Mungu akubariki kaka kwa kipaji kama hiki kuna watu wanatamani kuwa nacho lakin kuna roho chafu imewafunga nakuombea kwa Mungu endelea kuchochea karama yako utalipwa uxivunjike moyo mpendwa ameen
Kwel hakuna kama Yesu uwezae barikiwa mdogo wangu kwa zawad hii nzr ya uimbaji Mungu akutaidie uitumie vzr maana shetan macho yake ni kuwatafuta waliocmama
Huuu wimbo niliuona Siku ya kwanza nikiwa kwenye gari LA mkoa narudi dar niliupenda na nikautafuta sana Ila asante Mungu Leo nimeupata hakika Yesu anaweza...barikiwa sana kaka Mungu azidi kukutunza ili umtumikie maisha yako yote
Strong young boy you are good 👍 keep up
New songs lik it Na barikiwa sanaaaa naipenda pia amennnn,
Mungu akubariki kaka kwa kipaji kama hiki kuna watu wanatamani kuwa nacho lakin kuna roho chafu imewafunga nakuombea kwa Mungu endelea kuchochea karama yako utalipwa uxivunjike moyo mpendwa ameen
Wimbo mzurrr saaaaana unatuburudisha sana pande za masama
YESU kristo wewe waweza kuniponya sina mwingine tena Kama wewe BWANA
Mungu akubariki mdogoangu huwanafarijika nikiskiliza huu wimbo
Nakuona ktk level nyingine kabisa ya juu zaid😘😘
Yan miongon mwawatu ambao waliteseka kuutafuta huu wimbo me number 1.. barikiwa sana mpendwa
HAKIKA SINA MWINGINE KAMA YESU, ,,
ZIDI KUBARIKIWA SANA KAKA !!!
Nzuri sana Kila iitwapo Leo♥️♥️♥️♥️♥️♥️💯
Hongera Sana. Nyimbo inabariki. Hakika Yesu wewe waweza Sina mwingine kama wewe Bwana.
Amazing job bro
Naupenda sana huu wimbo ni mzuri sana Barikwe
Huu wimbo huwa unanikosha sana katika maisha yangu huwa nabarikiwa sana.mungu akubariki mtunzi wetu
Mungu mzdishie kipaji barikiwa sana
Napenda uu wimbo jaman💞 ...Mwenyezi akubariki kijana kwa wimbo uu wenye baraka sana akuongezee nyingine zaidi
Napenda sana wimbo wako huu uliimba vizur sana
Nimependa sana uimbaji wako na mungu akutunze unanibariki king la siku iitwayo
Huu wimbo sitausahau na ntaupenda sababu ya mke wangu alikuwa unaucheza siku ya harusi
A bless over bless,,Natakuimbia waweza katika kila hatua ya maisha yangu
Sina mwingine kama wewe bwana .umenibariki sana huu wimbo , hongera mtumishi wa Mungu.
Amina kiukweli niskiliza huu wimbo nahisi nipo paradiso.baririkiwa mungu akupe maisha marefu.
Nabarikiwa sana na nyimbo zako mtumishi
Hakika Yesu waweza mambo yote akuna kma ww n hakuna zaidi yko.Mungu azidi kukuinua akupe sauti uzidi kumuimbia kaka b blessed
Mungu akubariki ,,na uendeleee na kipawa hiki mungu akutendee zaidi
Mungu aendelee kukuinua na kutunza alichoweka ndani yako barikiwa sanaa
Nice ndug yangu God bless u kwa huduma nzur
Barikiwa sana broh
Nakupenda sana umenifanya nimjue mungu zai
Waooooooooooooo mebarikiwa Sanaa mimi
Yesu azidi kukuinua mdogo wangu Mungu akubariki sana,jitahidi kuutunza uwepo wa Mungu ktk uimbaji wako siku zote
Sharoom kak barikiwaxan huu wimbo uwaunanibarik xana unaguxa moyowangu mungu azid kukuinuo viwangovyajuu
We kaka mungu akubalik Sana Sana huu wimbo unanibaliki sana
Kazi yako ni njema❤🎉
Nyimbo imenibariki sana, Hongera
Nyimbo inanibariki mnoooo! Yesu we waweza sina mwngne kama wewe bwana.
Nice one,,👍👍👍🙋🙋🙋
Sio nyimbo imenibariki
Ni
Wimbo umenibariki
Nabarikiwa sana na huu wimbo, yesu waweza halleluya
Ni wimbo mzur sana daaaaa mungu akubalk
Hakika YESU unaweza, bila wew cwezi cna mwingine, MUNGU akuinue Mr
Hongera sana brother Mungu akuinue zaidi
Sauti nzuri kama south Africa hakika umenivutia sana very good indeed
Yesu muweza wa yote hakika hakuna kama yeye ni yeye tu
Mungu akuinue zaidi....barikiwa
sijawahi kuchoka kusikiriza huwimbo kabisa naupenda sana
Am not getting tired of listening this song..kuna rah yakumsifu mungu
Hakika Yesu ni muweza wa yote,ubarikiwe
🎉🎉🎉 ni fire 🔥🔥🔥
Hakika sina mwingine kama Yesu. Mungu baba azidi kukutumia ukatumike zaidi shambabi mwake. Nabarikiwa sana
nimeutafta cuz hapa jiran kuna kanisa na huu wimbo umekuwa ukipgwa!
Jamani huu wimbo unanibariki sana ubarikiwe sana
Mungu azidi kukubariki kaka ang huu wimbo umenigusa sana,yesu ww waweza Sina mwingine kama ww
Ameeen barikiwa sana Mungu akuinue zaid na zaidiiii
Kwakweli yesu wetu ana wezaaaa nimeupenda sanaaa mungu akubariki
Sina mwingne Kama Yesu ubarikiwe xan Ashley 🙏🙏
I feel the presence of God, Jesus your my only hope
Hakika sina mwingine 😥❤🙌
Barikiwa sana mwanangu kwaujumbe mzr umenibariki sana
Huu wimbo naupenda mpaka kwa kweli anaweza mpe maisha yako na moyo atawale uone jinsi gan anaweza kaka hongera
Ila sauti yako inanibariki sana hakika 🙏
Mungu akutunze
Naupenda sichoki kuangalia jamni 2021 like zenu
Kwel hakuna kama Yesu uwezae barikiwa mdogo wangu kwa zawad hii nzr ya uimbaji Mungu akutaidie uitumie vzr maana shetan macho yake ni kuwatafuta waliocmama
I can't wait to say sina mwingine kama wewe Yesu. Yesu waweza. Thanks young brother Ashley,Mungu azidi kukuinua kwa karama hii🙏
Aminaa mtumixhi
Safi sana best ang. Hakika yesu aweza
Glory 2 GOD
Wounderfull song💖💞💟💝
Yesu wewe waweza oooh asanteh 💪💪💪💪💪
Tamuuu Sana be blessed
Huuu wimbo niliuona Siku ya kwanza nikiwa kwenye gari LA mkoa narudi dar niliupenda na nikautafuta sana Ila asante Mungu Leo nimeupata hakika Yesu anaweza...barikiwa sana kaka Mungu azidi kukutunza ili umtumikie maisha yako yote
Aminaaa
Barikiwa mdogo wangu wimbo mzuri
Hongera Mungu aendelee kukutumia. Na kukutunza. Umenibariki sana🙏
Na mng akutie nguv mpedwa
Nakukubal San bro
Mungu akuniue Zaid umenibariki San
I'll sing this song as I testisty of the Lord's faithfulness in my life.
Amen and Amen we rejoice in the Lord 🙏
Yesu wewe waweza 🙌👯👯👯Sina mwingine kama wewe BWANA🙌🙌❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏
Sina mwingne Kama wewe bwana dahaaa nakupenda saaaaana mungu akuinue kipaji Chako kifike mbali. 🙏
I like this song jamani Umenibariki mno sana yani. Bwana wa majeshi azidi kukubariki mtumishi .
Yesu wewe waweza sina mwingine umefanya njia pasipo njia asante Mungu wangu Yesu wewe waweza
Actually the man of God be blessed 🙏🙏 your song means alot in my life,,, actually there's no God like you our heavenly Father.
It's so encouraging brother
Ubarikiwe sana kijana, naupenda sana wimbo huu
Yesu waweza sina mwingine kama ww bwana
Bado nabarikiwa sana na huu wimbo
Can't stop listening to this song 💕💕
🕺🕺🕺I rejoice hearing this song as if it's on first flight to Heaven🕺🕺🕺🕺🙏
Kabisaaa Yesu ww ni muweza tu hujawahi shindwaa Sina mwingine mm Yesu ni ww tu
More blessed my friend keep it up
Mungu mwema asikuache ktk utumishi wako kaka.
Tumia karama yakonkwa bidii zaid kama Mungu alivyokusudia be blessed kaka uwe mfano kwa wengineo wewe ni wa thaman
Very nice song God bless you more 🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu akupiganie uzid kuokoa wat kwa njia y kuimba good job
Uko vzur kaka angu asher Mungu akubariki zaid ya apo
Nimebarikiwa na huu ujumbe hakuna Kama ww yesu
Mungu aendlee kukutunza
Waoooooooo YESU WETU ANAWEZA
This great song real touches my heart, and I talked to myself,.. I said no.. i must go church on Sunday tomorrow morning..
Mungu akuinue zaid ya hapo ulipo nimekupenda buree
Yesu anaweza yote
Wooow this song really powerful lyrics in it Yesu Waweza Yote katika maisha yangu .Yo so so Blessed Bro🙏
Nmetafuta sana huu wimbo hatimae nmeupata unanibariki sana
Wendy Andrew mimwenyew nimeutafut san
Hongera Sana umenibariki Sana
Hata mimi!
Leo nimeupata. Nafuraha sana
He is able we don have other than him..we worship him...he is worthy to be praised...Be blessed bro😍
Barikiwa sana dogo Yesu aweza yotee
Hii wimbo unanibariki sana
Yesu wewe
Nyimbo yangu pendwa ubarikiwe sana
Ubarikiwe sana
Be blesed brother