MASOUD MASOUD: BONGO FLEVA SI MUZIKI WA TANZANIA/ AWACHANA MASTAA/ ''HAWANA ELIMU''/GRAMMY
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025
- --
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#diamond #alikiba #grammys
Huyu brother huchoki kusikilizana, deep sea of knowledge , God bless you brother
Tumpe maua yake Masoud Masoud .Mchambuzi wa nyimbo na muziki(ala za muziki)Sauti yake,matamshi , uchanganuzi wake katika mambo ya muziki,ala za muziki,na sayansi ya muziki ni wa namna yake .❤❤🎉
One of the Greatest Presenters Of All Times… Masoud Masoud made me know and gradually fall in love with Country Music as well as Rock an Roll back in the late 90’s and Early 2000’s while he was with Radio One Stereo! Such an Informed and very articulate individual. His Autobiography and Skills need to be documented for generations to learn, emulate and/ or get inspired by, he is truly one of Tanzania’s Treasures as far as Music knowledge and presentation is concerned…💪🏾
Fact brother
You are very right🙌🏿
Masoud Masoud anastahili sana kuwa Manju wa Muziki Tanzania. Huwa sipendi kukikosa kipindii chake cha alfajiri jumamosi TBC. Hongera sana Masoud Masoud. Mungu azidi kukubariki.
Tumeshindwa kbs kbs kumtumia huyu mtu kaka, anaujua kwl muziki.
Kumbe Bado yupo tbc, kesho nitatega kumsikiliza huyu gwiji
Uyu jamaa ukipata kumsikiliza kipindi chake hutakaa uache tbc fm
Mtangazaji mpaka anajiona kapwaya…Legend aishi saaana
Nakiri bila unafiki, hapa Tanzania hatuna watangazaji hata kidogo, wote ni useless tu. Huyu Manju ni dhana pekee kwa taifa letu, aenziwe na serikali👏🏽
Mtangazaji Asante sana kwa uwasilishaji huu wa pekee. Swali langu kwa manju Masoud Masoud je ameandika kitabu cho chote kinachozungumzia muziki? Kwa mfano muziki ni nini chimbuko lake n.k. Kama hajaandika, je anampango huo?
Natamani aache utaalamu wake kwenye vitabu kwa kizazi hiki na kijacho.
..kabla ya kuuhoji MWAMBA HUU MKUBWA ni vizuri kwanza ukajiandaa....MASOUD NI MWAMBA MKUNWA SANA....
Bongo fleva ni muziki wa kisenge sana
Mwamba mkuu sana huyu the best of the best
Mtangazaji amepata bahati sana kumhojo Masoud, ni kitu kigumu sana kumhoji mtu aliyekuzidi kil kitu. Pia nimefurahi sana Shule aliyotoa Masoud.
Yy mwenyewe anauliza maswali huku anahofia kbs kbs😂😂😂😂
Kumbe kuna watu. Hawa hawaonekani Tanzania yangu eti waziri wa michezo nape hapa hafiki ngooooo!!!!
Yaani Masoud Masoud Leo amegusa pale panaponiumaga sana Mimi. Mtangazaji kushindwa kutofautisha LA na RA , au Sa na Tha....nakerekaga sana aisee
Masoud anajua anachokifanya kwa ufupi ni mtaalam wa tasnia yake.
Dah muulizaji anajibuwa mpaka swali la baadae 😂😂 legendary anapaswa kuulizwa na legendary 🎉
Noma
Legendary masoud masoud
Masoud Masoud Mwamba sana huyu jamaa.
Masoud Masoud nna ujamaa naye kwenye ukoo wetu lakini pia kwetu hapo Kariakoo mtaa wa Udoe tupo jirani kabisa na kulipokuwa ukweni kwake for the first time kama sikosei ilikuwa mwaka 1996 au 1997 nilimuona live Tabora kwenye msiba wa mama yake mzazi nakumbuka marehemu baba yangu alinipigia simu yeye akiwa kikazi Misri kipindi hicho akanambia nenda kamzike bi Zuwena na akanielekeza ujamaa wao ulivyo na family ya kina Masoud but hata sikumbuki na kipindi hicho Tabora nilikuwa kikazi tu katika ofisi ya mkuu wa mkoa so nilikwenda kama mara mbili hivi kwenye msiba wa mama yake kwa kutii amri ya marehemu mzee wangu na ndipo nilipo muona live huyu Mwamba.
KWa hiyo!!??
Wakat majizo anapambana na singeli tulikua hatumuelewi mimi pia sikumuelewa ila leo hiii nauona mbali mnooo
Mimi Shabiki wa masoud masoud no moja
Tumuendeleze Saida Karoli.
Huyu Jamaa anajua sana sanaaa
Big up muno
Ukisikia gwiji ndio hili sasa😊
Mbona anafanana na PJ wa clouds
Namkubalii munooooo
Huyu bwana ni nguli sana,yawezekana akawa nguli hata Afrika nzima, tatizo hatudhamini watu wetu na kuwatumia vizuri.
Leo ktk kusikiza mtu alieojiwa akaelezea deepth kitu anachoulizwa akakijibu perfect ni huyu bro na kama upo in music rudia kumsikiza huyo bro
Hii machine
Afu kule kwenye bss wanawapeleka wakina shilole waka judge music daah hatari sana hahahhaha
Dogo fundi sana kwenye maswali
Kweli watangazaji wa sasa hivi hawazitamki ipasavyo hizi herufi za L na R
I like this dude... Ni Manju Haswa
Usiseme Manju tu sema Manju wa Muziki
Swali langu kuhusu kitabu kimeandikwa nimejibu baada ya kusikiliza mwanzo hadi mwisho. Nimegundua anakaribisha mtu kuandika kitabu cha historia yake Manju Masoud Masoud. Sasa ninakuomba Manju andika kitabu cha muziki tu kinachofundisha muziki. Siku moja serekali ikirudisha somo la.muziki ahuleni, tujivunie kusoma kitabu kilichoandikwa na mtanzania mswahili mwenzetu.
Kwa kweli ya kale ni dhahabu. Umenikumbusha Anko J "Julius Nyaisanga". Wako wapi hao watu jamani.
Daa huyu mzee noma anazutia kwanini asepewe kipindi
Natamani kumsikia tena na tena.
Huyu faza ndo kanifanfa nipende muziki wa zamani
😅😅🎉❤mashine hii
Mzee huwa anamwaga maarifa popote akikutana na kipaza sauti,elimu ya bure,hii ni hazina ya taifa....Kunta...Kinte.
Bingwa wa Mabingwa Masoud Masoud.
Masoud Masoud Gwiji Hyu.
Hakika umesema kweli
🙏🙏🙏🙏
Nimependa kwa origin of music 🎶 is God. Because music is sound and God created by music.
Kasome Kitabu cha Mwanzo 4:21....Kunta...Kinte.
🎉🎉🎉🎉🎉
Hii ni hazina kubwa sana
Bado yupo TBC, vipindi Gani na siku zipi yupo ni TBC FM au Taifa
Nampataje uyu, teacher pliz. Contacts zake
Lovely
Masoud masoud piga makofi
King Manju
Ao wanamziki tunawaonamwisho wao
😢
Masoud makes a great point ila bado ana umarekani mwingi. Anaona vitu vya nje tu ndo Bora Grammy's, Jimmy Kimmel, Dave letterman etc. Sio lazima utoboe Marekani ili uwe Bora hiyo ni backward thinking.
Katoa elimu safi sana kitu ambacho watanzania wengi hawajuwi, umarekani wake ni upi hapo?
Hapa Tanzania kuna mwanamuziki wa maana kweli? Vijana wa bongo fleva ni miyeyusho tu, sema tu wanakubaliwa na watu wasiojuwa lolote kimuziki na huko tuendako watagundulika tu kuwa wako fake na kususwa.
If you know you know. Masoud tisha sana.
✍✍✍
Kijana huyo mtu ni lulu jaribu kuendelea kuwahoji hao wataalam ambao kuna kila dalili wakiondoka hakuna ataewarithi maana yake journalism sasa imekua kituko ukiona watu wengi waliomo humo.
Kabisa Mkuu 🤝🏼
@@abelkilumbu9205 hebu tafuta hata time ujue mengi zaidi kuhusu watu kama hao hata siku wakiondoka basi tutabaki na stori zao
@@abelkilumbu9205 kwa umri wako na ulivyomjua huyo nakutabiria bright future maana 98% ya waandishi wa age yako ni weupe mnoo content of brightness hawana ndio maana wamejazana kwenye mpira kuhoji washabiki kwenye vibanda vya kahawa na maswali yao ya changamoto gani unaiona so sad
Mwanao Jamaal nae amevaa viatu vyako
Naomba upate muda wa ziada umrudie huyu jmaa
😅
Khaini mkubwa. Chotara wa kimanga
Mwamba huyu
Malegend wasio successful huwa wapo soo bitter 😅 msikilize juma nature na chidi benz 😂 mwenzao prof j nae anategemea misaada tu saivi
Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake, haijalishi yuko successful au la, na Success ya mtu ni tafsiri yake, nyakati nyengine mpaka uwe nae karibu mno kujua hatua gani amepiga, si kana kwamba wewe hufahamu ana miliki nini basi iwe hamiliki kitu. Haipo hivyo
Lakini ukiangalia pia wanakuzidi kimaisha fala wew
You have done a very wrong judgement, my friend,How do you now know is not successful?Do you know him at the first place?
You definitely hurts. Don't know sh.t about music.
"Success" kwako inapimwa kwa vigezo vipi?
Na bange je!? 😂😊