Rugemalira: sijawahi nyoa nywele, mke wake amshukuru Rais, Paroko aishangaa imani yake

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2024
  • Siku tatu baada ya kuachiwa huru mfanyabiashara James Rugemalira, leo Septemba 19 ameungana na waumini wenzake wa parokia ya Makongo Juu kushiriki misa takatifu ya jumapili.

ความคิดเห็น • 36

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 3 ปีที่แล้ว +3

    Mama mstaarabu sana amemshukuru Raisi Samiya . Mungu ndio mwenyewe na dua za waumini wako wamesaidia.

  • @nkubankuba8463
    @nkubankuba8463 3 ปีที่แล้ว +4

    Ukweli anaujua yeye mwenyewe tusishuhudie uongo na mungu atamlipa mwenye haki

  • @bettygeyer6952
    @bettygeyer6952 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu mkubwa, tunamtakia heri yake na familia, Asante kwa uvumilivu Benedicta.
    Tunawaombea

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 3 ปีที่แล้ว +2

    Kanisa haliwezi kuwa na majibu Bali Mungu ndiye anayejua

  • @saliminasalim3751
    @saliminasalim3751 3 ปีที่แล้ว

    Jamani hongereni sana Benedictor na mume wako Rugemalila pamoja na watoto MMungu azidi kuwapigania hapa Duniani mpaka ahera Ameen

  • @fantsonmpango7502
    @fantsonmpango7502 3 ปีที่แล้ว +2

    Ashukuriwe Mungu, Marais wa ccm ni wajanja sana yani, huyu anatekenya akija huyu anacheka

  • @marystanslaus8566
    @marystanslaus8566 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni Mungu mwenyewe ameingilia kati ( God intervention ) namaanisha when Jesus say Yes no one can say NO! Kwa imani ya huyu mzee naona ni Mungu tu amefungua gereza na si vinginevyo. Namwinua Mungu kwa ajili yake na si vinginevyo

  • @MegaCaeser
    @MegaCaeser 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani huyu mzee alikuwa anagawa mabilioni ya pesa, tena kwa viongozi wa serikali, halafu anashuhudiwa kuwa ni mtu mwema sana, na serikali inamuonea tu. Bwana Rugemalila mungu anakuona, na hizo sala zako. Hata hao akina bily gates hatujasikia wakigawa pesa kwa viongozi wa serikali huko kwao. Ukweli unaujua mwenyewe, bora ukae kimya.

  • @luganomwakyusa7697
    @luganomwakyusa7697 3 ปีที่แล้ว

    Mungu ndio anajua kama hukuwa na haki au

  • @josephinegravasiano8860
    @josephinegravasiano8860 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwema

  • @dianaelias517
    @dianaelias517 3 ปีที่แล้ว +3

    Unamshukuru rais kwa kipi majiz nyinyi

    • @meshackmtewele1942
      @meshackmtewele1942 3 ปีที่แล้ว

      Mawazo yako si mawazo ya Mungu acha kazi ya Mungu iendelee

  • @samsonhaule3647
    @samsonhaule3647 3 ปีที่แล้ว +2

    Mtukaiba leo makanisa sanamsafisha, hau Ni wachungaji njaa.

  • @avitymendezy9891
    @avitymendezy9891 3 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe alitolewa na Rais. Rais ni nani juu ya mahakama. Katiba mpya ni hitaji la msingi

    • @trevisrodriguez7484
      @trevisrodriguez7484 3 ปีที่แล้ว

      Offcorse yes.

    • @ramadhanilukambuzi9760
      @ramadhanilukambuzi9760 3 ปีที่แล้ว

      Mahakama iko juu ya Rais wetu wa Tanzania?Jaji Mkuu wa Tz anateuliwa na nani?Nani anasamehee wafungwa kwa mujibu wa Katiba yetu ya Tz kama sio Rais wa nchi yetu?Kabla ya kuandika vitu,kwanza fikiria vizuri!

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 3 ปีที่แล้ว +2

    Kunyowa nywele gani hizo

  • @jastinekanjost8073
    @jastinekanjost8073 3 ปีที่แล้ว

    Ukweli🙄🙄

  • @saadathassan4434
    @saadathassan4434 3 ปีที่แล้ว +1

    Namkubali xna huyu mzee

  • @bonabonala5017
    @bonabonala5017 3 ปีที่แล้ว +1

    Matesoyake yamemuua jpm namateso ya mbowe yamuuaa mwingine

  • @wanyalugendo4776
    @wanyalugendo4776 3 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @danielkidona4214
    @danielkidona4214 3 ปีที่แล้ว

    Mungu ndiye ajuae yote hata yale tusiyoyaona kwa macho yetu ya nyama ,Duniani mna dhiki nyingi

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 3 ปีที่แล้ว

    Ishu ilikuwa kugawa pesa na hivyo pesa alikuwa na kiwanda cha kuzalisha pesa

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 3 ปีที่แล้ว +2

    Basi hukuwa jela, kanuni ya jela ni kunyoa nywele kabla ya kuonyeshwa chimbo.... IPTL inafufuka soon

    • @mosesmrema7355
      @mosesmrema7355 3 ปีที่แล้ว +1

      hakua jela alikua mabusu angehukumiwa na kua mfungwa angenyolewa

    • @badenbensoni7516
      @badenbensoni7516 3 ปีที่แล้ว

      Hakuhukumilwa alikuwa mahabusu. Hanyolewi mahabusu mpaka akiwa mfungwa

    • @janechriss8118
      @janechriss8118 3 ปีที่แล้ว

      hakuwa mfungwa alikuwa mahabusu

  • @sangalucian8684
    @sangalucian8684 3 ปีที่แล้ว

    Ana sitahili sifa Ana Msimamo hayumbiswi kabisa Hakuna Mwenye Maisha ya kudumu Duniani Walio Muonea Wame tangulia Mbele ya Hukumu ya kweli

    • @bulugubujashi6378
      @bulugubujashi6378 3 ปีที่แล้ว +1

      Umejuaje Kama alionewa?,Mimi nawewe hatujui Ila kunasiku Siri zote za wanadamu zitafunuliwa

  • @fintanmkesha1077
    @fintanmkesha1077 3 ปีที่แล้ว +1

    Majizi nao wanashukuru kumbe

    • @francisemmanuel1551
      @francisemmanuel1551 3 ปีที่แล้ว

      Acha ujinga wewe mnamakamataje mtu bila ushahidi manakaa nae miaka minne eti manafanya uchunguzi ni uzandiki mkubwa Mungu atazidi kuwalaani

    • @ramadhanimtetu7246
      @ramadhanimtetu7246 3 ปีที่แล้ว

      Kusema huyu ni Mwizi haitoshi
      Mpaka uwe na Ushahidi utakaoithibitishia mahakama kuwa
      Fulani Mwizi

    • @japhetkavishe9978
      @japhetkavishe9978 3 ปีที่แล้ว

      Acha ushamba ww kama angekuwa mwizi mbona hakufungwa jela??

  • @renatusmatungwa6506
    @renatusmatungwa6506 3 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @sharifahayata234
    @sharifahayata234 3 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @paulrwechungura5342
    @paulrwechungura5342 3 ปีที่แล้ว

    Amina