'TUSTAFUTE MCHAWI...' MASTAA YANGA WAZUNGUMZA BAADA YA KUTUA DAR, INJINIA HERSI AONGEZA MZUKA CAFCL

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 6

  • @saidhamza5318
    @saidhamza5318 4 วันที่ผ่านมา

    Yanga wanaonekana dhahir wanashida miguuni, miguu mizito, control hakuna ..sijuw yale mambo ya sindano yana ukweli kias gani i see 😳👀

  • @twahakabajemi9716
    @twahakabajemi9716 4 วันที่ผ่านมา

    Wachezaji hawajitumi wapambane kwa manufaa yao

  • @ChristopherYambayamba-w9e
    @ChristopherYambayamba-w9e 4 วันที่ผ่านมา

    Timu haina wafungaji

    • @seifmsabah4384
      @seifmsabah4384 4 วันที่ผ่านมา

      Siku zote anafunga nani ilikua?

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 4 วันที่ผ่านมา

      Kafunge wewe mchawi!!

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@seifmsabah4384jamaa kasema ukweli Yanga inatakiwa ipate wafungaji wawili hatari zaman Aziz K alikuwa akifika golin anafumua mashuti kipa akitema tu wengne wanafunga ulikuwa ni mchezo mzuri kwa Yanga kama ilivyokuwa mechi ya jana nadhani uliona kilichotokea baada ya shuti kali kutemwa na kipa Yanga ilipata goli kwa mtindo huo lakin kwa kutegemea machenga mpaka golin wafunge wachezaji wa Yanga kwa upande wa ufungaji kwao ni ngum