Rais Husem Mwinyi kupigiwa mizinga sio sawa kwakuwa sio Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi. Mnaharibu utaratibu kwakuwa Nyerere hayupo. Mwinyi ni sawa na Waziri mkuu akiwa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano na hiyo mizinga alitakiwa apigiwe Rais wa Jamhuri ambaye ni SAMIA na sio Rais wa Zanzibar. I hope kuna mtu mwingine ataliona hili kosa.
Singapore tena
Muwe mnaacha kuongea sana uyo mdada anaongea tu haachi ata nafasi tukasikiliza midundo hadi unakosa raha
Rais Husem Mwinyi kupigiwa mizinga sio sawa kwakuwa sio Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi. Mnaharibu utaratibu kwakuwa Nyerere hayupo. Mwinyi ni sawa na Waziri mkuu akiwa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano na hiyo mizinga alitakiwa apigiwe Rais wa Jamhuri ambaye ni SAMIA na sio Rais wa Zanzibar. I hope kuna mtu mwingine ataliona hili kosa.
Nyerere ni nani na ww unaongea kama nani
Fitina mbaya sana
Fitina mbaya sana