Kiswahili kitukuzwe! Tumemaliza kusherehekea siku ya Kiswahili duniani, waafrika wote tafadhali kienzi na kujivunia Kiswahili chetu tukipigia upatu na trumbeta kufikia watu wetu wa asili ya kiafrika waliotekwa nyara na kusakamwa huku ughaibuni kwenye utumwa. Nderemo, vigelegele na vifijo kutoka kwa watu wangu vipungiwe hewani. Salamu salaami kwa waafrika wote, amina.
Yusuf achana na mambo ya watu,wewe fanya kazi zako aza music,hawo wanasema eti wuko Hadji ni ni Hidja,siyo wewe,wewe M:.Mungu alikupa kipaji akiona kama ndo maisha yako,na kuonya fanya kazi,pepo siyo yawo ni ya ule alikupa khakiri hiyo ya music,asante tuko wote
A friend of mine used to play this song back in high school days and we all hated it but now i feel like crying every-time i listen to it. my favorite 😭😭 Nostalgia is a bad thing!! Thank you Iddy.
@@caljersilverhabor464 Painful endeed. We used to wish we were adults and now that we are adults we wish we're young again. Life sucks!!! Thank God for music like this
This amazing song brings me memories of the first day I stepped in Mombasa in 2003. To me it was like a signature tune that everyone needed to listen while in the Coastal towns of Africa.
Huu wimbo huwa inanifurahisha sana. Yanikumbusha ligizo na starehe zenye huwa ninapata kule pwani Mombasa. Kwa hawa wasanii ninasema shukrani na hongera sana kwa kazi njema.
Inanikumbusha ñdani Equatorial Grili Mtongani kwa Azizi Ally ndio ilikuwa maskani yao kundi hilo maarufu LA mziki wa taarabu ñchini kabla ya kuhamishia makao yao Traventine Hoteli Magomeni ukiacha Mzee yusuphu mwenyewe wakali wengine walikuwa Marehemu Mariam Hamis ambaye badae alienda New Zanzibar stars Modern taarab na pia zena Mohamedi ambae Alienda East Africa Merod
Nyimbo zote za Zanzibar stars zinanifanyaga nikukumbukage Sana miss ayecha Sada maana wakat nimefall in love with you ndo nyimbo nilikua nazickiliza ucku kujiliwaza, still in 💜 with u mama Salha....
In 2005 we had neighbors wa swahili wa Burundi then their maa mdogo loved taarab she had many albums so since then it deeply rooted in me was 5 y/o till now i love it❤❤ Watuu wa kariakoo lov U again
Dah huu wimbo umenikumbusha mbali sana nika nikiusikia huwa hisia zangu zinanirudisha enzi zangu na mume wangu kipenzi enzi za mapenzi yetu kabla ya kuwa mume na mke
Am here too say thank you God for this year 🙏🏽🙏🏽💝 nashukuru mungu wangu
my mum loves Taarab! i grew up listening to this type of music full blast! this sounds like Home
😊😊😊😊😊nice to hear that.
Najisikia kama nipo nyumbani Tanzania 🇹🇿,wallah enzi kama hizi sijui kama zitarudi,😍
255744144441 samahan lkn kwa usumbufu naomba nichek watsap
Hazirud i feel like crying i used to say nataka niwe mkubwa but now i want again being young
❤p😂😊@@mretamreta8058
Hey
Shkamoni mama zangu
Manshallah.
Nawamkiya mama zangu wadogo huko Dar salam na Bujumbura Buyenzi uswahilini.
Mimi Kudura Kasongo ML
Nikiwa katoto ka mama enzi hizo nilikuwa napenda taarabu sana mpaka now 2023
Kiswahili kitukuzwe! Tumemaliza kusherehekea siku ya Kiswahili duniani, waafrika wote tafadhali kienzi na kujivunia Kiswahili chetu tukipigia upatu na trumbeta kufikia watu wetu wa asili ya kiafrika waliotekwa nyara na kusakamwa huku ughaibuni kwenye utumwa. Nderemo, vigelegele na vifijo kutoka kwa watu wangu vipungiwe hewani. Salamu salaami kwa waafrika wote, amina.
mashaaAllah niko hapa 2021, nani mwingine wenzangu?
Tuko pamoja
Pamoja 👍👍
☝
@@moshiraelqady9513 👍
Pamoja
Yusuf achana na mambo ya watu,wewe fanya kazi zako aza music,hawo wanasema eti wuko Hadji ni ni Hidja,siyo wewe,wewe M:.Mungu alikupa kipaji akiona kama ndo maisha yako,na kuonya fanya kazi,pepo siyo yawo ni ya ule alikupa khakiri hiyo ya music,asante tuko wote
Me🥰
Any one in 2024❤
🎉❤
100!!
We're 2gether 2024.....❤❤❤
just fine
Y@@abdallahmwanga5792
Hongera sana wasanii wa taarabu nitadumu nae tena pole kwa kumpoteza baba wa taiga awamu ya tank mzee Joseph pombe magufuli💞👍
موسيقى وإيقاع جميل احب سماع هذا الأغنية مند مدة تحياتي من المملكة المغربية
Is Morocco a kingdom? I never knew. You are welcome. From kenya
Kenyans in the house one love....
revisiting 2022
SO beautiful! Upendo mwingi kwa Afrika! From the diaspora!
E.A.C. ❤️to the world. Tuwache kupunguzwa. 🇰🇪
@@t0n0k0 ll of
Ayyyeeeeeee East Africa 🌍 tune in!!!! 🇰🇪🇺🇬🇹🇿🇸🇸
A friend of mine used to play this song back in high school days and we all hated it but now i feel like crying every-time i listen to it. my favorite 😭😭 Nostalgia is a bad thing!! Thank you Iddy.
I concur with you. Nostalgia is painful thing...even if its not about death, just remembering my high school moments, i feel sad
@@caljersilverhabor464 Painful endeed. We used to wish we were adults and now that we are adults we wish we're young again. Life sucks!!! Thank God for music like this
@@donovanmars329غف
Your Profile Picture is Awesome 😊,we hukumbuka buddies later in Life, Good Tidings 😊
Listening this sweet song here in uganda. Tafadhali nipe likes, tuduumu pamoja. (y)
Jamani watoto wa pwani mtatuua,dash nakubali nataka paja babu💟👍
Nani ako humu mwaka 2020 nipe like
Nipo
Am here during lockdown quarantine covid 19
Nipo
Tupo kama kawa mambo ya pwanii
2020
Best taarabu ever. Milele nitadumu nae 😍😍.... InshaAllah
Rosa M bio 0
Real love taarab
This amazing song brings me memories of the first day I stepped in Mombasa in 2003. To me it was like a signature tune that everyone needed to listen while in the Coastal towns of Africa.
as à€~~ffffgg
Ik see to day 2023
Jamaa wa kinanda anaenjoy bana 🤣 kweli Raha jipe mwenyewe
hii wimbo noma, nimekuwa fan wa taarab wa nguvu!
Nice song. Keep it up Mzee Yousef. I love you.
Ani ako huku 2025 gonga like 😂
Ngoma Kali sana naielewaga
Mpaka 2024 bado twadumu naye ❤
2021 here I'm listening, team kenya,mapenzi yawe ya daima.... patamu hapo ❤️❤️❤️❤️
Mambo vp
Muziki mzuri na safi kabisa. Naburudika nao kutoka papa hapa jijini New York, Marekani. Mungu ibariki taarab. Waafrika tuko pamoja milele daima.
Genz wakuje waone vile zilikua zinatetemeshwa 😂😂😂
Pole pole tuu kata kiuno bila jasho ❤❤❤
20/12/24
2024 gonga like hapa
Yes Naipata kutoka hapa Canada mziki mzuri mzee yusufu Canada tunakupenda ..Tanzania yetu na muziki mzuri😘😘
The music make so emotional and home sick I just feel like heading to JFK airport now from Manhattan right now and going back home in Kenya.
Uko kama mimi wimbo mtamu sana
Welcome
Sasa ivi ameacha kuimba Taarabu yeyee shekh
Nimedumu nae 1994 Hadi 2021 🙏
All the best mpka sasa 27-3-2023 nimpate mke sahihi InshaaAllah nimuoe🙏
Who else is here in 2020?
Npo
Tupo tupo🔥🔥💯
Me
❤️
Iam
24/10/24 wenye tuko apa tujuane..yani nyimbo haziishi ladha👌👌
Huu wimbo huwa inanifurahisha sana. Yanikumbusha ligizo na starehe zenye huwa ninapata kule pwani Mombasa. Kwa hawa wasanii ninasema shukrani na hongera sana kwa kazi njema.
Wimbo mtamu wa taarab, kweli ukisikia 😊😊😊😊😊❤❤❤, nadata pwani sana ......❤❤😊😊.
2017 & 2018 this song is all time hit, ukikubali nami huu wimbo utadumu milele nipe likes..
KUDUMU NA ULIE MPENDA NA UKADUMU NAE NI RAHAAAAAAA, SANAAA
Ghalilly Omuko Chris izkxl
Ghalilly Omuko Chris likes
p1
inashika kwetu maishani mtadumu mlele
Taarab mambo yote zinatuliza mawazo yangu....kazi nzuri waimbaji wote wa taarab,,Maulana awalinde.
Fumbi and noma ❤
G4all 2mak t
How 2u love ❤️
I have literally searched for Mombasa songs 🤣😂 Kuumbe ni taarabu.
It’s 2022 life ain’t easy. I needed some songs to soothe my brain.
😅😅
😀😀😀love conquers "aneye jua mapemzi'
Ati Mombasa songs.....you've made my morning
😂😂😂😂
They are from Tanzania ,Zanzibar
Daah hii ngoma inanikumbusha mbali sana abdara dereva wa haki elimu ezi izo ndani ya dodoma
i luv taarab music....real african...mwaaaah
Mwaka ni 2022, wimbo bado wagonga ni kama ndo wapakuliwa kutoka jikoni. None compares to Taarab
I miss mad Africa!damn 11 years and am here!#Rwanda!i have heard grand pa is from Tanzania!maybe thats why am here!🥰
Sijui niseme nini bana ila ninayo furaha chungu nzima kwa taarab wimbo mzuri mwaaaaa waibanji barikiwa na wenu mwaaaaa
Wallahi naona rahaa, rahaa kama hii🇹🇿
Mwaaah good 👍 hii nimambo swafi nasikiza Kila jioni
I love this Tarab music...helps me learn more Swahili words.
Mr. Bagaika a.k.a Tajiri, I remember, it is not only that Taarab you like, what I remember from you, is you prefer almost all Taarab music.
+Edwine Mugarula i want to learn more about taarab music im from Mexico i love Bi kidude
dix song iko xna isey
Kiswahili is a beautiful language, and Taarab is beautiful music....very romantic.
I agree with you 100%.
Sijapata wa kudumu nae, lakini wimbo huu unanipa matumaini. One of the biggest EA songs ever.
In Kenya, when you hear Taarab you just know you are in Mombasa
Eddie kimutai not only in Mombasa
Am from Nairobi nugu hii😅
Inanikumbusha ñdani Equatorial Grili Mtongani kwa Azizi Ally ndio ilikuwa maskani yao kundi hilo maarufu LA mziki wa taarabu ñchini kabla ya kuhamishia makao yao Traventine Hoteli Magomeni ukiacha Mzee yusuphu mwenyewe wakali wengine walikuwa Marehemu Mariam Hamis ambaye badae alienda New Zanzibar stars Modern taarab na pia zena Mohamedi ambae Alienda East Africa Merod
Rwanda kingari tuna kubari wibohuyu ziripendwa na fagiriya
😍👀👂⌚🙌👊nice
Mapenzi ❤❤❤ yatadumu 😊😊😊
In Tanzania when you hear taarab you just know either you are in Zanzibar or Dar es salaam.
And Tanga👌👌
Mashaallah 2024🎉🎉zilipedwa Kama tuko Powa like nyingi tafathali 😊
Yaarabi iwe salama nifike Zanzibar, Tanga kwa taarab.
❤ Naipata wimbo apa Moçambique, kama zamani nafuraika🎉
2023🎉🎉🎉 , Taraab is still cool music , it reminds me the cool coastal life
Watoto wa Pwani ndio wako on the Dance floor,I Salute
December 14 mwaka 2019 ninasikiliza gonga like kama unasikiliza mwisho wa mwaka huu
Nyimbo zote za Zanzibar stars zinanifanyaga nikukumbukage Sana miss ayecha Sada maana wakat nimefall in love with you ndo nyimbo nilikua nazickiliza ucku kujiliwaza, still in 💜 with u mama Salha....
wimbo wa zamani sana lkn ukipigwa unaonekana kama ni nyimbo mpya vile.wate wanao ikubali nami nawakubali sana
Ndiyo ujakoseya
Hamimu HASSAN ushasema 😍😍😍
irene njeri nandy
@@adrophinanguajumaa5594 tarabu
Mpya
Mbaka Leo ni Kali safi sana watunzi na waimbaji BG up.
In 2005 we had neighbors wa swahili wa Burundi then their maa mdogo loved taarab she had many albums so since then it deeply rooted in me was 5 y/o till now i love it❤❤
Watuu wa kariakoo lov U again
I really miss Mzee Yusuf 2020🔥🔥
Niko ndani hapa na taarabu ni tamu tamu ya mumbao.. I like the song
2021 still my favorite all the way from kenya❤❤
Hehehee wanao chonga nawachonge mpango wao respect mzee yusuf the king of taarab
huwa nikisikiliza hii nyimbo yanikumbusha mbali sana nasikiliza nikiwa warabuni
Anzazi Ngamba hata mimi niko arabuni natamani nyumbani sana hadi machozi yanitoka
mpo.pand gn mm nipo mascut
Anzazi Ngamba Qoto.Qoto
Maria mudy
Anzazi Ngamba oya
2024 live tupo kama kawaida maisha hayarudi nyuma ila yakale dhahabu
love taarab music here in Uganda
Mombasa Kenya hawana Haraka
In Rwanda, when you hear Taarab you just know you are in Nyamirambo
Manshallah 2024 ningali kbs❤❤❤
anavyojua mapenzi ..sijaona ksma yeye na kumkosa siwezi...mmmmmh thz song soothes me ...hongera wana pwani.
it juz kills yu softly.....
Mkoyogore zikili
Taarabu hii inanikumbusha mbali sana
My favourite taraab song both in smoothness and meaning. Good music for all ages.
I really miss Mombasa and the Taarab music and dances.
Listening from Oman via UAE
Volume hadi Oman
Volume basi hadi oman
❤2023 wengine wanaosikiza gonga like
This song is so good,I have been watching this video with my wife at home but we have not been getting an end for watching this video taarab.
13 September 2023 Nan tuko sawasawa, gonga like hapaaa
Nitampenda mapenzi ni yake yeye 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
WaKenya 🇰🇪 muko
Am trying to download it but inakataa,can you help
Mziki huu wanipoza roho ninapojaliwa neema ya mungu adui zangu wakiinuka
WOW What a nice song nitadumu mzee yusuf yukoo juu what a big T.B.T
special dedication to my lady wherever she is...forever nitadumu nawe,,,mwaaaah
Watched it in 1999
Watched it in 2009
Watching it in 2019
Hope you’re watching in 2024!
Hope you’re watching in 2024!
Twende kasi wakwetu. I love ❤️ the beats 💓 🎉
Nitadumu naye ,october 2019 who listens???? Llke kama zooteee
mm hapa
Hapana mchezo
Dah huu wimbo kitambo sana
MPka sasa naukubali Kinoma
mzee yusuf amesifu huyo manzi. luv dat
Good soothing music, as it relaxes me and keep me working hard on these files.
Am staying in South Africa still enjoying this song😘
Nakula pasi Na shaka,napewa nachotaka...haahaahaahaahaa,,iwe ndani ya sahani.weweeee weka mbali Na watoto.Namkubali sana kaka angu MZEE yusuph
Am in britain ,i dont understand that language but its a nice the song.and the ladies are very beautiful
Swahili
The language of the song is Kiswahili
hii wimbo noma, nimekuwa fan wa taarab wa nguvu! naona watoto wapwani
Heeee long time miaka 10 hd leo tngu nik na miak 11 hd leo nik na cm yng md uloandik ujumb huu upo lkn jmn
my fav taarab song..growing up in Mombasa Kenya
Same to me mtoto wa kongowea
Dah huu wimbo umenikumbusha mbali sana nika nikiusikia huwa hisia zangu zinanirudisha enzi zangu na mume wangu kipenzi enzi za mapenzi yetu kabla ya kuwa mume na mke
Mimi ni mbajuni Naipenda taarabu Sana ❤❤❤
Muna Muna stylista Mbajooo!penda pia
kenyan love this shit too..
Napenda shaanaa hii ngoma..mistari imepangwa ikapangika!!
Nakumbuka hii ...nikiwa mash pouwa mara ya kwanza nikienda mombasa
Tiga endugu,inateza Sana.
Habari Ndio Hiyo.Kumkosea sieezi
After 10 years am still here 🙌🏽 timeless
Kwa raha zangu Mimi, nazipenda
God is wonderful. Were you also in that music video?
thanks mzee yusufu, hata mimi nitadumu na milka cherop bor watu wasilete nyefunyefu pamoja na wivu wao.
asante sana