Ashley Nassary - Tumaini la Wanyonge (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 45

  • @jumamabula7305
    @jumamabula7305 3 ปีที่แล้ว

    HONGERA kwa kueneza injili, nyimbo zinafunua na kuonyesha nguvu na uweza wa MUNGU na namna tunavyotakiwa kumtumai yeye MWENYEZI MUNGU..GOD BLESS U NA AKUINUE

  • @florahemmanuel8323
    @florahemmanuel8323 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akuvushe mdogo wangu hatua Moja zaidi. Hata dhoruba ije tufani ivume usimwache Yesu maana bila Yesu wewe si kitu .hata hivyo ulivyo ni kwa Nguvu zako

  • @tinanicolaus5032
    @tinanicolaus5032 4 ปีที่แล้ว +2

    Fanya urudi nyumban uje utuinjirishe,si unajua wanamitundu tunavyopenda kuimba nyimbo za injiri

  • @eliyatungu2777
    @eliyatungu2777 6 ปีที่แล้ว +7

    Aaaah kaz nzur saana niliwah kukuskia sehemu flan nikahis uwepo flan katika nyimbo zako,,be blessed

  • @sharonoduor9240
    @sharonoduor9240 6 ปีที่แล้ว +7

    I love your songs Ashley especially 'Jehovah twakusifu' being blessed from Kenya. keep moving on and be blessed.

  • @vumiliajoshua270
    @vumiliajoshua270 3 ปีที่แล้ว

    Amen,kazi njema mdgo angu,Mungu akubariki sana

  • @EzekielSMeijo
    @EzekielSMeijo 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana Kijana kwa nyimbo zako nzuri

  • @eltonsimon760
    @eltonsimon760 6 ปีที่แล้ว +3

    This is so powerful man of God
    Tumaini LA wanyonge lipo mbele zako Bwana
    Ashley keep it in fire man of God
    Elton loves more and appreciate your message

  • @samirimzemba1931
    @samirimzemba1931 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe nguvu brother nakubali uduma yako

  • @lttetamil575
    @lttetamil575 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukuinua nakuona kwa viwango vingine

  • @godblesshema6250
    @godblesshema6250 6 ปีที่แล้ว +2

    Tumaini langu ni Bwana Yesu kwakua nimnyonge hapa Duniani...blessed up

  • @lucasmsigala3179
    @lucasmsigala3179 4 ปีที่แล้ว

    Kwake Yesu nasinama ndiye mwamba imara

  • @matridakapilimka1838
    @matridakapilimka1838 4 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed nabarikiwa na uimbaji wako....!!!

  • @upendojems4070
    @upendojems4070 4 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukupandisha viwango vya juu san

  • @irenedominick5719
    @irenedominick5719 4 ปีที่แล้ว +1

    Nmependa sana nyimbo zako

  • @EzekielSMeijo
    @EzekielSMeijo 4 ปีที่แล้ว +1

    #Tuungane kuombea Taifa

  • @sandratitova629
    @sandratitova629 3 ปีที่แล้ว

    Приятно слушать, спасибо за ваше служение)

  • @betherichoir2823
    @betherichoir2823 6 ปีที่แล้ว +19

    Kama umeupenda kama mm like

  • @beyondblessed9694
    @beyondblessed9694 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @sikudhankhamis2818
    @sikudhankhamis2818 4 ปีที่แล้ว

    Wooh

  • @jesusislordoflords8957
    @jesusislordoflords8957 6 ปีที่แล้ว +1

    Thank you young bro and keep the spirit, tumsifu Mungu

  • @gracegracegrace1827
    @gracegracegrace1827 5 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mno ....Mungu aendelee kukuinua

  • @wafilipi44-52
    @wafilipi44-52 6 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana Nimebarikiwa

  • @Praisingthroughmusic
    @Praisingthroughmusic 3 ปีที่แล้ว

    😍😍😍

  • @bisengobubasha
    @bisengobubasha 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki

  • @lucasmsigala3179
    @lucasmsigala3179 4 ปีที่แล้ว

    Wooooow

  • @maggieluwaha6512
    @maggieluwaha6512 5 ปีที่แล้ว

    barikiwa zaid

  • @ednahabdillah9857
    @ednahabdillah9857 4 ปีที่แล้ว

    Unaimba vizuri wa kwetu unanibariki

  • @godblesshema6250
    @godblesshema6250 6 ปีที่แล้ว

    ubarikiwe sana..

  • @kelvindaud6766
    @kelvindaud6766 4 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏🙏

  • @fridafrank9901
    @fridafrank9901 6 ปีที่แล้ว

    Be blessed Ashley nassari

  • @geofreymanento6547
    @geofreymanento6547 4 ปีที่แล้ว

    Be blessed brp

  • @berthasamwel9955
    @berthasamwel9955 4 ปีที่แล้ว

    Powerful

  • @gbsaibogi1069
    @gbsaibogi1069 6 ปีที่แล้ว

    Amazing voiceeeee be blessed👏👏👏👏

    • @olivakwayu3903
      @olivakwayu3903 6 ปีที่แล้ว

      🔥🔥🔥ubarikiwe na Mungu wetu

  • @veronicahkangalawe4305
    @veronicahkangalawe4305 6 ปีที่แล้ว

    ubarikiwe

  • @devothaignatus5911
    @devothaignatus5911 6 ปีที่แล้ว

    barkiwa

  • @hurumamwaihomba5773
    @hurumamwaihomba5773 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana mdogo wangu

  • @priscapaulo2116
    @priscapaulo2116 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @wafilipi44-52
    @wafilipi44-52 6 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana Nimebarikiwa