Yani nilikuwa kwenye ndoa mwanaume alikuwa hajali. Mimi nilikuwa naonyesha heshima cz niliamini mwanauke anatakiwa amtii mumewe atakama amenikosea atuongei ananuna wiki nzima Ila nnaply Kama mke yani namuheshimu mpaka dada zake wananiambia niache ujinga lakin badoo sielewi namuheshimu namnyenyekea.. mwisho wa siku mwanaume ananiambia eti namuigizia amna mwanamke wa aina yangu napigwa matukio Ila bado navumilia na sionyeshi shida nafanya kilakitu Kama mke na matukio yote... Daah hawaviumbe hatari atarudi kalewa na atanitukana atakavyo lakini Mimi bado naomba msamaha Kama kweli nimekosea kumbe bwana ndo nazidi kuonekana jingaaa.... Mwisho nimechoka nimejiondokea mwenyewe nimeinua mikono juu
Umeolewa na mume ambaye hajitambui au asiyekupenda! Ukikutana na mwanaume anayejitambua na anayekupenda ukimfanyia haya ataenda kutoa ushuhuda na sadaka kanisani! Atajivunia! Uko vizuri lakini tatizo umekutana na boya😂
Nainjoi sana nnapokusikiliza pastor!! God bless you
😂😂😂nmeinjoi kusikikiza hili darasa leo barikiwa pastor 🙌
Yani nilikuwa kwenye ndoa mwanaume alikuwa hajali. Mimi nilikuwa naonyesha heshima cz niliamini mwanauke anatakiwa amtii mumewe atakama amenikosea atuongei ananuna wiki nzima Ila nnaply Kama mke yani namuheshimu mpaka dada zake wananiambia niache ujinga lakin badoo sielewi namuheshimu namnyenyekea.. mwisho wa siku mwanaume ananiambia eti namuigizia amna mwanamke wa aina yangu napigwa matukio Ila bado navumilia na sionyeshi shida nafanya kilakitu Kama mke na matukio yote... Daah hawaviumbe hatari atarudi kalewa na atanitukana atakavyo lakini Mimi bado naomba msamaha Kama kweli nimekosea kumbe bwana ndo nazidi kuonekana jingaaa.... Mwisho nimechoka nimejiondokea mwenyewe nimeinua mikono juu
Umeolewa na mume ambaye hajitambui au asiyekupenda! Ukikutana na mwanaume anayejitambua na anayekupenda ukimfanyia haya ataenda kutoa ushuhuda na sadaka kanisani! Atajivunia! Uko vizuri lakini tatizo umekutana na boya😂
Poleee !!!!! Utampata sahihi usivunjike moyo, wanaume wazuli wapo!!!!!!
Barikiwa sana kakaangu wewe ni mtu Bora Sana ambaye Mungu amekuamini ili kuponya ndoa 🙏🏽🙏🏽Nakufurahia Sana🥰
Naitwa shukrani nasikiliza kutoka goba mpakani
Asante! Tunapona
Aiseee umefafanua vizuri hizi Sheria 💕💕💕
Asili jameni, raha tu. Hata vyakula vya asili vizuri sana. Asante pastor ubarikiwe. Jipe furaha hata kama ....jameni. Mm.
Mungu akubariki Pastor Deo.....kwa kweli unatujenga
Pastor unajua mpaka unajua Tena 👏👏👏👏👏👌
Nimekuelewa xana doctor mungu akubariki
Daah nashukuru Mungu azidi kukubariki😊
Nakukubali sana🎉 very sensitive
😂😂😂😂niekuelewa had nimelewa daa MUNGU mwenyezi akubariki mnoooooo
Nakukubali sana!
Daah hili bonge la soma sijasikia bado toka kuzaliwa
Nikweli asante❤❤
Asante! Tunapona