Fahamu kuhusu Kijiwe cha Kiswahili kule Hamburg
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ค. 2023
- Wajerumani Thurid na Anna Zander wanajivunia Uswahili wao. Mmoja amejifunza Kiswahili chake mitaani na mwingine ameunda kijiwe cha kuzungumza lugha hiyo mjini Bremen. Ebu watazame walipokutana na Sudi Mnette mjini Hamburg#kurunzi
Vizuri sana Mimi naishi Bremen
Nimefurahi sana jinsi kiswahili kinatamkwa vizuri
Vizuri sana (excellent)
Inapendeza
Hawa weme nipiga mbaya sana kiswahili kutoka RDCongo😢😢
Mimi nipo maeneo ya Bremen hapa ntapata vip Anna ???nahitaji kujiunga na group hilo la kijiwe mimi mswahili pia!!!