MZEE WASIRA AFICHUA ROSTAM ALIVYOTAKA KUKOPA BENKI ya DUNIA - ''MTU MMOJA ANAWEZA KUVUNJA UMOJA''

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 97

  • @thadeusmarkiminja2282
    @thadeusmarkiminja2282 ปีที่แล้ว

    Asante sana Baba kwa kutuelewesha maana wengi wanaandika watakavyo.

  • @Expedito2512
    @Expedito2512 ปีที่แล้ว +1

    Ok nimekuelewa mzee Wassira!

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว

    BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...

  • @mkude
    @mkude ปีที่แล้ว

    Mzee umeongea vizuri sanaa,umeeleweka kwa busara zako

  • @edgarcruzee5223
    @edgarcruzee5223 ปีที่แล้ว

    Mzee umesikika mungu ajarie taifa letu😊

  • @denisnjaila2182
    @denisnjaila2182 ปีที่แล้ว

    Mzee wasira umeongea point sana

  • @paulrwechungura4284
    @paulrwechungura4284 ปีที่แล้ว

    Uko vizri sana Mzee wasirs

  • @perfectmassawe4758
    @perfectmassawe4758 ปีที่แล้ว +2

    Mzee Wassira,kichwa sana

    • @musaisandeko8352
      @musaisandeko8352 ปีที่แล้ว

      Amna kitu apo ni ukongwe wa siasa tu lakin kimaendeleo sifuli kaangalie jimbo alilo hudum mda wake wote tangu enz za nyerere ad kikwete tena akiwa na nyazifa tofaut tofaut lakin hakuna lolote ndo maana magufuli aliamua kuwatupilia mbali

  • @raymondsaliboko8435
    @raymondsaliboko8435 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awalipe kwa mda huu mnaotumia, kuiweka tz salama 🙏🙏🙏

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 ปีที่แล้ว

    Media yenu haiko sawa Sana na IT umekaa TU hapo

  • @thomaskabungo2211
    @thomaskabungo2211 ปีที่แล้ว +1

    Umechoka mzee wasila

  • @josephmajembe3090
    @josephmajembe3090 ปีที่แล้ว +1

    Umoja muhimu sana, lakini umoja wa kulisha watu wachache katika nchi huo umoja utafika kikomo siku moja

  • @ibrahimshilinde6129
    @ibrahimshilinde6129 ปีที่แล้ว

    Kubinafisisha Ni sawa na kuuza, nimekupata Baba

  • @mateikihoi8125
    @mateikihoi8125 ปีที่แล้ว +2

    usijifiche kwenye siasa za zamani kwa kutisha watu

  • @jasonjames2323
    @jasonjames2323 ปีที่แล้ว

    Anaongea kuanzia 7:55

  • @MohammedNassor-t3w
    @MohammedNassor-t3w ปีที่แล้ว +2

    Hao wanao ukataa huu Mkataba NI HAOWalio na Shamba la bibi Hapo Bandarini kwa MASLAHI YAO NA SI KWA WATANZANIA

    • @issakwisamwasanjobe541
      @issakwisamwasanjobe541 ปีที่แล้ว +1

      Wanaoutaka mkataba huu huenda wamefilika akili za mbinu kuendesha rasimali za nchi wanaotamani Hela za mabeberu (wawekezaji)wakidhani wataendelea .Mtegemea Cha ndugue hufa maskini.🫣

  • @michaelsanga5681
    @michaelsanga5681 ปีที่แล้ว

    Kumbe mzee wasila nyelele alikuachia hiyo hekima unatufaa baba kwahili umenifrahisha sana washauri hao wabunge wasilewe posho yamuda mfupi watakuja huku watateseka kuliko sisi

  • @hilaliusjohn8386
    @hilaliusjohn8386 ปีที่แล้ว +1

    Mnahangaika wakati mtatuzi ni Rais, au haaminikii??? Semeni ukweli acheni kuzungukazunguka

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 ปีที่แล้ว +2

    Mmenunua ndege nyingi mnashindwaje kujiwekeza wenyewe kwenye bandari?
    Wasomi wapo Sheria zipo mnakwama wapi? Kuna siku mtaomba jeshi la nchi nyingine kuingia ubia na cc

    • @mkude
      @mkude ปีที่แล้ว

      Hii ni biashara unasehemu yako unampangisha mtu mwingine,wewe unakiwanda chako unazalisha mia kuzalisha 1000 huwezi anakuja mtu kukiendeleza unamkodisha anakwambia mimi nakupa laki moja utakataaje.

    • @mashramadhani1989
      @mashramadhani1989 ปีที่แล้ว

      @@mkude ni sawa lkn watu wanalalamikia baadhi ya vifungu ndani ya makubaliano na hili SERIKALI ifanikishe lazma wakubaliane na wananchi.watakuja na Hilo tamko subiri.

    • @mkude
      @mkude ปีที่แล้ว

      @@mashramadhani1989 uko sawa naimani malalamiko ya wengi kwenye hivyo vifungu vitarekebishwa.mikataba yenyewe yakuanza kazi rasmi bado.naimani marekebisho yatakuwepo kwenye hivyo vifungu

  • @Expedito2512
    @Expedito2512 ปีที่แล้ว

    Mzee Wassira anaongelea bandari au Umoja?

  • @peterrandego1489
    @peterrandego1489 ปีที่แล้ว +2

    hivi huyu lizee ameshindwa kuona mlango wa kutoka ? mbona kina msekwa wako nyumbani ?

    • @mkude
      @mkude ปีที่แล้ว

      Na huyo msekwa utakuja kumsikia tu,nyinyi mmepotoshwa na hamtaki kuelewa

    • @suleimanabdillah7490
      @suleimanabdillah7490 ปีที่แล้ว

      Ungejaaliw hicho kichwa ungekuwa mbli

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 ปีที่แล้ว

    Sawasawa Wasira

  • @manyerereevarist4182
    @manyerereevarist4182 ปีที่แล้ว

    wasikilizeni wananchi

  • @MikereMio
    @MikereMio ปีที่แล้ว +1

    zake zimepita huyu mzee , lakini tamaa ndio zinamuhangaisha

  • @zakabonifas2144
    @zakabonifas2144 ปีที่แล้ว +2

    Wasira kwani watz hawatak aman au mshikamano?!! Watu wanahitaj ukwel na uwaz wa mkataba

  • @mungunimwemakilawakati1299
    @mungunimwemakilawakati1299 ปีที่แล้ว

    AFADHALI KUKAA KIMYA NI BUSARA ZAIDI, KULIKO MNAVYOTUMIA NGUVU KUBWA NAMNA HII, NDIO MNAHARIBU KABISAAAA! MNATUFANYA TUZIDI KUWA NA MASHAKA ZAIDI NA UWEKEZAJI HUU WA BANDARI ZETU; NA TUNAJIULIZA MASWALI MENGI SANA! TUNASHINDWA KUWAELEWA KABISA!

  • @machoguhamery3731
    @machoguhamery3731 ปีที่แล้ว +1

    Wasira atabaki kuwa dictionary ya siasa za nchi yetu.

  • @apollojohn5698
    @apollojohn5698 ปีที่แล้ว

    Problem

    • @robertedward1992
      @robertedward1992 ปีที่แล้ว

      Tatizo sio kubinafsisha,shida ni uwazi,kwann wananchi hawajapewa mda wa kutoa maoni Yao?bunge limepeleka huu mkataba haraka mno.ombi langu Kwa serikali.vifungu vinvyokinzana,ziwekwe wazi watu wavuone,tatizo liko wapi?na mda wa mkataba huu ,ujurikane.

  • @petrosijali4142
    @petrosijali4142 ปีที่แล้ว

    Eti jamani uhuru wetu tuwape dubai

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 ปีที่แล้ว

    Huyo rostam, anawaeleza nn, muende mkasome ktk, the list of shame,

  • @michaelmaterego2489
    @michaelmaterego2489 ปีที่แล้ว +1

    Tunahitaji Haki ya kila mtanzania ili uhuru uheshimiwe.
    Lakini ukihubiri amani lakini Haki hamuitaki ni bure jitazameni upya na kujitafakali. Bandari ni yetu wasikilizeni wananchi wenye nchi

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 ปีที่แล้ว

    Tunaiombea nchi yetu Amani, lakini Mali za nchi yetu tunaombwa zilindwe kwa ajili ya maslahi mapana ya nchi yetu na vizazi vijavyo. Hakuna anaemiliki nchi hii.. hii ni nchi yetu sisi sote. Tuondoe tofauti zetu za vyama, udini, ukabila n.k.. .tuilinde Tanzania yetu

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka ปีที่แล้ว +1

    Watanzania hatuna ukabila matatzo yote yanaasalishwa na uongozi mbaya

  • @chifbrown1568
    @chifbrown1568 ปีที่แล้ว

    Sheria ziko wap zaku waajibisha walio 2ngiz katk hili

  • @saidipara4134
    @saidipara4134 ปีที่แล้ว

    Mzee baba tunataka utujibu hoja zetu za huo mkataba

  • @saifbrashdy6095
    @saifbrashdy6095 ปีที่แล้ว

    Kweli Hamna ukabila lakini kuna vyama na hivyo vyama vina ubaguzi ndani yake

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 ปีที่แล้ว +5

    Kwa hili la Bandari iwe ni kweli mkataba mzuri au mbaya lakini mmeamsha sana hisia za Wazanzibar na HATUTAKI tena Katiba mpya (Mkataba mpya). Na kwa hili Tanzania imeshavurugika kabisa iwe Kiongozi ukiwa unatokea Arusha usiamue lolote Mwanza au popote ni tatizo. Kama Samia kaamua kuhusu Bandari iwe kakosea au kapatia kutoka kwao Samia hadi Bandari ya Dar es Salaam ni chini ya kilomita 40 lakini kutoka Hai Kilimanjaro hadi Bandari ya Dar es Salaam ni zaidi ya kilomita 5000 sasa itakuwaje mtu wa Hai akiwa Rais? Mnatupeleka kubaya kwa Uchu wa madaraka!

    • @tanzcanmediatv4473
      @tanzcanmediatv4473 ปีที่แล้ว

      Yaani watu waserikali kuiona hii msg sahau.pambana na familia yako

    • @tanzcanmediatv4473
      @tanzcanmediatv4473 ปีที่แล้ว

      South kirea now tuliwazidi utajiri kidogo oneni s korea sasa.tumerogwa

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 ปีที่แล้ว

      @@tanzcanmediatv4473 Msg kupokelewa ni kitu kingine huo mkataba unaweza kukubaliana na usitekelezwe. Katiba iliyopo ina mambo mengi ya maslahi kwa Zanzibar kama vile "akaunti ya pamoja " nk lakini hayatekelezwi. Je kuna mkataba kuliko Katiba?

    • @malindimalindimerinyo1632
      @malindimalindimerinyo1632 ปีที่แล้ว

      Hai.mpaka Dar km 620 na hisia za mtu huwezi zuia pili kama mambo haya ni mazuri mbona bandari zote za Zanzibar azipo hapa ndipo pana shida lazima tuhoji....marekebisho yafanywe au mkataba uandikwe upia kwa namna hiyo mkataba huu una matatizo

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 ปีที่แล้ว

      @@malindimalindimerinyo1632 Mkataba unaelezwa kiushabiki Tanzania ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa hisia kwamba kila cha Tanzania Wazanzibar wanahusika nacho lakini sio kila cha Zanzibar, kila Mtanzania anahusika nacho. Hivyo ni lazima kwanza tujiulize yepi ya Muungano na yepi sio ya Muungano. Bandari sio suala la Muungano hivyo Rais wa Tanzania hana mamlaka kwa bandari ya Zanzibar.

  • @malindimalindimerinyo1632
    @malindimalindimerinyo1632 ปีที่แล้ว

    Mzee nimekuelewa tumeupigania uhuru na hatuwezi kuuweka rahani na Wala mtu awaye yeyote

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 ปีที่แล้ว

    Kufunika moto kwa blanket. Ungejua hilo ungehimiza upendo bila kuangalia vyama vya siasa ndiko tumemaliza.

  • @issamkombo7300
    @issamkombo7300 ปีที่แล้ว

    Kuna watu kwa maksudi wameamua kujaza watu chuki kwenye hili jambo la bandari

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 ปีที่แล้ว +7

    Myself on this debeghty l won't trust lndia caller in Tanzania nation to difend resources of Tanzania population becouse they have front line to shift our resources outside of tanzania

  • @johnwilson5106
    @johnwilson5106 ปีที่แล้ว

    JAMBO HILI LA BANDARI LIANGALIWE KWA MAKINI NA LISINASIBISHWE NA UDINI BALI LIBAKI KUWA MJADALA WA KITAIFA NA TENA MIJADALA HII IPANUKE NA KUHUSISHA WANATAALUMA WABOBEVU KWENYE TAALUMA YA SHERIA NA UCHUMI NA SWALA HILI LISIFANYIWE HARAKA MJADALA UPANUKE.

  • @eliasnganira7661
    @eliasnganira7661 ปีที่แล้ว

    Mambo hayo

  • @issakwisamwasanjobe541
    @issakwisamwasanjobe541 ปีที่แล้ว

    Mkataba huu sio mzuri ni busara hao waliousaini wengeutupilia mbali badala ya kuupaka mafuta kwani huko mbele ukijaleta maumivu au faida utahatarisha muungano upande mmoja haupo? Badiri kufikiri kwenu viongozi , wawekezaji wapo kibiashara na faida zaidi hawapo kuendeleza nchi masikini.Maendeleo ya kweli yanapatikana kwa serikali kuendeleza na kusimamia watu wake kuendesha rasilimali zao sio kuleta wawekezaji na kuwatupa nje kwa tamaa ya Kodi ipate mapato na kujenga miundo mbinu.Hata wakoloni walifanyahivyo . Hao wawekezaji wapo very trick .Mtegemea Cha ndugue hufa maskini

  • @shizoshop2469
    @shizoshop2469 ปีที่แล้ว

    Sasa kajenga hoja gani huyu ? Ndiyo wale wale wagonga meza

  • @christophermboya7676
    @christophermboya7676 ปีที่แล้ว

    Rostam ni nani kwenye nchi yetu ??
    Alionekana na mama kule Amerca akiwa na mama
    Huyu ni jamaaa nae ni shida

    • @MohammedNassor-t3w
      @MohammedNassor-t3w ปีที่แล้ว

      Siku zote Driver Hamuamini Driver Mwenzake SAFARINI

  • @samuelmajule54
    @samuelmajule54 ปีที่แล้ว

    Wengi tunaochangia mawazo lakini inabaki kuwa wanasheria na wanauchumi wazalendo ndio wenye mchango bora wa mawazo na wametutahadharisha makubaliano yarekebishwe kwa hiyo ni bora tupunguze propaganda za kisiasa.

  • @MganyiziAmosi-cz3qk
    @MganyiziAmosi-cz3qk ปีที่แล้ว +1

    Nani kaleta ukabila huna oja mzee ya mashiko

    • @MikereMio
      @MikereMio ปีที่แล้ว

      yule mzee ni katika wazee wa hovyo Tanzania

  • @christophermboya7676
    @christophermboya7676 ปีที่แล้ว

    Media wamehongwa hawana msaada kwetu

  • @balljmushi9599
    @balljmushi9599 ปีที่แล้ว

    Mnatsha wtuu,,,& vyeo venuu. Kumbukeni vyeo ni dhamanaa tuu,,c,,vngnevyoo... WEKENI HYOO,,MIKATABA HADHARANI---..Maneno mingi,,,mwsho PATUPU.

  • @georgembise7234
    @georgembise7234 ปีที่แล้ว +1

    Wasira itapeli mzur na mwizi uyu nikatika kundi la kinana kikwete na wezi!!ni fisadi mzur asotosheke!!

    • @abednego3876
      @abednego3876 ปีที่แล้ว

      Hiki swala hata mafisadi hawalitaki ww kenge

  • @zuenahamoud1532
    @zuenahamoud1532 ปีที่แล้ว

    Wasira akili zake kama mtoto wake msanii wakazi

  • @saifbrashdy6095
    @saifbrashdy6095 ปีที่แล้ว

    Mm nataka niwaulize? Waislaam Wanamakabila ndio dini ilivyosema lakini nyinyi mna Vyama sasa mm sioni tafauti baina yao kwenu vyama nikama makabila

  • @mc-shaulinsingeristmsomi3903
    @mc-shaulinsingeristmsomi3903 ปีที่แล้ว

    Mbna saut hakuna

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi ปีที่แล้ว

    Alafu ccm wanambinu jmosi ile wamewaita na wakuu wa majeshi yote ilikuharalishA jambo tuna baba zetu wakuu wa majeshi yetu msikubali kuitwa na ccm kwenye vitu kama vile ninyi ni watuwa maana sana na wakuogopwa sana waacheni hao ccm na mambo yao

    • @suleimanabdillah7490
      @suleimanabdillah7490 ปีที่แล้ว

      Kichwa kinawezekana kutengana na sikio,lakini sio shingo!utakuwa ushakufa tena.
      Majeshi yapo kwa ajili yakulinda shughuli za nchi,watu na Serekali na vyote hivyo vimesimikwa na CCM kupitia ridhaa ya kura za wananchi

  • @mbeguofficial6646
    @mbeguofficial6646 ปีที่แล้ว +1

    WASIRA YUPO TIMAMU KICHWA CHAKE KINA VITU VIKUBWA SERIKALI IMTUMIE KUTOA MAWAZO MBALIMBALI

    • @georgembise7234
      @georgembise7234 ปีที่แล้ว

      Ipo siku utatoa tako!!!hujielewe!!elimu yako ya uwanja wa fisi

  • @maphandeahmed7732
    @maphandeahmed7732 ปีที่แล้ว

    Watanzania msikate tamaa ccm siku zao zina hesabika nawao wameshatumbua kwamba watanzania wametambuwa kwa raia wamefahamu kwa mbichi na mbivu viongozi hutubu amani kwa sana wapate kutumia pesa zao za wizi wanazo waibia wananchi siku zimefika kama sio leo kesho

    • @binseif2216
      @binseif2216 ปีที่แล้ว

      Sasa Hao watakaokuja unauhakika gani kama hawatokuwa wizi

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 ปีที่แล้ว

    Acheni usenge kukata sauti

  • @mrsnam6897
    @mrsnam6897 ปีที่แล้ว

    Habari za msingi munazipeleka kwenye shida za technology

  • @mateikihoi8125
    @mateikihoi8125 ปีที่แล้ว +2

    unaongea pumba

  • @driss4957
    @driss4957 ปีที่แล้ว

    Mnajaribu kututoa kwenye agenda, kwa petty issue's, na propaganda zenu za kizamani..Isssue ni mikataba ya hovyo ambayo haina faida kwa nchi...Toka madini,mnanufaika nyinyi VIONGOZI msio waadirifu,ndio mana hamtaki katiba bora,Mnajiingiza madarakani bila ridhaa yetu..TUNAAMKA,KAZI MNAYO....UMASKINI UMETUCHOSHA..

    • @MikereMio
      @MikereMio ปีที่แล้ว

      mzee wa hovyo yule

    • @MohammedNassor-t3w
      @MohammedNassor-t3w ปีที่แล้ว

      Wachina .na Wengine Mbona wamepewa ?

    • @MikereMio
      @MikereMio ปีที่แล้ว

      @@MohammedNassor-t3w wapi na nini?

  • @thomaskabungo2211
    @thomaskabungo2211 ปีที่แล้ว

    Pumzika Babu hiyo kazi achana nayo umeiba vya kutosha

  • @georgemaganga3804
    @georgemaganga3804 ปีที่แล้ว

    Mzee Wasira wewe ni.mbobezi wa Siasa nakufahamu na uliyoyasema ni Sawa isipokuwa Sheria huwa zina Tafsiri.Sasa tafsiri ya makubaliano haya ni hizo ammendments kwanza zifanyike kwa yale ambayo wananchi wamelalamika,na pia Bunge lijikosoe kwamba lilienda kwa kasi mbaya kwa kuwaharakisha Watanzania kwa jambo linalohitaji akili kubwa

  • @kassimjigge4727
    @kassimjigge4727 ปีที่แล้ว

    Kwa ujumla hawa wahindi watanzania huwa sins imani kabisa na utanzania wao ,utanzania kwao ni wa kimaslahi zaidi kuliko utaifa

  • @warrenmgode1837
    @warrenmgode1837 ปีที่แล้ว

    Mjadala muzuli