Nyumba Aliyofichwa Mo Dewji, Aliyeshiriki Kumteka Vyaoneshwa!!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 721

  • @akidasalim9798
    @akidasalim9798 6 ปีที่แล้ว +29

    Mbona sielewi? Hao watuhumiwa walomteka wako wapi?

    • @globaltv_online
      @globaltv_online  6 ปีที่แล้ว

      inadaiwa wametoroka!

    • @amanijolam4140
      @amanijolam4140 6 ปีที่แล้ว +1

      usichokielewa ni nini hapo

    • @kalundaluhanga4923
      @kalundaluhanga4923 6 ปีที่แล้ว +3

      Yaani maelezo yote huelewi?

    • @susansamson1099
      @susansamson1099 6 ปีที่แล้ว

      Akida Salim si mpaka hii ni show off tu. hakuna chochote. yaani walijiamini mpaka kutupa karibu na ikulu. wanajifurahisha tu

    • @rehemakulaba923
      @rehemakulaba923 6 ปีที่แล้ว

      Hongern sanaa

  • @shecklandmafikiri7406
    @shecklandmafikiri7406 6 ปีที่แล้ว

    Hongera sana jeshi la polisi kwa kazi nzuri. Ningependa kama kamanda mambo sasa angechukua maamuzi magumu ya kuichoma iyo nyumba kama Ile gari ilivyo chomwaa.

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 6 ปีที่แล้ว

    Asante san majeshi yetu ya polisi kwa kazi nzuri mwenyez MUNGU azidi kuwapa nguvu zaidi

  • @hajamijohana6979
    @hajamijohana6979 6 ปีที่แล้ว

    tz tupo mkn kwaulinzi wa nchi yetu lakn tunatakiwa tuongeze umakn kwasababu munasema watekaj wametumia stend ya ubungo tunaomba mtufahamishe talatibu za ubungo zipoje kabla ya gali kutoka_________________hongela kwa hatua mzr mlio fikia ahsanten

  • @anitaciza7660
    @anitaciza7660 6 ปีที่แล้ว

    Hongerereni sana police kwakazi munayoifanya

  • @alliymkobe3949
    @alliymkobe3949 6 ปีที่แล้ว

    Hongera serikal yetu kundelea kwakulifuatilia kiundani swala la utekaji wa ndugu yetu kipenzi MO

  • @annamachaki3644
    @annamachaki3644 2 ปีที่แล้ว

    Vzr sana wapelelez wetu tz kwa kazi nzr hongera sana mheshimiwa Mambo sasa🙏🙏

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 6 ปีที่แล้ว

    Acha picha liendee, Safi sana Makamanda wetu 🙏
    Hili jamaa pumbavu sana, sisi uku tulikosa usingizi uku waarab hawatupi nafasi ya kupumzika wewe umekaa kimya tu kamanda fyekeleeni mbali hili Baba boga kabisa. 😏😏

  • @jumazedon9136
    @jumazedon9136 6 ปีที่แล้ว +2

    Nilisikia hapo mwanzo mkuu alisema hii ni mwendelezo wa Story 😁😁😁😁😁 haya gonga like twende sawa km na ww umeliona hili

  • @abuyabally7091
    @abuyabally7091 6 ปีที่แล้ว

    safisana pongezi kwa jeshilapolice kwa kupiga kazi hongera igp hongera kamanda mambosasa hongeraa jeshizima limeleta heshima

  • @kingkongmadiba3174
    @kingkongmadiba3174 6 ปีที่แล้ว +1

    Venati mwesasu .... I still remember you since Mwalimu Julius.K. Primary School. Sorry for the lost of your dad Mwesasu na majanga ya nyumba yetu.

  • @charlesmihuwa6287
    @charlesmihuwa6287 2 ปีที่แล้ว

    Hongera jeshi letu la Polisi ila Mo nae alizidisha chumvi kwa kusema chumba alichofungiwa eti kilikuwa na giza nene jamani!. Tunashukuru lakini kwa kuwa salama.

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 6 ปีที่แล้ว

    Sioni cha kupongeza hapo maana Mo alirudishwa na watekaji. Kama kweli polisi mnataka niwapongeze nileteeni hapa Azory, Ben Sanane na waliompiga Lissu risasi mchana kweupe. Msitake sifa za uongo. Na mnaosifia hapa ni wanafiki na Mungu anawaona

  • @yohanamjenjemo2245
    @yohanamjenjemo2245 6 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Jeshi letu la Polisi. Big up.

  • @mohamedmacha
    @mohamedmacha 6 ปีที่แล้ว +1

    Behind the scene: Episode 1
    1. Dereva mbona akae kimya mpaka ameshapatikana Mo?
    2. Wazungu walipotelea wapi?

  • @zainabmusa2006
    @zainabmusa2006 2 ปีที่แล้ว

    Hongera kwa kazi nzuri

  • @enosh22wanyeche45
    @enosh22wanyeche45 6 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana jeshi la police kwa kaz zuri
    Ila ninacho jiuliza nikua ile gari iliompeleka mo kule gymkhana ilipita jia ip haikujulikana wala kuonekana wakati picha ya gari mlikua nayo nyie wenyewe jaman mbona kama picha la kihid ilo

  • @zakakilaku6585
    @zakakilaku6585 6 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana Polisi kwa kazi nzuri

  • @agnesraphael7873
    @agnesraphael7873 6 ปีที่แล้ว

    hongereni sana jeshi la polisi

  • @kinubikibali8576
    @kinubikibali8576 6 ปีที่แล้ว

    Hongeleni jeshi la polisi tz kaziyenu njema tunawaamini.

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 6 ปีที่แล้ว +1

    Nendeni Tandahimba mkawadanganye, wa DAR ES SALAAM, hamtudanganyi.

  • @azizbhaloo206
    @azizbhaloo206 6 ปีที่แล้ว

    Majina yapo White Sands Hotel,Na Picha Zao Zipo Acha Kuomgea Sana!Tuonyesheni!

  • @samsonmwijage1602
    @samsonmwijage1602 6 ปีที่แล้ว

    Ramadhan Omar shauri Kama ukweli wa utekaji unaujua, basi unatakiwa kuisadia polisi na Kama utaendelea kutojitikeza basi utakuwa nawe 'mhusika'.

  • @amosinzungu8994
    @amosinzungu8994 6 ปีที่แล้ว

    hongereni jeshi la police, msikate tamaa kwa watanzania wenye welewa mdo wanaotaka kila upelelez ukamilike leoleo, na kufananisha matukio mengine hongeren sana

  • @richarddazan813
    @richarddazan813 6 ปีที่แล้ว

    Cpati picha majirani apo wangejua tu Billion ingewahusu. Xaxa Kwa kuwa Dar hatuna ujirani mwema n ngum kujua jirani yako ni mtu wa aina gani. Ila Enzi za Mwalim apo Mjumbe wa nyumba kumi angepata tabu sanaaa

  • @benjaminijosephatisombi8699
    @benjaminijosephatisombi8699 6 ปีที่แล้ว

    duuuur hi movie ni nzuri

  • @josephandrew8744
    @josephandrew8744 6 ปีที่แล้ว

    bongo movie inaendelea, sasa tatizo watz atuangalia bongo movie sasaiv toka afe kanumba, bola wangetumia Hollywood

  • @elenkilistian4005
    @elenkilistian4005 6 ปีที่แล้ว +15

    Yani huyo jamaa atakufa maskin aliye nielewa namana gani agonge laiki hapa

  • @jerrykikuli3700
    @jerrykikuli3700 6 ปีที่แล้ว

    kazi nzuri ya jeshi la polisi

  • @j_gh812
    @j_gh812 6 ปีที่แล้ว +11

    Kazi tunayo kwa kweli...hii ni mbinu inaonekana ya kuichafua serikali hii kwa kigingi cha mafisadi walichokumbana nacho.....ee mungu tusaidie na tanzania yetu....

    • @kfastak
      @kfastak 6 ปีที่แล้ว +1

      Seriikali inajichafua yenyewe

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 6 ปีที่แล้ว

    Huuu mkoa ungekua ni wa yule mzeee wa fyekelea mbali tungecheka sana

  • @wilfredmoshi6507
    @wilfredmoshi6507 6 ปีที่แล้ว +35

    Hongereni sana Police kanda maalumu kwa kanzi nzuri bado tunaimani matukio yote ya ajabu ajabu Tanzania yatapatiwa majibu kama hili ambalo lilikuwa linachafua na kuweka wasiwasi.
    hongereni sana sana.Tunawaamini.

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 6 ปีที่แล้ว +8

    Kweli kazi kubwa imefanyika,nyumba imegundulika baada ya mateka kurudishwa a.k 'kupatikana'!

  • @suzeemnati8356
    @suzeemnati8356 5 ปีที่แล้ว

    Ingekua huyu mzee ni mkikuyu kutoka kenya aaaah hii story ingekua kalass hiyo ni pesa mob sana family ilikua inapeana

  • @samwellwiza5339
    @samwellwiza5339 6 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo letu wabongo mpaka leo hatujajulikana tunataka nini... Hata tukiambiwa ukweli hatuuamini na tukiambiwa uongo hatuuamini..... Tatizo ni kutafsiri kila kitu kwa mawazo ya kiwana siasa zaidi....
    Na hii kuhisi kitu kabla ya ukweli au uongo ni tatizo kubwa sanasana...... watanzania ni zaidi ya wajuaji!!..................

  • @sarahmwaluko2480
    @sarahmwaluko2480 6 ปีที่แล้ว

    hongereni jeshi la polisi la Tanzania hususani mkoani Dar

  • @جزجزشكطا
    @جزجزشكطا 6 ปีที่แล้ว

    hongereni sana wanajeshi mungu awape nguvu

  • @hassinaalharthi5984
    @hassinaalharthi5984 6 ปีที่แล้ว

    Hongera serikali kwa jihudi zenu kubwa.

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 6 ปีที่แล้ว

    Safi san sana sana sana kwa upelelez wenu kazi yenu nzur mno allah awe nanyi kila time

  • @najmashabby1840
    @najmashabby1840 6 ปีที่แล้ว

    Yaa Saluti Afande. NA wasio Na Uzalendo Na wasii Itakia Mema Nchi yetu Watapata Tabu Saana.

  • @jumazedon9136
    @jumazedon9136 6 ปีที่แล้ว

    😁😁😁😁Wamekamata nyumbaa haya na ww km umefurahi km mm gonga like twende sawa

  • @aliabdulrahman1202
    @aliabdulrahman1202 6 ปีที่แล้ว

    Jeshi la police hawajue wahusika swali langu km taxi driver anawajua ni kwa nn asishirikeshe mpaka kwenye uwanja wa ndege alipo wasafirisha na km uwanja wa ndege kuna cctv si atasaedia kujulikana wenyeji wa kitendo Tanzania ikashirikiana na balonzi wao muhisika wa south Africa

  • @hadijahalifa5418
    @hadijahalifa5418 6 ปีที่แล้ว +1

    Good job!!!, Congrats our police force!

  • @hazibonplatformafrica9617
    @hazibonplatformafrica9617 6 ปีที่แล้ว

    Huyo jamaa sura yake inaonesha hajui chochote kuhusu Mo Kutekwa lkn kwakuwa ndo ni mwendelezo wa story ya Mfanyabiashara Mo kutekwa ilikuwa lazima story iishe hivi.
    Hongereni sana Jeshi la police story imeisha vizuri.
    Ila msisahau kutwambia bada ya raia wa south Africa kufika ubungo walielekea wapi 😂😂😂

  • @gesusgegangphray7689
    @gesusgegangphray7689 6 ปีที่แล้ว

    Gari mlisema ilingilia border.. Mara mamba zakibongo.nyumba haina kesi..mikataba..kweli hatuna ulinzi.watuhumiwa Waitoloka vip.napinga kusema walipandia ubungo na hawajusi kiswahili...kweli hsta konda kutoa taarifa

  • @michanomichano4931
    @michanomichano4931 6 ปีที่แล้ว

    Hongereni sanaaa kwa hii kitu

  • @felixnestoryrwelamira219
    @felixnestoryrwelamira219 6 ปีที่แล้ว

    Noted
    Welldone

  • @samwellwiza5339
    @samwellwiza5339 6 ปีที่แล้ว

    Waandishi wa habari ulizeni habari kwa taharuma siyo kisiasa.....
    Unakuta maelezo ya kina yametolewa.. Then mtu anauliza ati watekaji wapo wapi?....
    Walimwambia wanaenda wapi?....
    Sijui wametumwa hata sielewi??!!

  • @mussabuma9592
    @mussabuma9592 6 ปีที่แล้ว

    Mnachekesha sana aya mungu anawaona

  • @tahiraabdul1701
    @tahiraabdul1701 6 ปีที่แล้ว

    Kwakweli kama ni Kenya usiku ule ule wa Kwanza Mo angali n'golewa kutoka hayo maficho na watekaji kuzabwa na sheria,Askari was Tz kokoro tupu

  • @marcogewe7928
    @marcogewe7928 6 ปีที่แล้ว

    Dreva huyo wala siyo mhusika ni mipango tu ilyopangwa na Kamanda Mambosasa ili kuwajibu wanasiasa. mchezo wa kitoto eti wahusika wametokomea kusikojulikana siyo kweli labda wangeangalia zaidi huenda chini ya nyumba hiyo kuna Handaki. Kusikojulikana/watu wasiojulikana hiyo ni lugha ya hao wenzetu,

  • @asifiwesamwel1050
    @asifiwesamwel1050 6 ปีที่แล้ว

    Hii muvie Nilijua imeisha. Hii muvie haina mpangilio mzuri. Gari linabadilikabadilika, matukio yanarushwarushwa, halafu fanani haonekani

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 6 ปีที่แล้ว

    Anauhakika na hayo majina anayoyataja ?kama walidanganya majina? Wasouth wanatabia ya kuwa na Passport 2 tofauti,hapo kazi bado sana. Pigeni kazi Makamanda wetu.

  • @jofetetemba6876
    @jofetetemba6876 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mtu asije ongopa kuuficha ukweli aonekane yeye ni mkosaji Kwa kuwaficha watuhumiwa kwa aseme awataje barabara asiongepee Polisi Kwa maslahi yake..

  • @hamisathman2782
    @hamisathman2782 6 ปีที่แล้ว

    Sawa, Azori gwanda je, waliompiga lisu je

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 6 ปีที่แล้ว

    Safina ninaikubari sana jeshi la police!!!Big up kazi nzuri

  • @saumukaisi3996
    @saumukaisi3996 6 ปีที่แล้ว

    Hongera jeshi

  • @happinessmillanga982
    @happinessmillanga982 6 ปีที่แล้ว

    Mie huyo taxis anaweza akawa hajui maana walimchukuwa wakamuacha yeye mo kwenye gari walishuka wakaingia kwenye gari yake,maana billion 1 c mchezo mie kama mie alikuwa hajui huyo taxi kinachoendelea labda

  • @johnnjau3405
    @johnnjau3405 6 ปีที่แล้ว

    Mkuu naona kama haukujipanga vizuri, kwani hao jamaa hawakuwa na mkataba wa pango au walilipa mwezi mmoja kwa kazi maalumu. Hapo umetuwekea dalali na wenye nyumba wako wapi watuhakikishie huyo ni dalali wao au aliwapa funguo muendelee na uchunguzi. Mwezi mzima mnatafuta nyumba ya kutuendeshea halafu mnaita eti uchunguzi. Shikamoo uchunguzi

  • @mwasakafyukasamson
    @mwasakafyukasamson 6 ปีที่แล้ว

    Global TV huyu cameraman wenu ni hafifu Sana, camera imacheza Kama alieishika anaurahibu WA Gongo

  • @rjmalembeka442
    @rjmalembeka442 6 ปีที่แล้ว

    Global mpo vizuri sio kama wengine kuunga unga story

  • @hamoudmohamed8291
    @hamoudmohamed8291 6 ปีที่แล้ว +31

    Huyu jamaa atakuwa ana akili gani kama alikuwa anapata dollar 200 per month na akijua kabisa sehem Mo alipo na familia ya Mo ilitangaza zawadi ya 1 billion sasa yeye alilipwa hiyo dollar 200 tu kwajili ya udalali au alilipwa zaidi ya 1 billion ili asije shawishika na zawadi ya familia ya Mo. We got to think!

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 6 ปีที่แล้ว

    Mi staki kucheka. Hivi Mo asingepatikana mnadhani stori ingekuwa the same? Mo atakuwa ameshiriki sana kutoa taarifa

  • @masoudjoel5008
    @masoudjoel5008 6 ปีที่แล้ว

    Kazi nzr hongereni sana hadi tuwatie nguvuni wahusika

  • @Semnyawenda
    @Semnyawenda 6 ปีที่แล้ว

    watu kuingia kwenye hiyo nyumba sio wanapoteza ushahidi? ina maana polisi wamemaliza kuchukua info kwenye hayo mazingira? kama finger prints, na trace zozote ambazo hao waalifu wameacha, kama polisi hawakufanya kabla, itakuwa ngumu mno kupata ushahidi zaidi!

  • @sonyotv8347
    @sonyotv8347 6 ปีที่แล้ว

    duuuh!! huyu mkuu sijui anatuonaje hilo gari lilionekanaje wakati viwanja vya gymkhana hakuna CCTV camera

  • @fatmamasoud6243
    @fatmamasoud6243 6 ปีที่แล้ว +1

    Sijapinga lakinii nshangaaa iviikwanini huyu jamaaasingesema Mo halipoo apewe ilee Minot jamanii huyu anajua kwelii au kaingizwaaa tu mim sijamuelewa yaani kawakodia nyumbaanajua mambo yotee mh kuna Mtindnganyaaa hapaaa

  • @fredylukwaro112
    @fredylukwaro112 6 ปีที่แล้ว

    Kazinzuri na waliomshambulia tundu lisu na waliotoa cckamera za Jirani na pale aliposhambuliwa

  • @faridahalil536
    @faridahalil536 4 ปีที่แล้ว +1

    Camera man hana utulivu anapiga pazia hv inakuaje??

  • @franceskayombo5967
    @franceskayombo5967 6 ปีที่แล้ว

    hii inaenyesha nijinsi gani tumekuwa siowazarendo kwanchi yetu. hii inasababishwa na RAIA kutokuwa naimani na serikali. raia wanakosa huuru wakuongea

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 6 ปีที่แล้ว +26

    WABONGO BWANA SHIDA KWELI KILA MTU MPELELZI HUMU NA MAHAKIMU WAMO HUMU HUMU HATA MAWAKILI WAKO HUMU HUMU, POLIS WANATOA RIPORT YAO WENGINE WANAPINGA, KAMA MNAUJUA UKWELI NINYI KATOENI USHAHIDI BASI POLIS.

    • @ferstamichael2608
      @ferstamichael2608 6 ปีที่แล้ว

      yaani aliwapokea hotelni nasku yakurudi akawapeleka ili waondoke?huyu amecheza mchezo wote

    • @dauddaud8444
      @dauddaud8444 6 ปีที่แล้ว

      nyimbo mpya

    • @dauddaud8444
      @dauddaud8444 6 ปีที่แล้ว

      nyimbo

    • @ziadaalute6836
      @ziadaalute6836 6 ปีที่แล้ว

      Selemani Masatu ,watuwamepoteza imani nao,kinachotakiwa niwatuhumiwa siyonyumba,La Lissu jee?????

    • @alexmashuda7353
      @alexmashuda7353 6 ปีที่แล้ว

      Sasa mbona nyie wenyewe mambo yakipererezi mnanayaweka hadharani hamuoni kuwa mnajiwekea ugumu wa kazi maana watuhumiwa watazidi kuingia mafichoni.

  • @belgieboys9867
    @belgieboys9867 6 ปีที่แล้ว

    ukitoka mipakani unakutana na uhamiaji
    Na taarifa zimetolewa mwanzo ni wasouth
    Sasa wamepitia wapi?
    uzushi kama uzushi vile

  • @robbemanase9051
    @robbemanase9051 6 ปีที่แล้ว

    Bahati mbaya kwa dreva, yeye alikua dalali tuu na inawezekana alichofanya ni kuwachukua wateja wake bila kujua wanachofanya.Haiwezekani akawa mjinga hivyo kuzurura na gari yake akiwa na watuhumia ndani na yeye akishiriki .

  • @NajmahassanMunezero
    @NajmahassanMunezero 6 ปีที่แล้ว

    Porojo tu je walio mpiga risase Mh Tundu lisu wako wapi?
    Walio Mteka Roma wako wapi?
    Walio Mteka Ben Sanane wako wapi?

  • @josephnnko8641
    @josephnnko8641 6 ปีที่แล้ว

    Episode ya mwisho kwnye season yetu askari polisi wanafanikiwa kukamata nyumba badala ya kukamata watuhumiwa... Setelling Ni mambo sasa. End of our movie.

  • @erasmusnzibonela5151
    @erasmusnzibonela5151 6 ปีที่แล้ว

    Mko Fresh tunaomba uchunguzi wa CCTV cameras zilizo chukua tukio la Lisu pia make tunaona ndo zilizo saidia pia

  • @fatumamasana5537
    @fatumamasana5537 6 ปีที่แล้ว

    Mheshimiwa,bado hofu ni kwamba wenye fedha ndiyo wanahudumiwa na kuhangaikiwa sana na jeshi la polisi.Maskini wanyonge wa nchi hii bado hawawezi kuonewa wakasumbukiwa na jeshi la polisi namna mo alivyoshughulikiwa.Kama mmenuia kumaliza uhalifu basi ipeni uzito wake kila jambo bila kuangalia limempata nani.

  • @salimmauly3035
    @salimmauly3035 6 ปีที่แล้ว

    Huyodereva ni kichaa bilioni Moja kwa Dola Mia mbili mmmh afande kajipange tena

  • @sophiamwakila3300
    @sophiamwakila3300 6 ปีที่แล้ว

    Hivi watekaji hawakumuambia Mo nini wanataka kwake mpaka kumteka. Yaani majibu mengi ya maswali anayo Mo mwenyewe. Yeye anajua kila kitu kwa nini amefumba mdomo? Je wamemfunga mdomo asiongee? Yaani napata kigugumizi

  • @BidayoTV
    @BidayoTV 6 ปีที่แล้ว

    Frankly speaking, police na wanausalama mnafanya kazi nzuri tena sana tu. Nimatumaini yangu kuwa hata wao watapatikana tu.wasiichezee nchi yetu bwana tena waiogope kabisa.

  • @tanveermalik6182
    @tanveermalik6182 6 ปีที่แล้ว

    yaan hata wangemuua "MO" huyo drive tax bado ungekamatwa tu mana unamakosa makubwa sana inaonekana unaishu na watu wa nje ya nchi wengi kufanya mambo yenu ya kihalif ktk nchi. acheni tamaa jengeni umoja na amani ktk nchi yenu. nchi jiran hawatakusaidieni kitu wanawapotosha wanataka waiangamize tanzania! !!!

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 6 ปีที่แล้ว

    Wakamateni hta balozi wa eneo Hilo,hakujua Kuna wageni hpo? Wakti watu wanasema waliomteka wageni hakufikiri hta au??? Mbona sielewi?

  • @jafarihussen4780
    @jafarihussen4780 6 ปีที่แล้ว

    Uwi mayo onene gashi makoye haka kamove n bara hao waandishi wamekuctai wangekuhoji ww kamanda ucngejibu ila kwakua midomo imesha fungwa bac bana endereeni na move

  • @maldamkubulo2429
    @maldamkubulo2429 6 ปีที่แล้ว

    ,lakini sasa, wale watekaji walipo mtupa Mo,na Huyo dereva tax akawa pembeni tayari kwa kuwapeleka Ubungo,yaani magar mawili yalikuwa yanafuatana ,tax na gari la watekaji. dhu

  • @kessympondela3257
    @kessympondela3257 6 ปีที่แล้ว

    Kwani mo aliokolewa eneo LA tukio au walimtelekeza then wakajua hiyo nyumba kupitia moo

  • @hashimulubanzabigo5588
    @hashimulubanzabigo5588 6 ปีที่แล้ว

    mbona haya mengine mnayafatilia kwa karibu sana hao wengine akina Lisu na wanaotekwa hatupati habali zao na hasa Lisu mbona mlikaa kimya mi nadhan kuna siri ndani ya pazia

  • @allyissa5801
    @allyissa5801 6 ปีที่แล้ว

    mmmmmmm haya mungu atafichua uovu hii picha mungu anajua

  • @andreamlwafu3844
    @andreamlwafu3844 6 ปีที่แล้ว

    Good jobTanzania police

  • @tumainipeter9996
    @tumainipeter9996 6 ปีที่แล้ว

    Mkuu huyumtu kanae vizuli make asinge husika mdaule mlivo hangaika kutafuta watekaji Naye akiwaanajua kua anawageni mbona hakutowa takifaa kwawageniwake?

  • @mussamussamussa8444
    @mussamussamussa8444 6 ปีที่แล้ว

    Na wakubali sana Askari tz kazi nzuri ongereni sana sana

  • @othmanshahib1115
    @othmanshahib1115 6 ปีที่แล้ว

    kwani huyo Driver hajui siku wala tar ya kuwapeleka airport kuna camera na kuna wachek passport si details zote ziko airport huyo Driver namsa suspect

  • @shabaazbikorwa2580
    @shabaazbikorwa2580 4 ปีที่แล้ว

    Acha kuongopa huna uwezo wowote kuusu upelelezi Sasa watuhumiwa wako wapi?

  • @josephkalonga550
    @josephkalonga550 6 ปีที่แล้ว

    Kwanza MO asibitishe Chumba hicho ndio alikuwa akiishi. 2 Mwadreva wate walio safiri usiku huo . watoe maelezo yao ( watuhumiwa walitelemka wapi ?)

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 6 ปีที่แล้ว

    Wapo wapi watuhumiwa Kamanda?Nilifikiri mngewatia mbaroni wahusika then mkamdiplay huyu,ila pia ukakasi was watz Ni kuhusu issue za akina Lissu ambao hatujui Nani kahusika,watuhumiwa .wahojiwe na wenye nyumba inawezekana wanajua mienendo ya wahusika,huyu jamaa aswekwe ndani Hawa ndiyo wanaweza idhuru Tz kwa maufaa binafsi

  • @roseshayo9022
    @roseshayo9022 6 ปีที่แล้ว

    sasa huyo aliyekamatwa anahusikaje na watekaji? tatizo polisi wetu mlishapoteza uaminifu kwa wananchi wenu

  • @fednarndmosh7068
    @fednarndmosh7068 6 ปีที่แล้ว

    mnachanganya mambosasa au mambo baadae move kali sana hii

  • @saitotisaitoti6734
    @saitotisaitoti6734 6 ปีที่แล้ว

    Kusema kweli mi siamini hii movie.tuonesheni watekaji

  • @claraswai674
    @claraswai674 6 ปีที่แล้ว

    Kumbe na gymkhana alipoenda kutupwa Mo kulikuwa na sisitivii camera ndio ikaonesha hiyo gari imewapeleka kumtupa no na kuwapeleka ubungo !!!

  • @kingansanga4393
    @kingansanga4393 6 ปีที่แล้ว

    sielewi vizuri jiandaeni part two inakuja

  • @franceskayombo5967
    @franceskayombo5967 6 ปีที่แล้ว

    wageni wanaigia nchini kienyeji uhamiaji wapo wapi? uzarendo umetoweka kwawazawa kwanini? sauti yamnyonge haisikiki kwanini? RAIA hana haki mbele yapolisi kwann? Mungu inusuru Tanzania yangu kwngu ndio nchi yaahadi niliyopewa namuumba wangu