VIDEO: BALAA LA MVUA ZA DAR LEO JANGWANI BARABARA ZIMEJAA MAJI, MTO MSIMBAZI WAFURIKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 30

  • @bhoke9729
    @bhoke9729 10 หลายเดือนก่อน +4

    Nimekuwa wa kwanza leo wadau like zangu...
    Mvua zimeamua sasa

  • @user-qx6bs5ul4g
    @user-qx6bs5ul4g 10 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana

  • @OdenBidili-lj5qi
    @OdenBidili-lj5qi 10 หลายเดือนก่อน +2

    Serikari waache usanii hapo jangwani sio pa kuleta mzaa ooo mala itajengwa flay over toka fire hadi magomeni iko wapi kila siku mnakuja na maneno kibao vitendo hamna

    • @user-yp9vo4js9f
      @user-yp9vo4js9f 10 หลายเดือนก่อน

      Bado hamjasema na mtasema Yani hapo bado 🙏🙏😂😂😂😂😂

  • @mohamedmbalazi748
    @mohamedmbalazi748 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna mafala mvua zilivokawia wakasema TMA waongo yan nchi ina watu wa hovyo sana, wanatamani mabalaa yatokee tu, Shine kabisa

    • @leahjoseph5870
      @leahjoseph5870 10 หลายเดือนก่อน

      😊😊😊😊😊

  • @ahmedhamis
    @ahmedhamis 10 หลายเดือนก่อน +1

    Allah tuepushe na mvua zenye madhara

  • @user-pl3du3jf8s
    @user-pl3du3jf8s 10 หลายเดือนก่อน +1

    VIP jamani jengo la yanga

  • @florah-jw9wk
    @florah-jw9wk 10 หลายเดือนก่อน

    Mungutusaidie

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 10 หลายเดือนก่อน

      Si walisema wamejiandaa na mvua za elnino na mavijiko tukayaona au ilikua kiki😓😓

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 10 หลายเดือนก่อน

    QATAR pia mvua kubwa huo upepo sas Mungu atusaidie na hizi mvua za Majanga

  • @user-gc1ez1yv4k
    @user-gc1ez1yv4k 10 หลายเดือนก่อน +1

    Jiji ka Dar limeshinddikana.Viongozi wanaoletwa hapa ni wale walioshindikana,hawana ubunifu wa kuliongoza jiji wamejikita kwenye siasa za kujihami na upinzani.

  • @RichardSenkondo-ny1mo
    @RichardSenkondo-ny1mo 10 หลายเดือนก่อน +1

    Bado hatujasema mpaka tusemeeeee

  • @hillarimtambo482
    @hillarimtambo482 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu wanusulu waja wako na mvua izi

  • @user-xx8jx6tb7d
    @user-xx8jx6tb7d 10 หลายเดือนก่อน

    Kaz imeanza yote ni ya Mungu msikasrke Kwan yeye ndie mjuaj wa yote na ndie muweza wa yote

  • @user-jv5bc1fx6d
    @user-jv5bc1fx6d 10 หลายเดือนก่อน

    Kwnn wasizbuee mitaloo iyooo jmn

  • @letthedeadburythedead2148
    @letthedeadburythedead2148 10 หลายเดือนก่อน

    Dar iliplaniwa vibaya tu, haitakiwi jiji kubwa kama hili kuwa na Barbara bubwa moja tu ya kuingia city centre(Morogoro rd) alafu sio hata expressway.

  • @user-uj8lh8fj4j
    @user-uj8lh8fj4j 10 หลายเดือนก่อน

    Ukiona wanazibua ujue wanajiwekea mazingira ya kupiga hela tu Ndo viongozi wakisiasa tz

  • @mohamedmbalazi748
    @mohamedmbalazi748 10 หลายเดือนก่อน

    Watu wa dar kutupa taka kwenye mifereji, ni ufala kabisa, ifikie mahali sheria zitumike kama rwanda

  • @user-uj8lh8fj4j
    @user-uj8lh8fj4j 10 หลายเดือนก่อน

    Raisi wetu mpendwa tunakuomba jangwani upaone kwa jicho la upendo coz maji kujaa dar wakati wa mvua chanzo ni jangwani tunaelekea Kaunda Afcon tutaaibika kama hamtak kupajenga jangwani ushaur wangu huo

  • @user-uj8lh8fj4j
    @user-uj8lh8fj4j 10 หลายเดือนก่อน

    Yan hapo sio kuzibua mitaro dawa ya jangwani ni kupajenga tu

  • @Samsonilaizer
    @Samsonilaizer 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mvua ya simba hiyo 😂😂

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 10 หลายเดือนก่อน

    Iv serikali miaka yote wanasumbuka na jangwani tu hawana mpango mpya?

  • @user-mx8dr6zt2g
    @user-mx8dr6zt2g 10 หลายเดือนก่อน

    Unafikiri kila mtu anausubutu

  • @KashangaGotifrid-ht7lg
    @KashangaGotifrid-ht7lg 10 หลายเดือนก่อน

    Poren sana😂😂

  • @csato9415
    @csato9415 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hizi ofisi za mabasi hawajahamisha! kwani kuna mwaka maji yalijaa na kusababisha mabasi kuharibika mabasi 29 kwa sababu ya maji. Hivi hawa viongozi mbona wanakuwa na akili za 🐐.

    • @user-mr3od7xn8v
      @user-mr3od7xn8v 7 หลายเดือนก่อน

      Hivi serikali hawakuona umuhimu wa klleupiga Magomeni mpaka faya kuwe levo

  • @asiahamis7893
    @asiahamis7893 10 หลายเดือนก่อน

    Subhanalla

  • @christianrestusi8750
    @christianrestusi8750 10 หลายเดือนก่อน

    Mvua ya Simba hiyo