HATIMAYE WARAKA WA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA WA KUPINGA MKATABA WA BANDARI WASOMWA KANISANI HII LEO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • #TANZANIA: Hatimaye #Walaka wa #Maaskofu #Katoliki #Tanzania wa kupinga #Mkataba wa #Bandari na #DPW wasomwa #Kanisani hii leo

ความคิดเห็น • 659

  • @kiliantereba6502
    @kiliantereba6502 ปีที่แล้ว +39

    Hongereni maaskofu tusimame pamoja kupinga uporaji huu wa viongozi wachache waliohongwa kuuza nchi yetu. Tusikubali kamwe kurudi kuwa watumwa kwenye nchi yetu

  • @zabronjonathan2264
    @zabronjonathan2264 ปีที่แล้ว +11

    Hongereni Kwa kusema ukweli bila kupepesa macho Mungu awabariki na kuwalinda .

  • @MtumishiMwaisaka-lb3qs
    @MtumishiMwaisaka-lb3qs ปีที่แล้ว +12

    Hallelujah hallelujah hallelujah TANZANIA

  • @MichaelMathew-ke6bi
    @MichaelMathew-ke6bi ปีที่แล้ว +43

    Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe, how is come mambo zetu tufanyiwe na wazungu au waarabu? Wakati wa Magufuli hii nchi ilikuwa inaenda very good than!! Lkn leo hii mambo ya ajabu na ya kushangaza yanaanza kuonekana. Magufuli alisema hivi, Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe. Wazungu au waarabu hao sio ndugu zetu hata siku mmoja tena wanatuchukia vibaya sana, wanatamani watu weusi wote wafe. Lkn yupo Mungu wa uwezo, Yesu Kristo, pamoja na watanzania.

    • @kassimualli1755
      @kassimualli1755 ปีที่แล้ว +1

      Acha ukuma wew

    • @BobNgagi2023
      @BobNgagi2023 ปีที่แล้ว

      Wewe Michael kwani Magufuli ana hati miliki ya nchi hii ? mnang'ang'ania tu Magufuli alifanya hivi, alikataa kile ! kwani Magufuli ndiyo mwongozo wa namna ya kuendesha Tanzania ? Yeye keshakufa , wengine wataongoza watavyoona wao inafaa, Magufuli ndo basi tena

    • @BobNgagi2023
      @BobNgagi2023 ปีที่แล้ว

      Yaani hawa wehu wanategemea nchi itaendeshwa kwa Waraka wa kikundi cha waumini fulani ? hawa watu hawana wanalolijua zaidi ya kusoma biblia tu, wanaongea pumba tu na chuki za wazi, hawa ni Wachochezi tu, wawekwe ndani hawa

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว +1

      Hahahaha,,,,unadai magufuli alisema nchi itajengwa na watanzania wenyewe, kama ni kweli mbona yeye alikwenda kuwachukua waturuki kutujengea SGR na bwawa la Nyereree? ,,,,, Kwahiyo ukome kutoa hoja za kukurupuka

    • @user-oz1pp1ck2m
      @user-oz1pp1ck2m ปีที่แล้ว

      ​@@jumakapilima7295 watanzania hawana ujuz wa kujenga leli

  • @japhetringo7688
    @japhetringo7688 ปีที่แล้ว +22

    Maaskofu wote na waumini wote wa Tanzania mkataba haukubaliki

  • @mashirimathias6006
    @mashirimathias6006 ปีที่แล้ว +7

    Asanteni maaskofu mlichofanya ni kazi ya Mungu iliyotukuka wakati wa Bwana ukifika hakuna wa kusema hapana

  • @mimiinvestments8406
    @mimiinvestments8406 ปีที่แล้ว +50

    Tunawashukuru sana Maaskofu Katoliki Tanzania. Hii nchi ni ya Wananchi wote, kama kuwekeza hata mwenye kidogo anaweza kuwekeza alicho nacho. Wana Nchi wafundishwe njia bora za Uwekezaji. Kila aliye na uwezo akijitoa kuwekeza kwenye Bandari yetu, tuliongozwa na Sekta binafsi wa Wabobezi wa uwekezaji wazalendo tutaweza. Kama tunaweza kuendesha Taasisi zetu za dini bila kutegemea misaada, kwa nini tushindwe kuweleza kwenye Bandari ambayo inatengeneza faida?
    Pesa iko hapa hapa, ni mipango tu inatakiwa.
    Mwenyezi Mungu na atushushie Baraka zake.

    • @tatumustafa8599
      @tatumustafa8599 ปีที่แล้ว

      Kwanini ni watu wa kanisa tu?

    • @andrewsam364
      @andrewsam364 ปีที่แล้ว

      @@tatumustafa8599 kwasababu wengine baado usingiz nimzito hawajaamka

    • @user-oz1pp1ck2m
      @user-oz1pp1ck2m ปีที่แล้ว

      ​@@tatumustafa8599 hata waislamu hawajazuiwa kuupinga

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm ปีที่แล้ว

      @@tatumustafa8599 hata Mashehe kwa Ijumaa wanaweza fanya hivi. Hii ni taasisi pia na iko huru inawatumikia wananchi pia ina Wao Giza wananchi wakatoliki kiroho. Huwezi tibu Roho bila mwili.Nawaunga mkono maaskofu. Wana I unga mimi mkono kama mwananchi

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 ปีที่แล้ว

      ​@@tatumustafa8599wana ushawishi kwa waumini na watu wote wanaoamini katika katiba yetu ambayo inakiukwa na wanaofikiri kuwa wapo kufanya lolote wakisahau kuwa sisi wananchi ndiyo waajiri wao kila maliasili ya nchi no Mali yetu

  • @neboughtkalwila
    @neboughtkalwila ปีที่แล้ว +10

    Wabarikiwe sana Maaskofu kwa tamko hili, hakika hii ndio itupasayo... Kunena ukweli. Nimefurahishwa na hili.

  • @levinainnocent341
    @levinainnocent341 ปีที่แล้ว +19

    Najivunia kuwa mkatoliki, ahsante sana baba Askofu wetu Mungu awalinde katika kuendeleza amani kwa watu wa Mungu

    • @khalidmuhidin2795
      @khalidmuhidin2795 ปีที่แล้ว +1

      pole Mungu akuongoze uione haki

    • @emanuelsiwingwa8974
      @emanuelsiwingwa8974 ปีที่แล้ว

      Haki.huinua.taifa.mkiisimamiahaki.munguatainua.tanzania

    • @emanuelsiwingwa8974
      @emanuelsiwingwa8974 ปีที่แล้ว

      Watanzania.tuwemakini.tusijepotoshwa.kama.samsoni.

    • @africatoeuropechurchtv8856
      @africatoeuropechurchtv8856 ปีที่แล้ว

      Ukweli kuwa Mkatolik ni raha katika hili. Lakin u katoliki na madhehebu yooote halipo hata moja ambalo ni la BWANA. Usijivunie bure. Bwana anaangalia neno lake sio dhehebu.

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 ปีที่แล้ว +16

    Majimbo yote tusomewe waraka huo.Mungu awabariki Maaskofu wetu.

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 ปีที่แล้ว +12

    tunashukuru sana maaskofu wetu kwa uamuzi wenu wa kizarendo mliotoa kuhusu kuokoa bandari zetu kutoka kwenye mikono ya manyang'au warabu, pongezi kwenu👏👏👏👏🙏🙏🙏❤️

    • @JafarHussein-qe6ly
      @JafarHussein-qe6ly ปีที่แล้ว +1

      Hakuna cha kuokoa bandari msitudanganye , bila shaka mnashirikiana na wezi walio igeuza bandari yetu shamba la bibi.

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 ปีที่แล้ว +2

      @@JafarHussein-qe6ly waliogeuza bandari yetu shamba la bibi ni waislamu na Chama cha mapinduzi ccm ndio walio hodhi bandari zetu kwa miaka 60 na kutuletea hasara

    • @TOUNDISELASSIE-xj8oy
      @TOUNDISELASSIE-xj8oy ปีที่แล้ว

      Matusi sio mazuri
      Simamia hoja ya msingi
      Nyang'au sio neno zuri

    • @JafarHussein-qe6ly
      @JafarHussein-qe6ly ปีที่แล้ว

      @@ramadhanmahongole9293 kwanini isipatikane hasara wakati mnapitisha mizigo yenu free kwa kisingizio cha dini?

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 ปีที่แล้ว +3

      @@JafarHussein-qe6ly kwaiyo ndo mmeona mlete manyang'au wenu warabu waje kuwajengea misikiti ya msaada na kututawala tena kwa mara ya pili kwani mmesikia tanganyika ni nchi ya kiislamu? mkome kabisa tanganyika ni nchi ya kikiristo huo uislamu wenu pelekeni zanzibar na Oman kwa sultani wenu hatutaki mashetwani wenu waje kututawala tena mkome kabisa

  • @kuryatvfilm1161
    @kuryatvfilm1161 ปีที่แล้ว +9

    Amina na iwe hivyo maisha sio pesa tu bali Uhuru ni mzuri zaidi

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว +1

      Nani aliyekudanganya, wakati kanisa lenyewe linapiga mpunga,,,

  • @BagashekiFelix-jr9cu
    @BagashekiFelix-jr9cu ปีที่แล้ว +3

    Baraza la TEC hongera na mbarikiwe sana. Mmefanya kazi ya uchungaji iliyo kamilika. Serikali ikitunisha shingo nyinyi kazi yenu mmeikamilisha. Sauti ya Mungu imeisha shuka toka nyikani kwa CCM na serikali yake. Ni jukumu na wajibu wao kuitii au kuikataa.

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 ปีที่แล้ว +14

    WAHESHIMIWA MAASKOFU HII NDIO KAZI YA MUNGU MTABATIKIWA SANA NA MTARNDELEA KUWA JUU MBRLE US MUNGU MA WANADAMU.❤❤❤❤❤❤❤ POWERFUII.

  • @user-nv7hf1lf8t
    @user-nv7hf1lf8t ปีที่แล้ว +1

    Asanteni sana baba zetu maaskofu kwa tamko hilo zuri na lenye manufaa.

  • @mohamedwwnurumasagcom8171
    @mohamedwwnurumasagcom8171 ปีที่แล้ว +3

    Ahsanteni maaskofu mungu aendelee kuwatunza, Amen

  • @ShabaniOnyango-gm3vz
    @ShabaniOnyango-gm3vz ปีที่แล้ว +16

    Tanzania Ni nchi yetu tuna kila sbb ya kutetea rasilal zetu kwa nguvu zote enyi viongoz tiza hil

  • @masellemaziku1096
    @masellemaziku1096 ปีที่แล้ว +18

    Nimefurahi sana sana. Maaskofu mmewakilisha mawazo yangu. Nilikosa jukwaa niongee vipi. Kiukweli pasipo kuegemea kwenye siasa, dini wala chama, mkataba huu ni mbaya sana kwetu. Kwenye mlengo wa siasa mimi ni CCM lakini katika hili siko na chama changu. Siungi mkono maamuzi yote ya Serikali, siungi mkono maamuzi ya Bunge na Siungi mkono mbwembwe za CCM yangu katika kutetea DPW. Siungi mkono hata kidogo nguvu za polisi zinazotumika kupambana na Watanzania wenzetu wenye ufahamu wa kutosha na wanaotuongoza kukataa mkataba huu wa Kinyonyaji. Mkataba huu ni zaidi ya ukoloni. Siungi mkono mkataba huu. Nitapiga kura za hapana kwa DPW, hapana kwa maamuzi ya Bunge na hapana kwa CCM. Mungu ibariki Tanzania. Mungu bariki bandari zetu zibaki mikononi mwetu. Mungu bariki TEC na wote wanaopigana kwa niaba ya wananchi wa Tanzania.

    • @ibrahimmakasi4690
      @ibrahimmakasi4690 ปีที่แล้ว +1

      Jamaa unajielewa Sana.....

    • @user-oz1pp1ck2m
      @user-oz1pp1ck2m ปีที่แล้ว

      Mimi pia mana akina tulia wanatupelekesha wanavyotaka

  • @azizabdallah585
    @azizabdallah585 ปีที่แล้ว +3

    Asanteni sana Baraza la Maaskofu Tanzania....Mamilioni ya Waislamu wa Tanzania tuko pamoja na nyinyi kuupinga Mkataba huu wa KIFISADI wa Bandari na Njia Kuu za Uchumi uliofanywa na Mh. Rais Samia na Serikali yake ya CCM na Bunge la Wala Rushwa.

    • @yussuffadhil4522
      @yussuffadhil4522 ปีที่แล้ว

      hamna liwalo

    • @yussuffadhil4522
      @yussuffadhil4522 ปีที่แล้ว

      hakuna hyo kitu hakuna mamilioni ya waislamu

    • @yussuffadhil4522
      @yussuffadhil4522 ปีที่แล้ว

      ni wewe peke yako usiwasemee waislam wengine

    • @ramadhanmsonge9960
      @ramadhanmsonge9960 ปีที่แล้ว

      Wanyenyekezi wengi wanaoamini na kumuogopa MwenyeziMungu wanawaunga mkono Maaskofu

  • @lucaslutogisha3182
    @lucaslutogisha3182 ปีที่แล้ว +13

    Tangu nizaliwe leo nimegundua mungu hamutupi mwenye haki.

  • @ChristerShao
    @ChristerShao ปีที่แล้ว +6

    Tuzidi kuliombea taifa letu tuwaombee maaskofu wetu mungu awalinde awalinde na kila mabaya yote.Tuwaombee wote waliojitoa majanga wakabambikiwa kesi za uhani.Mungu ibariki Tanzania na watu wake.

  • @princehenry7113
    @princehenry7113 ปีที่แล้ว +6

    Kuanzia juma pili ijayo naanza kwenda kanisani... Mungu awabariki watumishi, nimeisikia sauti ya mungu ndani ya sauti yenu🙏

  • @ezekielmirambo8704
    @ezekielmirambo8704 ปีที่แล้ว +6

    Safi sana Mungu ni mwema!

  • @novatuskazoba8823
    @novatuskazoba8823 ปีที่แล้ว +5

    Kama dini zote za nchi hii nasiokuwa dini watakuwa wasema kweli kama hivi bila kuogopa au KUONA aibu hii nchi haitakuwa na ufisadi wala rushwa au dhuruma kwema haki za wananchi. Ahsanteni MAASIKOFU

  • @brother_majesty
    @brother_majesty ปีที่แล้ว +7

    CCM ni janga. Ing'olewe haraka

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq ปีที่แล้ว +8

    Asanteni sana maskofu japo najua kunavichaa majuha wapumbavu ambao watabeza walaka huu nyinyi songeni mbele kwani mmeyafanyahaya kwa kutafakari kwa kina asanteni tunachoomba sasa toeni mwanga ilibandali ifanyekazi kwa ufanisi ilikuvutia watumiaji wanaofanya usafirishaji wa bandari zetu

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว

      Ni kichaa pekee yake atakayeunga mkono waraka huo,,,

  • @juliasmtundu442
    @juliasmtundu442 ปีที่แล้ว +9

    WABUNGE WAKAFANYE TOBA MAKANISANI NA MISIKITIN KAMA NI WAUMINI

  • @japhetringo7688
    @japhetringo7688 ปีที่แล้ว +9

    Ata mimi kkkt wachukue mfano apa vinqinevo hatuendi makanisani tunahamia Roma

  • @simonkenne6892
    @simonkenne6892 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe maaskofu...
    Mungu aendelee kuwatumia

  • @drdd774
    @drdd774 ปีที่แล้ว +10

    Amen tumeupokea, tumeuelewa,

  • @sebastianmwantuge5597
    @sebastianmwantuge5597 ปีที่แล้ว +9

    Hongereni sana Maaskofu lakini kwa ugumu wa mioyo kwa Viongozi wa Serikali nao watatoa tamko kuwatishia na kuwafungulia kesi za uhaini

    • @josephlango5591
      @josephlango5591 ปีที่แล้ว

      Wafungue tu. Hata Yohane Mbatizaji alijuwa Herode ana mamlaka lakini alipomtaliki mkewe wa ndoa na kumuoa mke wa nduguye, hakusita kumkosoa kwa uzinifu wake. Japo alimkata kichwa kwa hila za mkewe huyo muovu, Yohane Mbatizaji anabaki kama nabii na mtakatifu. Herode badaye alipoteza cheo chake na kufa kwa aibu tu.
      Uovu hauwezi kunyamaziwa kwa kuogopa mamlaka ya waovu

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 ปีที่แล้ว

      Asanteeeee@@josephlango5591

  • @kahmardintebe9266
    @kahmardintebe9266 ปีที่แล้ว +2

    Hongereni maaskofu kwa kujuwa wajibu wenu mliopewa na mungu wa kuwachunga kondoo wenu kwa vitendo mungu azidi kuwapa moyo huohuo wa kuwachunga kondoo wenu mlio kabidhiwa na mungu

  • @NorahFrank-w5m
    @NorahFrank-w5m ปีที่แล้ว +1

    Asante kanisa Catholic. Nyie mmekuwa faraja kwa wananchi wa Tanzania pamoja na wale waliopaaza sauti zao hadi kufunguliwa mashtaka ya uhaini. Mungu ni mchunguza mioyo ya wanyonge.tofauti na huyu mama tulia spika wa bunge.ukimsikiliza hutaamini ni msomi na mbeba maono wa nchi yetu.hakika hawa ndiyo wanaompotosha rais na madigri yao.someni 2 Nyakati 20:20 b 12:15 Mtamwona Mungu hapo. Akisema Nisikieni enyi Yuda nanyi wenyeji wa Yerusalem Mwanini BWANA Mungu wenu, ndivyo mtakavyothibitika , waaminini manabii wake ndivyo mtakavyofanikiwa . Sauti hii iliyowasilishwa kanisani ni sauti ya Mungu mwenyewe. Atakayebisha basi asubiri yale mapigo ya Farau akiwa kiongozi kule Misri. Asante kanisa.Sifa na Utukufu umrudie Mungu wetu

  • @mimiraia2531
    @mimiraia2531 ปีที่แล้ว +11

    Maoni yangu, wafuatao kwenye nafasi hizi ZA UTEUZI WAJIUZULU:
    1) Nafasi ya Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi
    2) Nafasi ya Waziri wa Ujenzi
    3) Nafasi ya Waziri Mkuu
    4) Nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
    5) Nafasi ya Naibu Spika wa Bunge
    6) Nafasi ya Spika wa Bunge
    WALE WA NAFASI ZA KUCHAGULIWA, 2025 Wasirudishe sura zao kwenye karatasi za kura
    ASANTENI SANA KWA KUNIELEWA

  • @geraldlaurent6750
    @geraldlaurent6750 ปีที่แล้ว +3

    Wakati wa Mungu ni sasa ni sahihi asanteni sana watumishi wa Mungu

  • @theresamagomba9396
    @theresamagomba9396 ปีที่แล้ว +2

    Binafsi jambo hili limeitafuna afya yangu nimeugua sana hatimaye tamko hili kwangu limefika kama tiba. Asante sana. Nyie siyo tu mababa bali wabeba maono lazima serikali yetu ifanye awatakavyo watu

  • @mbuyaelyaoni6266
    @mbuyaelyaoni6266 ปีที่แล้ว +7

    Aisee duh, Magufuli hajafa. Asante Yesu🙏🙏

  • @dynamicmwakibinga4371
    @dynamicmwakibinga4371 ปีที่แล้ว +6

    International pure points!!!!!!!!!

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 ปีที่แล้ว +5

    Asante sana kanisa kuliona hil❤❤❤i

  • @sunaybrajabu238
    @sunaybrajabu238 ปีที่แล้ว +28

    Kwani Hao waarabu ni nani na wazungu ni nani, muhimu ni watanzania wajue kwamba Tanzania inaongozwa vibaya,Kuna wananchi wajinga sijapata kuona,Hali ya maisha imekuwa mbaya Sana bado waje wajinga wengine watufanye vile wanataka wao bado mnaleta complain kwa hiki viongozi WA dini wanachokisema, wanazungumza mema kwaajili ya nchi yetu, mungu akurehemu magufuli sijui kwanini ulikubali huyu mama kuwa mgombea mwenza wako,na laiti kama mbinguni tungekuwa tunaenda kwa vyeo basi wengine wasingeona ufalme WA mungu Lakin tutaishi maisha ya baadae yakiwa mazuri ni kwa wale tu waliotumikia mungu kwa moyo na uwadilifu

    • @deniskaaya1117
      @deniskaaya1117 ปีที่แล้ว +6

      Tatizo watu wanaingiza udini kwenye hili suala,ukitaka kujua angalia majina ya wanaoponda,wanasahau ukiacha ukristo na uislamu sote ni watanzania

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 ปีที่แล้ว +1

      ​@@deniskaaya1117uko sahihi kabisa. Wenzetu na Ndugu zetu waislam wanawaza udini tu badala ya kufikiria kilichotokea na nini kitatokea baadae.

    • @emanuelsinyinza
      @emanuelsinyinza ปีที่แล้ว

      Hawo watu elimu haipo.kwani magufuri hakusemwa. Kwani mkapa hskusemwa. Tunasema mkatapa haufai sasa kama unafaa mwambiyeni rais awaperekee wazanzibari sisi hatuutaki hatuutaki anaye shabikiya ujuwe hazimo au kapewa kitu kidogo.

    • @emanuelsinyinza
      @emanuelsinyinza ปีที่แล้ว

      Utumwa alivyo umiza babu zetu unatosha anataka alete utumwa wa kiuchumi hatupo tayari.

    • @omaryntagala3740
      @omaryntagala3740 ปีที่แล้ว +2

      Ulishawahi kuona wapi watu wa dini wanazungumzia siasa afu kwanini wapingaji wengi muwe nyie wagaratia

  • @maryfranknamkumba9182
    @maryfranknamkumba9182 ปีที่แล้ว +13

    AHSANTE SANA SANA MABABA ASKOFU. HEKIMA ZA MUNGU ZIMETUMIKA. AHSANTENI ❤️🙏🏾

  • @anthonyluhumbika4693
    @anthonyluhumbika4693 ปีที่แล้ว +7

    Mungu awatangulie Viongozi wa serikali dini msimame katika haki na kukomboa nchi yetu Kwa ushauri wenye kujenga Kwa serikali

  • @NuruMandela-uu5zu
    @NuruMandela-uu5zu ปีที่แล้ว +10

    Sauti ya Mungu ni sauti yenye mamlaka,Wanasiasa hamna nguvu yyte kulinda matumbo yenu ,mwogopeni Mungu?bandari yet Tanganyika yet mtuache haiizwi hpn,hapo tu laana inawatafuna hamtaongoza nchi kwa furaha,wananchi ndo wenye nchi,viongozi wa dining ndo wana mamlaka na wananchi ,kilo cha wananchi wakutuliza ni Mungu na wakutoa majibu ni viongozi wa dini,Tanganyika ni yetu mtuachie Tanganyika na neema aliyotupa Mungu ,hao WAARABU hatuwataki kuguda tune zetu mmeona sasa wananchi tunawasikiliza viongozi wa dini tu na tunaliweka moyoni ,siasa hpn ,,mwogopeni Mungu enyi wana Siasa ,mkataba huo umeshapigwa na Mungu

    • @user-em5xj3rc5k
      @user-em5xj3rc5k ปีที่แล้ว

      Acha upofu wa udini ongea kwa faida na hasara za kiuchumi

    • @hassanijuma6071
      @hassanijuma6071 ปีที่แล้ว

      Ni mungu yupi unaemuongelea wewe, maana kwa uelewa wangu nyinyi wenye dini mna miungu tofauti mnayoabudu, Wakristo mna mungu wenu ambae anaitwa YESU, na waislam wana mungu wao anaitwa ALLAH sasa ni mungu yupi hapo unaemlenga wewe. na pia ukumbuke katika nchi hii kuna WAKRISTO na WAISLAM pamoja na sisi tusiokua na dini. Yaani hili jambo linataka umakini sana la sivyo litaibua vitu vingine ambavyo ni vibaya zaidi kuliko hata hili la bandari

  • @abellutonja4589
    @abellutonja4589 ปีที่แล้ว +8

    Kilichonifurahisha hata TULIA alikuwepo kanisani 🎉🎉🎉🎉imenoga

    • @helentelemla5623
      @helentelemla5623 ปีที่แล้ว +5

      Hata makamu wa rais kapata ujumbe kanisani imekaa vizuri tutaelewana mwaka huu

    • @victorjeremiah246
      @victorjeremiah246 ปีที่แล้ว +2

      Sio Tulia tu, na Dr. Mpango pia alikuwepo ujumbe umfikie Mh. Raisi vizuri

  • @mashirimathias6006
    @mashirimathias6006 ปีที่แล้ว +5

    Asanteni sana huu ndio wakati wa Bwana serikali tujifunze kwenye hilo

  • @donardntinginya365
    @donardntinginya365 ปีที่แล้ว +5

    Hongeleni Sana kwakupigania taifa letu kwapamoja

  • @mussamarwachamahaaaaaaaaaa8065
    @mussamarwachamahaaaaaaaaaa8065 ปีที่แล้ว

    Asante San masikofu mungu awabaliki San mungu awe nawe munga awabaliki san

  • @hamphr3y405
    @hamphr3y405 ปีที่แล้ว +3

    Wamasai daaah wameondolewa ngorongoro kwa maslai binafsi 💔🇹🇿

  • @rajeshndola
    @rajeshndola ปีที่แล้ว +5

    Hongereni sana Maaskofu mmechambua vizuri sana mkataba na kutoa maoni yaliyotukuka kwa kufuata sheria za Tz je raisi atafumbuliwa macho kuliona hili?

  • @mafurumatijo8803
    @mafurumatijo8803 ปีที่แล้ว +1

    Asante Mungu kwa hili. Bila shaka tamko hili lingesomwa kila kanisa ili ccm wajuwe kuwa wananchi hawataki ujinga. KATIBA MPYA ni sasa.

  • @user-yi3jk5vd8l
    @user-yi3jk5vd8l ปีที่แล้ว +7

    Mungu awape utumishi mwema

  • @mkritowamungu
    @mkritowamungu ปีที่แล้ว +15

    🙏🙏🙏🙏 Maaskof, wachungaji, wanasheria na wataanza tunashukuru Sana, na iwe mwanzo na mwisho kwa viongozi wadhalim na wezi wa Mali za umma, maoni yangu, tuwabane katika mikataba mingine 42 liyosainiwa nchini Ufaransa, mungu ibariki Tanzania na Africa,kwa pamoja tutawashinda🙏🙏🙏 Ameeen.

  • @ludobudege1662
    @ludobudege1662 ปีที่แล้ว +6

    TUNAWASHUKULU BARAZA LA MAASKOFU TANZANIA MKATABA NA DP WORLD HATUUTAKI UCHOMWE MOTO MAJIVU YAZIKWE CHINI YA ARDHI

  • @bakarimmbaga2344
    @bakarimmbaga2344 ปีที่แล้ว +9

    Mungu awabariki sana maaskofu kwa kutimiza wajibu wenu kikanisa juu ya siasa ya nchi yetu sote.

  • @jamesmayala5491
    @jamesmayala5491 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awape maisha marefu

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 ปีที่แล้ว +18

    Hii ndiyo Tanzania sasa, asanteni maasikofu, wajinga tuu ndiyo wanaoafiki haya 🙏🙏🙏🙏

    • @ernestbiseko1608
      @ernestbiseko1608 ปีที่แล้ว +2

      Kuna viongozi wa dini walitutelekeza na kuungana na wanyonyaji. Wakatoloki wameonesha njia nzuri kwa ustawi wa Taifa letu.

    • @daudimchileg307
      @daudimchileg307 ปีที่แล้ว

      @@ernestbiseko1608 japo wamechelewa mikataba mingi tulikuwa na uwezo wa kuipinga huko nyuma, taasisi za dini zinanguvu kubwa kuliko siasa yenyewe,

    • @isaachayes9783
      @isaachayes9783 ปีที่แล้ว

      TOA KWANZA BORITI KWENYE JICHO LAKO, KISHA UTATOA KIBANZI KWENYE JICHO LA MWENZAKO!
      Mgao wa rushwa ya Escrow uliofanya James Rugemalira wa IPTL kwa viongozi wa dini:
      1.Askofu msaidizi jimbo katoliki Bukoba
      Methodius Kilaini milioni 80.9
      2. Askofu msaidizi Alfonce Twimannye - Million 40.4
      Hili bado liko kwenye kumbukumbu hatujalisahau ingawa kuna watu wameshalisahau.
      matendo haya maovu hawakuwahi kutoa tamko vipi tutawaamini?? Pengine na huo waraka wamekula mlungula kutoka kwa wanaopinga uwekezaji wa bandari maana teyari kuna doa chafu, wamechafuka!
      Na matamshi haya ndio yanazidi kuligawa taifa, hivi kila dini ikitoa waraka tunalipeleka wapi Taifa?? Halafu wajinga humu wanaliunga mkono!😮

  • @paulootieno2235
    @paulootieno2235 ปีที่แล้ว +11

    Akika tutashinda uthalimu huu wa serekali yetu na Dp World

  • @EliatoshaLema-rw5hm
    @EliatoshaLema-rw5hm ปีที่แล้ว +6

    Hongereni maaskofu wakatoliki ninyi siyo wanafiki kabisaa.makanisa mengine wanaogopa 😮😮😮.

  • @goodlucknjau77
    @goodlucknjau77 ปีที่แล้ว +5

    Ana Tokea mtu na shati la kijani ana bana pia mkataba mzuri ni chizi , na alie kula Rushwa ,na asie jua kizungu ndio watakao sain huo uchafu .

  • @exseviangaeje1158
    @exseviangaeje1158 ปีที่แล้ว +3

    Masikofu mungu awabariki Awa wanapigia Debe huu mkataba tuwatilie Shaka NI wasaliti wa nchi

  • @seperatusthomas6543
    @seperatusthomas6543 ปีที่แล้ว +6

    Mimi siyo mkatoliki lakini tangu mwanzo sijakubaliana uwekezaji huo,na Kila mtu mwenye akili titamamu,lazima ataupinga,wengine wanamaslahi ya kidini ndomaana hoja zao nimatusi badala.yakujenga hoja

  • @athumanrashid5363
    @athumanrashid5363 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante sana baba askofo🎉🎉🎉🎉

  • @honestngowo3944
    @honestngowo3944 ปีที่แล้ว +15

    Mbalikiwe maaskofu wote mliitenga muda wenu kuliangalia hili 🎉🎉🎉

  • @majebelemathis9991
    @majebelemathis9991 ปีที่แล้ว +6

    Hapo vipi samia sikiliza watu acha kutumia nguvu chuntama vunja mkataba huo haufai kabisa hauna tija

  • @Saratarimo
    @Saratarimo ปีที่แล้ว

    ❤❤saf kabisa maaskofu wetu MUNGU awabariki sana kwa kusimama vyema na wanyonge wote, hakuna wa kututetea tena zaidi ya Kanisa kusimamia haki zetu Mungu awalinde na kuwapatia afya mzidi kututetea daima

  • @nanguniMtaita-hz4zt
    @nanguniMtaita-hz4zt ปีที่แล้ว

    Hongereni, hongereni Maaskofu wa Roman Catholic Tanzania kwa ujasiri na kutimiza maagizo ya Mungu bila unafiki. Mimi hata Thehebu ninalosali kama sio imani na kulijua ningeondoka na kutosali chini ya Uongozi wa thehebu hili. Viongozi wetu waoga wanafiki japo sio wote.

  • @mussamwimbi5-uu8tq
    @mussamwimbi5-uu8tq ปีที่แล้ว +5

    Japokua mim mpagan. Najapokua walaka huo umetolewa na katoriki. Nawaunga mkono kw moyo wangu wote. Inshu cyo waarabu kuwekeza wa Tanzania hapana. Inshu mkataba W kifisadi. At wakija wazungu kwamkataba km huu. Nawao tutawatowa mbio.

  • @catherinegimbika1545
    @catherinegimbika1545 ปีที่แล้ว +1

    Hongera maaskofu wetu

  • @marrymenas
    @marrymenas ปีที่แล้ว +1

    Asanten sana maaskofu wote Mungu azidi kuwalinda mkataba uvunjwe mara moja hatuutaki!!!
    Hivi Mama wakati wa kampen 2025 utapita kuomba kura ukitueleza nn? Au hautagombea tena

  • @ngambikomsu64
    @ngambikomsu64 ปีที่แล้ว +5

    Hapo mnatimiza lengo la Mungu kuwaweka kuliongoza kundi lake . Sio ambavyo mmekuwa mnanyamazia madhira mengi yanayofanyiwa wananchi.Mambo mengi yamekuwa yakitokea mnakaa kimya, angalau kwa hili mmeliona endeleeni kuangalia na kukemea yote yalio kinyume na matakwa ya wananchi mnaowaongoza yale yaliyo ya haki na yanayoheshimu katiba.

  • @julesjulius2694
    @julesjulius2694 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki sana .

  • @mkude
    @mkude ปีที่แล้ว +2

    Sawa hayo ni mawazo yenu,na sisi mawazo yetu tunaunga mkono uwekezaji wa bandari kutoka kwa DPW.mama Samia piga kazi,kazi iendelee.

    • @julianaswai7846
      @julianaswai7846 ปีที่แล้ว

      Tanzania itajengwa n watanzania wenyewe.

  • @healingclinic978
    @healingclinic978 ปีที่แล้ว +1

    Safi sanaaa makanisa ya kipentekoste msijifanye hamjui kinachoendelea toeni tamko

  • @barakavalencendola1117
    @barakavalencendola1117 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ibariki Tanzania,na uilinde na utupe Viongozi wazalendo

  • @Ambwene
    @Ambwene ปีที่แล้ว +18

    Tunazitaka Bandari zetu na tunaitaka Tanganyika Yetu....

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว

      Pimbi wewe, Una Tanganyika wewe!!

    • @sabaslinus977
      @sabaslinus977 ปีที่แล้ว +3

      Yaaan kweli nimeamini leo kwamba Romani katoliki ni taasisi kubwa yaan walaka umesomwa kanisani kijijini kabisa duuh !!!!

    • @sabaslinus977
      @sabaslinus977 ปีที่แล้ว

      @@jumakapilima7295 mbona unahasira Sana majasusi was kwanza duniani ni Romani katoliki kutokana na mfumo wao was utawala kuanzia Roma kwa papa Hadi kwenye jumuiya ndogo ndogo

    • @Ambwene
      @Ambwene ปีที่แล้ว

      @@jumakapilima7295 kama imekuuma njoo nikupakate

    • @ototek8037
      @ototek8037 ปีที่แล้ว

      @@jumakapilima7295 ukitoa Zanzibar na samia wao Tanganyika tutaipata

  • @jamesmboneko2952
    @jamesmboneko2952 ปีที่แล้ว +5

    Nawaunga mkono BARAZA LA MAASKOFU WA KATOLIKI.
    Tuungane kupinga Uhaini huu dhidi ya rasilimali za nchi yetu

  • @phantyrhymes9536
    @phantyrhymes9536 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania itajengwa na Watanzania wenyewe.Mungu ibariki Tanzania na Viongozi wote wakawasikilize wananchi wanaowatumikia.

  • @ernestbiseko1608
    @ernestbiseko1608 ปีที่แล้ว +5

    Naunga mkono. Kwa vile tumegundua mapungufu yetu pale bandarini kwanini tusirekebishe wenyewe?
    Kupuuza sauti ya wananchi ni kuukaribisha ukoloni mamboleo hatimaye unyonyaji.

  • @laupetpet7779
    @laupetpet7779 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki sana tena sana

  • @elneussimeo1275
    @elneussimeo1275 ปีที่แล้ว +3

    Asante kanisa tunawapenda

  • @kahmardintebe9266
    @kahmardintebe9266 ปีที่แล้ว +2

    Jpm alisema ameyatowa naosha yake sadaka kwa ajili ya watanzania mkajuwa anaimba ngonjera na akasema mtamkumbuka sasa Leo hii Kila mtu mzalendo anaungana na hayati jpm japo kuwa hatuponae Tena mungu ibariki tanzania

  • @nurdinkisaria9476
    @nurdinkisaria9476 ปีที่แล้ว +4

    RIP Magufuli😢

  • @user-eq4hs7xq8u
    @user-eq4hs7xq8u ปีที่แล้ว +4

    Mungu hakika anaipenda Tanzania ,

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 ปีที่แล้ว

      Mungu ha husiki na nchi wala maisha ya binadamu yeye ame tuumba na kutuacha tupambane na hali zetu

  • @aishaalbalushaishabalush8291
    @aishaalbalushaishabalush8291 ปีที่แล้ว

    safi kabsa nasie waislam tusio mafisad tunawaunga mkono maaskofu Mungu awabarik sana viongozi wa serkal wa kuuslam nimashetan sana

  • @silvanus1990blockchain
    @silvanus1990blockchain ปีที่แล้ว

    Hongereni sana maadkofu Kwa kujupambanua kujua haki ya watanzania inayoporwa na viongozi waovu waliokosa hekima ya haki na ubinadamu kutuuza kama mifugo Kwa faida Yao na watoto wao Mungu awabariki

  • @suzankimolo945
    @suzankimolo945 ปีที่แล้ว

    Hongereni sasa watumishi wetu hakika mmeonesha nguvu na msimamo wa kanisa🙏 kuna watu wanasema msiingilie mambo ya siasa mbona kukiwa na shughuli za kitaifa mnaitwa mkafanye maombi kuna haja gani kama nyinyi siyo sehemu ya taifa?, Mungu aendelee kuwapa hekima,busara na ujasiri kwaajili yetu na vizazi vyetu.tunahitaj watu kama hawa kwenye taifa letu.

  • @FredsonHytham-dx4xk
    @FredsonHytham-dx4xk ปีที่แล้ว +1

    Safi sana Baraza la MAASKOFU

  • @user-sw1dv1iq6h
    @user-sw1dv1iq6h ปีที่แล้ว +4

    Tunamshukuru Mungu

  • @papadimayo1chanel.747
    @papadimayo1chanel.747 ปีที่แล้ว +4

    Wakatolic ni wengi mnaweza kabisa kufanya mabadiliko. Ingieni mtaani.

  • @gaudenciamallya9779
    @gaudenciamallya9779 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @zaydamos874
    @zaydamos874 ปีที่แล้ว

    Mm n muisilamu ila maasikofu mpo sahihi na mwenyezmungu awabarik sana Kwa tamko hili

  • @athanasndele6213
    @athanasndele6213 ปีที่แล้ว +1

    Mungu anajibu maombi ya wengi.sisi hatutaki huu mkataba kwa kuwa hauna manufaa wa taifa la tanzania

  • @benedictoshadrack2573
    @benedictoshadrack2573 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana maasikofu kwa maamuzi yenu mazuri ya kuonyesha uzarendo wa kuipenda inchi yetu sisi wenyewe watanzania tutaiendeleza bandari yetu make hiyo nitunu ya nchi yetu sisi watanzania hongereni sana kwa kuunga mkono maoni ya wanainchi wenyewe

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 ปีที่แล้ว +1

    wakristo mungu anawatumia ve

  • @JosephMisungwi
    @JosephMisungwi ปีที่แล้ว +1

    Asante sana maaskofu

  • @HenryKanyika-pu8nd
    @HenryKanyika-pu8nd ปีที่แล้ว

    Asante mtusemee

  • @frans_dede
    @frans_dede ปีที่แล้ว +1

    safi sanaaaaaaa

  • @edwinmahenge5187
    @edwinmahenge5187 ปีที่แล้ว +7

    We are looking for the KKKT say

  • @chidampiri1012
    @chidampiri1012 ปีที่แล้ว +5

    Bakwata mna maoni gani ni ninyi?

    • @brother_majesty
      @brother_majesty ปีที่แล้ว

      Tunawatazama kwa umakini sana

    • @user-rc3lg7ko4x
      @user-rc3lg7ko4x ปีที่แล้ว

      hahahahahahahahaa hao na warabu tena hehehhehehehehe

  • @maryjoseph6973
    @maryjoseph6973 ปีที่แล้ว

    Mimi nimepata hata tumaini jipya kusimia maneno watu wa mungu na mungu awabariki. Na mue delee kutusemea kwani wanaichi sisi hatuna pa kusemea ,mungu awatie nguvu ya kutusemea amina🙏🙏🇹🇿🇹🇿