HUYU NDIO PROFESA WA MAKAMATI MTANZANIA ALIESOMA MISRI MIAKA 10 TAZAMA AKIICHAMBUA SIKA NA BAYATI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.พ. 2023
  • Maulidi haya yamefanyika Madrasat Azhar Gaba Mabibo DSM 2023
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 28

  • @allyally5941
    @allyally5941 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuzidishie na akulinde inshaallah mana pia umetufundisha kidogo mashaallah kiukweli kipaji kipo hapo mie binafs nimesoma kwa huyu mzee wa maqaamat

  • @suleimanzahor6878
    @suleimanzahor6878 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah mualim wangu ya shekhe salim

  • @suleimanzahor6878
    @suleimanzahor6878 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @jumannekambi232
    @jumannekambi232 ปีที่แล้ว +1

    Maşallah

  • @husseinally5550
    @husseinally5550 ปีที่แล้ว

    Andika vizuri( Maqaamaati)siyo makamati

  • @eng.saalim8646
    @eng.saalim8646 ปีที่แล้ว

    Elimu ya vinanda vya kanisani wanataka kuviingiza msikitini kisa vinatajwa kiarabu. Upuuzi mtupu wachafuzi wa dini nyie

    • @abdulsakibu
      @abdulsakibu ปีที่แล้ว

      Aww, kaka hata ww unaposoma qur-an ni lazima utatumia maqamu moja au zaid katika hizo pengine hujui, labda uzungumze matumizi ya maqaamat katika eneo jingine ndo iwe shida

    • @eng.saalim8646
      @eng.saalim8646 ปีที่แล้ว

      @@abdulsakibu me nasema hyo elimu yenu ni ya kiovu kwa kuwa mnaiingiza katka vitendo kwa ala za mziki na ni haraam ala za mzki

    • @matataoneproduction5355
      @matataoneproduction5355 ปีที่แล้ว

      Nilitamani kukujibu lakini nilipokufuatilia kumbe mtu mwenyewe kilaza tu, mjamzito

  • @abuuazhar3738
    @abuuazhar3738 ปีที่แล้ว +1

    Hakika Dini imeingiliwa na Wahuni, yani msanii wa mziki leo anaitwa mtaalamu tena wa Qur an?!

    • @khalfanchembela3455
      @khalfanchembela3455 ปีที่แล้ว

      Elimu elimu usitukane watu

    • @abuuayoubayoub9260
      @abuuayoubayoub9260 ปีที่แล้ว

      Hongera wew usiye muhuni kazi ni kufatilia mambo ya watu huna hata hekma

    • @musamuhamed9924
      @musamuhamed9924 ปีที่แล้ว

      Wajua adab huwa twafundishwa na wazee au wengine husema wazazi wetu ndugu yangu hujafunzwa wala kufundishwa adab chunga saana maneno yako usimtukane usiemfaham na hata unaemfaham piaa

    • @eng.saalim8646
      @eng.saalim8646 ปีที่แล้ว

      Acheni kutetea upuuzi. Elimu za usanii hzoo na wanamuziki.

    • @husseinally5550
      @husseinally5550 ปีที่แล้ว

      We jahili kweli.umebebeshwa uhabi kichwani

  • @shamsaelbeity8250
    @shamsaelbeity8250 ปีที่แล้ว +1

    Tuonyeshe ufundi wa elimuyako usituletee mambo ya maqamat kubanabana put hapa

    • @khidmatulquran
      @khidmatulquran ปีที่แล้ว +1

      Kuwa na adabu huyo ni msomi pekee wa maqamaat wapo wengi misri maleysia wanaweza kuwa sio wenye sauti unavotaka wewe lkn anaweza kukusomesha ww mwenye sauti ujue kutumia sauti yako na ujue kutumia maqamat na sio lazima umtambue wewe hukumsomesha ww wala hukua nae wakati anahangaika kutafuta elimu misri

    • @allyfundi6405
      @allyfundi6405 ปีที่แล้ว

      Unaviashiria vyote vyakua mchawi mbeleni

    • @abdulsataribashiri8300
      @abdulsataribashiri8300 ปีที่แล้ว

      Juha kubwa wewe

    • @abdallahismael3993
      @abdallahismael3993 ปีที่แล้ว

      Uyu ni hatari kusoma mwache tu

    • @abuuayoubayoub9260
      @abuuayoubayoub9260 ปีที่แล้ว

      Una bahati tu ni mwanamke wew lkn nilikuwa nikupe neno moja tu