Lady Jaydee - Njiwa (Official Audio)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 527

  • @nica6662
    @nica6662 4 ปีที่แล้ว +1

    Ckua najua uyu wimbo uliimb uyu dad

  • @abdoulpainite2501
    @abdoulpainite2501 4 ปีที่แล้ว +190

    We ndo komando bhana! Wangapi wameikumbuka muhogo wa jang'ombe na siwema? Pigeni kelele 1 kwa Jideeeee ake🤪

  • @nyamogafamily4262
    @nyamogafamily4262 4 ปีที่แล้ว +14

    🦆🦆Njiwa peleka salamu kwa wanawake wote wapambanaji kama mimi duniani,wambie nawaombea sana ,,Mungu awanusuru na corona

  • @jamesmwita2995
    @jamesmwita2995 4 ปีที่แล้ว +2

    Hatarii piga kelelee

  • @tiktokgang1
    @tiktokgang1 วันที่ผ่านมา

    Komando, umeimba vizuri sana humu. Shukran sana. 2025

  • @mc_mrope
    @mc_mrope 4 ปีที่แล้ว +82

    Wimbo unaondoa stress zote za janga la korona safi sana Jdee

    • @asmaafamau8307
      @asmaafamau8307 4 ปีที่แล้ว +1

      Swadakta

    • @oongojoseph5469
      @oongojoseph5469 4 ปีที่แล้ว +1

      Ukweli

    • @fozyafozya4060
      @fozyafozya4060 4 ปีที่แล้ว +1

      Kabisaa

    • @Ibratz255
      @Ibratz255 4 ปีที่แล้ว +1

      Jipatie kipato mtandaoni kwa mtaji mdogo kupitia hapa
      affiliate.iqoption.com/redir/?aff=154228
      Msaada zaidi WhatsApp #0679345914

    • @mosesjohn8922
      @mosesjohn8922 4 ปีที่แล้ว

      Yaaap

  • @mrschura3134
    @mrschura3134 4 ปีที่แล้ว +39

    Wenye sauti zao mjini, waliojaliwa na Mungu, love u jdeee.

  • @shomarisangari6357
    @shomarisangari6357 4 ปีที่แล้ว +6

    Nyimbo hii iliimbwa JKT Taarabu Kama komando kaiimba kwa ubora wa Hari ya juu gonga like hapo.

  • @younmillan7887
    @younmillan7887 4 ปีที่แล้ว +7

    Komando Jide Herself natural voice pure legend..
    Drums 🔥🔥🔥 solo guitar 🔥🔥
    Weka like kama unaamini Jide ana copy yake mpaka sasa...

  • @twalibumohamedi2494
    @twalibumohamedi2494 4 ปีที่แล้ว +14

    Nakupenda sana dada wa Taifa tangu unaanza kuimba "nailazimisha furaha" , piga kelele kwa Jide wakeeee!

  • @samboyhussein591
    @samboyhussein591 4 ปีที่แล้ว +37

    DADA UNAZEEKA NGOZITU LKN SAUT YAKO ITAENDELEA DUMU

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 4 ปีที่แล้ว +29

    Jideee comando na vyeo vyoote vya kijeshi,sauti imetulia kama mwandiko wa mwanafunzi aliyesoma darasa la awali kwa usahihi..all in all i appreciate you at all madame

  • @dizoboy7256
    @dizoboy7256 4 ปีที่แล้ว +2

    Daaah kuna watu wanaimba asee we jide ni nomaa yaan wimbo ukiuckia unatulia kama umemwagiwa maji ya baridi😁😁💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻

  • @smstore5535
    @smstore5535 4 ปีที่แล้ว +1

    Ebhana komando jide kwa hapa nakupa salute 🙌👮 umenikoshaa😊

  • @lemonadesoldier1377
    @lemonadesoldier1377 4 ปีที่แล้ว +7

    Nyimbo ya kikubwa ,inakula hadhi ya kusikilizwa na kila Rika ,inatuliza akili Jide ameitendea HAKI #make good musicallive Big up Jide mamalaoo

  • @arusha_icon
    @arusha_icon 4 ปีที่แล้ว +19

    Kama unailubali hii cover ya lady jaydee gonga like hapa👍

    • @Ibratz255
      @Ibratz255 4 ปีที่แล้ว

      Jipatie kipato mtandaoni kwa mtaji mdogo kupitia hapa
      affiliate.iqoption.com/redir/?aff=154228
      Msaada zaidi WhatsApp #0679345914

  • @lablondenela4848
    @lablondenela4848 4 ปีที่แล้ว +7

    Tuko wangapi ambao muwili umesisimka kwa sauti Yani zauti nyororo masha allah

  • @irakozebijou9403
    @irakozebijou9403 4 ปีที่แล้ว +5

    Gonga like kama uko fans wa commando lady Jaydee kutoka burundi🇧🇮

  • @maseramecleopatramokhaneli3738
    @maseramecleopatramokhaneli3738 4 ปีที่แล้ว +12

    Sending my love from South Africa.

  • @s.simponda138
    @s.simponda138 4 ปีที่แล้ว +4

    Sauti muruwa kabisa kwa pumzisha akili yako iliyochoka! Nice sing.

  • @ashaathuman1472
    @ashaathuman1472 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubali kinyama dada

  • @leonardmeshack2661
    @leonardmeshack2661 4 ปีที่แล้ว +4

    Kama uliisahau Corona kabisa wakati unamsikiliza malkia wa nguvu gonga like na macoment kama yoteee 👍👍👍

  • @ev.mhugohantish288
    @ev.mhugohantish288 4 ปีที่แล้ว +4

    Kuna baadhi ya nyimbo Kama hizi unatamani zingekua Ni za Gospel Hivi. Dah.
    Weka like kwa Jide akeeee!

  • @kitinyakitinya1727
    @kitinyakitinya1727 4 ปีที่แล้ว +20

    Makofi kwa legend

  • @athumanisaid8630
    @athumanisaid8630 4 ปีที่แล้ว +28

    Judith Lameck Mbibo Wambura,lady jd,wallet,commando,mama some food nk

  • @sottithomas9443
    @sottithomas9443 4 ปีที่แล้ว +2

    Mara tunajivunia kuwa na mwanamziki katika Tanzania hii ambaye hachuji wala haboi zaidi ya 20years.

  • @mcbalozi2519
    @mcbalozi2519 4 ปีที่แล้ว +13

    bado kwangu unasimama Kama mwanamke pekee tz mwenye uwezo mkubwa katika muziki.... hii nyimbo niliisikia ukiimba katika moja ya matamasha yako nikawa najaribu kutafuta
    hatimaye leo umetupa zawadi..... #commando

    • @tanitani3387
      @tanitani3387 4 ปีที่แล้ว

      Hii nyimbo ni ya Bi Patricia Hillary so JD hajaongeza cha kwake.
      JD ameurudia tu.

    • @mcbalozi2519
      @mcbalozi2519 4 ปีที่แล้ว

      shida sio kurudia nyimbo ....mi naijua hii nyimbo tangu na tangu maana mama yangu na Patricia wameimba pamoja band moja .... hapa nazungumzia uwezo wa sauti na mapigo ya muziki.. kaa humo

    • @tanitani3387
      @tanitani3387 4 ปีที่แล้ว

      @@mcbalozi2519 Umeeleweka

  • @brothersalim001
    @brothersalim001 4 ปีที่แล้ว

    Lady jaydeee nakuaombaa karibu mombasa hata mm ni msaniii

  • @mosesjohn8922
    @mosesjohn8922 4 ปีที่แล้ว +1

    Umenikumbusha mbali sana'aa comando

  • @fatimamsangi2626
    @fatimamsangi2626 6 หลายเดือนก่อน

    Here in June 2024😊 You are BEEEEEEST Lady Jay D🙌🏾 You are a 5 star artist, mkali wa miaka yote, fundiii kabisa, MAJOR GENERAL🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Uishi miaka mingi mamaa🤍

  • @allyramadhan2558
    @allyramadhan2558 4 ปีที่แล้ว +1

    Hii ngoma inaponya corona....achana na hawa wavua chupi

  • @NIZAHRTVTibaAsili
    @NIZAHRTVTibaAsili 4 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri hugusa mioyo ya watu wazuri na wabaya.
    Hakika hii ni kazi nzuri kutoka kwa Dada Mkubwa Lady Jay Dee
    Gusa picha upande wa kushoto wa hii comment ili kupata njia sahihi za kujitibia bila kumeza dawa. Usisahau ku-like, subscribe and share.

  • @wardamwarami4789
    @wardamwarami4789 4 ปีที่แล้ว +13

    Ng’ombe hazeeki maini ❤️ the talent you have sis is endless, hazina ya Tanzania ❤️ keep the good music alive

  • @anoldrwehabura7795
    @anoldrwehabura7795 หลายเดือนก่อน

    bado ya moto aiseee🔥🔥🔥

  • @MrBandari12
    @MrBandari12 4 ปีที่แล้ว +1

    Please tunaomba utoe video tunaisubiria kwa hamu

  • @dream_force_studio
    @dream_force_studio 4 ปีที่แล้ว +24

    No like you my tisha sana beautiful sound ❤️❤️✅ jamani msinipite bila like zenu plz 🙏🏽❤️❤️

  • @dicksonmadembwemadembwe6753
    @dicksonmadembwemadembwe6753 4 ปีที่แล้ว +31

    Nikisikiaga hii nyimbo uwa namuona Mama angu🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️

  • @frankrobert3106
    @frankrobert3106 4 ปีที่แล้ว +2

    Umenikumbusha miaka hiyo ubwabwa marage una hadhi

  • @MjusSlam
    @MjusSlam 4 ปีที่แล้ว +4

    Taarabu sasa, tuondoe stress. Hakika hii nimeipenda

  • @ogetoj6245
    @ogetoj6245 3 ปีที่แล้ว

    Umefikisha ujumbe mwafaka kwa wale hao! Lako limekamilika, Dada Jaydee. Mashaallah! Dr. Ogeto International

  • @noxlosingida2369
    @noxlosingida2369 4 ปีที่แล้ว +1

    Umenikumbusha mbali kwa wimbo huu enzi hizo tulikuwa hatuna smartphone kama Siku hizi ukipigwa kwenye radio lazima ukae chini kwanza

  • @pendozacharia2803
    @pendozacharia2803 4 ปีที่แล้ว

    My role model piga kelele tatu kwa kwa jd

  • @sibiromallya5894
    @sibiromallya5894 4 ปีที่แล้ว

    Duhhh jide bado mautam yke hayaishi kabsaaa

  • @amaningonyani2775
    @amaningonyani2775 4 ปีที่แล้ว +4

    Japo sielewi kiswahili lakin hii nyimbo ni Kali ssna like nyingi kwa jide komando

    • @Ibratz255
      @Ibratz255 4 ปีที่แล้ว +1

      Jipatie kipato mtandaoni kwa mtaji mdogo kupitia hapa
      affiliate.iqoption.com/redir/?aff=154228
      Msaada zaidi WhatsApp #0679345914

  • @RidhiwaniShikeli-du6nv
    @RidhiwaniShikeli-du6nv ปีที่แล้ว

    We dada unajua Mungu akujalie uzima akulinde na maasidi wabaya karibu kenya

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 4 ปีที่แล้ว +5

    Wa kwanza kabisa dada Angu umeludi Ni 🔥 🔥🔥 🔥🔥 🔥🔥 🔥

  • @francoiskaris7163
    @francoiskaris7163 4 ปีที่แล้ว +17

    When it comes to vocal and lyrical prowess, lady jay dee is in the class of her own

  • @dismassamwel7130
    @dismassamwel7130 4 ปีที่แล้ว +1

    umeuwa sana mamii nakukubali sana

  • @ochiengmcochiengjohn8073
    @ochiengmcochiengjohn8073 4 ปีที่แล้ว +1

    Eeeeeeeh taarab lenyewe pooh nimelipenda jamani (njiwa ipeleke salamu mpaka huku kwetu taaaam sanaaa

  • @mtakamaonline7748
    @mtakamaonline7748 4 ปีที่แล้ว +1

    Offer offer nunua au kopa mobisol solar watt 40,80,120,200 ikiwa pamoja na TV inch 21-43 na taa zake tukuletee hadi nyumbani pamoja na ufungaji ni bureeeeeeh wahi sasa offer hii ipo jirani kuisha.piga simu 0764325083/0654362426.

  • @johnsonthuva1880
    @johnsonthuva1880 ปีที่แล้ว

    Taarabu moja safi sana,,huwa inanisisimua mara nyingi

  • @holidaytripstanzania
    @holidaytripstanzania 4 ปีที่แล้ว +9

    #JIDE #JD #KOMANDO #BINTIMACHOZI #LADYJAYDEE #JUDITHWAMBURA #MALKIAWABONGOFLEVAWAMUDAWOTE #DADA #MAMA ONGEZENI YAKWENU. nakukubali dada

  • @rosesamwely5931
    @rosesamwely5931 4 ปีที่แล้ว

    Dada umeutendea haki huu wimbo, hongera Sana.

  • @elijahmwinuka389
    @elijahmwinuka389 4 ปีที่แล้ว +9

    ❤❤💥💥hii safi paka sound unasikia ya kinyumbani sio these copycat songs za sikuizi, Jide u nailed this one for real

  • @mariaflorian9941
    @mariaflorian9941 4 ปีที่แล้ว

    waoo unasauti nzuri jama hongera sister jay

  • @وزينبتنزانيا
    @وزينبتنزانيا 4 ปีที่แล้ว

    Asante dada ake..kitambo sanaa

  • @WandigaKalambwada
    @WandigaKalambwada 4 ปีที่แล้ว +11

    🇰🇪 Represented

  • @lifeisgood4242
    @lifeisgood4242 4 ปีที่แล้ว +1

    Lady J. Umepumzisha moyo akili na mwili wangu. Uishi sana mamaaa.

  • @nancyosaka6473
    @nancyosaka6473 3 ปีที่แล้ว

    Sauti nyororo kweli 💖👏

  • @angelamarlow510
    @angelamarlow510 3 ปีที่แล้ว

    Na wale wenye kumbukumbu ya wimbo wa nimekua teja wa maapenziii
    Na wimbo wa Nakupendaa..❤.nakuitajiiii💟

  • @khalidshabani7600
    @khalidshabani7600 4 ปีที่แล้ว

    Jide kama ndizi inakomaa inazidi kuwa tamu...

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi,sio mpaka tuige Nigeria

  • @furniceondieki6471
    @furniceondieki6471 2 ปีที่แล้ว

    Lady Jaydee nakupenda mama

  • @hasamitv8050
    @hasamitv8050 4 ปีที่แล้ว +1

    Sijawahi kukutana na wewe ana kwa ana ila kiukweli ninakupenda sana tangu nilipokusikia kwa mara ya kwanza kitu cha penzi la milele. Love you sana tu

  • @brendahotieno5587
    @brendahotieno5587 2 ปีที่แล้ว +3

    Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 4 ปีที่แล้ว

    Ila fika mkuranga one day Dada langu

  • @kadehajoseph4852
    @kadehajoseph4852 4 ปีที่แล้ว

    Unajua jide

  • @shilangida4330
    @shilangida4330 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante kwa kunikumbusha marehemu star mombasani

  • @jumamwengwa4682
    @jumamwengwa4682 4 ปีที่แล้ว +1

    Jide wimbo mrefu na ni mdamuuu kama mrenda wa kwetu#Manyoni -Singapore(Singidani,singida😜😜😜😜😜😜#Komando jd💪💪💪

  • @kingcopper_tz
    @kingcopper_tz 4 ปีที่แล้ว +10

    Best vocalist of all the time

  • @saimonmbwambo8426
    @saimonmbwambo8426 4 ปีที่แล้ว

    Tsha sana commando wetu

  • @NeemaMedia
    @NeemaMedia 4 ปีที่แล้ว +2

    Hii ndio miziki,sio ile ya
    Ifike jioni unionyeshe alichokupa mama
    Dooh penda jide

  • @henrysanga8975
    @henrysanga8975 4 ปีที่แล้ว

    Daaa huu wimbo bado ni mzuri mno ....hizi ndo nyimbo bwana . Hongera sana dada Judith

  • @godlistenmtemi1361
    @godlistenmtemi1361 4 ปีที่แล้ว +1

    Umetisha Sana dada #jaydeeee

  • @tumainimhesi9689
    @tumainimhesi9689 4 ปีที่แล้ว

    Commando miaka buku jero kwako penda sana

  • @fredrickfilbert3922
    @fredrickfilbert3922 4 ปีที่แล้ว

    Wewe ni gwiji wa magwiji, ulionyesha umahili katika huu wimbo

  • @husnafunga1877
    @husnafunga1877 4 ปีที่แล้ว +3

    Wawooooo nyimbo iko poa Sanaa Dada Umejua kuitendea haki zote 💯💯❤️

  • @magorichacha6547
    @magorichacha6547 4 ปีที่แล้ว

    Hakika utakua mpya kila kukicha kwa kile alichokupa mwenyezi una sauti nzuri

  • @moreendanford7403
    @moreendanford7403 4 ปีที่แล้ว +3

    10000000%mama kubwa umetisha yani noma na nusu ❤❤❤

  • @nica6662
    @nica6662 4 ปีที่แล้ว

    dah had muwili unasisimka nikiuwek kweny sbf watu wanaingiy kwawingi love mama

  • @miriammuller2845
    @miriammuller2845 ปีที่แล้ว

    Zangu salamu uzifikize kwa Fulani❤🎉kutoka Swiss

  • @ploudyofmwera7509
    @ploudyofmwera7509 4 ปีที่แล้ว +8

    Best female singer of all time in eastafrica we cant compare u with any body

    • @Ibratz255
      @Ibratz255 4 ปีที่แล้ว +1

      Jipatie kipato mtandaoni kwa mtaji mdogo kupitia hapa
      affiliate.iqoption.com/redir/?aff=154228
      Msaada zaidi WhatsApp #0679345914

  • @alfaomega5371
    @alfaomega5371 4 ปีที่แล้ว

    Aliyepewa kapewa

  • @annysingrandy9712
    @annysingrandy9712 4 ปีที่แล้ว

    Umetisha sana jideboss

  • @salhamrishoaish9292
    @salhamrishoaish9292 4 ปีที่แล้ว

    Nacheza2 hapa

  • @saidimuhabeshy3650
    @saidimuhabeshy3650 4 ปีที่แล้ว

    nakukubali sana my judith wambura. wewe ni moto wa kuotea mbali. wadada wote waimbaji hakuna aliyekufikia hata mmoja

  • @kashuradiocles1068
    @kashuradiocles1068 4 ปีที่แล้ว

    Jay dee umenikuna sana, komandoo

  • @Nzinyangwa
    @Nzinyangwa 4 ปีที่แล้ว +5

    Huyu ndo komando bhanaa,,
    Unajua sanaaa komando,,
    10000000%

  • @praygodemmanuel6810
    @praygodemmanuel6810 4 ปีที่แล้ว +3

    Huongo mbaya nilishakumic sana sister 😘 saut nzuri kweli yaan inaingia mpka moyon sauti haikwaruzi😘😘😘

  • @zaidihussein4311
    @zaidihussein4311 4 ปีที่แล้ว +1

    Shabiki yako milele ww fundi

  • @sultansaidi8602
    @sultansaidi8602 4 ปีที่แล้ว

    Lady jaydee unatisha nimekukubali wafurukute mwaka miya hawakufikiyi unatisha

  • @aljazzytechno
    @aljazzytechno ปีที่แล้ว

    2023 ❤❤❤❤❤ @ladyjaydee

  • @yusufnalanda4186
    @yusufnalanda4186 4 ปีที่แล้ว +8

    +243 Congo RDC ,wewe ndiye Mama wa bongo fleva,ongera sana

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 4 ปีที่แล้ว +1

    Jay de upo vizr here we gooooooo
    Nakutaka next time nikuone #bungeni#

  • @wilsonkahamba8806
    @wilsonkahamba8806 4 ปีที่แล้ว

    Noammma bado nipo darasa LA 3

  • @masagapaul5039
    @masagapaul5039 4 ปีที่แล้ว

    Hongera Dia mama

  • @lilydaniel5860
    @lilydaniel5860 4 ปีที่แล้ว +5

    Njiwa is my favourite song of all the time. U did it komandoo .👍👍

  • @leilamdoe9178
    @leilamdoe9178 4 ปีที่แล้ว

    Mdada mwenye kipaji chake 😘😘😘😘😘😘 2020

  • @mhomboedward7200
    @mhomboedward7200 4 ปีที่แล้ว +3

    Tisha sanaaaaaaaaaaaaaaaa Comandoooooooooooooo jideeeeseeeeeee

  • @karimkibasa2001
    @karimkibasa2001 4 ปีที่แล้ว +2

    Old is gold like please if is true njiwa nakupenda