VUNJA MBAVU NA VIMBWANGA VYA SHARIF SEIF NA MATUKIO YA MAULIDI | AANGUKA NA KUJIBARAGUZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 22

  • @muktarkassim6647
    @muktarkassim6647 2 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah Kuna watu ni madaruweshi huyo aliesimama na sheikh Hadi kapatiwa na Noti

  • @abubakarmohamed4783
    @abubakarmohamed4783 ปีที่แล้ว

    Allah Allah Allah

  • @ahmedynuhu8551
    @ahmedynuhu8551 4 ปีที่แล้ว +2

    Namkubali sana Sharif sef

  • @shamsiaabdul8679
    @shamsiaabdul8679 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah! Mahaba ya rasul

  • @nassorbinfundi1196
    @nassorbinfundi1196 3 ปีที่แล้ว

    Namuona al Habibi alhad Masha Allah

  • @sheikhfirdaus9857
    @sheikhfirdaus9857 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @hassankisuke5356
    @hassankisuke5356 2 ปีที่แล้ว

    Nataka kujua biography ya huyu mtu

  • @ramangadu6451
    @ramangadu6451 4 ปีที่แล้ว +1

    Khabari Zamtume Raha Thana.

  • @alisalimkhamis8970
    @alisalimkhamis8970 3 ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye midundo Mimi mutniwasha

  • @AbdulmajidHyder
    @AbdulmajidHyder 4 ปีที่แล้ว

    Tutaftie Barzanji ya Kiswahili ikisomwa na sheikh Komorian

  • @centralzonetvtanzania7313
    @centralzonetvtanzania7313 4 ปีที่แล้ว +2

    Hii Ilimu inabidi ipate warithi wawepo mamia wa mashuarai

    • @FahmiSaliim
      @FahmiSaliim 7 หลายเดือนก่อน

      Swadakta

  • @JackSparrow-bu8tj
    @JackSparrow-bu8tj 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa ana marohani ama?

    • @nassorbinfundi1196
      @nassorbinfundi1196 3 ปีที่แล้ว

      Raha ya dini ya hakki kaka uislam mtam usihadithiwe brother

    • @JackSparrow-bu8tj
      @JackSparrow-bu8tj 3 ปีที่แล้ว

      @@nassorbinfundi1196 raha ya dini ameipata yeye peke yake? Maswahaba hawakupata? Na kina imam malik na maimamu wengine hawakupata? Marohani tu hayo hamna chengine

    • @tanzaniat7151
      @tanzaniat7151 3 ปีที่แล้ว +1

      Ukiwa namapepo hapo utajulikana tu 😁

    • @mohammedjumakhamis8151
      @mohammedjumakhamis8151 3 ปีที่แล้ว +1

      Jamaa ana maruhani kweli

    • @jumaramadhani5861
      @jumaramadhani5861 3 ปีที่แล้ว

      @@mohammedjumakhamis8151 nI Mahaba tu kwa mtume mohamad s.a.w

  • @mautamyakitaa8971
    @mautamyakitaa8971 4 ปีที่แล้ว

    Kwa wapenz wa qaswaid subscriber channel yang kwa kupata burudani