Jenerali Ulimwengu: Sakata la Bandari Limeonesha Tumepoteza Uwezo Kujadiliana kwa Hoja

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com....
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2022 © All Rights Reserved.

ความคิดเห็น • 292

  • @dominickrukokelwa1284
    @dominickrukokelwa1284 ปีที่แล้ว +10

    Unapokosa adabu ukaharibu mali za umma halafu unatarajia umma ukuite majina mazuri.
    Blessed fool.

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 ปีที่แล้ว +20

    Mungu akuweke pema JPM, bila ww.hakuna mazungumzo, yani haupo hado wanagombana na.kivuli chako RIP Mr Magu daima.❤

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 ปีที่แล้ว

      Angekuea anatufaa Allah angetuekea kwa muda mrefu ila hakuwa anatufaa ndio maana Allah katuepusha

    • @harunmanura7900
      @harunmanura7900 ปีที่แล้ว

      Hata hitra anatajwa kila leo iddi amin hajasahaulika,,,,madicteta hawaachwi kukumbukwa kwa uovu wao

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 ปีที่แล้ว

      ​@@abuumuhammad7133hujui wema hufa haraka wabaya hukaa kusudi watubu ??

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 ปีที่แล้ว

      ​@@harunmanura7900anayemuona dikiteta jpm ana chuki tena mjinga alisema anayekubali mashart ya kuuzwa bandari ni mjinga pekee search utaona

    • @sheryphamwenevalley6124
      @sheryphamwenevalley6124 ปีที่แล้ว

      @@harunmanura7900 halafu dikteta aliyezikwa kwa heshima.kubwa duniani haijai tokea ss sijui jyie manguruwe mtatupwa bila kumbukumbu zaidi kusiwa wizi na udhalimu

  • @bullekisimikwe3852
    @bullekisimikwe3852 ปีที่แล้ว +10

    Wewe mwenyewe huwezi kujenga hoja na wala huna hoja, unachokifanya ni kueleza chuki zako na roho mbaya juu ya awamu iliyopita y JPM.
    Wewe ni mzee wa hovyo sana

  • @c75923
    @c75923 ปีที่แล้ว +6

    Ni mpumbavu tu (tena alietukuka) anaeweza kufikiria utawala wa JPM ulikuwa “nguvu za giza”

  • @estabauna3604
    @estabauna3604 ปีที่แล้ว +11

    Mungu anawaona, unamsema vibaya marehemu kisa hawezi inuka na kujibu. Umri wako na unachokiongea Wala havifanani.

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 ปีที่แล้ว +23

    Kumsikiliza Huyu Mzee Lazima Uwe na Akili kubwa...Sana ndo utaelewa!.

    • @chachamwita4687
      @chachamwita4687 ปีที่แล้ว +8

      Nothing to listen from him

    • @calabash4221
      @calabash4221 ปีที่แล้ว +1

      ​@@chachamwita4687I totally agree with you...

    • @gloriamwanjali9371
      @gloriamwanjali9371 ปีที่แล้ว

    • @karimkassam571
      @karimkassam571 ปีที่แล้ว +3

      Hana lolote huyo...huwa haungaji Jambo lolote la maendeleo

    • @annabubelwa4543
      @annabubelwa4543 ปีที่แล้ว

      @@chachamwita4687yaani limejaa chuki sana

  • @jackiegab9394
    @jackiegab9394 ปีที่แล้ว +2

    We salute you Mzee Ulimwengu 🤝🤝🤝🙏🙏Spot on kama kawaida yako!!

  • @chachamwita4687
    @chachamwita4687 ปีที่แล้ว +17

    Kama kutumbua ni tusi vp kuhusu inchi zinazowanyonga au kuwapiga risasi wale wanaohujumu uchumi wa nchi zao, kama kutumbua ni tusi kuiba na kuhujumu uchumi sio tusi kwa walipa kodi etiee, hongera sana generali jitafakari. mhujumu uchumi ni mtu mshezi sana ukimwambia yeye ni jipu umemstahi sana kwa sababu alitakiwa kuuwawa kwa nchi za wengine .

  • @MohamedBlanker-jw9qy
    @MohamedBlanker-jw9qy ปีที่แล้ว +6

    Magufuli alitufaa Sana

  • @2FlevaJin
    @2FlevaJin ปีที่แล้ว +5

    Mzee ulimwengu nakukubali Sana Una uwezomkubwa wa kutafakari mambo Ila nikuombe kitu mzee Wangu kwauwezo wako waushawishi ishawishi serikali ifute huu mkataba wa Iga maana unakwenda thamani ya utuwetu

  • @pallangyoemmanuel1633
    @pallangyoemmanuel1633 ปีที่แล้ว +8

    Siungi mkono maneno ya bwana TWAHA, UOVU siku zote hauna jina jema, TWAHA anataka kutuaminisha kuwa tuwape sifa njema MAFEDHULI na MAFISI ya nchi yetu.... HAPANA...... HATA KIDOGO!

  • @geofreydamas1697
    @geofreydamas1697 ปีที่แล้ว +3

    Nimemwaunder rate is nothing now is not real J ulimwengu huyo.asali inamuhusu JPM atabaki kupendwa cku zote kwa kile alichofanya

  • @nyerere1259
    @nyerere1259 ปีที่แล้ว +8

    MAGUFULI MBAYA ILA WAUZAJI NDIO BORA😂😂😂

  • @salimothmanhoza
    @salimothmanhoza ปีที่แล้ว +2

    Haukuwa hivi, umepoteza dira,Bora ukalee TU wajukuu zako,haya mambo waachie akina Mwabukusi,hujui kusoma alama za nyakati

  • @juliusakilimali9424
    @juliusakilimali9424 9 หลายเดือนก่อน

    Mbona mnaongelea MAJUNGU tu! Magufuli hakuwa mwizi! Huyu mzee anayembeza Magu Mungu anamuona tena Watanzania hawadanganyiki.

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 ปีที่แล้ว +2

    Huyu jamaa sijui alikua na jambo gani na magufuli..!..sijui ni mmoja ya walioishi kama shetani maana mwanzo aliishi kam mfalme..!

  • @benjaminsumuni3802
    @benjaminsumuni3802 ปีที่แล้ว +2

    Mbona hata wew unatukana bwana

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 ปีที่แล้ว +6

    Watanzania wanaumia.

  • @ichronicpro3081
    @ichronicpro3081 ปีที่แล้ว +1

    Mzee hongera sana Kwa SoMo adhimu

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 ปีที่แล้ว +5

    DUH MZEE HUYU..KWAHIYO JIZI LENYEWE KUIBA INAKUWAJE SASA???

  • @hamisijuma3276
    @hamisijuma3276 ปีที่แล้ว +5

    Huyu jamaa mjinga Sana, nchi hii baada Nyerere n JPM Tutawakumbka sn wameacha Alana kubwa sana

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว

      Hahahaha,,,JPM huyu muasisi wa kikokotoo kinachowaua wafanyakazi?

    • @giztony2009
      @giztony2009 ปีที่แล้ว

      Alama gani ya upendeleo wa chato

  • @JohnDeus-v3e
    @JohnDeus-v3e ปีที่แล้ว +8

    Muovu aitwe jina linaloendana na maovu yake.

  • @jastinmodest8073
    @jastinmodest8073 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna kitu hapa masikini haelewi kabisa huyu speaker

  • @erickcleophas682
    @erickcleophas682 ปีที่แล้ว +2

    Mzee huyu ni mnafiki. Siwakusikiliza. Mbona wakati wa Jpm alikuwa mbogo??. Hovyo sana mzee huyu sijui anataka nn?? Mpaka muda huu na umri huu ueleweki. Aisee mungu anawaona.😊

  • @salcle9702
    @salcle9702 ปีที่แล้ว +14

    Ata Syria ilijegwa vizuri ila saivi ipo wapi.nyie piteni na v8 na vingora vingi ila siku moja wajukuu wenu watapata tabu sana

    • @festohaule9716
      @festohaule9716 ปีที่แล้ว +2

      Wajifunze Yanayotojea Afrika Magharibi.. Afrika yote inapaswa kutawaliwa kijeshi..

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 ปีที่แล้ว

      @@festohaule9716 kauli moja vitu vifanyike.

  • @johngibson3089
    @johngibson3089 ปีที่แล้ว

    Asante sana Jenerali.

  • @masungajp1
    @masungajp1 ปีที่แล้ว +33

    It isn't about Magufuli anymore, please. He was a good man.

    • @shabanibussara8454
      @shabanibussara8454 ปีที่แล้ว +3

      I mind the name..."Masunga".

    • @ubuntubantu2404
      @ubuntubantu2404 ปีที่แล้ว +7

      Ulimwengu has personal beef with Magufuli, he is just one sucker

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว +4

      Magufuli was a beast. He created the culture of fear in our country

    • @patriciamaganga3891
      @patriciamaganga3891 ปีที่แล้ว

      🥲🥲🥲🥲

    • @ubuntubantu2404
      @ubuntubantu2404 ปีที่แล้ว +2

      @@abiabi9353 before him you had the heart of Samson in you?

  • @emanuelkamangu6500
    @emanuelkamangu6500 ปีที่แล้ว +6

    Safi sana Mzee Ulimwengu

  • @mrossobartholomew9368
    @mrossobartholomew9368 ปีที่แล้ว +1

    Good general!

  • @Starlink-j9q
    @Starlink-j9q ปีที่แล้ว +1

    I am a Kenyan, but I'm not happy with the kind of thing that have happened in our brothers land, leaders must listen to their colleagues before doing anything, Tanzania is a state not a house governed by a father or mother, Africa will never enjoy its independency if our infrastructures are left to the whites to rule😢, Tanzanian leaders! wake up,we are moving forward not backwards.

  • @oswardmkalawa9666
    @oswardmkalawa9666 ปีที่แล้ว +2

    "Hoja kwa hoja na si hoja kwa vitisho"

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah ปีที่แล้ว +4

    acha uchawa we mzee

  • @malcomx4067
    @malcomx4067 ปีที่แล้ว +4

    Miaka 5 na Bandari vinaemdana wapi? Huyu mzee ni mnafiki

  • @DENISGWAGWALA
    @DENISGWAGWALA ปีที่แล้ว +4

    Huyu Mzee mjinga Sana yeye Kila sku anazungumzia yaliyopita hafai huyu Mzee mjinga

    • @JamalAbdallah-m1o
      @JamalAbdallah-m1o ปีที่แล้ว

      Mshasahau yaliyopitaa, mlifungwa mdomo wote, no mkutano wa hadhara no mkutano wa ndani, Amekuja MAMA muungwana mnaanza upuuzi

  • @adammalima3408
    @adammalima3408 ปีที่แล้ว +5

    Mzee una chuki na JPM ila hamtashinda! Badala ya kujikita kwenye maada mnapoteza muda! Watanzania tunaelewa

  • @karimkassam571
    @karimkassam571 ปีที่แล้ว +3

    Hivi hawa wazee hawachoki tu uzushi

  • @mayungarichard7443
    @mayungarichard7443 ปีที่แล้ว +3

    Mzee jenerali elewa kuwa Saivi hawafokewi matajiri na mafisadi wanafokewa maskini, fuatilia wakuu wa mikoa hususani dar

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 ปีที่แล้ว +2

    Sasa ndiyo Nini kutumbua na kishenzi lipi tusi.Uwezo wakuwelewa tunatofautiana na ninamuelewa Kila mtu . mwenye kubwata na mwenye kuongea polepole kwa sababu Mimi daima naangali ujumbe si angalii mfikishaji Wala ufikishaji .Kwa sababu ata chizi Mungu anaweza kumtumia akatoa ujumbe kwa watu.Kama utamwangalia mtoa ujumbe hautojifunza.Usimati wajengo na watu tofauti na kunisaidia Mimi na watu Kama Mimi.Mzee mbinafsi Sana huyu.Nimekuwa nikikufatilia ktk mazungumzo Yako .Wewe Mzee ufai siyo tu ktk serikali kuu ata serikali ya mtaa.Alafu mshamba wa maisha na mazingira pia.

  • @HenryAnatoly-jg3df
    @HenryAnatoly-jg3df ปีที่แล้ว +1

    Naona huyu mzee katumwa mana anazunguka2 mara majibu ni tusi. Je ushenzi ni nini? Nyie ndo walewale mnaukula hii nchi ila sasa wtz wamechoka tena wemekua na uelewa mkubwa, haiwezekan mikopo kl kukicha wawekezaji kl pa hara lkn maisha ndo yanazid kua magumu zaid. Ungea ukwel msema kwel mpenz wa Mungu

  • @djovitadiyami6085
    @djovitadiyami6085 ปีที่แล้ว +5

    TATIZO NI UONGOZI ULIOPOTEZA MWELEKEO.MALENGO YA WENYE MADARAKA IMEKUWA KUPORA RASLIMALI ZA UMMA NA KUJILIMBIKIZIA MALI BARAKA YA KUTUMIKIA NCHI NA WATU WAKE.
    HALI TULIYONAYO HAIVUMILIKI NDIYO MAANA LUGHA INAYOTUMIKA KUWASEMA VIONGOZI HAINA STAHA KAMA WAO WANAVYOPORA MALI ZA NCHI BILA STAHA. UMMA

  • @tellamaringeni6427
    @tellamaringeni6427 ปีที่แล้ว +4

    Watende kwanza kwa staha ndipo tutaongea kwa staha

  • @rosemarymwakitwange6257
    @rosemarymwakitwange6257 ปีที่แล้ว +7

    Lugha za Kishenzi za viongozi wa Leo, kutumbuliwa.

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 ปีที่แล้ว +14

    WATAWALA TANGU MWANZO WALIWAJENGEA WATANZANIA UOGAA 😢WATANZANIA TUJIFUNZE KUONGEA UKWELI BILA WOOGA

    • @LumolaSteven
      @LumolaSteven ปีที่แล้ว

      Dhambi za Nyerere

    • @silvanus1990blockchain
      @silvanus1990blockchain ปีที่แล้ว

      Hasa Magufuli alitia fola Kwa kutia hofu wananchi Mungu amkazie huko aliko

  • @WilliamMsafiri-l8r
    @WilliamMsafiri-l8r ปีที่แล้ว +3

    Akili za kuambiwa changanya na za kwako.

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 ปีที่แล้ว +5

    Mtu pekee ambae unaweza kuongea nae kwa staha ni yule ambae akifanya kosa , na ukimuonesha Hilo kosa hukili na kujirekebishaa. Ila sio haya majambazi walio Saini mkataba wa kishenzi afu wazunguka kutudanganya wanatuona sisi watz kama hatuna akili, haya sio ya kuongea nayo kwa staha, ni majambazi hayaaa, pumbavu🚶

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 ปีที่แล้ว

      Wewe unajiona una akili?mbona comment yako yenyewe tu inaonyesha kuwa ni huna uwezo wa kufikiri vizuri?

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 ปีที่แล้ว

      ❤❤❤❤❤👏👏👏

  • @salehesamba1237
    @salehesamba1237 ปีที่แล้ว +10

    Ulimwengu hongera sana

  • @Gideme-wi5vc
    @Gideme-wi5vc ปีที่แล้ว +14

    Bwana J. Ulimwengu Kwa Nini akili za wa TZ zimefubaa.
    1. Zimesababishwa na laana ya kutoka Kwa Mungu kutoka a tabia za mda mrefu kuongea uwongo au ulaghai kiasi kwamba maarifa ya Wengi yamejengwa katika aina ya maisha yaliyojengwa na utawala wa nchi hii Kwa muda mrefu. Hii ni laana Kwa taifa.
    2. Tatizo linguine ni mazoea ya muda mrefu ya wanadini au viongozi wa dini kuigeuza dini kuwa fursa na wanasiasa kutumia tabia zao kugandamiza wananchi. Mfano anasimama na kusema Kila utawala umewekwa na Mungu huu ni upuuzi mkubwa tawala zote duniani zimewekwa na watu na siyo Mungu ila Kwa sababu ya uhuru wa kuchagua ambao Mungu katupa mara nyingi tunaangukia katika tawala za kiibilisi ambazo ukweli huitwa uwongo na uwongo kuitwa ukweli . Vivyo viyo Haki kupindishwa na kuzuiwa kutendeka inapobidi.
    Hivyo Kwa TZ. Tatizo kubwa ni utawala wa ccm. Penda tusipende. Kwa sababu ya kujimilikisha Kila wazo zuri linatoka kwao na wapinzani ni maadui wa taifa. TUMELAANIWAAAAAA. Tukatubu.

    • @karimkassam571
      @karimkassam571 ปีที่แล้ว

      Si kweli..hujafanya tafiti...unaposema wa Tz...kuna mashekhe na MAASKOFU....kuna waumini....

    • @aminielyusufu4351
      @aminielyusufu4351 ปีที่แล้ว

      Uko sahihi
      Sawa ni kutubu

    • @Carolina-sm5zt
      @Carolina-sm5zt ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa na Mungu atusaidie

    • @abuukarata9653
      @abuukarata9653 ปีที่แล้ว +1

      Na wewe ni wale wale ccm ya nini tena. Wakati matapishi yako kote.

  • @JUBRANBULAYHl-yb4ke
    @JUBRANBULAYHl-yb4ke 3 หลายเดือนก่อน

    Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) ametueleza kuhusu sifa za wanafiki ili atutahadharishe nao, ili tujiepushe nao Ishara ya mnafiki ni tatu: Akisema uwongo, akiahidi anavunja, na akikabidhiwa anafanya khiyana, anatuonya dhidi ya kuvunja ahadi, dhidi ya kusema uwongo katika hadithi na hadithi, na dhidi ya khiyana katika uaminifu. , na kwamba wao ni miongoni mwa watu wanaafiki, tunajikinga kwa Mwenyezi Mungu, basi tahadhari nao. Sisi tunawajua vyema ni kina nani watoa pesa wanaotaka kuwapoteza waja wema wa Mwenyezi Mungu kwa hiyo ni lazima mrejee kwa Mola wenu kabla hatujakufanyeni ni mfano wa kuigwa mbele ya waja wa Mwenyezi Mungu na Umma wa Muhammad, Mwenyezi Mungu ambariki yeye na aali zake. na Maswahabah na uwape amani Ee Mola Mlezi wa walimwengu wote.☝🏻☝🏻🤲🤲☝🏻☝🏻

  • @charlesmgory3131
    @charlesmgory3131 ปีที่แล้ว +2

    Hoja yko ni ipo mzee mbona hoja na wwe Huna una chuki2 bnafsi

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 ปีที่แล้ว +3

    Huyu ana chuki na mwenda zake, hana hoja.

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 ปีที่แล้ว +4

    Wapiga Midomo, Hii ndo Kazi Yao Wananchi.. Ndo Wanapokulia hapo😬😬😬
    Vikao vya Majipu....

  • @nyotamy3678
    @nyotamy3678 ปีที่แล้ว +1

    👏🏽👏🏽

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np ปีที่แล้ว +9

    Mzee acheni watu waonywe kiongozi ni nani ni binadam au mnawaendesha ng'ombe hivo mtu anakosoa lakini anatishwa na hizi sio zama za ndio Mzee nayaona mawazo yako lakini Kwa uelewa wangu ulivo mdogo kakuna lugha nzuri Kwa mwizi nawewe lugha ulotumia ni lugha Gani Kaa pembeni nimeuona ushauri wako kwahiyo unataka watu wapigwe Mimi sikuelewi

    • @lilotz-we7xq
      @lilotz-we7xq ปีที่แล้ว +1

      Kukosoa hakukatazwi kinacho katazwa nikumtukana Raisi kumkejeli kukashifu waarabu kwa sababu niwaislamu pia kumkashifu Raisi kwakuwa nimzanzibari umeelewa ?

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      Hivi kuna waizi Tanzania zaidi ya viongozi wa kanisa katoliki.wao ndo wanaotakiwa waonywe

    • @EzekiaMichael-jn5np
      @EzekiaMichael-jn5np ปีที่แล้ว

      Sijaielewa sms yako ndugu kama Kuna viongozi wa dini walio wezi na unathibitisha kua viongozi wa kanisa katoliki ni wez toa mfano na thibitisha wachukuliwe hatua za kisheria na viongozi nibinadam kama Mimi na wewe hivo mie sijataja kwamba et kiongozi flani ni mwizi ila unaposhindwa kutetea huja ya msingi na kuwapa watu uhaini ni nani mhaini kwanza ingekua ni Nchi za wenzetu kunawatu wasingekua na kazi zaidi ingekua ni ndani watu wanatetea mambo muhim ya Nchi mwaleta udini na kusema uzanzibar haiko hivo maisha hayaendi hivo wachache wajinufaishe noooo ooo bandarini kunawezi nanikawaweka hao wezii wangewekwa na upinzani wangesema wapinzani waliwaweka Sasa chama tawala hichohicho Tanzania hii sio Ile ya ndio Mzee ukiskiliza wazee wengine wanaongea mambo yasio eleweka tuwatoleee kauli nzuri wezi Kaa pembeni nawe naona tunapotezeana muda

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 ปีที่แล้ว

      ​@@lilotz-we7xqhivi wewe ulisha fika zanzibar? au kwa hao waarab wanaosema wafrica akili hawana kama vile hawana nwele na rangi ndivo hawana akili hao wazanzibar wanawaita watu wa daar na mikoa mingine wote maqaafir hata waislam wote maqaafir eti watu wabara maqaafir ama hamlioni hilo mnaona tu wanaorudisha kashfa kwenu acheni ujinga wote wanahitajika kuheshimiana msilazimishe heshima itoke upande 1

  • @michaelkimweri1074
    @michaelkimweri1074 ปีที่แล้ว +8

    Halafu we Mzee usiongee mafumbi unachosema nikumsema Magu kipenzi Cha watu,nainakuuma sana,kwasababu mlitolewa kwenye sistim.

    • @faustinombilinyi9809
      @faustinombilinyi9809 ปีที่แล้ว +3

      Kipenz Cha we hawez kuwa kipenz Cha baba wa akwilini alimpoteza mtoto kwa ubabe wakae tundu lissu mpk leo mlemavu kisa yy Alphonse mawazo marehem azory gwanda aliwafukuza watumishi wakati waliwaajili wao wenyewe alikuwa mtu wa ovyo mno eti kipenz Chako sio huyu mzee anaakili kuliko ww

    • @jonasdaniel1025
      @jonasdaniel1025 ปีที่แล้ว

      Kipenzi chako wewe marehemu mwenzako

    • @faustinombilinyi9809
      @faustinombilinyi9809 ปีที่แล้ว +1

      Yuko wapi Beni SAA nane hakuna kitu DUNIANI kina thamani kuzidi uhai Bora anaeuza bandari lkn haui watu wacha watu waishi uhai wao wamepewa na MUNGU MWENYE KUICHUKUA MUNGU MAGU ALIMKOSEA SN MUNGU MAMLAKA HUTOKA KWA MUNGU ALIPOKOSEA MUNGU AKANYANG'ANYA MAMLAKA YAKE.

  • @michaelgershon9077
    @michaelgershon9077 ปีที่แล้ว +4

    Hapo katika majibu ndugu ,hakuna staha ,kama jizi unatake,anatakiwa afungwe.
    Mzee umeongea vizuri lakini usiwe na huruma na wezi.

  • @jeremiatitus4414
    @jeremiatitus4414 ปีที่แล้ว +2

    Mmh

  • @abdulsintoro5797
    @abdulsintoro5797 ปีที่แล้ว +2

    Watu wana piga kelele saabu kwenye mgao hawapo

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo ปีที่แล้ว

      Ni Sawa kabisaaa!🎉🎉🎉

    • @DENISGWAGWALA
      @DENISGWAGWALA ปีที่แล้ว +1

      Mzee mjinga Sana huyu hafai yeye chuki tu na unafiki tu saiz anajifanya eti mjinga vihoja vya kijinga ameifanyia ni Tanzania mambo la maana Mzee wa hovyo huyu

    • @DENISGWAGWALA
      @DENISGWAGWALA ปีที่แล้ว +1

      Eti hoja anajua hoja huyu Mzee jinga mpaka hapo na uzee wake ameifanyia in Taifa hili tofaut na unafiki wake yaan yeye!Kila anapozungumza lazima ataje awamu ya Tano kama sio ujinga

    • @DENISGWAGWALA
      @DENISGWAGWALA ปีที่แล้ว +1

      Una akili timamu utawezaje kumse a marehemu Kila sku badala ya kujenga hoja

  • @davidmalogo7100
    @davidmalogo7100 ปีที่แล้ว +4

    Luga kama jipu nazingine zinatokana naselikali kuendelea kuwa naviongozi walalushwa au asiejituma naselikali haimchukulii hatua yakumwajibisha au inamhamishia seem ingine nakuendelea kufanyamadudu kwaiyo atakuwa jipu nadawa yajipu nikuondolewa nakiongozi mzalendo kama jpm ila kwasasa naviongozi huu mnaweza kulitoa jina jipu kwasababu wote waliokuwa juu ni ma😂

  • @mashirimathias6006
    @mashirimathias6006 ปีที่แล้ว +4

    Mtu mjinga na mpumbavu atataka mwizi aitwe mtu aliyechukua bila kibari

  • @KB-il8nd
    @KB-il8nd ปีที่แล้ว +2

    Hivi Ulimwengu ni Mnyarwanda au Mtusi?

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk ปีที่แล้ว

      Ni binaadamu kama wewe tu.

    • @KB-il8nd
      @KB-il8nd ปีที่แล้ว

      Labda si Mtanzania kama hakuzaliwa TZ.

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk ปีที่แล้ว

      @@KB-il8nd Mzee wako alishawahi kuitumikia hii nchi kwenye nafasi yeyote ya uongozi? Jenerali alishawahi kuwa mkuu wa wilaya kadhaa hadi miaka ya 90,mbali na vyeo vingine ndani ya CCM.

  • @kudrachristopher4640
    @kudrachristopher4640 ปีที่แล้ว +4

    Moja ya wazee wenje alikiri walobaki❤

  • @charlzlomo9219
    @charlzlomo9219 ปีที่แล้ว +4

    Kwanini wanadam wanajisahu sana wakati siku za kuishi hazizidi 43920=miaka 120

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 ปีที่แล้ว

      Wasabato na hesabu zao sasa

  • @chachamwita4687
    @chachamwita4687 ปีที่แล้ว +4

    Hongera Kwa kutaka kumkonvise mama ili akupe nafasi. Nashangaa ujenerali uliupataje huna hoja yenye lugha ya staha

  • @edsonkumenya5626
    @edsonkumenya5626 ปีที่แล้ว +3

    Kweli mvi sio kielelezo cha ufahamu na hekima. Hili ni 📦.

  • @Prosperkisama
    @Prosperkisama ปีที่แล้ว +6

    Maisha yote yanapita tuu na huu ujinga utakoma siku moja, nani akifa anaweza kubeba hata senti 5? Au mke wake, au hawara yake au kujua kama amevalishwa? UJINGA SANA WAJINGA SANA VIONGOZI VIPOFU WA PESA

  • @HenryAnatoly-jg3df
    @HenryAnatoly-jg3df ปีที่แล้ว +1

    Yaani wazee walaji hawa ndo wanaoirudisha nyuma nchi y2 mana hawatak kukemea uovu wa viongoz. Coz wao ni miongoni mwa mafisadi ukiitwa jipu makosa. Unamzungumzia JPM wkt yy hayupo wala hawez kukujibu, ila wtz wanamjibia hata km katangulia mbele za haki na tulimpenda sn

  • @GoodluckKimaro-tw6tj
    @GoodluckKimaro-tw6tj ปีที่แล้ว +1

    Sawa tunafundishiwa wapi

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo ปีที่แล้ว +4

    Hili ni funzo na darasa kubwa sana kwa wale wanaojiita Wazalendo wa Tanganyika

    • @theleo3899
      @theleo3899 ปีที่แล้ว

      Fala mkubwa wee

  • @ummahmed3354
    @ummahmed3354 ปีที่แล้ว +2

    Kuna jamaa anaitwa mwambukuzi...anasifa zote hizi...jamaa anajifanya bandari zake...ghafla tu anekuwa mzalendo wa uchungu

    • @theleo3899
      @theleo3899 ปีที่แล้ว

      Kaa kmya mbwa wew au mwabukusi baba yako nn

  • @edenusmrosso9225
    @edenusmrosso9225 ปีที่แล้ว +6

    miaka mitano yana mahusiano gani na bandari. hovyo kabisa

  • @BonifaceHassani
    @BonifaceHassani ปีที่แล้ว +1

    Majina magumu hivyo, chanzo nn? Upuuzi wa mambo,ndio unaleta hayo!

  • @IvoFransis
    @IvoFransis ปีที่แล้ว +2

    Unataka kupewa cheo gani unachobembeleza umri huyo mzee akili imeshachika. Hata huoni mguu mmoja umeshatangulia kaburini?😂😂

  • @wakwetu2444
    @wakwetu2444 ปีที่แล้ว

    Ni kweli Genarali - tumeanza kupoteza ustaarabu wetu.

  • @martinkipenya4592
    @martinkipenya4592 ปีที่แล้ว +3

    Una bifu na magufuri wetu ndio maana wewe sio mtanzania achana na ujinga wa kishenzi wewe

  • @ephraimkalanje7105
    @ephraimkalanje7105 ปีที่แล้ว +1

    Ndiyo Jenerali Ulimwengu! Hakika utamaduni wa kufikiri, kujenga hoja na kuwasilisha hoja unakufa! Yaelekea zama hizi watu hawawapendi sana "critical thinkers!"
    Watu hawawapendi wanaoibua mambo katika kufikia ukweli! Na hawa ni wale ambao kwa muda mrefu wamekuwa katika nafasi nzuri katika kuila keki ya taifa na mara nyingi wakiipata keki hiyo kwa namna isyo ya haki! Ili mradi wanabakia na kudumu katika nafasi walizopo hawatawapenda kabisa wanaofikiri na kuibua maovu au wanaofikri na kujaribu kuleta au kubuni namna tofauti ya maisha iliyobora kwa maendeleo ya taifa. Waovu hao huridhika na "status quo!" Huwabeza wanaofikiri na hata kuwaita ni wachochezi au wanaoshirikiana na mabeberu!
    Taifa limedhoofishwa katika kufikiri kwa jinsi hii! Watu wazuri wa kufikiri huamua kukaa kimya kuogopa kupatilizwa, kubezwa na hata kutiwa adabu! Wanaoingia madarakani kwa njia zisizo haki au wakiwa na tamaa ya udikteta hawawezi kuwapenda wanaofikiri! Wanapenda watu wawe wajinga ili wawatawale kwa urahisi! Huamini katika mtazamo wa, "Usimuamshe aliyelala usije ukalala wewe!"
    Hata tunapokazana mashuleni kuwahimiza wanafunzi waweze kufikiri kwa kujitegemea na kujua kujenga hoja, kunakuwa hakuna maana tena; ni kazi bure kwa vile huko kufikiri hakuna matumizi katika maisha halisi ya Tanzania!
    Huku maishani kumejengwa utamaduni wa kusifianasifiana, kujikombakomba, uchawauchawa, uongouongo, unafikiunafiki....na watu wanaishi na kuneemeka kwa utamaduni huu! Ùsomi unabezwa; ukiwa mtu wa vijembevijembe ndo waonekana kada mzuri na uteuzi kwenye ngazi fulani ya juu unakunukia...na wala si uwezo! Taifa lisilokuwa na watu wanaofikiri laenda kuanguka na kufa!
    Hivi "models" kwa watoto na vijana wetu katika kufikiri vizuri na kujenga hoja ni akina nani?

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 ปีที่แล้ว +1

    Mzee kila kitu ni kumsingizia Magufuli😂😂😂😂 Magufulification kweli kiboko alikuwa jiwe kweli marehemu anapambana na waliohai

  • @bagenihuduma1569
    @bagenihuduma1569 ปีที่แล้ว +2

    Tunasahau haraka sana sisi. Serikali iendelee na mipango yake tulizoea kuzibwa midomo sa hivi uhuru umetuzidi. Kazi iendelee

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 ปีที่แล้ว

    what I can see katika nchi yenu to compare with the western countries muko mbali sana tuu na dunia kwanza ham'na human rights halafu ham'na democracy 😢 mwinyi ni ukatili na wizi tuu..hio imo kwenye damu yenu...!thanks

  • @stonyabdul404
    @stonyabdul404 ปีที่แล้ว +3

    wewe jenerali huna jipya wewe ni wale wale una wafundisha ujinga watanzania yaani tuwe na rugha za staha wakati ni nyinyi wachache ndio munao faidika na hii nchi pisha vijana waikomboe nchi staha kwenye familia yako babu hovyo

  • @issakazi2758
    @issakazi2758 ปีที่แล้ว +1

    Jenerari acha unafiki we si mtanzania nikipi kinakusumbua?

  • @yusufunguruko8080
    @yusufunguruko8080 ปีที่แล้ว +39

    Wewe Jenerali Ulimwengu tunajua bado una chuki binafsi na JPM - huna hoja yeyote umejaa chuki tupu na JPM, eti tumepoteza mwelekeo wa kujenga hoja ndani ya miaka 5 iliyopita ya Magufuli - nenda kuleee huna lolote, ila jitahidi unaweza kupewa nafasi ndani ya serikali hii kwani mama anatafuta wale wote waliotofautianaga na JPM awape nafasi - jitahidi sana ndugu yangu kujipendekeza mama anaweza kukuona - ila hata mfanyeje JPM hataondoka mioyoni mwa watanzania wengi na atasahauliwa na kuchukiwa na wachache sana ukiwemo wewe, Kinana, Nape, Makamba, naTundulisu tena kwa sababu za kibinafsi tu - hebu tuachie JPM wetu - RIP JPM !

    • @AyoubAbdullrahmanAmir
      @AyoubAbdullrahmanAmir ปีที่แล้ว +8

      Yusuf usijifanye hamnazo ww hujui Lissu kafanywaj?...labda yange mkuta bb yako .

    • @nelsonmgaya1490
      @nelsonmgaya1490 ปีที่แล้ว +2

      True!

    • @mwanagwakyala3213
      @mwanagwakyala3213 ปีที่แล้ว +2

      ​@@AyoubAbdullrahmanAmirhuyo huyo lisu fuatilia hoja zake ndio utajua

    • @mashirimathias6006
      @mashirimathias6006 ปีที่แล้ว +3

      Tena chuki za kijinga sana

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 ปีที่แล้ว +1

      ❤❤❤❤safi sana ndugu linashindwa kuongea ya maana linampiga vijembe merehemu kwanza hakuna rais alie wapa uhuru raaiya wote wema tanzania kama jpm ila haya madudu machache ndio yanazid kupoteza baadh ya wanainchi wasio na uelewa

  • @samuelnoah3572
    @samuelnoah3572 ปีที่แล้ว

    Saw this all over the papers today, front page news. It made me wonder... specifically about the Pitfalls of National consciousness like Frantz Fanon. Anti-racism racism. Kupinga kutukana kwa kutukana vibaya zaidi.

  • @njemamehuna9821
    @njemamehuna9821 ปีที่แล้ว

    Tatizo Twaha ni mdini sana

  • @christianmwabukusi8132
    @christianmwabukusi8132 ปีที่แล้ว +7

    Hasira inakua siku hata siku ndani ya nafsi za watu...

    • @blessjo1678
      @blessjo1678 ปีที่แล้ว +3

      HAWAJAUI KUWA MWAMBUKUSI ANAWATOTO WAKE AU MBEGU ZAKE ZIPO ZINAOTA MTAANI SIO MTU MMOJA AMEUMIZWA WATU WENGI WAMEUMIZWA SANA NA MPANGO WA DP NA WALIO NYUMA YAKE

    • @blessjo1678
      @blessjo1678 ปีที่แล้ว +2

      UTAKUTA MTU ANATETEA RASILIMALI ZA NCHI ANATISHIWA MAISHA

    • @festohaule9716
      @festohaule9716 ปีที่แล้ว

      @@blessjo1678 .. Afrika yote inapaswa kutawaliwa kijeshi..kama Afrika Magharibi, Viongozi wajifunze..

  • @petermbuja3783
    @petermbuja3783 ปีที่แล้ว +3

    mzee huna jipya

  • @JumaJems-gh9ih
    @JumaJems-gh9ih ปีที่แล้ว +1

    Kwanini usitumie neno LUGHA MBAYA

  • @geofreydamas1697
    @geofreydamas1697 ปีที่แล้ว +3

    Jamaa lilikosa Kiki kipindi cha JPM na hakuongea kabisa but now anaongea porojo

  • @furahajeremiah6809
    @furahajeremiah6809 ปีที่แล้ว +3

    Unasemaje juu ya bandari

    • @omaryramdhani9823
      @omaryramdhani9823 ปีที่แล้ว

      BANDARI YETU SISI WAUNGWANA WA PWANI WENYE BAHARI KWA RIDHAA YETU TUTAMPA MUUNGWANA MWENZETU MUARABU,HAO WAPINGAO HAIWAHUSU,WENYEWE NI PWANI TANGA DAR LINDI MTWARA.LAKINI MBEYA KILIMANJARO KANDA YA ZIWA N.K.HAIWAHUSU WANAJIKOMBA TU ,WASUBIRI WAKIDAIWA MITO MABWAWA NA MAZIWA NA SIO BAHARI

  • @Pelegrinoemanuel
    @Pelegrinoemanuel ปีที่แล้ว +1

    Utakufa lini

  • @masakamgalla9273
    @masakamgalla9273 ปีที่แล้ว +4

    Hicho ni kikaoo cha wazee wa nchi

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 ปีที่แล้ว

    Daima sikubari katika kuzungumza kwa sababu historical inaonesha matapeli asilimia kubwa ni faswaha wakuzungumza.Ata nyinyi mmefundishwa kuzungumza uongo Mara nyingi nyingi atimae uongo utazoeleka na watu wataamini.

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 ปีที่แล้ว +1

    🤔Tujifunze kuhukumu vitendo na sio maneno hapa ndipo tunapokosea mara nyingi. Nia ya kufanya kitu au jambo ni tafauti na kulifanya au kutimiza kwa mfano: nikisema nitakushtaki, nitaandamana kesho au nitamtukana mkuu wa polisi. Kwanini dhana inachukuliwa hatua hata bado haijatekelezwa? Tena hatua zinazochukuliwa ni raia kunyimwa uhuru wake kwa siku kadhaa ambapo sio haki.

  • @evodiusantony2115
    @evodiusantony2115 ปีที่แล้ว +1

    Saf sn mzee

  • @gracejonh4022
    @gracejonh4022 ปีที่แล้ว +2

    Una lolote watu tushaamka

  • @langotv5071
    @langotv5071 ปีที่แล้ว +1

    Mzee hapo kwenye majibu siko na wewe hao ni WASHENZI sana hakuna lugha. Staha hapo ni majipu tu watumbuliwe

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo ปีที่แล้ว

    We mzee nilikua na kukhbali sana ila baada ya kugundua bado unachuki binafsi na Magufuli, siwez kukuheshimu tena

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 ปีที่แล้ว

    Kila mmoja wenu humo kashikishwa bahasha nzuri, na chai nzuri, Lunch fresh😏😏😏☹️☹️☹️

  • @mohamedsiaga7651
    @mohamedsiaga7651 ปีที่แล้ว

    Nimegundua watu wenye umri mkubwa báadhi yao wanaroho za kwa nini wanachuki Kuna wakati walikataa ndege zisinunuliwe,mradi wa umeme usijengwe,Barbara zisijengwe wanaotaka vijana wetu na wajukuu zetu waishi kama walivyoishi wao Leo serikali inataka kufanya marekebisho ya bandari hawataki Mungu tusaidie

  • @tindatinda7330
    @tindatinda7330 ปีที่แล้ว +2

    Kweli baba tuongee huku tukiongozwa na utashi WA kitaifa

  • @allyhasani3750
    @allyhasani3750 ปีที่แล้ว +6

    Ukikosea lazima ukalipiwe kubembelezana kwenye Mali za. Uma