Maisha ya Ujerumani Watoto wanalipwa na wasiofanya kazi pia. Majibu hapo hapa 🇩🇪

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 22

  • @mamafranjovlog72
    @mamafranjovlog72 5 ปีที่แล้ว +2

    Very informative dear ndo raha ya ulaya japo ela yenyewe ya mbuzi🤣🤣🤣🤣🤣mana wanawakata maela kwa tax then wanajifanya wanawapa yani wanang'ata na kupiliza puuuh 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nice video dear very informative

    • @maggehnew9729
      @maggehnew9729  5 ปีที่แล้ว +2

      Asante, unajua mimi nilivyojifungua mtoto huku sikuwa najua, mpaka mtoto ana miezi 4 ndo nikaanza proccess na mama mkwe ndo aliambia. Nilikuwa sijui yote haya😂😂 coz bora upate kidogo kuliko usipate kabisa

  • @africanbellatherealtalk
    @africanbellatherealtalk 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante video nzuri mamii

    • @maggehnew9729
      @maggehnew9729  4 ปีที่แล้ว

      Karibu sana mpz! Nashukuru kwa kuipenda

  • @rose_Winchester86
    @rose_Winchester86 2 ปีที่แล้ว

    Naamini kuna wabongo hawaamini hili. Nakumbuka kuna mbunge alisema bungeni eti hakuna nchi inayowapa wananchi wake pesa za bure😄 nilishangaa sana.

  • @kibouttv7148
    @kibouttv7148 4 ปีที่แล้ว +2

    Uwiii ngoja na Mimi nifatilie huku Holland ili mwanangu nae Aanze kupata hela kila mwezi na soon anatakiwa aanze shule asante kwa hii video mana imenikumbusha Maggeh

    • @maggehnew9729
      @maggehnew9729  4 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa my fuatilia, mimi wangu alishaanza Schule ila na Coronavirus hii yupo nyumbani tu.

    • @kibouttv7148
      @kibouttv7148 4 ปีที่แล้ว +1

      @@maggehnew9729 poa poa nitafatilia na huwa hiyo hela ya mtoto inaingia kwenye Account ya Nani Kati ya mama au baba?

    • @maggehnew9729
      @maggehnew9729  4 ปีที่แล้ว +1

      Hiyo inaingia kokote, ni wewe uongee na baba mtoto alafu mkipata jawabu mnawapa namba moja yako au ya baba.

    • @kibouttv7148
      @kibouttv7148 4 ปีที่แล้ว

      @@maggehnew9729 Okey pia 👍 obviously will be mine 😂😂😂

    • @julietjulias6349
      @julietjulias6349 4 ปีที่แล้ว

      Jamani hongereni Sana Ila mtuombee na ss tufike siku moja

  • @bakarbakarali-cw3gc
    @bakarbakarali-cw3gc ปีที่แล้ว

    Wapemba kwa kuzaana pessa zote wangelizisha

  • @annahngururi6595
    @annahngururi6595 หลายเดือนก่อน

    Habari naomba unitafutie kazi za kulea wazee kstika carehomes.

  • @johnrobert413
    @johnrobert413 3 ปีที่แล้ว +1

    Naitaji kuelekezwa ili nije Germany

    • @maggehnew9729
      @maggehnew9729  2 ปีที่แล้ว

      haya uliza unachotaka kujua ndugu

    • @hildapaul5422
      @hildapaul5422 2 ปีที่แล้ว

      @@maggehnew9729 nataka kujua unaweza kusoma Sheria Germany

  • @benadetalucas1795
    @benadetalucas1795 5 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo pesa anayelipwa mtoto mpaka miaka 25, inatoka serikalini au ndiyo mzazi anayofanya kazi analipa taxation za serikali kila mwez? ndio mwisho wa sku anapewa mtoto na serikali?

    • @maggehnew9729
      @maggehnew9729  5 ปีที่แล้ว +1

      Benadeta Lucas pesa inatoka Serikalini mpz. mtoto ni wako ila hutakiwi kuvunja sheria ya haki za watoto.
      Ukimpiga mtoto, unany'anganywa mtoto😊
      Nitafanya video ambayo nitaongelea kuhusu haki za watoto, utaiyona my.

    • @benadetalucas1795
      @benadetalucas1795 5 ปีที่แล้ว

      sawa ngoja tufanye tutoroke bongo🤣

    • @maggehnew9729
      @maggehnew9729  5 ปีที่แล้ว +1

      👌🏽karibuni tu

    • @julietjulias6349
      @julietjulias6349 4 ปีที่แล้ว

      Jamn mage mi unazidi kunitamanisha kila siku mpz duh nitafutie hata rafiki huko