NIKO KAMA PICHA DUNIANI BY DANIEL SIFUNA. || MASHAKA MASHAKA TWAYAONA || HAPA DUNIANI SIO KWETU.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 536

  • @BrianOmbaba
    @BrianOmbaba 26 วันที่ผ่านมา +2

    kweli wimbo huu umenikumbusha mbali sana naomba mungu alinde familia yangu siku zote

  • @centynafula7080
    @centynafula7080 7 หลายเดือนก่อน +53

    Nijapo anguka, najua nitasimama tena ,kimbilio langu n kwa Yesu 🙏

    • @danielsifuna7377
      @danielsifuna7377  7 หลายเดือนก่อน +8

      Amen 🙏🙏🙏❤❤❤❤

    • @BrendaBrendaTete
      @BrendaBrendaTete 7 หลายเดือนก่อน +3

      Amen God bless you man of God kuwa na hiyo moyo wa kutusongesha mbele za bwana kuwa na imani brother yangu usikate tamaa mbingu itakapo funguka utakuwa wa kwanza kuingia mbinguni ❤❤❤you my brother tank you ❤❤❤❤❤❤🎉

    • @DavidMusyoki-rb3nu
      @DavidMusyoki-rb3nu 6 หลายเดือนก่อน +1

      Amen

    • @DavidMusyoki-rb3nu
      @DavidMusyoki-rb3nu 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@danielsifuna7377Man of God can I get your number

    • @EuniceWanza-j7d
      @EuniceWanza-j7d 4 หลายเดือนก่อน

      Amen

  • @GloriaBlessed-f8n
    @GloriaBlessed-f8n 10 วันที่ผ่านมา

    Nishike mukono mungu wangu nakupeanda sana ohh my God this song is very nice my follow uganda

  • @mariemwende9751
    @mariemwende9751 7 หลายเดือนก่อน +3

    Sijui Mungu ametutolea wewe wapii nice songz akiee keep up 😫

  • @christinemutheu5791
    @christinemutheu5791 7 หลายเดือนก่อน +6

    Barikiwa sana ndugu kwa wimbo wakutukumbusha tuko safari

  • @LOYCEOMINI
    @LOYCEOMINI 7 หลายเดือนก่อน +3

    Amen 🙏 🙏 🙏, ninaposikiza huu wimbo huwa unanipa faraway na amani moyoni mwangu barikiwa sana ndugu yetu na Mungu akaweze kupanuwa huduma yako.

  • @AlexNyambane
    @AlexNyambane 7 หลายเดือนก่อน +3

    Barikiwa mtumishi wa Mungu ,huu wimbo ni mzuri wa kutuliza roho ns kutupea tumaini

  • @nifavihenda564
    @nifavihenda564 7 หลายเดือนก่อน +2

    Amen hii wimbo inanifanya nijue hii Dunia tumerent saa yeyote tunaeza acha na kueda yes

  • @chelseasweetie4134
    @chelseasweetie4134 6 หลายเดือนก่อน +3

    Amen,your a blessing to me ,Yesu ndiye kimbilio langu🙏

  • @RehemaTserea
    @RehemaTserea 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli haya maisha ni safar lakini naamini ntashinda eee mungu nipe nguvu ya kushinda na Amin ushindi❤

  • @EuniceAdhiambo-d5p
    @EuniceAdhiambo-d5p 19 วันที่ผ่านมา

    Have shade tears nikikumbuka what am going through and nikikumbuka siko na watoto wangu juu ya maisha ewe mungu naomba nifungulie njia nipate venye naweza kaa na watoto wangu

  • @williammduma5551
    @williammduma5551 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika wimbo huu ninapousikiza unanifariki Sana mungu akubari sana

  • @EmmanuelBoniface-k3n
    @EmmanuelBoniface-k3n 2 หลายเดือนก่อน

    Huu wimbo unanifanya nijione mm ni mavumbi pia unaponya roho yanguu ahsant sana Daniel sifuna munguu akubariki sana

  • @MaryMukite-on3bw
    @MaryMukite-on3bw 7 หลายเดือนก่อน +2

    Enyewe maisha ya sai bila yesu sioni kitu kabisa keep it up

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 7 หลายเดือนก่อน +2

    Amen amen amen Mtumishi wa Baba yetu aliye Mbinguni. Amen.

  • @harietagesa40
    @harietagesa40 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen, Amen. Amen. Am really blessed, duniani si kwetu,makao mazuri ni mbinguni

  • @VirginiaK-cz7mn
    @VirginiaK-cz7mn 7 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa xana mtumishi wa mungu Kwa wimbo wa kutukumbusha tuko safarini

  • @GraceCosmas-wq6eg
    @GraceCosmas-wq6eg หลายเดือนก่อน

    Mmmmh kwel dunian tunapita, makao mazuri ni mbinguni tujitahidi ndugu zangu

  • @VayoReuben
    @VayoReuben 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen mwimbo unaguza moyo kimbilio ni mungu

  • @MetrineSitati
    @MetrineSitati 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen man of God ubarikiwe sana qw kwel wimbo huu unanifariji sana

  • @كاتريناكاترينا-ب1ف
    @كاتريناكاترينا-ب1ف 4 หลายเดือนก่อน +3

    Barikiwa sana mtumishi

  • @violetnasimiyu8718
    @violetnasimiyu8718 5 หลายเดือนก่อน +1

    Barista sana mtumishi wa Mungu kwa kututia moyo.

  • @MajorApollo-f3h
    @MajorApollo-f3h 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nimependa hi wimbo Sana mungu wa amani akujaze

  • @JeritaMunala
    @JeritaMunala 7 หลายเดือนก่อน +2

    Waah leo umeniweza hii wimbo imenihubiria Asante Amen amen ubatiwe

    • @JeritaMunala
      @JeritaMunala 7 หลายเดือนก่อน +1

      Ubarikiwe sana

  • @teresiawanjiru66
    @teresiawanjiru66 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wow karibu niokoke nafeel if nko heaven nikiimba na malaika

  • @MercyCheptoo-fx8nl
    @MercyCheptoo-fx8nl 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen🙏🙏🙏🙏 sikujui but nimependa wimbo yako,so touching 😊

  • @newtonwanyama1846
    @newtonwanyama1846 6 หลายเดือนก่อน +2

    Amen 🙏🙏, Mungu tushike mkono nchi yetu ya Kenya isizame 😥

  • @loicewambul3836
    @loicewambul3836 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akupe nguvu uzidi kutubariki na nyimbo nzuri kama hizi

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo 5 หลายเดือนก่อน

    Hii ndio wimbo natumia kuomboleza my mother inlaw 😢😢kimbilio langu ni kwako yesu

  • @kidawaadam2725
    @kidawaadam2725 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amina mungu nimwema kweri nitajificha kwa yesu amina

  • @EuniceMutua-n5m
    @EuniceMutua-n5m 2 หลายเดือนก่อน

    Wonderful songs,barikiwa mtumishi

  • @nancykavere
    @nancykavere 7 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa hakika kimbilio langu ninkwa Yesu,kamlndo na yeye hatuna mwgne wa Dunia ni waongo tu watakusaindia Leo kesho wako kwa kikao kukusema 😢😢😢, barikiwa sana mtumishi

    • @danielsifuna7377
      @danielsifuna7377  7 หลายเดือนก่อน

      Amen amen

    • @RichardGindulya
      @RichardGindulya 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@danielsifuna7377... Ubarikiwe sana ..kwer hapa Dunia sio kwetu

  • @rosemary3235
    @rosemary3235 7 หลายเดือนก่อน +3

    niko kama picha dunia barikiwa sana mtumishi wa mungu kwa ujumbe muhimu sana

  • @msigwaaamhozyaaa9923
    @msigwaaamhozyaaa9923 หลายเดือนก่อน

    Kweri mashaka twayaona rakini kibirioretu nikwayesu. Asante. Mtumishi. Mungi. Akuinue. Sana kwahuduma zuri

  • @nellyjepchumba
    @nellyjepchumba 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙌🙏,this song rimains me about my late beloved mom Alikuwa ananipenda kweli😭😭😭,RIP murm

  • @yunispatrick8613
    @yunispatrick8613 7 หลายเดือนก่อน +2

    Wow, hallelujah 🙏🙏 Kimbilio langu ni kwa Yesu kristo 🙏🙏, Glory be to God

  • @felixkipkosgei-uy2gc
    @felixkipkosgei-uy2gc 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wonderful song mtumishi barikiwa sana ,,

  • @HellenWafula-q6r
    @HellenWafula-q6r 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika makao mazuri ni binguni,barikiwa sana mtumishi.

  • @PriscahAtieno-cd4pm
    @PriscahAtieno-cd4pm 7 หลายเดือนก่อน +1

    Aman and Amen Glory to God kweli kimbilio letu ni kwa Yesu

  • @GladysWamboi-ne7zb
    @GladysWamboi-ne7zb 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wangu tuzidishiye upendo wa kristo. Moyoni 🙏🙏🙏

  • @ruthomundi253
    @ruthomundi253 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kimbilio la pekee ni yesu,nijapopitia kipindi kigumu maishani

  • @faithkalondu3053
    @faithkalondu3053 7 หลายเดือนก่อน +1

    That song weeeee n kali, inakufanya utafakari mbinguni😢😢😢😢😢, mungu nisaidie kusimama

  • @GladysOchola
    @GladysOchola 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika mwenyezi mungu ndiye kimbilio letu. Ubarikiwe mtumishi 🙏🙏🙏🙏

  • @SgsgGsgs-zk9ib
    @SgsgGsgs-zk9ib 6 หลายเดือนก่อน +1

    B blessed, your songs sinanifanya nakarimbia Mungu wangu, mungu hakuinue zaidi

  • @ElizabethMuthui-k5g
    @ElizabethMuthui-k5g 7 หลายเดือนก่อน +3

    What a wonderful song is this 🙏👏🙏♥️👍,,,barikiwa sana mtumishi mbele iko sawa tukiwa ndani ya yesu

  • @Faith-tu1mn
    @Faith-tu1mn 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo nyimbo imeniguza Sana hata kweli mm nikamini tuko Kama picha duniani

  • @mildredsakali2243
    @mildredsakali2243 7 หลายเดือนก่อน +3

    AMEN 🙏 Glory Be To God Almighty 🙏 Bwana Akubariki Mtumishi

  • @CHRISTINEMAPENZI-e6e
    @CHRISTINEMAPENZI-e6e 7 หลายเดือนก่อน +4

    Amen mtumish Ubarikiwe sana kwakwel huu wimbo unanifariji kwa ninay yapitia🙏🙏🙏🙏

  • @ElizabethStephen-cy4pj
    @ElizabethStephen-cy4pj 7 หลายเดือนก่อน +1

    Aki hiyo song we Iko poa sana may God bless you

  • @emmanuellisangari3728
    @emmanuellisangari3728 6 หลายเดือนก่อน +1

    Very nice gospel,it carries a big message.Unatia moto kweli kaka.

  • @gloriachepkorir784
    @gloriachepkorir784 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen..Makao yetu ni mbinguni..

  • @AnnCelestine
    @AnnCelestine 5 หลายเดือนก่อน

    Amen amen.atujui siku wala saa.ubarikiwe sana bro

  • @AnnSudi-bw7ue
    @AnnSudi-bw7ue 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli mungu asikuwache kwa kazi unayo Fanya barikiwa kuingia kwako na kutoka

  • @alfrednyunyi
    @alfrednyunyi หลายเดือนก่อน

    Vraiment mwimbo huyu una nibariki sana tu

  • @estherwamalwa3881
    @estherwamalwa3881 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wonderful my lovely brother hii song nilipenda nikiwa young

  • @evangelistsangathomas828
    @evangelistsangathomas828 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mtumishi bwana awe nawekila wakati.i love your message through your songs .

    • @danielsifuna7377
      @danielsifuna7377  7 หลายเดือนก่อน

      Aaaamen🙏🙏🙏❤❤❤❤

    • @PaulNdayi
      @PaulNdayi 5 หลายเดือนก่อน

      Bienvenue papa bien🎉👍

    • @Nancychemkang
      @Nancychemkang 2 หลายเดือนก่อน

      Amen 🙏

  • @jamilajosephat917
    @jamilajosephat917 2 หลายเดือนก่อน

    Ee MUNGU wangu nisaidie mimi, nimalize mwedo wangu salama.

  • @Praxidesendedo
    @Praxidesendedo 2 หลายเดือนก่อน

    Eeee mungu nilinde na familiar yangu yote ututie nguvu na jua mungu uko na unatupenda tulinde mungu 🙏 🙏🙏

  • @SammyodhiamboOuko
    @SammyodhiamboOuko 5 หลายเดือนก่อน

    Shukrani kwa Wimbo huu mola azidi kukufunulia mengi

  • @RehemaTserea
    @RehemaTserea 6 หลายเดือนก่อน

    Kweli haya maisha ni safar lakini naamini ntashinda eee mungu nipe nguvu ya kushinda na Amin ushindi

  • @EuniceAluoch-sm7rl
    @EuniceAluoch-sm7rl 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu zidi kunibariki kupitia huu wimbo

  • @joskyshams4758
    @joskyshams4758 4 หลายเดือนก่อน

    Dada yangu alikuwa anapenda kuimba huu wimbo kabla niokoke sahii niliokoka.

  • @jacklynelikalamu7315
    @jacklynelikalamu7315 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen mtumishi wow unanikumbusha mbali,nabarikiwa sana sana

  • @cyruskeroro-cu3up
    @cyruskeroro-cu3up 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi Mungu najua duniani niko kwa kupita ila naomba siku yako unikumbuke mbinguni

  • @sparnoffjetkey1749
    @sparnoffjetkey1749 6 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana danieli sifuna🎉wimbo mzuri

  • @wanjarita8865
    @wanjarita8865 7 หลายเดือนก่อน

    Amen,kimbilio kweli ni Yesu.nimebarikiwa.

  • @stephensadike6119
    @stephensadike6119 7 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana ndugu Daniel sifuna ❤❤ wimbo umenibariki🙏🙏🙏

  • @EstherBanda-p9j
    @EstherBanda-p9j 3 หลายเดือนก่อน +2

    Napenda uimbaji

  • @mamaleah646
    @mamaleah646 7 หลายเดือนก่อน +1

    AMEEEN huu Wimbo umenikumbusha mambo mingi😢😢

  • @MargaretMakau-w8o
    @MargaretMakau-w8o 3 หลายเดือนก่อน

    Sote twabiria dereva ni mungu na kimbilio letu ni yesu😊😊

  • @AndreMkd-ky8lm
    @AndreMkd-ky8lm 7 หลายเดือนก่อน +2

    truly glory to him who lives for centuries and who is our refuge.. God bless you man of God

  • @wilycksterwere1921
    @wilycksterwere1921 7 หลายเดือนก่อน +3

    Amen Amen
    May Daddy,brothers, grandparents and son continue resting in peace ✌ 🙏..hapa duniani sisi ni wapitaji tu😢😢

  • @EuniceBungei-p6j
    @EuniceBungei-p6j 5 หลายเดือนก่อน

    Asnte sana Daniel napenda wimbo zako zote,najisikia nikibarikiwa na nyimbo zako Wacha mungu akujaze nguvu unapoendelea

  • @geoffreymangera9344
    @geoffreymangera9344 7 หลายเดือนก่อน +3

    Amen amen kweli kimbilio letu ni Kwa yesu

  • @clarenaliaka7573
    @clarenaliaka7573 7 หลายเดือนก่อน +1

    😭😭😭😭😭😭 Ewe Mungu Baba niokowe na unikinge na maovu ya ulimwengu nikutumikie siku zote🙏

    • @ChukulKeids
      @ChukulKeids หลายเดือนก่อน

      ❤❤

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu nishike mkono nizizame wakati huu mgum kwangu 😢😢🙏🏻🙏🏻

  • @cletusgitonga2611
    @cletusgitonga2611 3 หลายเดือนก่อน

    Sijui nikupe nini mungu kwa mateso hayo yoote juu ya dhambi zangu mimi.always protect me from sin n temptation that lowers the sacrifice u made to upgrade my future into a defined one.thanks God,I shall always be with you 😢😢😢

  • @kennedymaingi8538
    @kennedymaingi8538 7 หลายเดือนก่อน +1

    Niko picha man mungu akulinde🎉

  • @SelinaPhilip-v1u
    @SelinaPhilip-v1u 4 หลายเดือนก่อน

    Na kweli hatujui wakati wala saa,,, great massage

  • @gladysjepichii
    @gladysjepichii 6 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mtumishi nyimbo zako zinanibariki tukiwa ndani ya yesu

  • @SizarinahMwikali
    @SizarinahMwikali 2 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana mtumishi wa mungu

  • @Yvonnekaki-s6p
    @Yvonnekaki-s6p 4 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi mungu akubariki nyimbo zako sinaniguza sana be blessed

  • @gladyskenga-v8w
    @gladyskenga-v8w 5 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu huu wimbo ninapo usikiza nasikia unanichoma roho yangu sana

  • @Sarahmanasl
    @Sarahmanasl 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen barikiwa sana in Jesus name 🙏🙏🙏🙏💞

  • @MercyFrancis-us9nx
    @MercyFrancis-us9nx 3 หลายเดือนก่อน

    Amen amen 🙌🙌🙌🙌 naendelea kubarikiwa wakati ninaishiwa nguvu mungu akubariki sana

  • @EliyaNajem6
    @EliyaNajem6 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwetu ni mbinguni,very true

  • @IrineOmondi-pc6gq
    @IrineOmondi-pc6gq 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli dumiani sio kwetu mungu nilinde ni songeshe hawa watoto wangu hata kama siku moja utanichukwa nichukwe wakiwa wakubwa Ameen

  • @MaureenAteya
    @MaureenAteya 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huu wimbo umeninguza katika jina la yesu

  • @StanleyBergerCaleb
    @StanleyBergerCaleb 6 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli nduku Daniel mwenyezi mungu azidikubariki

  • @Christianjr-s1p
    @Christianjr-s1p 5 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana kwa ujumbe mzuri mtumishi

  • @DerickMaweu
    @DerickMaweu 7 หลายเดือนก่อน

    Daniel mungu akuinue talanta yako ni ya ukweli ❤

  • @AnisaMwende
    @AnisaMwende 7 หลายเดือนก่อน +1

    Congratulations ,wimbo mzuri sana

  • @Redemtermusau
    @Redemtermusau 7 หลายเดือนก่อน

    Amen amen kweli hapa duniani sio kwetu kimbilio langu ni kwa yesu

  • @shahlovequeen
    @shahlovequeen 3 หลายเดือนก่อน

    Ukweli ndunia c yetu,,,kama mm sioni mahali naenda wala nimetoka😞🙏🙏🙏🙏🙏

  • @jacquie329
    @jacquie329 5 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah. Kimbilio langu ni kwa Yesu🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @RichardGindulya
    @RichardGindulya 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe Mtumishi..nipo kama picha hapa Dunia .kimbilio langu nikwa yesu

    • @danielsifuna7377
      @danielsifuna7377  7 หลายเดือนก่อน

      Amen❤❤❤🙏🥰

    • @RichardGindulya
      @RichardGindulya 7 หลายเดือนก่อน

      @@danielsifuna7377 ..... Napenda sana nyimbo zako Mtumishi nakupata. very very kutoka hapa Zambia ..inanifanya nimis Tz kwetu

  • @sherryowilla6836
    @sherryowilla6836 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli hapa duniani sio kwetu, God bless you mtumishi

  • @EuniceBungei-p6j
    @EuniceBungei-p6j 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Daniel najisikia nikibarikiwa na nyimbo zako zote Wacha mungu akujaze roho mtakatifu

  • @winfredmwikali7001
    @winfredmwikali7001 7 หลายเดือนก่อน

    Kweli Niko Kama picha duniani🙏be blessed brother Mungu anakupeleka mbali kwa huu ufunuo

  • @vivianayona-zc7wo
    @vivianayona-zc7wo 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu unataka nn moyoni mwangu maana sijui siku wala saa ya mm kuondoka humu nduniani ,ninaomba unvue vazi la dhambi univishe vazi la wokovi