Nafurahi sana kuona vijana kama hawa wamamuimbia bwana jamani asante Mungu kwa hazna ya vijana Amina na sisi vijana wengine tuige mfano waoooo nawapenda sana wote
Jameni wimbo huu una uvuvio wa kipekee , nina upenda sana tena sana. tangu ni meujuwa ninajisikia kabisa nifuraha ya ajabu moyoni mwangu. wakati ni tafika tanzania ya mara ya kwanza nitajihidi ili tuwe pamoja sote.Asanteni sana kwa utungaji wa huu wimbo MWENYEZI MUNGU awawezeshe kwa yote wa pendwa. Mimi ni BAHATI RUBESHUZA Nkulwe, ninaishi kongo ndani ya mji Wa BUKAVU
Ni kwa neema tu Tanz🇹🇿ania tumevuka salama katika kipindi hiki cha CORONA , siyo kwa uwezo wetu. Tunasema Asante Mungu wetu wa mbinguni. Mungu ibari,i Tanzania Mungu ibariki Afrika 🇹🇿🇹🇿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Nguvu vijana, neno la Mungu ni chakula cha Roho. Mtu ambaye hasemi chochote juu ya Mungu, huyo hana chacula cha Roho. Nakuombeni kwa msirudie nyuma katika hiyo khazi ya kumsifu bwana Mungu wetu, AMEN!
Ni nyimbo nzr sana iliyochezwa kitamaduni hakika kwel ni neema zake mwenyezi mungu tunakuomba mungu utupatie neema zako Katika Maisha yet thanks God for every thing
Hata tusiokuwa Rc tumependa,unapoona kundi la vijana Kama Hawa wanaweza kutumia muda kumsifu Mungu unashukuru kwa kusema Wazazi wamefanya sehemu yao,hongereni
Naupenda wimbo huu. It makes my catholic so beautiful. It reminds me of the days nilipokua Tanzania. Ndugu zangu hapa Zambia nawaonesha wanavioimba waki Tanzania. Nadhani kiswahili changu kimenyooka.
Camkanlah ini baik2 bhw orang Kristen di negara mana pun ia tinggal dan hdp selalu membawa terang Tuhan Yesus Kristus kepada semua org melalui lagu-lagu Rohani. Kiranya semua bangsa di seluruh dunia ketika mendengar lagu Rohani yg dinyanyikan olh orang Kristen mereka bertobst & percaya kpd Yesus.
Hakika yote tunayo ya Ona ni neema yake Mungu, na Neema yake yatosha kwa maisha yetu apa chini ya jua. Na tunaweza yote katika Kristo atutiyae Nguvu De la part de JULYAM ❤️
I am not Kenyan but I loveeeeeeee Kenyan catholic music. I love playing them especially after a stressful day at work. Very colourful and beautiful language. I hope I will visit Kenya one day and attend your high mass. Well done guys, I love you all.
Mungu hawapungukii waja wake ubunifu na sauti nzuri waja wake katika kumsifu kwa nyimbo... Ooo mungu wazidishiee waja wako yote haya. Ni wimbo wenye mdundoo mzurii. Kuryiryiii.. Hiki ni kigelegele cha kichagaaa
ni mwembo usioweza kuchuya bali kudumu daima. tumshukuru mtunzi na wote waliomshauru au kumuongezea na kumpunguzia mambo fulani katika utunzi wake. wote walioimba, wote walio record, kwa Utume wao mwema kwetu. , ,IMGI AWABARIKI AMINA
A song that draws us back to God as the source of all. Let us learn to trust in God always and not in our own strengths. To God be the Glory and Honour.
Merci beaucoup pour cette belle chanson, que Dieu vous visites , qu'il vous procure d'autres inspirations. Soyez béni dans le nom de Jésus Christ. Merci pour le sourire.
ANNA MONDO The song is talking about the things we do and have received just by God’s grace. As well as urging us to sing him praise and be thankful because he was,he is and will forever be our everything.
As an African man, before even reading the comments I would like to convince myself that the translation of the song might actual mean the love of God or the grace. I stand to be corrected, I'm from South Africa 🇿🇦. The choir is spot on ❤❤
Please support: www.patreon.com/user?u=77044884
Jamesi tenyange
@@jamestenyange8939 acc lol0 on nook í
@@jamestenyange8939 😂❤
@@jamestenyange8939❤❤❤❤❤❤❤❤
Sebep
Nafurahi sana kuona vijana kama hawa wamamuimbia bwana jamani asante Mungu kwa hazna ya vijana Amina na sisi vijana wengine tuige mfano waoooo nawapenda sana wote
🙏🙏❤️
Aya
2024 am watching hakika ni neema za Mwenyezi Mungu🙏
Sure to a 2024 full of Gods Grace and hearts full of gratitude
Hakika ni mwenyezi mungu
If you believe it's God's grace plz put a like 😊
Absolutely! It’s our Creator’s Grace.
Ni neema za mungu kila wakati❤❤
Jameni wimbo huu una uvuvio wa kipekee , nina upenda sana tena sana. tangu ni meujuwa ninajisikia kabisa nifuraha ya ajabu moyoni mwangu. wakati ni tafika tanzania ya mara ya kwanza nitajihidi ili tuwe pamoja sote.Asanteni sana kwa utungaji wa huu wimbo MWENYEZI MUNGU awawezeshe kwa yote wa pendwa. Mimi ni BAHATI RUBESHUZA Nkulwe, ninaishi kongo ndani ya mji Wa BUKAVU
n neema zake mwenyezi mungu 🙏🙏wale mnatizima 2024 wapi likes
Naupenda Sana unabariki
Ni kwa neema tu Tanz🇹🇿ania tumevuka salama katika kipindi hiki cha CORONA , siyo kwa uwezo wetu. Tunasema Asante Mungu wetu wa mbinguni.
Mungu ibari,i Tanzania
Mungu ibariki Afrika 🇹🇿🇹🇿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Amen
Amina kweli ni neema
What now I have to do you can get a question about the election
Nguvu vijana, neno la Mungu ni chakula cha Roho. Mtu ambaye hasemi chochote juu ya Mungu, huyo hana chacula cha Roho. Nakuombeni kwa msirudie nyuma katika hiyo khazi ya kumsifu bwana Mungu wetu, AMEN!
Ni nyimbo nzr sana iliyochezwa kitamaduni hakika kwel ni neema zake mwenyezi mungu tunakuomba mungu utupatie neema zako Katika Maisha yet thanks God for every thing
Pokeeni neema hiyo kweli Waumini waMungu
@@lukatairo6054 9v
Ni neema yake Mungu tunamaliza mwaka huu 2024. Asante kwako Mungu
Listening to Catholic songs is real rewarding and blessings
Catholic songs always. Bless me
Na
Hata tusiokuwa Rc tumependa,unapoona kundi la vijana Kama Hawa wanaweza kutumia muda kumsifu Mungu unashukuru kwa kusema Wazazi wamefanya sehemu yao,hongereni
Kama unaamini Mungu wetu halari gonga Likes kma zote🇧🇮
❤
Ogera
Kama wewe ni m RC gonga like hapa
Mubuzima butunganijwe bukuricyiye Imana ibyukora bigaragara neza amagambo aturuka mumpumeko nziza asana imitima.
My ancestors are from Africa I am so proud of every bit of it, I am in love with their culture as well.
Mubarikiwe sifa kwa mungu kwa neema tume okoka tunakula tunaishi
Watching it from Amsterdam Netherlands....where are Kenyans watching it 2020. Africa my colour
Waoooh ni neema kweli za Mwenyezi Mungu!!! ....very amaizing ....I'm proud to be Catholic
😊
Mungu awape kibali mbele yake na mbele ya watu mwuwe wa wavuvi mwema Injili iendelee na waasa vijana wenzenu wafuate hatua zenu HONGERENI
Asanteni sana kwa wimbo huu. Kama songeni mbele ili Jesus azidi kuwa na nyi daima
Wow that's nice.,sauti zenu zinafurahisha wengi, I'm one of them..keep it guys..mungu anapenda hivyo munavyomsifu...
Naupenda wimbo huu.
It makes my catholic so beautiful.
It reminds me of the days nilipokua Tanzania.
Ndugu zangu hapa Zambia nawaonesha wanavioimba waki Tanzania.
Nadhani kiswahili changu kimenyooka.
Habari ya Zambia, msiachilie nchi wa China waivamie na kuwatawala. Chungeni uchumi yenu kama waAfrika.
Camkanlah ini baik2 bhw orang Kristen di negara mana pun ia tinggal dan hdp selalu membawa terang Tuhan Yesus Kristus kepada semua org melalui lagu-lagu Rohani. Kiranya semua bangsa di seluruh dunia ketika mendengar lagu Rohani yg dinyanyikan olh orang Kristen mereka bertobst & percaya kpd Yesus.
Hakika ni kwa neema zake mungu...wimbo mzuri ambao huchoki kuusikiliza
African people have gifted voice very nice from Philippines
Vous êtes des frères
Mmmmmh ni neema zake Mwenyezi Mungu walai
Huwa sichoki kuusikiliza huu wimbo...u did a good job.. fantastic song
Amen
Amen...
Aamena Wana wa mungu
Hongereni sana wanachuo UDSM kwa album yenu nzuri, nawapenda sana barikiwe sana.
Hakika yote tunayo ya Ona ni neema yake Mungu, na Neema yake yatosha kwa maisha yetu apa chini ya jua. Na tunaweza yote katika Kristo atutiyae Nguvu
De la part de JULYAM ❤️
Hakika n neema zake mungu kuwa hai had sas
Mungu wetu ni mwema. Sa grace me suffit. enjoying this song in Abidjan.
Ni kwa neema za mungu mim na familia yangu tumefika 2019, asante mungu
Babalao
I real love hear the lerics though l don't understands God bless the choirs.
Mungu mwenyezi watunze waimbaji Hawa na kuwabariki kipimo Cha kujazwa na kushindiliwa kwa kweli najiskia furaha nkisikiliza wimbo huu
Nyimbo nzuri xanaàa kweli Neema ya MUNGU mwenye xauti na amwimbie bwanaaa 🙏🙏🙏
Naipenda saana hii nyimbo Mungu awatunze kwa Neema zake Mungu
I like it NEEMA.....KEEP IT MY BROTHERS AND SISTERS YOU MADE ME TO BE A PROUD A CATHOLIC.....NEEMA ZAKE ZA MWENZI MUNGU
I am not Kenyan but I loveeeeeeee Kenyan catholic music. I love playing them especially after a stressful day at work. Very colourful and beautiful language. I hope I will visit Kenya one day and attend your high mass. Well done guys, I love you all.
This choir is not from Kenya. This is from Tanzania.
@@rajopro I stand corrected. Well i love it either way.
This is Tanzania
@@rajoprotukifika Kenya nitakujulisha.
Welcome
Who is here 2025...thanking God for His merciful grace 🇰🇪 🎉
,,, sweet melodies,,,,,,,Its only by God's grace,,,,
Nimetafuta huu wimbo Sikh nyingi but at long last I got it very nice song a lot of creativity and enjoying continuous air play here in nairobi
I like the song...how beautiful the Church is ..
just came across this song,its wonderful n sweet,.playing again n again ,from kenya,shukrani ndugu zetu
Mungu awabariki kwa ajili ya wimbo huu: naburudika na nyinyi, urembo wa sauti, urembo wa vijana pia... ah!!! sijue niseme nini.
Fure
Will
+Saitoti Abdala
😁
MUNGOMBA RAPHAELaksante kwa nyimbo izi
Kanda nzuri
When Africans sing to praise God, even the heavens pause to listen to the melodies.
Mungu hawapungukii waja wake ubunifu na sauti nzuri waja wake katika kumsifu kwa nyimbo... Ooo mungu wazidishiee waja wako yote haya. Ni wimbo wenye mdundoo mzurii. Kuryiryiii.. Hiki ni kigelegele cha kichagaaa
Who watch this in this time of stay home in corona virus time give me like
Nice
Me
Sou angolana gosto de músicas shalil podem me falar o que significa está musica
2021 na bado tuko hapa,,bila shaka ni NEEMA YA MUNGU
Amina
Yeye ndie ngao yetu
Yeye ndie nguvu yetu
Yeye ndie shibe yetu
The song really blesses ,big up!
Hongereni sana kwa mziki Mtakatifu
December 2024 but ni kama mmeimba jana
Hongeren kwa Utume
Wimbo mzuri sana unanibariki kila siku napousikiliza😍
Anayeutazama hpa mwaka 2020 ubarikiwe mpendwa🙏
🙏
Amina
Epaineto malulu
C'est un réel plaisir d'être vu et de contempler la magnificence de Dieu
ni mwembo usioweza kuchuya bali kudumu daima. tumshukuru mtunzi na wote waliomshauru au kumuongezea na kumpunguzia mambo fulani katika utunzi wake. wote walioimba, wote walio record, kwa Utume wao mwema kwetu. , ,IMGI AWABARIKI AMINA
Ubarikiwe sana Innocent
Ni kwa neema ya Mungu tuko. Hivyo tumsifuni kwa shangwe na nderemo.
Chrétien catholique un jour, chrétien toujours. Comme elle est belle la chanson.
C'est vrai que la chanson est très belle. Elle dit que c'est seulement par la grâce divine que nous faisons tout
A song that draws us back to God as the source of all. Let us learn to trust in God always and not in our own strengths. To God be the Glory and Honour.
01/11/2020 Ndiyo ni kwa NEEMA yake nimeuona mwaka wa 2020 mimi na familia yangu tukiwa wazima wa afya pamoja na akili!
Ansante
ni neema is a wonderful song lik never b4 oh my gash???
Ni Neema zake Mwenyez Mungu kweli ndo maana niko hai mpk Leo 2021 natazama hii video 🙏🙏🙏🙏🙏
Amina Kazi Nzuri sana wimbo ni mzuri saana Mungu awabariki saana na endeleeni kumsifu kumtukuza Mungu kwa uimbaji maana kuimba ni kusali mara mbili🙏🙏
Many thanks to you all - choir, dancers and musicians. What a blessing you are to the world!
Kilakitu nineema za bwana mungu wetu amina
amen sifa na utukufu ni kwa bwana Yesu atupaye uzima barikiwa sana wanakwaya
God bless African what a lovely song am proud to be African
Amen my dear ❤️✨❤️
Merci beaucoup pour cette belle chanson, que Dieu vous visites , qu'il vous procure d'autres inspirations. Soyez béni dans le nom de Jésus Christ. Merci pour le sourire.
haya mushobozi mungu akuongezee daima. james pastory ngailo
9
Mbarikiwe,kwa kutangaza neno la Mungu kupitia nyimbo,na mko sawa, mbarikiwe
Whaaaaa,such anice song,Ni neema ya MUNGU
Nani anaangalia wimbo huu mzuri kwa mwaka huu 2020
Am here
Mimi tena najivunia kuwa mkatoliki
Na Mimi
Isacka
@@emmanuellameck4996
How i wish i was a member of this church and choir
Merci Jésus Christ que la gloire Du seigneur soit rendu
Asanteni sana.
mchana wangu umekuwa wa neema kupitia wimbo huu.
Après 8 anns je. Regarde la même vidéo
Seigneur jésus à vous la gloire
Merci pour tout
May God bless Africa much love from Gambia 🇬🇲
Asante Mungu kwa yote ipo vizuli kweli kweli
I DONT UNDERSTAND THE SONG BUT IT BITES MY HEART ❤️ PLEASE KINDLY SEND MORE TO ME WELL DONE 👍 EXCELLENT SONG
ANNA MONDO
The song is talking about the things we do and have received just by God’s grace. As well as urging us to sing him praise and be thankful because he was,he is and will forever be our everything.
Mungu awabarik kwa huu wimbo
Hongereni sana kwa wimbo huuuna ujumbe mzuri.
Ubarikiwe sana Romanus
Ni Neema zake Mungu zimenifikisha hapa, Asanteni wapendwa kwa ujumbe mzuri🙏
Kwaya hiii tunayipenda sana! Wanaimba nyimbo inafulahisha sana na mambo matamu
Pessoas simples
Música com melodia maravilhosa. Deus está em todos os lugares e principalmente na simplicidade.
As an African man, before even reading the comments I would like to convince myself that the translation of the song might actual mean the love of God or the grace.
I stand to be corrected, I'm from South Africa 🇿🇦. The choir is spot on ❤❤
Song means Grace of God. You are very right Collin
Grace of God
Exactly
C'est ça qui fait la fierté de notre église. Louer notre Seigneur avec ferveur ! 🎉🎉❤
Mungu awabariki waimbaji wote na utukufu WA Mungu ukawe nanyi daima siku zote
Amen.. Ubarikiwe sana
Wow am never tired of this song bravo guys .....am also a choir member somewhere
Huu wimbo ni mzuri lakin kwa maisha ninayoyaisha ununipatia farajs kubwa ninapousikiliza
N neema ya mungu Aki napenda hii song👍
the production is wonderful I wish you had translated the song at the caption.
Wimbo mzuri sana naomba muufungue tuweze kuu download. Hili ni hubiri tosha. Mmepata bure toeni bure.
Mungu hawabariki wale wote wa sanii wa nyimbo za injil kufikisha ujumbe kwa jamii
hadi raha ukisikiliza huu wimbo Hongereni mmeimba vizuri mnoooo
Loophole
kwa kweli nabarikiwa sn na nyimbo tamu za kumsifu mungu vijana mpo vzr sana nawapenda wooote
My morning starter. This song blesses my morning. Thank you Lord.
Neema ya mungu inatosha kwa maisha yetu
Amina vijana wa yesu mko vzr mmenibariki
Eu acho lindo trabalho desses nossos irmãos africanos bem feito sorriso lindo
barikiwa sana. kweli mmeimba yaani sauti imesimama. piga makofi. ameen
safiiiiiiiii
Ongera sana. Mlitisha sana katika huu wimbo. God bless you
Wimbo mzuri Sana. Hongereni.
Najisikua fahari kuwa Mkatoliki
I'm at peace nkiskiza nyimbo yenu, keep up na mungu awabariki sana.
I love this song and have been listening to the message in it over and over and over. Kudos to this choir
I stumbled across this choir..amazing and much love from South Africa
Love this song ..Big up