Uyu mwakinyo wana mchukia sana yani kuna watu wana tamani ata apogee maisha lkn si saw kwanini hiwe hivi inatuumiza sisi mashabiki Tunaumia sana pia Heshima yetu inashuka TNZANIA
Daaaa nilicho kitambua kwa sisi watanzania uwa tunachukulia ize ize sasa ukiwa una mukumu mtu sikiliza kwa makini sasa niseme walicho kosea viongozi nini mpaka mseme mwakinyo anaonewa aya kweli bondia apandishwe ulingoni afu asipewe nyie mnaona nisawa mwakinyo nibondia ambae apigani pigani bila maslahi sasa asani apigane bila pesa inawezekana kama aiwezekani sasa kwanini tuwaukumu vionhozi wampito
Eti kwaupande mwengine inamsaidia promoter usijekuta kataja beiyajuu ss tunampunguzia.kipala acha ujanja unjaa mnavyonekana mtakuwa mmepewa pesa na wapinzani wamwakinyo ili mumpelushie pambano lake haya maisha hapaduniani nimapito jiangalieni

🤔🤔🤔
Promota wa bongo miyeyusho sana.
Tanzania roho mbaya
Wenyechuk mtajinyonga mwakinyo atapigan inxh allah roho mbay ainufaish eti mnafrah kua asipgan
Safari ya mwakinyo imekua na vikwazo mungu amsimamie tu champion wetu
Ameen
Daaaa nilicho kitambua kwa sisi watanzania uwa tunachukulia ize ize sasa ukiwa una mukumu mtu sikiliza kwa makini sasa niseme walicho kosea viongozi nini mpaka mseme mwakinyo anaonewa aya kweli bondia apandishwe ulingoni afu asipewe nyie mnaona nisawa mwakinyo nibondia ambae apigani pigani bila maslahi sasa asani apigane bila pesa inawezekana kama aiwezekani sasa kwanini tuwaukumu vionhozi wampito
Duuh boratu lighairishwe mana kiatu kingebanatena😅😅😅😅
Wasiojua sheria za ngumi na kanuni zake , ndio mjue sio umbea tu mtaani ,
Wazirii hawa watu hawafai
Hasa nyambela
Waziri
Nyambela hafai
Anauhasama na mwakinyo yuko
Team pinzani na mwakinyo
Ssi wabaya sna
Eti kwaupande mwengine inamsaidia promoter usijekuta kataja beiyajuu ss tunampunguzia.kipala acha ujanja unjaa mnavyonekana mtakuwa mmepewa pesa na wapinzani wamwakinyo ili mumpelushie pambano lake haya maisha hapaduniani nimapito jiangalieni
Wababaishaji TU hao
Mwakinyo vp ww mbona husomeki vp
Nyie mnamchukia tu mwakinyo
Kipara unaongea kipropaganda sana , hautakiwi kua kiongozi nenda kafanye siasa
Chuki tu
Safari ya champez ni ngumu Sana ila kila mafanikio yanaitaji kupambana sana.
Nipeni huyo kipara nicheze nae Sparing kwa Round moja Tu
😂😂😂
Pambano lisipokuwepo promoter mtamchukulia hatua gani,mana inaonekana makosa ni yapromoter.mana anasthili azabu kali tena
Champezz
Mwakinnyo kaogopa hamwez huyo mgana
Unakoment utoko na haujala lunch mbwa wewee😂😂
Acha kuropoka nawewe kusoma hujui nn
Acheni zalau nyie