandishi wenye taaluma naomba usiingie kwenye mtego wa uandishi uchwara. Vichwa vya habari mnavyoweka havione weledi wa taaluma yenu. Badala ya kuandiaka "Homilia nzito ya Askofu Mkuu" kiweledi na kitaaluma mngeandika neno linalokamata ujumbe ambao Askofu Mkuu alisema kwenye homilia yake. Hii itadhihirisha wazi kuwa mwandishi amesiikiliza kwa makini na kuelewa ujumbe wa homilia. Hii itasadia watazamaji wapate hari ya kutazama hii video na kupata ujumbe kwa undani wake. Mbadilike tafadhali.