'HII SIO SIMBA TUNAYOIJUA SISI, YANGA WANAFUNGWA LAKINI WANACHEZA VIZURI' TUNDA MAN ATEMA NYONGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 124

  • @NathanKanick
    @NathanKanick 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Simba wamecheza vizuri sana ila tatizo la simba lipo kwenye aliziaji na usahihi wa pasi za mwisho

  • @HusnaKibwana-t2e
    @HusnaKibwana-t2e 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Nanyie mpunguze ukali wamaneno.mtawaudhi wachezaji

  • @drgeofreykupaza7707
    @drgeofreykupaza7707 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kwaiyo jana hatujacheza kipasheni

  • @abdisalim7900
    @abdisalim7900 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Pasi za nyuma zimezidi mno na bila sbb kwa sbb half ya kwanza licha ya kufungwa lile goli lkn tuliukamata sn mchezo lkn pasi za nyuma zikizidi mno kiasi cha kujiuliza km hawa watu wana mgomo?nadhanikocha akibadilisha mambo machache ikiwa ni pamoja na kuongeza kasi,km walivyocheza dk za mwisho tunaweza tukafika mbali.Simba nguvu moja!!

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Exactly 💯

  • @mustamimmushajara8992
    @mustamimmushajara8992 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tunda kaamua kuongea kinafiki 😂😂😂😂

  • @GeneralNdembo-rf9mp
    @GeneralNdembo-rf9mp 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂 kweli tumeumia kupoteza nafasi nying

  • @gladnessmichael9384
    @gladnessmichael9384 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Msimtukane tunda sio powa huu niushabiki tyu maswala ya mmbwa tena

  • @MohamediOmari-nz4vv
    @MohamediOmari-nz4vv 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tusajili tena hatuna forward

    • @emmanuelmayunga1518
      @emmanuelmayunga1518 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Forward tunao ila nafasi hazitengenezwi

  • @FiudiKasitu
    @FiudiKasitu วันที่ผ่านมา +2

    Uwa sikupendi ila leoo umeongea ukweli

  • @IssaMatandi
    @IssaMatandi 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kaka tunda nimekuelewa sana.Tupo pamoja kaka.

  • @SUDIJR-DM8
    @SUDIJR-DM8 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwambieni tunda man timu ya kibingwa haichezi vizuri hata kidogo. Simba iliyokuwa inacheza vizuri imeishia robo fainali
    Tunachotakiwa ni kuwatia Moyo wachezaji na benchi la ufundi that is over

  • @eliashagai7920
    @eliashagai7920 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wewe boya Jibu hachez peke yake,acha roho mbaya,Simba oyeeee

  • @jonathanmallan4811
    @jonathanmallan4811 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kweli kabisa, wachezaji wanacheza kinyonge sana. Mawasiliano ndani ya timu hayapo. Wachezaji hawana muunganiko. Pira bilioni hakuna. Timu haichezi vizuri. Forward hakuna. Ateba na Mukwala sio washambuliaji, hawana uchu wa kufunga

  • @AnyosisyeKiluswa-fe2eu
    @AnyosisyeKiluswa-fe2eu 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunamshukuru Mungu tumeshinda, timu inajengwa huyu bwana awe na subira.

  • @MeshackLigate
    @MeshackLigate 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwa mala ya kwanza kaisifia yanga

  • @DhahiriHamisi
    @DhahiriHamisi 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hasa msitali wa mbele hama kitu atawai kufunga goli la mipango tunahatisha tu

  • @FrancisBenard-m9s
    @FrancisBenard-m9s 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mashabiki bn ni kero kwakweli yan wameshasahau kuwa bado tunajenga timu, unafananishaje simba inayojengwa lkn inashinda na yanga yenye compactness lkn wanapoteza,,,? All in all kocha afanyie kazi makosa yaliyopo,,,ukisema unataka simba unayoijua maana yake urudishe wachezaji waliokuwepo misimu ya nyuma au ,,,,? Tuwe tunaelewa sometimes sio kulalamika lalamika 😢

    • @saimonseleka8792
      @saimonseleka8792 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nani mshabiki maandazi kati ya wewe na Tunda sasa

    • @FrancisBenard-m9s
      @FrancisBenard-m9s 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @saimonseleka8792 ni wewe... kulalamika tu,inamaana kuna timu inayokuja kufungwa tu kirahisi na Simba hawajiandai? Hakuna timu inayocheza vzr siku zote,changamoto ni za kawaida kwenye mpira ,,,muhimu ni kushinda mechi kwanza wakati mwalimu akitengeneza compactness ya timu,,Ninaheshimu mbinu za kocha Fadru kucheza hizi mechi za kimataifa

    • @saimonseleka8792
      @saimonseleka8792 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@FrancisBenard-m9s timu inatakiwa ioneshe kitu machoni mwetu

  • @siphifahashimu9723
    @siphifahashimu9723 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    kwelii yanga wanacheza

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa maelezo ya Tunda yanamaanisha kwamba Kocha wa Simba ni mbovu.

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunda tatizo la simba lipo kwa cocha hamna shughuli mule

  • @DhahiriHamisi
    @DhahiriHamisi 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ww nakukubali sio mshabiki maandazi unasema ukweli kabisa mm pia simba damu ila simba inatuangusha sn atuchezi vizur

  • @badendavid8456
    @badendavid8456 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunda uko sahihi,ingawa hakuna mechi rahisi

  • @ChristopherSumary
    @ChristopherSumary วันที่ผ่านมา

    Umenena tunda kiukwel wapo slow dawn sanaa hasa pas za nyuma zimekuw nying na show gem kama vile tunaongoza goal tano bwana kiukwel inaboa sanaa

  • @OmarNasor
    @OmarNasor 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hamnalolote nyinyi mtabakimwaka robo hatakwenye shirikisho la waliofeli mpaka udugukwa refa

  • @MohdRajab-w9t
    @MohdRajab-w9t 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    kweli tunda uko sahihi

  • @mojakatundu
    @mojakatundu 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Muulizeni tunda, ana udugu wowote na dada yetu salama ngale? Maana namuona anafanana nae

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    kosakosa nyingi mno mbele uhakika wa mfungaji hakuna mabeki wanafungwa magoli ya ovyo na mepesi sana

  • @SaadKoga
    @SaadKoga วันที่ผ่านมา

    Simba wachezaji wamelewa sifa hawaendi kabisa utafikiri kama wamefungwa mawe kama hawataki watuachie timu yetu tunajifunga wenyewe beki amegeuka mfungaji

  • @salehkhamis3000
    @salehkhamis3000 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kuna watu sijui hawajui mpira hiv nyie mnataka ila team ikija ifungwe gori nyingi, kwao na wao hawaumii? Na wao wanasajili wachezaji wazuri pia ko lazm mashindano yawe magum

    • @simonkatole1393
      @simonkatole1393 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Suala sio wachezaji wazuri ila mpira mzuri,simba haichezi vizuri,pasi,kwenda mbele muoneshe kama kuna dalili za kufunga,yote hayo simba hayapo ndo unakuta wanasubiri kona au faulo ndo wafunge

  • @RashidKasidi
    @RashidKasidi 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mashabiki wa simba tuwe na shukran, tumezidi kulaumu , kundi timu zote zina poit 6.
    Hivi na hao nao hawajitumi?
    Tuheshimuni kazi za wenzetu wanapo fanya vizuri , kwa mtazamo wangu timu inalipa tuwape maua yao wachezaji wetu.
    Hongera kwa kibu na washambuliaji wote kwani hakuna kibu bila kamara nk !!!

  • @AbdiMALEKELA
    @AbdiMALEKELA 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Akili zimelud Leo

  • @CharlesLobulu
    @CharlesLobulu 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Muhimu ushindi bwana Tunda man,,, hii ni sawa kutibiwa kienyeji ukapona mwingine kapelekwa India kaenda kufia uko... Wa kupana atapona na WA kufa atakufa tu haijalishi yupo Hospital Gani na madaktari Gani.

    • @yussufritzy7684
      @yussufritzy7684 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Endelea kujizimua

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 วันที่ผ่านมา +1

    Simba mbovu,muendelezo wa pernaty na kubebwa,ila mtakuja kuelewa wakienda nje,watabaki na point sita zao tu

    • @GeofreySolomon-lp7xl
      @GeofreySolomon-lp7xl วันที่ผ่านมา

      hao wa nje wenyewe hawaji kwetu?😂😂😂

    • @NathanKanick
      @NathanKanick 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kila mtu ashinde kwap na hapa bado tuna mechi moja nyumbani

    • @freddysaileni7353
      @freddysaileni7353 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Akili za kinyesi

  • @OmariNgele
    @OmariNgele 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Maoni yangu kocha aondoke chakwanza ana kikosi cha Kwanza aende atuachie Simba yetu

    • @NathanKanick
      @NathanKanick 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Eti atuachie timu yetu!! Unajua simba ilipotoka wewe?

    • @AishshibnShibani
      @AishshibnShibani 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Akuwache wewe

    • @freddysaileni7353
      @freddysaileni7353 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ondoka wewe mwiko nyuma daima pembeni 😊

  • @SarahSanga-p6d
    @SarahSanga-p6d 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Good nakuelewa koloo😂😂

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    timu bado sijui viongozi hawaoni hali ilivyo!!!!

  • @AminaMsimbe
    @AminaMsimbe 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa hiyo mwaka huu mnachukua kombe? hongereni

  • @ThomasAssey
    @ThomasAssey 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tatizo ndugu yangu ni kocha mbinu na uwezo wa kuwasimamia wachezaji hili ni pigo kwa mo kuleta kocha mwanafunzi hata uwe na wachezaji wazee kama kocha ni makini na mzoefu utaona timu ikicheza kwa maeasiliano sio kama hivi
    Mo na mangungu ndio tatizo

    • @AishshibnShibani
      @AishshibnShibani 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wamecheza vizuri

  • @gervaslukaya
    @gervaslukaya 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hiyo ndio simba tunayo ijua itafika fainali

  • @Yuleyule-u6c
    @Yuleyule-u6c 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    YAANI UNAVYO ONGEA HIVYO NA SFAXNE NAWAO WANASEMA HIVYO HIVYO TUMEPATA MATOKEO WACHEZAJI WAREKEBISHE MAKOSA YAO TUACHE LAWAMA ZA JUMLA ETI TIMU MBOVU KWANI TULIOCHEZA NAO NI WATOTO WA CHEKECHEA KWAMBA WAFUNGWE TU KIZEMBE?

  • @andrewmagwila1602
    @andrewmagwila1602 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uongo sisi watu wenye akili kubwa tumeshakuelewa unatafuta nini.sbb timu imeshinda ndio anaamua kuwasema yanga kimtindo.huyu ndio yuleyule timu ikifungwa anaiimbia nyimbo kuwa simba ni yake atakufa nayo Leo imeshinda anasema timu haichezi vzr

    • @simonkatole1393
      @simonkatole1393 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yupo sahihi jamaa,timu haichezi vizuri ila matokeo tu ndo yanatubeba hali hii ikiendelea yatatokea ya Robetinyo

  • @STELLAMARCELY
    @STELLAMARCELY วันที่ผ่านมา

    Uko sahihi tunda...

  • @petrochikawe1797
    @petrochikawe1797 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Angeongea Mchome hapo mmh angetukanwa vibaya san

    • @Yuleyule-u6c
      @Yuleyule-u6c 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mchome nani kwako ww ameinhiaje kulinganishwa na tundra mbona unataka kutukanwa tu.👉

  • @felicianmapunda856
    @felicianmapunda856 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu ni miongoni mwa watu wachache sana wenye akili pale makolo

  • @NazoLongo-u8e
    @NazoLongo-u8e 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jamaa anaakila kubwa sisi wenyeakili ndogo tumtukane

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na hivyo wamekutana na kibonde wa mwisho wangekutana na timu tafu ingekuwaje

  • @castrocastro9615
    @castrocastro9615 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    We naye unazingua.
    Yaani unataka wachezaji wakimbie hovyo tu ili upigwe counter atack??
    We timu yote iko nyuma ulitaka wachezeje? Timu inaondoka kama unavyotaka kama na wapinzani wanafunguka.
    We imba muziki tu naona mpira unapishana nao

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Timu ovyo sana ,mabeki wanatuchomesha sana

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg วันที่ผ่านมา

    😂😂 nice

  • @ShafiiBlad
    @ShafiiBlad 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Umeanza kua munafik wew

    • @Soudbako
      @Soudbako 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sio unafiki ndio ukweli makolo mnaungaunga

  • @charleskabangila9004
    @charleskabangila9004 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunachohitaji ni point tatu kwa sasa mengine hapana

    • @kasokawilliam
      @kasokawilliam 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tati ahamed awapa sifasana wachezaji wabovu Sasa wanajikweza

  • @mussandikumana3561
    @mussandikumana3561 วันที่ผ่านมา

    Uko shabiki kindaki ndaki chalazima ni ushinde furahi ndugu

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw วันที่ผ่านมา

    Kweli bana

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Timu haina kocha, wabadilishe kocha muone kikosi chetu kilivyo kizuri mno

    • @FrancisBenard-m9s
      @FrancisBenard-m9s 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@bbclondonulimwenguwasoka6126 tukupe ww timu tuone utafanya nn

  • @IdrisKabenza
    @IdrisKabenza 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Timu haionyeshi nini

  • @nadulabudodi
    @nadulabudodi 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mpira umeangalia wewe peke yako au? Mpira umebadilika brother watu wamekaa nyuma unachezaje? Eti wachezaji hawakimbii kama Huna la kuongea nyamaza, mpira unacheza kwa minutes acha ujuaji.

  • @filibetifilibeti534
    @filibetifilibeti534 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ww hiyo nitimu kubwa kuriko simba

  • @LaurentMasangwaNyanda
    @LaurentMasangwaNyanda 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu kwenye hamasa hajumuishi ndio maana anaongea haya , kazi yake mziki

  • @FiudiKasitu
    @FiudiKasitu วันที่ผ่านมา

    Hatuna kocha

  • @EddySempay-qf1on
    @EddySempay-qf1on 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kaongea kweli

  • @Tatty-u8p
    @Tatty-u8p วันที่ผ่านมา +3

    Eti utopolo kwani ukisema yanga utapungukiwa nini mbwa wewe

    • @MinskBelarus-il2tl
      @MinskBelarus-il2tl วันที่ผ่านมา

      Mbona UTOPOLO mlijiita WENYEWE?????

    • @GeofreySolomon-lp7xl
      @GeofreySolomon-lp7xl วันที่ผ่านมา

      Bora hata atuite Uto au chura kuliko utopolo😮

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Lakini si umeelewa? Hata mimi huwa nawaita utopolo tu😂

    • @TaufiqAhmed-p1v
      @TaufiqAhmed-p1v 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂

    • @khadijahussein5298
      @khadijahussein5298 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Matusi ya nn sasa kweni unakosoa au unatukana?

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 วันที่ผ่านมา

    Vijitoto vinatafuta majina,haitafika mbali hii

  • @devothaignatius5256
    @devothaignatius5256 วันที่ผ่านมา

    Umeongea ukweli mtupu

  • @ShamteHajji
    @ShamteHajji วันที่ผ่านมา

    Katika mashabiki wa makoro ww peke Yako ndo mwenye akili

  • @zawadichahorota1207
    @zawadichahorota1207 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wakimtoa matola hapo simba itakuwa vizuri

    • @MsalabaniReko
      @MsalabaniReko 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yy mtl anacheza namba ngap apo

  • @nadulabudodi
    @nadulabudodi 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Eti mtu mdogo sana

  • @eng.geophreyt.mushenyera6445
    @eng.geophreyt.mushenyera6445 วันที่ผ่านมา +1

    huo ndio ukweli, Simba hii imekuwa ya hovyo haijawahi kutokea....ile hali ya kushinda mechi kwa kila mchezaji haipo...ona Kibu anavyo pambana utadhani yupo peke yake...please Simba tubadilike

    • @jassonnelly3445
      @jassonnelly3445 วันที่ผ่านมา

      Wachezaji karibu wote ni wapya watoto wengi hawajui falsafa ya simba itachukua mda sana kurudi kule

    • @nashirkamugisha9425
      @nashirkamugisha9425 วันที่ผ่านมา +2

      Kipimo cha kucheza vizuri mnakipimaje? Sio kivile kwamba wamecheza vibaya. Angalia idadi ya passes

    • @NathanKanick
      @NathanKanick 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      ​@@nashirkamugisha9425Hata Mimi nashangaa sijui watu wanataka Simba icheze vip ndo walidhike.

    • @BayekeFarijala
      @BayekeFarijala 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Washable wa spiral hawa. Simba iPod vizuri,huwezi kuilinganisha na yanga

    • @Mufti-g3x
      @Mufti-g3x 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Bado hujasema ndio ivyo ivyo maneno wee mwisho wa siku kombe ngwaa sijui hapo mtasemaje vibaraka

  • @rahimukisandu9961
    @rahimukisandu9961 วันที่ผ่านมา

    Acha kuongea utumbo ww ungecheza ww basi

    • @ce-08
      @ce-08 วันที่ผ่านมา

      Ww n mtu unayeangalia tu matokeo hujui ktu Simba kacheza vibaya pamoja na kushnda

    • @petrochikawe1797
      @petrochikawe1797 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hutak kuambiwa ukwel huo Ni USIMBILISI

  • @kichenjewillian5720
    @kichenjewillian5720 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nikwel mkuu

  • @ThomasAssey
    @ThomasAssey 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kocha aondoke aje mwenye uwezo hata ibenge wanachama tumlipe kuliko huu uozo
    Timu imeoza imeoza Ahmed Ally Sasa kwanza kuelewa soka anakubali hakuna kitu wanafanya uwanjani kabisa ni butua butua tuu

    • @AishshibnShibani
      @AishshibnShibani 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ondoka wewe

    • @freddysaileni7353
      @freddysaileni7353 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Acha bangi za chooni bila kula utapasuka

  • @ayoublupande3007
    @ayoublupande3007 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kweli kabisa tunashinda lkn hatuna furaha kabisa mm sijapenda hiki kiwango kibovu kibovu

  • @castrocastro9615
    @castrocastro9615 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Acha uongo ww.
    Timu inaofungwa ujue hawajacheza vzr.
    Utopolo ni wabovu na ndio maana mechi tatu wana kapoint kamoja tu

    • @austorb.nyondo2708
      @austorb.nyondo2708 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Shida inakuwa kubwa tunapokataa ukweli. Simba yetu inashida kubwa mno mno. Ninauhakika tukicheza simba ya akina okwi na kagere na hii ya akina Malone hii ya malone itapigwa nyingi sana

  • @zuhurazuhura9368
    @zuhurazuhura9368 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sura mbovu kama mkundu kwenderaaa

    • @NuwayraHamidu
      @NuwayraHamidu 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We muislam uctukane

  • @gaudencemhagama7216
    @gaudencemhagama7216 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    2nda tunashukuru kwa kutuita utopolo