Taarab: Sabah Salum - Semeni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Swahili Taarab by Sabah Salum: Tanzania

ความคิดเห็น • 105

  • @mathnaalbimani1252
    @mathnaalbimani1252 2 ปีที่แล้ว +3

    Najikuta nafurahi tu, nyimbo pambe sana

  • @salmaomar3858
    @salmaomar3858 5 ปีที่แล้ว +19

    Nani anaangalia hii nyimbo na mimi 2019?nakupenda sana Swabaha you are the best mammy..Allah akuzidishie umri....

    • @mohdjuma4425
      @mohdjuma4425 4 ปีที่แล้ว

      Salma Omar mambo

    • @mujahidalinaseem6213
      @mujahidalinaseem6213 4 ปีที่แล้ว

      sabah salum mchacho ndio mwimbaji bora mwenye sauti ya kipekee katika tasnia nzima ya taarabu

  • @zubedasaad3569
    @zubedasaad3569 6 ปีที่แล้ว +7

    jamani nampenda sana mama yangu sabah salum na nyimbo Zake zina nimaliza jamani.

  • @lizgichora6472
    @lizgichora6472 4 ปีที่แล้ว +4

    LOVE you Sabaha Salum....Kwa Ufupi, maneno yote kwenye Nyimbo.

  • @davidamandi9486
    @davidamandi9486 3 ปีที่แล้ว +3

    Semeni, semeni, very educating song, Salum, you are passing real message

  • @sarahjuma5126
    @sarahjuma5126 ปีที่แล้ว +1

    Sauti tamuuu achaaa kama hutaki vile mama nakupenda sana 🤩

  • @julianacharles95
    @julianacharles95 8 ปีที่แล้ว +31

    I love you swabaha salimu napenda unavyo imba nyimbo zako ndiyo pozo la moyo wangu unanikosha mpaka rohoni asante mama kwanyimbo zako nzuri ujumbe mzuri no one like you

  • @AminaMohamed-ui3oo
    @AminaMohamed-ui3oo 3 หลายเดือนก่อน

    Love the music it was superb and amazing❤❤❤🌺🌺🌺

  • @mwinyirogoh2389
    @mwinyirogoh2389 7 ปีที่แล้ว +8

    swabah slm mchch!ur da best of da best mum!!

  • @mohammedearly2575
    @mohammedearly2575 5 ปีที่แล้ว +2

    am listening sabaha salum songs here in dubai.it reminds me east Africa.

  • @mouhamadbakri8655
    @mouhamadbakri8655 8 ปีที่แล้ว +14

    wape maman ma hasidi wasokua na haya hawajuwi vibaya kweli linawatia dekedeke donge hilo wape tu ❤👍👍👍💘👊❤❤❤❤❤💪💪💪💪🖐 mpaji mungu kweli

  • @saraahs6884
    @saraahs6884 3 ปีที่แล้ว

    Waaaaahhh semeni semeni yakiwashinda niulizeni mm swaaaaaadktaaa😘❤❤❤❤💯🤲🤲🤲💞💯

  • @jeyhunhajiyev7463
    @jeyhunhajiyev7463 5 ปีที่แล้ว +2

    Semeni nazli gelir, ye ye, great! respect from Azerbaijan

  • @lupozijuma2732
    @lupozijuma2732 5 ปีที่แล้ว +2

    Muziki mzuri Allah akujaalie uhai mamaaa

  • @hidayaalisaid1083
    @hidayaalisaid1083 3 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli mpaji jalali. Nyie semeni tu

  • @nadiafahad7945
    @nadiafahad7945 6 ปีที่แล้ว +4

    Asanteee Sabah Salum Mchacho
    Swadaqta ujumbe pambeeeeeeee kwa walenga umewafikia, wanao kaa kuwasema wenziwao

  • @latiphakasimu6481
    @latiphakasimu6481 4 ปีที่แล้ว +16

    Imewashinda bahati hamkubali kwanini ukweli kwenu uchungu kama bado unasikiliza semen yasabaha 2020 nipe like yangu hapo jamani hii taarabu nipambeee xana nani anabixhaaa

  • @neemakituga7143
    @neemakituga7143 4 ปีที่แล้ว +4

    Pambe 2 ....2020 Mambo yasiwe mengi ......wapeaoooo wakaanga sumu

  • @ninarkomora2143
    @ninarkomora2143 5 ปีที่แล้ว +2

    nyimbo tamu sana..hongera kwa kipaji na sauti nzuri

  • @twahabuiddy9612
    @twahabuiddy9612 4 ปีที่แล้ว +1

    Semeni semeni semeni mtakuja nyamaza ishaallah 😘😘desember 2019

  • @rayaishaka3187
    @rayaishaka3187 6 ปีที่แล้ว +1

    Asante swabah salum unajua kuimba maashaallah

  • @zenaal-baalawy3262
    @zenaal-baalawy3262 3 ปีที่แล้ว

    Nyimbo ilikua naipenda hii enzi hizo za 2001 .

  • @yusufjuma1406
    @yusufjuma1406 7 ปีที่แล้ว +3

    Nice work@swabah pick-up#i love your message

  • @fadhilasaid2577
    @fadhilasaid2577 ปีที่แล้ว +1

    Unanikosha sana mama

  • @johnmapunda99
    @johnmapunda99 ปีที่แล้ว +1

    When taarabu was real taarabu!

  • @mouhamadsaid6950
    @mouhamadsaid6950 7 ปีที่แล้ว +13

    ni n'a gara sijachuja nala kuku kuamrija mutasema si hoja 😍👍👍👍💞💖💗 hapo patamu
    hamnitaabishi hamnishukhulishi hamnikesheshi hamnitii nuksi 😅😅😅😅😅😅

    • @aminaabdullah7641
      @aminaabdullah7641 7 ปีที่แล้ว +1

      Mouhamad Said hallllooooow apo patammmmh

    • @mouhamadbakri8655
      @mouhamadbakri8655 7 ปีที่แล้ว

      Wataimba wote lakini kwa huyu mama wameshachelewa hawamwezi asilani ❤😃

  • @tumaomar7210
    @tumaomar7210 8 ปีที่แล้ว +6

    Nampenda sana sabah sauti yke haichuji

    • @fatmasalim6110
      @fatmasalim6110 7 ปีที่แล้ว

      old is gold Jamani. mwanamama uyu yuanikosha kweli.

  • @saraahs6884
    @saraahs6884 3 ปีที่แล้ว

    No zero cc hazitufai wallah wengine zawachukua mm na somo yngu haushki no zero 🥰🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤲

  • @aminatosha2781
    @aminatosha2781 4 ปีที่แล้ว +6

    2020 semeni semeni...

  • @ilhamahmed8249
    @ilhamahmed8249 7 ปีที่แล้ว +4

    i love u swabaha songs zko zaniua mimi

  • @zubyzubymohamed4103
    @zubyzubymohamed4103 7 ปีที่แล้ว +2

    I love her so much jamaniii 😪

  • @ilhamahmed8249
    @ilhamahmed8249 7 ปีที่แล้ว +3

    i love u swabaha

  • @muckyjussi2272
    @muckyjussi2272 7 ปีที่แล้ว +3

    thnkxxxxxxx sbh slm mchch

  • @shakirnongwa6304
    @shakirnongwa6304 5 ปีที่แล้ว +2

    mashaallha bisabaha salumu

  • @halimaissa2732
    @halimaissa2732 5 ปีที่แล้ว

    pambeee twooo my Sabah salum mamaaa LA mama

  • @alphoncehassanfaruq4488
    @alphoncehassanfaruq4488 7 ปีที่แล้ว +3

    wah napenda hakika

  • @josephineasiza2474
    @josephineasiza2474 6 ปีที่แล้ว +1

    Mom love you song so much wape kabisa

  • @bableesalu8707
    @bableesalu8707 2 ปีที่แล้ว +2

    Love this song

  • @georgeoparawafula7500
    @georgeoparawafula7500 5 ปีที่แล้ว +4

    Semeni ya urongo na ya ukweli , vya ndani na vya nje pia semeni. Ndio maana mungu yuko

  • @hdidhhsoh2228
    @hdidhhsoh2228 2 ปีที่แล้ว

    Semeni semeni mnoyasema mimi sijali

  • @zaharampinga545
    @zaharampinga545 6 ปีที่แล้ว +3

    Naupenda huu wimbo sana

  • @fundicheupe1757
    @fundicheupe1757 4 ปีที่แล้ว

    Mmwaaa tam tam inaniliwaza mbali na mpenzi wangu

  • @abdikazu497
    @abdikazu497 7 ปีที่แล้ว +2

    napenda sana unavoimba sabaha

  • @husnanyundo4945
    @husnanyundo4945 2 ปีที่แล้ว

    Nyimbo mwaaaa

  • @swabrakaisar7367
    @swabrakaisar7367 4 ปีที่แล้ว

    Naipendaa mnooooo

  • @margaretmukhwana3000
    @margaretmukhwana3000 4 ปีที่แล้ว

    Sauti ya ninga, hutoa nyoka pangoni, ...nie song....

  • @ahmedamar1329
    @ahmedamar1329 7 ปีที่แล้ว +3

    dahh love sabah lait km huna mume mm nipo sitizami miak yako 😁

  • @suleimanabdallah4802
    @suleimanabdallah4802 4 ปีที่แล้ว

    Najixikia,raahaa

  • @zamzamhamisi7332
    @zamzamhamisi7332 6 ปีที่แล้ว +4

    Semeni Lakini haki yangu nipeni

  • @imanmsafil4436
    @imanmsafil4436 5 ปีที่แล้ว

    sabaha nakukubali sn mama.

  • @zaytunhijja6771
    @zaytunhijja6771 4 ปีที่แล้ว

    2020 semeni

  • @shanishwari3137
    @shanishwari3137 8 ปีที่แล้ว +10

    Penda sana sabaha unakonga nyoyo..

  • @gracekalama5805
    @gracekalama5805 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda mamaa💕

  • @khalfanmansoor2293
    @khalfanmansoor2293 7 ปีที่แล้ว +3

    l accept you

  • @lupozijuma2732
    @lupozijuma2732 5 ปีที่แล้ว

    n ampenda sabaha

  • @MauaDuma
    @MauaDuma 2 หลายเดือนก่อน

  • @nasmasalimu9508
    @nasmasalimu9508 8 ปีที่แล้ว +6

    l love you forever mum

    • @mansuorkombo3647
      @mansuorkombo3647 6 ปีที่แล้ว

      nasma salimu aishi kwa aman mashaa llah

  • @marthamfumbi3712
    @marthamfumbi3712 7 ปีที่แล้ว +1

    naipenda sana

  • @henrymagnus1098
    @henrymagnus1098 7 ปีที่แล้ว +5

    Mossi suleimain napenda mashairi yako bby na sauti yako inavutia

  • @bonyenyekahawamoshi9775
    @bonyenyekahawamoshi9775 6 ปีที่แล้ว +1

    Sabah asalam aleikum

    • @zuwenashaha8547
      @zuwenashaha8547 6 ปีที่แล้ว

      Bonyenye Kahawa Moshi teeeeenaaaaaaaaaa mamiiiii

  • @ommybinmuhammad3811
    @ommybinmuhammad3811 7 ปีที่แล้ว +5

    Jmn naomba niambiwe jina lanyimbo cwakwanza mm kupewa ya sabh plz

    • @saidakarim1043
      @saidakarim1043 7 ปีที่แล้ว +3

      omar khamis inaitwa sibadiliki

    • @nawalahmed4991
      @nawalahmed4991 7 ปีที่แล้ว +1

      mbona nkitaka kuidownlod haikubali hilo jina

    • @khuzeimazubeir8446
      @khuzeimazubeir8446 6 ปีที่แล้ว

      Nawal Ahmed njooo nikufundishe namna ya kuisave

  • @mwajumajuma2444
    @mwajumajuma2444 6 ปีที่แล้ว +1

    Mm sisemi maana wanifuraisha hatari

  • @petersonimbuga681
    @petersonimbuga681 2 ปีที่แล้ว

    Good

  • @azizaheli8676
    @azizaheli8676 6 ปีที่แล้ว +2

    kweli sabaha kiboko yao

  • @mirajamal3767
    @mirajamal3767 6 ปีที่แล้ว +1

    Watachoka kusema dada

  • @fatushsalmin8658
    @fatushsalmin8658 5 ปีที่แล้ว

    Naku rank sanaaaaaa mchachu

  • @kijolydada4154
    @kijolydada4154 2 ปีที่แล้ว

    taarabu

  • @aminanuru6526
    @aminanuru6526 5 ปีที่แล้ว

    Manenoszzz

  • @ameiryussi9189
    @ameiryussi9189 3 ปีที่แล้ว

    semeni semeni 2021

  • @saumuhilali1040
    @saumuhilali1040 7 ปีที่แล้ว +2

    naona Kama nipo zanzibar

  • @the_usual_suspect9437
    @the_usual_suspect9437 4 ปีที่แล้ว

    taarab polepole, haste haste, sito!

  • @noormahdaly9857
    @noormahdaly9857 3 ปีที่แล้ว +1

    😎😎😎😜😜😜🤗🤗🤗

  • @georgeopara4879
    @georgeopara4879 5 ปีที่แล้ว +1

    Mtabaki mnalo ila hamtaki mtakalo

  • @saraahs6884
    @saraahs6884 3 ปีที่แล้ว

    Hajakua kundi la zero 🤣🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🤲

  • @jumakalungwana8194
    @jumakalungwana8194 8 ปีที่แล้ว +3

    juliana upo wapi

  • @bonyenyekahawamoshi9775
    @bonyenyekahawamoshi9775 7 ปีที่แล้ว +2

    Nice 👨 mama

  • @bonyenyekahawamoshi9775
    @bonyenyekahawamoshi9775 7 ปีที่แล้ว +2

    Lini moshi utakuja

  • @paulmbugua3708
    @paulmbugua3708 7 ปีที่แล้ว +4

    penda sana zako taarab