Samai Inaondoa Dhiki Na Shida / Mziki Siyo Haramu /Ukisema Haramu Usitumie Qibra/ Ustaidh Said Omar

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 329

  • @mohdfareed5559
    @mohdfareed5559 4 หลายเดือนก่อน +9

    Uchache wa ilmu ndio imekupelekea Hadi kupotosha umma...subhanaAllah

  • @aminiahmad-i9q
    @aminiahmad-i9q 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hata mashekhe wa twariqa hawajafikia kuhalalisha mziki subhanallah

  • @rajababdallah6515
    @rajababdallah6515 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wataumwa wengi kwasababu hawataki kujuwa na elimu zao ndogo sheikh saeed usiogope tohoa wajue mashaallah mungu akuhifadh inshaallah

  • @FahadMasoud-io4mb
    @FahadMasoud-io4mb 3 หลายเดือนก่อน

    _Maashaallah,Allah akupe umri mrefu wenye kheir,umri na afya ameen_

  • @FunnyComputer-yq6vk
    @FunnyComputer-yq6vk 3 หลายเดือนก่อน

    Subhana Allah hivi ndio ulivyo fundishwa kupotosha watu wakati Allah katuletea qur,an na mtume muhammad swalla Allahu aleihi wasalam katufundisha ukiwa na shida ama dhiki lete adhkar na kumswalia mtume na tusome qur,an leo ww wasema simai ndio inaondosha dhiki na shida Allah akuongoze insha'Allah

  • @AthmanAli-t9z
    @AthmanAli-t9z 4 หลายเดือนก่อน +3

    Napenda sana mashekh wangu kwa kujishusha chini tena kwa majivuno kua wao sio Bora Wala hawana ukubwa wa MBELE ya wengine MASHAALLAH ALLAH BARIQ INSHALLAH

  • @MwanaMvua-z7z
    @MwanaMvua-z7z 4 หลายเดือนก่อน +12

    Nafurahi kujua usalafi Allah jaaaliwa kizazi changu na wengine waijue haki ya uislamu

    • @abuusufian6506
      @abuusufian6506 4 หลายเดือนก่อน +1

      MAASHALLAH

    • @NMJAHsaid
      @NMJAHsaid 4 หลายเดือนก่อน

      Ameen yaa Rabb

    • @ramadhankheir4793
      @ramadhankheir4793 4 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏🙏

  • @masoudmohammed4258
    @masoudmohammed4258 4 หลายเดือนก่อน +5

    Makhurafi Wana balaa sanaa
    Alhamdhulillah alaneematil islam wasunnah alhamdhulillah

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku 4 หลายเดือนก่อน +2

      Nawaambia Hawa jamaa n mashia n wenzao sababu ndo walianzisha hii kufru wamefuata hizo njia

  • @MohammedBakari-pn9yg
    @MohammedBakari-pn9yg 4 หลายเดือนก่อน +3

    Huu ni mtihan mkubwa sana dua zinaitajika sana ...yan hiki kisaidi chaongea upuuzi mtupu alafu et watu mashaallah duh!!!

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 4 หลายเดือนก่อน

      Kisaidi sio? Kweli dua zinahitajika kwa watu kama nyinyi

  • @aminiahmad-i9q
    @aminiahmad-i9q 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kuna watu wataadhibiwa kwa sababu ya ndimi zao mche Allah

  • @AhmedMussa-b7r
    @AhmedMussa-b7r 4 หลายเดือนก่อน +5

    Innah lilas waina ilah raaajiun huu ni msiba ndugu zangu musimfuate huyo anawapotosha watu kwa kubirua birua quan n'a hadith za mtume kwa kivuli cha lugha sijui balakha nahau ndugu zanguni kuweni makin na baadhi ya madras kama haya Allah awaongoze wao katika haki n'a sie wote kwa pamoja Inshallah

  • @ABUU426
    @ABUU426 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa ubabaishaji huu kwenye dini ya Allah basi siku ya kiama kuna kazi kweli kweli.

  • @MohammedMohammed-gp9xq
    @MohammedMohammed-gp9xq 4 หลายเดือนก่อน +3

    Dawa ni ALLAH na yeye ndie mwenye kuondoa shida miaka yote shida munazileta nyinyi..

  • @abdulhalim5950
    @abdulhalim5950 4 หลายเดือนก่อน +8

    Namshukuru allah kuniwezesha kuijua daawa as salafy, imeniwezesha kujua DINI NI KWA DALILI na niachane na masufi

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 4 หลายเดือนก่อน +2

      @@abdulhalim5950 Alhamdulillah mimi pia Nashukuru sikuwa wahabi ambao wajiita watu wa Sunna lkni matusi kwao ya kutukana kulaani kuwatia watu motoni ndio Sunna kubwa walonayo

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 4 หลายเดือนก่อน

      @@abdulhalim5950 kujua Dini kwa Dalili huko kwenu uwahabini muna Uzushi wa kigawanyo Cha Tauhid tupe Dalili ya ينقسم توحيدإلى ثلاثة أقسم ipo Aya ya Quran au Hadithi Swahihi yasema Mwenye Ezi Mungu ana kigawanyo

    • @swalahudinmohamed2666
      @swalahudinmohamed2666 4 หลายเดือนก่อน +3

      Acha kujitukuza usalafi si umeanza juzi tuuu
      😂😂😂😂😂
      Mumeigawa tawheed utatu
      Nipe dalili Moja TU
      Kutoka Kwa mtume saw au swahaba alisema tawheed Ina vigao vitatu??
      Sasa wajifahiri Kwa lipi ??
      Na usalafi wako
      😂😂😂😂😂😂😂
      Tuliza ufunzwe acha ushabiki na zirooo

    • @Worldunite
      @Worldunite 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@swalahudinmohamed2666mpe mpe mpe, masalfi wajiona wa peponi hao

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@abdulhalim5950 wewe hajui uko salafi ipi kwa sababu nyinyi mawahabi salafi mumegawanyika mapote mawili mwachapana nyinyi kwa nyinyi huyu asema sisi ndio salafi safi nae huyu mwengine sisi ndio salafi safi na nyote mapote mawili mpaka mwashindwa kutoa Dalili yupi ni salafi safi

  • @NasrahMakunga
    @NasrahMakunga 4 หลายเดือนก่อน +11

    Mtume kasema tutafte elimu!!mwenyez Mungu awalinde mashekh zatu maana elimu mnatuletea viganjani tushindwe wenyewe tuu!!Jazaka Allahu khayrii

    • @faridfrefre35
      @faridfrefre35 4 หลายเดือนก่อน +2

      Wazushi hawa hawafai kufuatwa

    • @rashidiiddi2433
      @rashidiiddi2433 4 หลายเดือนก่อน +2

      @@NasrahMakunga nyinyi nakuambieni ukweli kueni bendera fata upepo kisa shekh kasema yote hoyo nikutaka kuhalalisha mziki ktk uislam aliye ujua uislam nimtukufu wa daraja mtume wetu kwaiyo shekh akikuambia kitu usikipitishe mojakwamoja fatilia kwanza nisehemu ya uislamu kwenye muziki unapatikana uongo Kuna udhalilishaji kwawanawake kwakikaa uchi inasifiwa mpaka pombe kwenye mziki yote hayo sikatika uislam umeyakataza akiliyako imeshindwa kufanya kazi hatakama elimu ndogo acheni udhushi na mashekh wenu hao

    • @NasrahMakunga
      @NasrahMakunga 4 หลายเดือนก่อน +3

      @@rashidiiddi2433 sasa hayo ya wanawake kukaa uchi na mambo ya pombe ukesema wewe shekh hajasema,watu kama nyie ndo mnatupoteza bora mngekua mkituambia kwa lugha za kueleweza,mnatanguliza chuki mda wakutupa elimu,Mimi sioni kama shekh wanayosema ni mabaya

    • @rashidiiddi2433
      @rashidiiddi2433 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@NasrahMakunga kwenye uislam hakuna mziki nikuambie ukweli ili ujue mziki nimpango washetani kuwafanya waislam wasiwe na mda wakuisoma quruan Yao na kweli kabisa amefaulu pakubwa sana lkn elewa mziki sio sehemu ya uislamu nihalamu nakila uislamu ulichokikataza kina madhara makubwa Mimi nakuelimisheni msifate mashe wasio eleweka na usiamini mojakwamoja kwasababu shekhe kasema kakisomeanachokueleza shekhe ili upate uhakika Wala haikuitaji usumbuke simu unayo

    • @suleymanmohd3418
      @suleymanmohd3418 4 หลายเดือนก่อน

      @rashidiiddi2433
      Hebu tupe faida wewe msomi,
      Ni nini maana ya mziki.....,!!!?
      Kwanini mziki ni haramu......,!!!?
      Na kama hoja ni hivyo unavyosema kuwa mziki ni haramu kwa sababu Inasifiwa pombe, wanawake wana dhalilishwa na kukaa uchi,
      Je tukitumia huo huo mziki kukataza pombe isitumiwe, wanawake wakavaa baibui na kujistiri vizuri, je itakuwa bado ni dhambi na haramu.....,!!!!?
      Na je mwanaume akiwa yupo na mkewe chumbani, mkewe akavaa nusu uchi au uchi kabisa na wakaweka mziki wakawa wanacheza, je watu hawa wanapata dhambi......,!!!!?
      NJOO UTUPE FAIDA SHEIKH WETU.

  • @ahmadmadaai1357
    @ahmadmadaai1357 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaa Allah vigogo hvi Allah awape umri mrefu

  • @KhamisiMustwapha
    @KhamisiMustwapha 4 หลายเดือนก่อน +8

    Maasha Allah mwenyezi Mungu akuhifadh wew na familia yako habibi

  • @khalidhemed9209
    @khalidhemed9209 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah shekh Saeed mola akuzidishie kwa tawaadhui ulo nao shekhe letu mola pia akuhifadhi yaa rab

  • @naasibabuu
    @naasibabuu 3 หลายเดือนก่อน

    kwahiyo ile kazi aloicha Snura atakua ameacha jambo halali au

  • @seifrashid2064
    @seifrashid2064 4 หลายเดือนก่อน

    Allah atujaalie kheri na atukubalie ibada zetu

  • @bagalucha
    @bagalucha 4 หลายเดือนก่อน

    Mwanamuziki

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 3 หลายเดือนก่อน +1

    SHEKH WA MUZIKI ACHA UPOTOSHAJI WA DINI NA HUO UCHACHE WAKO WA ELIMU NA KUPOTOSHA UMMA!!! YAANI ETI YEYE ANAIJUA DINI ZAIDI YA MASWAHABA!!!!

  • @ali_ford
    @ali_ford 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mtihani

  • @SaidiMohamed-bj2wg
    @SaidiMohamed-bj2wg 4 หลายเดือนก่อน +1

    Alyauma akmaltu lakum diinakum unajua kilicho kamilishwa namtume au waropokatu emrudi ukasome

    • @AhamdSaid-ej6gg
      @AhamdSaid-ej6gg 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hata iyo aya yenyew inaonekana haujasomeshwa umeickia2

    • @MuhammadMuhammad-lq2um
      @MuhammadMuhammad-lq2um 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@AhamdSaid-ej6gg💯 hajui hio sio aya ya mwisho kuteremka

  • @shabanabdullaziz9934
    @shabanabdullaziz9934 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kwakweli wana wafuasi wa Salaf tunatakiwa sana tumshukuru Allah kwa neema ya Uislam na Sunna na kufuata Salf, JAMAA AMETEMA UPUPU MTUPU

  • @jamalseleman-dv6ql
    @jamalseleman-dv6ql 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa mashekhe wetu wengine hawajui walisemalo huwezi viweka pamoja sauti ya mtu na vinanda hio ni upuuzi kusoma Quran kwa uzuri sio mziki ila vinanda ndo mziki acheni kutetea mnayo yapenda

  • @mbwanaskungfu1168
    @mbwanaskungfu1168 4 หลายเดือนก่อน

    Dj mche Allah,ujue utaenda kuulizwa. Sai fanya utakalo. Ahlul bidaa wallahy dini hii mnayoichezea mtaulizwa

  • @MuhammedFoum
    @MuhammedFoum 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤ mashallah

  • @MazuriHassan-n9k
    @MazuriHassan-n9k 4 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran Ust Said Mwambaaaaa

  • @MuhammadiMbwana
    @MuhammadiMbwana 4 หลายเดือนก่อน

    shekh Acha ushabik

  • @naasibabuu
    @naasibabuu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Eti watu mashallah, huyu amebobea katika ujinga mpaka hajielewi masikini hawa masheikh, mziki kwao halali

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 4 หลายเดือนก่อน

      @@naasibabuu ulobobeya Kwa ujinga ni wewe hata hujui kutafautisha mziki na kusomwa Quran au kumswalia Mtume SAW, haya tuambie kusoma Quran na kumtaja Mwenye Ezi Mungu ktk kuleta Dhikri au kumswalia Mtume SAW ni mziki?

    • @RaudhaPrinters
      @RaudhaPrinters 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe ulie bobea kwenye uwerevu umefaidisha jamiii

    • @naasibabuu
      @naasibabuu 4 หลายเดือนก่อน

      @@RaudhaPrinters kwa kiasi kidogo sana nilichojaaliwa na Allah ila sio huu ugoro wa kuhalalisha mziki yani tuseme kua Sheikh akitaka kutoa muhadhara Kwanza tuweke nyimbo ya daimond msikitin ili watu wajae au nyumban kwa muft tukute panapigwa uno ya hamonize!? Hivi hizi fat'wa au bange

  • @NMJAHsaid
    @NMJAHsaid 4 หลายเดือนก่อน +1

    Samai inaondoa iman ya dini na inafundisha usanii. DJ said aka mpiga gita

  • @MussaMohammed-g6o
    @MussaMohammed-g6o 4 หลายเดือนก่อน

    Inna Lillahi wainna ilaih rajiun

  • @HamisiHussein-bb8ww
    @HamisiHussein-bb8ww 4 หลายเดือนก่อน +1

    Allah ansema "Alyauma akmaltu lakum diina kum...." Sasa unasemaje mziki ni halali pia mziki unashawishi zinaa

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 4 หลายเดือนก่อน +2

      @@HamisiHussein-bb8ww wewe alakini umeelewa madhumuni wa Aya hii anza Aya ya juu yake ndio utaelewa kwa akili zako chache kuwa dini ishakamilika ina maana baada ya Aya hii ni kuwa kwisha imefunga kila kitu, funga akili baada ya Aya iliremka Aya tena ya Hukmu, usisome Aya vipande vipande

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 4 หลายเดือนก่อน

    Muogope ALLAH ww

  • @salimhilal3904
    @salimhilal3904 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kijana Muogope Allah, muziki na zumari zote ni haramu

  • @IvetaSteven-b9z
    @IvetaSteven-b9z 4 หลายเดือนก่อน

    HIVI HUYO NABII DAUDI ALISOMA KWA MAQAMATI GANI

  • @Tr.Abdussamiy
    @Tr.Abdussamiy 4 หลายเดือนก่อน

    Mziki si haramu!😮

  • @ramadhanishabani1644
    @ramadhanishabani1644 4 หลายเดือนก่อน +1

    SIJUWI badhi wa masheikh zetu wemefikwiwa na nini kupotosha umma kiasihiki

  • @rajabathman97
    @rajabathman97 4 หลายเดือนก่อน +3

    MashaAllah

  • @dahirgaraar360
    @dahirgaraar360 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kuimba ruhusa kughani mashairi ruhusa kusoma qur an kwa sauti nzuri ruhusa. Kuadhini kwa sauti nzuri ruhusa. Kuimba nashidi kwa sauti nzuri ruhusa. Kupiga dufu na kuimba kaswida kwa sauti nzuri ruhusa. Elewa kuwa vyote hivyo siyo mziki. Bali ni halali kabisa chunga maudhui yako usitie maneno ya hovyo utapata.madhambi.

    • @AshaJuma-q6j
      @AshaJuma-q6j 3 หลายเดือนก่อน

      Mziki ni kiswahili sheikh ... Nikama ukisema Mungu muaji pia mfufuaji neno muaji ni kiswahili ila kwa lugha nzuri ni mfishaji

  • @babuumohd4290
    @babuumohd4290 4 หลายเดือนก่อน +1

    Usitadi saidi si uweke wazi tu kua mziki ni halali usihalalishe kindani ndani weka wazi kesho ukamjibu Allah alihalalisha wapi mziki

  • @thamratysuleiman3053
    @thamratysuleiman3053 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaa anapotoshà

  • @abdililahahmed3095
    @abdililahahmed3095 4 หลายเดือนก่อน +7

    Raha ya elimu usome kwa wenye nayo, Ustadh Said ni fahari yetu.

    • @faridfrefre35
      @faridfrefre35 4 หลายเดือนก่อน +1

      Watu wa bidaah hawa hawafai kukaa nao

    • @JosMatty-bq9ii
      @JosMatty-bq9ii 4 หลายเดือนก่อน

      hahahaha hyo ndio sheikh wao mwenye elimu mtihan kwel

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@faridfrefre35kwani huko kwenu uwahabini hamuna Bid'aa Uzushi tena kwenu watu ndio hawafai kabisa kukaa na nyinyi kwenu kuna Bid'aa ya kigawanyo Cha Tauhid yaani nyinyi mumemgawanya Mwenye Ezi Mungu.

  • @SaidiMohamed-bj2wg
    @SaidiMohamed-bj2wg 4 หลายเดือนก่อน +1

    Somenikwanza mujue kutofautisha Dua namiziki musiropokwe tuu

  • @babuimam550
    @babuimam550 4 หลายเดือนก่อน

    Jazallahu alkhayraa yaa shirazi

  • @SaidiMohamed-bj2wg
    @SaidiMohamed-bj2wg 4 หลายเดือนก่อน

    Unafurahiawewe usalafy wakatiwee nikatika tajsimillaah

  • @khadijabunu3573
    @khadijabunu3573 4 หลายเดือนก่อน

    Je mziki ni halali au haramu

  • @khamxongedzo7067
    @khamxongedzo7067 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ji khurafi jibunga halielewi hadithi. Hadithi insema "Kuna watu watahalilisha mziki na hariri". Hadithi umeisoma na waipuuza maana yake. Wewe na jeshi lako mwahalalisha mziki.

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku 4 หลายเดือนก่อน

      @@khamxongedzo7067 alfu wakiambiwa huzidisha matusi ila Allah subhannahu wa taala awaongoze na sisi pia

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 4 หลายเดือนก่อน +1

    yaani unafananisha Qur'an na miziki ,mtume kasema asiyesoma Qur'an kwa sauti si ktk ss Yaani usipotubia kauli yako ukifa utajuta na hao unaowafurahisha hawatakusaidia chochote

  • @abdul_azeez_almaamir
    @abdul_azeez_almaamir 4 หลายเดือนก่อน

    Na achukue mazingatio kwa waseem yusuf

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 4 หลายเดือนก่อน +1

    Harakati za DJ side😂😂Mzee wa kupiga gitaa na vinanda😂😂😂😂

  • @NassorroButcher-cu3pg
    @NassorroButcher-cu3pg 4 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuhifadhi shekh saed

  • @SaidKondo-i2t
    @SaidKondo-i2t 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mwanzo wa uchizi, ndio huu, msiosoma kazi kwenu,

    • @IddiNkupe
      @IddiNkupe 4 หลายเดือนก่อน

      Huyu jamaa kisa anaimba taarab ndyo anaitetea KAZI yake ya kuimba

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@IddiNkupeMahabash Maswahaba pia waimba na kucheza ndani ya Msikiti mbele Mtume SAW أنَّ عَائِشَةَ قالَتْ: لقَدْ رَأَيْتُ رَسولَ اللَّهِ صَلَّى اللهُ عليه وسلَّمَ يَوْمًا علَى بَابِ حُجْرَتي والحَبَشَةُ يَلْعَبُونَ في المَسْجِدِ، ورَسولُ اللَّهِ صَلَّى اللهُ عليه وسلَّم يَسْتُرُنِي برِدَائِهِ، أنْظُرُ إلى لَعِبِهِمْ. وإذدخل عمربن الخطاب رضي الله عنه:فأهوى إلى الحصباء يحصبهم بها،فقال رسول الله صلى الله عليه وسلم،دعهم ياعمرلأن لتعلم يهودفى ديننا فسحة: الراوي : عائشة أم المؤمنين | المحدث : البخاري | المصدر : صحيح البخاري الصفحة أو الرقم: 454 | خلاصة حكم المحدث : [صحيح] na Ummul Muminin Bi Aishi akaitwa kutizama, Sayyidana Umar RA alitaka kuwakataza Mtume SAW akamwambia wawache waendele kufurahi ili mayahudi pia wajue kuwa ktk Dini yetu tunayo fursa

  • @ImaniBalankwaya
    @ImaniBalankwaya 3 หลายเดือนก่อน +1

    lishenzi hili limetumwa pumbavu

  • @HamadFakiOthman
    @HamadFakiOthman 4 หลายเดือนก่อน +3

    Shekh wangu mashallah natamani nipate fursa wallah nije nisome japo mwaka kwako

    • @fadhilhelebula664
      @fadhilhelebula664 4 หลายเดือนก่อน

      Huyu ni shetwani kabisa na mashetwani wanamtuza,unalinganisha kusoma qur'an na kuimba mziki ?

    • @HamadFakiOthman
      @HamadFakiOthman 4 หลายเดือนก่อน

      Sheitwani kwako wewe lakini Mimi namuona Ni mtu mwenye ilmu yake wewe ikiwa waona hivyo ana mapembe apo Ni Sawa

    • @hussehussein1081
      @hussehussein1081 4 หลายเดือนก่อน

      baada ya kusoma kwake unarudi kufungua bendi ya muziki😢

    • @HamadFakiOthman
      @HamadFakiOthman 4 หลายเดือนก่อน

      Hapa nilipo ninayo sio nikirudi SEMA niendeleze tu

    • @hemedially9162
      @hemedially9162 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂​@@HamadFakiOthman

  • @babuimam550
    @babuimam550 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mawahabi acheni fujo shekhe wenu muqbìl amesema mwenyekukufurisha watu huyo niumbwa wa motoni

  • @MusaYusuphu-y2l
    @MusaYusuphu-y2l 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mtu wa muziki na taarabu

  • @travellertraveller4505
    @travellertraveller4505 4 หลายเดือนก่อน

    Maashaallaah

  • @tinotravella7495
    @tinotravella7495 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nachojua nguzo za imani ni 3.. nazo ni.
    kumuamini allah, kuamuni kufufuliwa, na kutenda mema.. waislamu tuweni makini . Kwenye msafara wa mamba na kenge wapo

    • @coolvoices6608
      @coolvoices6608 4 หลายเดือนก่อน +1

      Msiba mkubwa ndugu...nguzo za imani ni 6

  • @musaomar4184
    @musaomar4184 4 หลายเดือนก่อน +1

    Turudi kwenye kitabu kitakatifu je hamna aya yakukataza muziki? kama ipo mbona upingane na Quran verses

  • @kusweymohamed
    @kusweymohamed 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bw.mtume s.a.s katumbia dhiki za moyo shida swali rakaa 2 ww watuambia nai gitaa aw aw haturdi Tena hoko

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 4 หลายเดือนก่อน +4

    MASHALAH MASHALAH MASHALAH
    HAKIKA ELIMU NI BAHARI MAWAHABI SOMENI

  • @masoudmohammed4258
    @masoudmohammed4258 4 หลายเดือนก่อน

    Mziki halali😂😂😂😂 huu upuuzi huu

  • @yacrally3342
    @yacrally3342 4 หลายเดือนก่อน

    Allah Allah

  • @DonTwaha
    @DonTwaha 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ata ukirekebishwa hurekebishiki

  • @SaidiMohamed-bj2wg
    @SaidiMohamed-bj2wg 4 หลายเดือนก่อน

    Ivi munaijua nai mmesoma mukamjua alie anzisha nai

  • @isaack100
    @isaack100 4 หลายเดือนก่อน

    Bhachu amemzidi ust said kwa ufasaha2 lakini elimu aaah haha karibia ust said

  • @thamratysuleiman3053
    @thamratysuleiman3053 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa anamaradhi ya kupenda mziki

  • @Yayouselim
    @Yayouselim 4 หลายเดือนก่อน

    Twajibi😅😅😅😅😅

  • @medimisi6930
    @medimisi6930 4 หลายเดือนก่อน +2

    Qur ani ni mziki hii mpya. 😂😂anatakiwa atubie mbele ya jamii. Tukisema mziki haufai . Mtume ametuambia , ipambeni Qur ani kwa Sauti zenu... sasa anaongea nini huyu nilijua ana kitu kumbe ni Box.. anawafundisha Mabox yanacheka tu. e😂😂

  • @ramadhankheir4793
    @ramadhankheir4793 4 หลายเดือนก่อน

    Wanacheka wakiona rahaaaa kumbe hamna kitu apo

  • @ramadhanjuma610
    @ramadhanjuma610 4 หลายเดือนก่อน +1

    Saidi ww mwimba taarabu tu

  • @BushDoctor-dw8el
    @BushDoctor-dw8el 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna shekhe wala mashekhe. Nyote mnachukulia dini kitega uchumi.

  • @istandwithkasubi9665
    @istandwithkasubi9665 4 หลายเดือนก่อน

    Allah akuhifadhi shk.Said

  • @huseinikaji8208
    @huseinikaji8208 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwakweli huyu hastahili kuitwa shekh na waislamu tumpuuze

  • @AbuuTamimu
    @AbuuTamimu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Duuh masheikh wa kiyahudi Hawaa hatoi hata ayaaa Wala hadithi makelele tu

  • @SaidAbdallah-sm1ft
    @SaidAbdallah-sm1ft 4 หลายเดือนก่อน +1

    Juu ya wajinga lakin sio kwa wanachuoni
    الذين امنوا وتطمئن قلوبهم لذكر الله ألا بذكر الله تطمئن القلوب
    Sio mziki!!

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 4 หลายเดือนก่อน

      @@SaidAbdallah-sm1ft hujui kutafautisha vitu kwani alokuambia kusoma Quran na kumtaja Mwenye Ezi Mungu ktk kuleta Dhikri au kumswalia Mtume SAW ni ktk mziki?

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 4 หลายเดือนก่อน

      @@SaidAbdallah-sm1ft na hii Aya pia hujaielewa kaangalie Tafsiri yake vizuri ni mtu kuleta Dhikri kwa njia ya mahadhi kwa kutiya sauti nzuri ni burudisho cha moyo hiyo hayitwi mziki

  • @chrisgamer4149
    @chrisgamer4149 4 หลายเดือนก่อน +7

    أَبُو عَامِرٍ ـ أَوْ أَبُو مَالِكٍ سَمِعَ النَّبِيَّ صلى الله عليه وسلم يَقُولُ : ((لَيَكُونَنَّ مِنْ أُمَّتِي أَقْوَامٌ يَسْتَحِلُّونَ الْحِرَ وَالْحَرِيرَ وَالْخَمْرَ وَالْمَعَازِفَ، وَلَيَنْزِلَنَّ أَقْوَامٌ إِلَى جَنْبِ عَلَمٍ يَرُوحُ عَلَيْهِمْ بِسَارِحَةٍ لَهُمْ، يَأْتِيهِمْ لِحَاجَةٍ فَيَقُولُوا ارْجِعْ إِلَيْنَا غَدًا‏.‏ فَيُبَيِّتُهُمُ اللَّهُ وَيَضَعُ الْعَلَمَ، وَيَمْسَخُ آخَرِينَ قِرَدَةً وَخَنَازِيرَ إِلَى يَوْمِ الْقِيَامَةِ)) رواه البخاري
    Amehadithia Abuu ‘Aamir au Abuu Maalik kwamba kamsikia Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) akisema: ((Watakuweko watu katika Ummah wangu watakaojaribu kuhalilisha zinaa, uvaaji wa hariri, pombe na muziki. Baadhi ya watu watakuwa pembeni mwa mlima na mchungaji wao atawajia jioni na kuwaomba haja [fulani]. Watasema: "Rudi kesho". Allaah Atawaangamiza usiku, Atawaangushia milima kisha Atawabadilisha waliobakia wawe nyani na nguruwe na watabakia hivyo hadi siku ya Qiyaamah)) [Al-Bukhaariy]

    • @rajabumsuya-hg8jd
      @rajabumsuya-hg8jd 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@chrisgamer4149 hawa maghurafi wanatabu sana ila ni njaa tu

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 4 หลายเดือนก่อน

      @@chrisgamer4149 wewe na haya maneno yako mbona hata hayalingani hao wanao zungumzwa hapo ni watu watakao halalisha zinaa na etc kama ulivyo yatafsiri, sasa wewe na haya maneno ushawai kuona kwenye Maulid watu wakihalalisha Zinaa au kunywa pombe na hayo mengine?na kuimbwa kuna tafauti kuna zinazo fanya na ambazo hazifai, nyinyi mawahabi mbona Nasheed mwazikubali au hizo sio nyimbo

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@rajabumsuya-hg8jd wenye taabu ni nyinyi mawahabi mawaita watu wazushi ilhali kwenu uwahabini Uzushi upo kibao kuna kitabu kizima cha Uzushi wa mawahabi au hujui hilo

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 4 หลายเดือนก่อน

      @@chrisgamer4149 hata ujui kulinganisha hii ni kaumu watakuja kuhalalisha mfano wa hivo ulivyo Tafsiri, sasa wewe ushawai kuona kwenye Maulid watu wakihalalisha Zinaa au kunywa pombe na hayo mengine?na kuimbwa kuna tafauti kuna zinazo faa na ambazo hazifai, mbona nyinyi mawahabi Nasheed mwazikubali au hizo sio nyimbo?

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@chrisgamer4149 haya maneno yako hayalingani na yanayo fanyika ndani ya Maulid ushawai kuona kwenye Maulid watu wakihalalisha Zinaa au kunywa pombe na hayo mengine,kayasome vizuri haya maneno ujue ni kaumo gani hao

  • @AbdullaziizMohammedmgude
    @AbdullaziizMohammedmgude 4 หลายเดือนก่อน +3

    Shaikh Said Umesoma,lakini hauna uwelewa na Ulichokisomea,.Tunataka Dalili wapi Mtume wetu Muhammad s.a.w.Ameruhusu Miziki.Unaongea Kiarabu ili uhadae Uma,Dini inataka Dalili,Qur an Na Hadith ndo Muongozo wetu,..Uhalali wa Mziki twapata kwenye Aya Gani ima Hadith gani??

    • @KasalamaAlly
      @KasalamaAlly 4 หลายเดือนก่อน

      Sheikh Ili la muziki mmmmmm!!!!!!!!?????

  • @KipangaAbourayy
    @KipangaAbourayy 4 หลายเดือนก่อน +1

    Shkh unajua mziki ni nini? Yaani Leo unahalalisha mziki?

  • @Kulwakisansa-zk5yg
    @Kulwakisansa-zk5yg 4 หลายเดือนก่อน +1

    Shehe fanya toba ndugu yangu
    Tena hii clip ingefutwa.
    Mziki ni haramu isiyoitaji hata aya wala hadith

  • @AboudAli-y6p
    @AboudAli-y6p 4 หลายเดือนก่อน +1

    Duuu duuu dj

  • @adnaankhanbhai7057
    @adnaankhanbhai7057 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ibilisi mkim kuta sehemu mnam piga mawe kabisa sheitwani mkubwa huyu ibilisi mzushi mkubwa huyu laanatullahi na walid wake mpuuzi mkubwa kabisa

  • @Yayouselim
    @Yayouselim 4 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran Mwalim Saidi umetisha miji salafy 😅😅😅😅

  • @MusaYusuphu-y2l
    @MusaYusuphu-y2l 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe ni mpotevu katika wapotevu katika uisilamu,huo unaongea ni upuuzi

  • @hamisimlala4700
    @hamisimlala4700 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kuimba bila midundo ya vyombo siyo mziki bwana wewe.

  • @TRIPLE.3Rs
    @TRIPLE.3Rs 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dhiki sio quraan ndio huondoa?
    Dj Huna maana

  • @normaltv8717
    @normaltv8717 4 หลายเดือนก่อน +2

    Acha ujinga kupotosha watu ...

  • @SaidiMohamed-bj2wg
    @SaidiMohamed-bj2wg 4 หลายเดือนก่อน +1

    Lakini munaijua nai musiropokwe elimu mumeikuta

  • @ATICKLUNKO
    @ATICKLUNKO 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kueleza zumari ndio n ktka mapenz ya mtume,, au hun habari, mtume alisfu zumari,, pole

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 4 หลายเดือนก่อน

      @@ATICKLUNKO kitu cha kwanza fanya heshima ukitaja jina la Mtume SAW andika kwa kumalizia SAW sio rika lako hata Mwenye Ezi Mungu alimpa Daraja, Pili kuna Swahaba alimsomea Mtume SAW Quran kwa sauti mzuri sana akamwambia sauti yako nzuri kama mfano ya mazuri au Zanaa alotumia Dawood AS ktk kuwasomea Zaboor watu wake

  • @SaidAbdallah-sm1ft
    @SaidAbdallah-sm1ft 4 หลายเดือนก่อน +1

    Masufi porojo sio dini

  • @Salsimpleworkshop
    @Salsimpleworkshop 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kundi LA upotofu,makhurafi

  • @DahlayniBadi
    @DahlayniBadi 4 หลายเดือนก่อน +3

    Sijawai kuona mtu mpumbavu kama wewe shehe Yani mjinga kabisa unapotosha watu Yani unaalalisha ujinga

    • @HemedAbdullaSuleiman
      @HemedAbdullaSuleiman 4 หลายเดือนก่อน

      wewe kama nani?
      Una hasadi lakini hujijui

    • @qassimuBaruti
      @qassimuBaruti 4 หลายเดือนก่อน

      Jifunze kua na heshima kwawatu usiemjua na unaejua pia asa hayomatusi hapo yanakujaje

  • @tigerroar3545
    @tigerroar3545 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wamekaa kuoongea porojo tu

  • @JumabakariKiumba
    @JumabakariKiumba 4 หลายเดือนก่อน +2

    Usitumie kibra au kibla??
    Watu wa uzushi mziki SIO hatam basi nishubha!!!

  • @salimhilal3904
    @salimhilal3904 4 หลายเดือนก่อน +1

    Basi undeni bendi zenu na nyie kama wakiristo mupige misikitini

  • @albabaly8297
    @albabaly8297 4 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo mziki halal 😂😂😂

  • @thamratysuleiman3053
    @thamratysuleiman3053 4 หลายเดือนก่อน +1

    Uhalali wa mziki uko wapi? Acha ujinga

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 4 หลายเดือนก่อน +1

    ustadh mwanamuziki kwani quran haijaruhusiwa kughaniwa ? hadithi zipo zinazoruhusiwa quran kughaniwa tupe dalili ya uhalali wa mziki usibabaidhe watu hapo