KIJANA ANAEMILIKI MGAHAWA CHINA, 'SIKUTAKA WATANZANIA WALE NYOKA, NIMEKUJA KUSOMA'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • #KilimanjaroRestaurant #YiwuChina
    Kilimanjaro Restaurant ni mgahawa ulipewa jina la mlima uliopo Tanzania na ndio sehemu pekee inayopika chakula cha Kitanzania kwenye mji wa Yiwu China

ความคิดเห็น • 612

  • @filbertnashon7160
    @filbertnashon7160 4 ปีที่แล้ว +147

    Cha kwanza nikumpongeza AYO tv kupenya Hadi China,give him hi five,afu tumpongeze kijana wenzetu

  • @coletashirima2193
    @coletashirima2193 4 ปีที่แล้ว +5

    nlichopenda mimi anaongea kiswahili vzur sio wale u know you know ,,, hongera kaka umefanya jambo la muhimu

    • @issarashid8280
      @issarashid8280 4 ปีที่แล้ว

      Daa kweli kabisa sio awa uk mtu teja lakini abaongea luga za watu

    • @zubedarichard2311
      @zubedarichard2311 3 ปีที่แล้ว

      Umenikumbusha magufuli you know

  • @emelykinsindi9439
    @emelykinsindi9439 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana bro

  • @jummtalimbo123
    @jummtalimbo123 4 ปีที่แล้ว

    Daaaaaaah jamani mm naombeni kazi najua kila kitu mapishi yote

  • @samwelnaal7952
    @samwelnaal7952 4 ปีที่แล้ว +520

    Sijui ni mm tu?
    Kila nikimuona mTanzania mwenzangu amefanya jambo nje ya mipaka nafurahi sana...Mungu akufanyie wepesi usonge mbele zaidi uwe na migahawa kama hiyo China nzima

    • @lupahmwakabenga7559
      @lupahmwakabenga7559 4 ปีที่แล้ว +23

      Kwa niaba ya wenzangu tulioko nje ya mipaka nasema asante sana karibu Zambia

    • @dullybrown3635
      @dullybrown3635 4 ปีที่แล้ว +15

      Mimi nafurahi sana ila hua nahisi wivu sana nami kutaka kufanya kitu zaidi ya hicho siku moja.

    • @sofiasofia7557
      @sofiasofia7557 4 ปีที่แล้ว +8

      Karibuni mi nipo omani

    • @samwelnaal7952
      @samwelnaal7952 4 ปีที่แล้ว +2

      @@sofiasofia7557 asante

    • @sofiasofia7557
      @sofiasofia7557 4 ปีที่แล้ว +2

      Khery tupo Pa1 kaka

  • @pastorbaharia598
    @pastorbaharia598 4 ปีที่แล้ว +248

    YESU NI NJIA YA KWENDA MBINGUN,KAMA UNAAMINI LIKE ZA KUTOSHA.

    • @godiegodie1336
      @godiegodie1336 4 ปีที่แล้ว +1

      Unatafuta likes kupitia jina la Mungu? kweli ushafilisika

    • @pastorbaharia598
      @pastorbaharia598 4 ปีที่แล้ว

      @@godiegodie1336 ahsante

    • @mohamedAli-vf8hp
      @mohamedAli-vf8hp 4 ปีที่แล้ว

      Ni njia yakwenda mbinguni kwa wana wa izrail cio ww

    • @Andy_tz
      @Andy_tz 4 ปีที่แล้ว +3

      Ko ulitaka atafute like kwa jina la bibi ako?😅

    • @diffrentperspective-z7t
      @diffrentperspective-z7t 4 ปีที่แล้ว +1

      @@Andy_tz muha una roho mbaya kwel, hilo jibu, hahaaaaa

  • @bone102
    @bone102 4 ปีที่แล้ว +131

    Millard huyu jamaa aongezewe mshahara anajua kutangaza sanaa

    • @saadajumanne8656
      @saadajumanne8656 4 ปีที่แล้ว +1

      Umeonaa eeeh

    • @bone102
      @bone102 4 ปีที่แล้ว +1

      @@saadajumanne8656 jamaa hatari huyu

    • @maidammaka8164
      @maidammaka8164 4 ปีที่แล้ว

      Anajua mpk anakera yaan yupo vizur

    • @matingatwaha1439
      @matingatwaha1439 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa mkuu unajuwa kuwaza mbali san

    • @sophiakasim5153
      @sophiakasim5153 4 ปีที่แล้ว

      Namkubali sanaaa na sauti yake ina ujazo

  • @matthewben2146
    @matthewben2146 4 ปีที่แล้ว +50

    Huyu Dulla TZA,VIDO VIDOX hawa jamaa Millard ujakosea kuwapa mchongo

  • @hajivuai3454
    @hajivuai3454 4 ปีที่แล้ว +105

    na hapa Dubai ipo moja inaitwa ZANZIBAR RESTAURANT , katika mji wa Deira,yaani very nice vyakula vyote vya Kitz vipo hapo hadi raha,yaani watu wanaweza wakiamua.

    • @abdullahrashid6297
      @abdullahrashid6297 4 ปีที่แล้ว +3

      Ndugu yangu ile ya deira inaitwa Daresalaam restaurant ya zanzibar restaurant iko AL aweer... Ya al aweer ndio chakula cha kila aina vya kibongo wako vizuri kwa mapishi

    • @mligosandrah7851
      @mligosandrah7851 4 ปีที่แล้ว +2

      @@abdullahrashid6297 🤣🤣🤣 nimecheka mm nakulaga moja iko deira bufee dirham25

    • @abdullahrashid6297
      @abdullahrashid6297 4 ปีที่แล้ว +1

      @@mligosandrah7851 Deira kuna moja iko hotel iitwayo phonecia ni balaa misosi ya kila aina buffet la kiafrica

    • @rosemaganga3901
      @rosemaganga3901 4 ปีที่แล้ว +1

      @Rugamba Shabani plz nielekeze kaka namm nipo Dubai lakin mgen

    • @rahmaathman7431
      @rahmaathman7431 4 ปีที่แล้ว

      Rose Maganga rose rose nipe contact zako tuwasiliane

  • @hurumasilasmwamwezi4351
    @hurumasilasmwamwezi4351 4 ปีที่แล้ว +4

    Dafi sana nimependa umeajiri wachina. I love Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @Pihansmo
    @Pihansmo 4 ปีที่แล้ว +3

    Safi Sana.NAOMBA MAWASILIANO YAHUYU KAKA MWENYE HII RESTAURANT NZURI YA KIAFRIKA NCHINI CHINA

    • @d.a.t3383
      @d.a.t3383 4 ปีที่แล้ว +1

      Google KILIMANJARO restaurant china

    • @DianaMabaija-bv3ql
      @DianaMabaija-bv3ql 3 หลายเดือนก่อน

      Naomba namba

  • @yasinhamis7060
    @yasinhamis7060 4 ปีที่แล้ว

    Mwambie atoe namba watupe ushilikiano wakibiashara 0625417653

  • @hekimadtv8323
    @hekimadtv8323 4 ปีที่แล้ว

    Nicely..Muonekano wa Mungu kwa Binadamu.... power of God is an answer... Just click the link below
    th-cam.com/video/-If1YxVN8pw/w-d-xo.html
    .... HekimaDtv online.....
    don't forget to subscribe... like... comment...share...Be blessed...

  • @representativevox2660
    @representativevox2660 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamani zeno tumesoma wote chinese language ♡♡♡

  • @richardgaya3965
    @richardgaya3965 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera Ndugu....I have noticed a Kenyan customer ..by his wrist band... enjoying his "tilapia" dinner!

  • @rehemamasoud3687
    @rehemamasoud3687 4 ปีที่แล้ว +2

    Kaka anasigda mashallah m.mungu akujaalie ivyo ivyo

  • @AllaNetWork
    @AllaNetWork 4 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana my Brother. Songa mbele. As your fellow small business owner abroad, we understand exactly what it takes and what you went thru to get there. Hongera sana na kwa wenzetu wengine walioko abroad na hata nyumbani, tusizime hizo njozi za kuanzisha business. “It can be done my brothers and sisters, it can be done.” Usisikilize kelele za nje. Listen to your heart and thrust forward with your dream.

  • @azzaalmaamry76
    @azzaalmaamry76 4 ปีที่แล้ว +8

    MaashaaAllah nafurah kusikia mtanzania akifungua mgahawa nje ya nchi mungu akupe afya na umri kaka kwa kazi hii

  • @sangaTv_
    @sangaTv_ 4 ปีที่แล้ว +22

    Uuuwiiiii this is soo lovely!!!!

  • @safiajuma1561
    @safiajuma1561 4 ปีที่แล้ว +14

    Nnjoo nichukue na mie niwe mmfanyakaz wako japo cleaner🙇🙇

    • @safiajuma1561
      @safiajuma1561 4 ปีที่แล้ว

      @@ibrajux6896 chizi mwenyewe mbuz weee unoninginia mmkia nnyoo 😏😏

    • @safiajuma1561
      @safiajuma1561 4 ปีที่แล้ว

      @@ibrajux6896 utajiju

    • @mtakimjinja2328
      @mtakimjinja2328 4 ปีที่แล้ว

      Nipeni wasiliyano yauyo mmiliki ninawazo!

    • @zuhurashabani9674
      @zuhurashabani9674 4 ปีที่แล้ว

      Khaaa

  • @Pandumasoftware
    @Pandumasoftware 4 ปีที่แล้ว +9

    Mi huwa napenda combination/uhusiano mnaounyesha, nikiona Watanzania au Waafrica mnaishi ivi uko nje najiskia Raha sana.
    Sijui kwenye Media tu au ni Real lkn mi huwa napenda sana hii kitu Mungu awabariki wote...

    • @d.a.t3383
      @d.a.t3383 4 ปีที่แล้ว

      Ni balaaa huko nje ngoja utaona competition majungu yataanza

    • @Tv-rh5mv
      @Tv-rh5mv 4 ปีที่แล้ว

      Lakini mzee baba sheria za service ufti

  • @betinabaskeli513
    @betinabaskeli513 4 ปีที่แล้ว

    😅😅😅😅Ayo niunganishe na huyu mtu...natafuta kAzi .Niko siriasi jamani

  • @theophilukapinga2316
    @theophilukapinga2316 4 ปีที่แล้ว +25

    Huo ndio udhubutu, sio kuogopa ogopa tu

  • @tabumussa6705
    @tabumussa6705 4 ปีที่แล้ว +2

    M/MUNGU akujalie mtanzania mwenzetu akondoshee vikwazo

  • @johnmasungansolezi576
    @johnmasungansolezi576 4 ปีที่แล้ว +1

    Nani kagundua jamaa ameshakua na lafudhi ya kichina? 😃😃😃

  • @daprince7545
    @daprince7545 4 ปีที่แล้ว +15

    Congratulations bro big up for such ideas 👌👌

  • @iffahbahet1499
    @iffahbahet1499 4 ปีที่แล้ว +20

    Hapo hata ukoko na viporo ukitaka unapata

  • @georgekasim8534
    @georgekasim8534 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana mtanzania mwezetu, godbles you

  • @betinabaskeli513
    @betinabaskeli513 4 ปีที่แล้ว

    Serikali imuangalie huyu mtu kwa jina la pili

  • @stevenbenard6603
    @stevenbenard6603 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi rai yangu kwa serikali za Kiafrika, hakuna haja ya kulazimishana kukaa humu kama naona hali ya nchi yangu haziridhishi DUNIA KIJIJI POPOTE KAMBI. ILA SALUTE BROO FROM CHINA

  • @kingcobra9238
    @kingcobra9238 4 ปีที่แล้ว +3

    Salute kwako ndg kutoka china maana vyakula vya wenzetu ni balaa nawapata kutoka U.A.E, ABU DHABI gonga like zako zote kama na wewe unapenda african food pindi ukiwa nje ya nchi yako

    • @lucylucy2404
      @lucylucy2404 4 ปีที่แล้ว

      Nimegonga like ila naomb n Mimi nifike hapo ulipo kama utojali

  • @khamisjuma5046
    @khamisjuma5046 4 ปีที่แล้ว +7

    Salam. Nduguyagu kazimzuri message from USA 🇺🇸👍birian.sisi.wa. zanzibar kwa.biriani.

    • @khamisjuma5046
      @khamisjuma5046 4 ปีที่แล้ว

      @@maryammaram2612 alykum.asalam. nduguyagu salamu.nimezipata. sitakuvunja.moyo. zanzibar beautiful a.m miss so.much home 👍🇺🇸

  • @nesielias317
    @nesielias317 4 ปีที่แล้ว +1

    Ukipenda mafanikio ya mwenzako Mungu anakupa yako hongera sana

  • @niyonkurusaidi6157
    @niyonkurusaidi6157 4 ปีที่แล้ว +45

    Daaah jama wako vizuri sana, chakula cawo kitamu sana. Thank you kilamanjaro restaurant

  • @Officialdovu_tz
    @Officialdovu_tz 4 ปีที่แล้ว +13

    Kweli wenzetu wanakula nimeona jamaa anakula ugali mkubwa kiasi kwamba kwa bongo ukitengewe huo mzigo utapigwa picha tu

    • @isaiahmichael8369
      @isaiahmichael8369 4 ปีที่แล้ว +1

      Mgali kama ule ukiwa unaupiga hapa hom baba kazi unayo kesho utakuta habr mtaan utatrend km dawa ya ebola😂😂😂😂😂

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว

      Kwakweli nje Kuna chakula sana.

    • @mhandowalace2594
      @mhandowalace2594 4 ปีที่แล้ว

      Ha ha ha unajua niliona ila kuongea nikashindwa sasa nikawa najiuliza ule ugali kapelekewa aukate au vipii

    • @mimimwenyew361
      @mimimwenyew361 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂 duuu ile ugali ukiimaliza lazima tumbo lishangae na usiku utaota unakimbizwa

    • @exaverymakoyebatromeo3257
      @exaverymakoyebatromeo3257 4 ปีที่แล้ว

      😂😂

  • @mariammgaya7566
    @mariammgaya7566 4 ปีที่แล้ว +15

    Nice .....Hongera sana 💪

  • @catherinemmbando6949
    @catherinemmbando6949 4 ปีที่แล้ว

    Ongera sn zeno kutoka mawanda holili mpaka China uko poa sn,good my friend

  • @aminamadenge8598
    @aminamadenge8598 2 ปีที่แล้ว

    Ayo tv tupeni michoko tuje kusaidia kazi uko bongo kugumu kaka

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 4 ปีที่แล้ว +16

    Safi sana My Bro it's So Encouraging 👏👏👏

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

    Hee Milad Ayo hujui Tuna??pole saana

  • @carlosmkindi2807
    @carlosmkindi2807 4 ปีที่แล้ว +1

    Prezoo @bmss aminia sana bro pamoja

  • @khadijajuma4196
    @khadijajuma4196 4 ปีที่แล้ว

    Naomba kazi Kaka namb yangu ni 0716461616

  • @emmysway5355
    @emmysway5355 4 ปีที่แล้ว +1

    Mdada anajua kujielenza pia hajiski ingekuwa mimi apo sasa😀😀wangenikoma na maponzi

  • @sashoright8213
    @sashoright8213 2 ปีที่แล้ว

    Nikija China ntabid nifike uko Mana misnake na mie apana ntazungusha tumbo na sarakasi juu atoke

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 2 ปีที่แล้ว

    Nimejikuta nafrahi Kama vile na Mimi niko China.

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 4 ปีที่แล้ว

    Unabidi ukienda China ule nyoka sio kitumbua tena

  • @michaelkasogela370
    @michaelkasogela370 4 ปีที่แล้ว +7

    Kaka mm napia najua kupika hasa vyakula vya asili km mlenda, kichuli na nk. Naomba ajira apo

  • @hasanimsantu3694
    @hasanimsantu3694 3 ปีที่แล้ว

    Ho ng era sana vijana wakiafrica mnapambana mm ni mtanzani naishi kenya wakenya wanaonyesha ushirikiano pia cc nindugu

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha allah congratulations brother kaz iedelee 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @veronicachamle467
    @veronicachamle467 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sanaa bro... Imeniispire sanaaaa

  • @bernadethamlundebartlett387
    @bernadethamlundebartlett387 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera Sana bro Nami napambana nimeanzisha Catering hapa Texas vyakula vya Kitanzania

  • @leoniakimati3434
    @leoniakimati3434 ปีที่แล้ว

    Congrats Zeno,kila la kheri

  • @florencekashaija7539
    @florencekashaija7539 4 ปีที่แล้ว +2

    Nikiweza kuwasha nyoka, mijusi, panya,na kuwarost, nafungua hapa Tz, wachina wataleta pesa.

  • @shadowbrown2988
    @shadowbrown2988 3 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣nimependa iyo ugali kuku ulivo itaja eti ugali khukhu duuh wachina washakuathir

  • @masikasaidi8805
    @masikasaidi8805 ปีที่แล้ว +1

    Mungu Akubariki Kazi Yako hongera sana

  • @japhetjsphetnoniape1492
    @japhetjsphetnoniape1492 4 ปีที่แล้ว

    Please! Niuganishe nae huyo

  • @fahadsanad4163
    @fahadsanad4163 4 ปีที่แล้ว

    Yaani tuseme corona tumekula au

  • @waridytv4998
    @waridytv4998 3 ปีที่แล้ว

    Kwamfano nikiomba ajila kwako kaka naweza nikapata?

  • @innocentbugomola549
    @innocentbugomola549 4 ปีที่แล้ว

    Yy apambane tu uko aliko mbn ata bongo wspo Jamaa wanapiga mishe au nawao tuwashangae maisha popote nafas ikipatikan komaa

  • @mrsochu-hv7bm
    @mrsochu-hv7bm 4 ปีที่แล้ว +1

    DAAH CHAKULA CHAO NI KITAMU
    SANA JAMANI MAANA MI KILA SIKU NAKULA HAPA

  • @sostentete3395
    @sostentete3395 4 ปีที่แล้ว

    Naenda China awali nilihofia mlo

  • @glorylimo8695
    @glorylimo8695 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi Sana Kaka me too nataka kufungua mgahawa nje Mana Tanzania ndio country yenye chakula kitaam duniani ....na ivi wewe mtu unae unlike sikuelewi una Mana gani

  • @rjjosephat8075
    @rjjosephat8075 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakikisha unakaa vizur katika IMANI yako wqla usiruhusu mafanikio ya kiMungu kwa wengine yakakukatisha tamaa Wengine wamejikwaa katika maombi yao ...Badala ya kuomba Mungu awabaliki na wao ..Wamebaki wanamnung'unikia Mungu kwa kuwabariki wengine
    Pia baadhi ya Wakrsto wameanzisha vita juu ya wenzao walio kumbukwa na Mungu katika maeneo mbalimbali ya Maisha yao ya Rohoni na maisha yao yakawaida bibilia inasema kaini akamwinukia Habili na kumwua Ngoja niseme kidogo hapo ....
    Mafanikio yako hayategemei mafanikio ya mwingine wala sio kanuni ya lazima kwamba ufanikiwe kwanza ww ndipo wengine wafanikiwe.Tambua kuwa hatima yako ni Tofaut na hatima ya mwingine sasa haina sababu yeyote kukasilika sababu ya mwingine kabla yako Maana utakuwa unadhindqna na Mungu alive MPA KIBALI
    chat.whatsapp.com/C8tApyLwFhN9A2cstIPCBU

  • @dianaphilipo4688
    @dianaphilipo4688 4 ปีที่แล้ว +2

    Tunauza chia seeds kwa bei ya sh 5000 tuu kwa kilo.moja tuko dar es salaam maeneo ya bahari motor's makumbusho tupigie kwa simu namba0656898613,na mikoani tunatuma

  • @ukweri2ebiyati661
    @ukweri2ebiyati661 2 ปีที่แล้ว

    Hivi kama umeishia darasa Ra 2 unaweza kwenda da

  • @daudchazy1251
    @daudchazy1251 4 ปีที่แล้ว +2

    Mimi nataka nikawekeze korea kusini

    • @d.a.t3383
      @d.a.t3383 4 ปีที่แล้ว

      Usafirishe MBWA KWA WINGI SIO VIAZI MVIRINGO NA CHIPS MAYAI

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 4 ปีที่แล้ว +64

    JAMAA ANACHAKULA KIZURI SANA,,, UWA NAKULA SANA HAPO ,,
    KWANZA HUDUMA ZAO NIPOA
    THEN UNAKUTANA NA WATANZANIA WENGI MPAKA UNAFURAHI

    • @froliangrevigian9213
      @froliangrevigian9213 4 ปีที่แล้ว +10

      Ahaaaaaaaa,, Nimekukumbuka Boss,,kuna siku nilikupa hai Pale Mlangoni tulipishana ukanikaushia kibingwa.... Ila hongera sana kwa kumuunga mkono Mwana...

    • @giftkaisy3061
      @giftkaisy3061 4 ปีที่แล้ว +4

      HahHahhahahHahah

    • @sintasmarty4974
      @sintasmarty4974 4 ปีที่แล้ว +3

      He umeshaenda mwenzangu

    • @hisanmwakijungu10
      @hisanmwakijungu10 4 ปีที่แล้ว +2

      @@sintasmarty4974 umebaki wew tu!!!

    • @sintasmarty4974
      @sintasmarty4974 4 ปีที่แล้ว +3

      @@hisanmwakijungu10 nipe ofa hiyo niende na mm

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 4 ปีที่แล้ว +15

    Haki vinaonekana ni vitamu sana,Hongera sana broo

  • @omarymohamedy7414
    @omarymohamedy7414 4 ปีที่แล้ว +6

    Hongera sanaaa kaka mungu azidiii kukuinuaaa

  • @hamedamahamd1222
    @hamedamahamd1222 4 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana ayo tv upo vizuri hujawahi niangusha unavija wapo vizuri katika utangazaji

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 4 ปีที่แล้ว +1

    Bro anaongea na yy kama wachina😅😅ila hongera kwake.safi sanaaa 💯💪kaitumia fursa ipasavyo..

  • @beatraceketto3880
    @beatraceketto3880 4 ปีที่แล้ว +2

    Milad uko juu napenda kuangalia ki tv chako kwanza hunauongo kitu ukweli milad juu mpaka china najua utatoa ndugu zetu wengi kuwapa kaz Mungu akutunze Ar moja iyo

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 4 ปีที่แล้ว

    KARIBuni Sana uganda

  • @dorcasgerald9948
    @dorcasgerald9948 4 ปีที่แล้ว +2

    Said nikija nipeleke plz,Zawadi mwambie aweke na majani ya maboga

  • @dioskorimtalo2348
    @dioskorimtalo2348 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyo Samaki mmmh , nadondosha mate hapa Kama teja 😋😋😋

  • @josephinarichard8365
    @josephinarichard8365 4 ปีที่แล้ว +2

    Nipo dar mbagara naomba munichukue nije nihudumie tu huko wajemeni daaah nimependa mno ila Sina uwezo uwiiiii

    • @annajohn8597
      @annajohn8597 4 ปีที่แล้ว

      Ukifika unikumbuke pia

    • @angelsultan9628
      @angelsultan9628 4 ปีที่แล้ว

      Jose rafiki yangu

    • @farhatfatma12
      @farhatfatma12 4 ปีที่แล้ว +1

      Kwanini usifungue restaurant yako huko mbagala au mbagara kama ulivyoandika wewe? Usikimbilie kutumwa dunia hii ya leo , lila mtu anakimbilia kuanzisha biashara yake.

  • @nicemuba4990
    @nicemuba4990 4 ปีที่แล้ว +8

    Anaongea kiswahili ila lafudhi ishakua ya kichinaa ... Amaizng xana congrats💗

    • @na0m1fes51
      @na0m1fes51 4 ปีที่แล้ว

      😂😆😆 kweli lafudhi isha change

  • @aishasaid5702
    @aishasaid5702 4 ปีที่แล้ว +20

    Maa shaa Allah hongera sana kijana

  • @jacquesmedizzle8791
    @jacquesmedizzle8791 4 ปีที่แล้ว +8

    Sio mlima mkubwa kaka ni mlima mrefu 😀😀

  • @amzamrid3571
    @amzamrid3571 3 ปีที่แล้ว

    Iyo nimeipenfa

  • @mathayowilson1525
    @mathayowilson1525 4 ปีที่แล้ว +1

    HONGERA KUJANA SHUJAA WA KITANZANIA, TUNAFURAHI KUONA MTU UNAKUWA NA WAZO KUBWA KAMA HILO, KUTOKA KIMARA DAR NIMEANGALIA, HONGERA SAAANA MDOGO WETU...WAAFRIKA TUMEUMBWA KWAAJILI YA MAKUBWA, KEEP ON GROWING TO HIGHER AS MOUNT KILIMANJARO..

  • @bintialfan2143
    @bintialfan2143 4 ปีที่แล้ว +6

    Nisingeweza kula chochote china dah sio kwa nyoka zile bonge moja la idea big up bro

    • @ojasoojaso9479
      @ojasoojaso9479 4 ปีที่แล้ว +2

      China bara kubwa ndugu yangu usidhani ukienda huko utamuona huyu jamaa kwani unaweza kwa mfano kuwa Sudan na huyu yuko msumbiji .
      Omba utembelee mji aliyopo.Ama cy mh kobe ni wako

    • @bintialfan2143
      @bintialfan2143 4 ปีที่แล้ว

      @@ojasoojaso9479 hahaha kobe tena mie sikuwezi uko bora nijilie zangu dagaa

    • @ojasoojaso9479
      @ojasoojaso9479 4 ปีที่แล้ว

      @@bintialfan2143 ukisafiri chona usisahau dagaa zako kwenye begi nd yangu

  • @khadijaathumani5686
    @khadijaathumani5686 4 ปีที่แล้ว +1

    Faheem mwanangu...Allah akupe hitaji lako

  • @sofiakalinga1100
    @sofiakalinga1100 4 ปีที่แล้ว

    Hongeraaa sana

  • @josephineswai89swai15
    @josephineswai89swai15 4 ปีที่แล้ว

    Tunaomba ajira

  • @rosemaryphilipo7785
    @rosemaryphilipo7785 4 ปีที่แล้ว

    Nopeni kazi

  • @maryanaambrocy8976
    @maryanaambrocy8976 2 ปีที่แล้ว

    Congratulations bro keep going

  • @gracekimamre2117
    @gracekimamre2117 2 ปีที่แล้ว

    Ongera sana

  • @shifumponda666
    @shifumponda666 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana broo mungu akuongoze sana na biashara yako

  • @thurayyaomar655
    @thurayyaomar655 4 ปีที่แล้ว +4

    mashllah hongera kaka , niajiri nitafute 🙏

  • @salmaiddy6059
    @salmaiddy6059 4 ปีที่แล้ว +5

    Hongera kaka

  • @isayasway8633
    @isayasway8633 4 ปีที่แล้ว

    Dahh yan Millard ayo nawamini asilimia buku kwa tarifa zenu ni tofauti na Chanel nyingine

  • @mzogatz629
    @mzogatz629 4 ปีที่แล้ว

    Saf 🎅

  • @hawaamkubwa2020
    @hawaamkubwa2020 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kaka pka vitumbua

  • @mangalaramadhani8718
    @mangalaramadhani8718 4 ปีที่แล้ว

    Mh

  • @emanuelmurumbi6946
    @emanuelmurumbi6946 4 ปีที่แล้ว

    Safi Sana man nafurahi kusikia mtanzania mwenzetu anatangaza NCHI YETU BONGO

  • @Bboymnyam25
    @Bboymnyam25 4 ปีที่แล้ว

    Anaakili huyu

  • @rajabuhondo4973
    @rajabuhondo4973 3 ปีที่แล้ว

    Bgp kk umee washika wa tz 🇹🇿 wenzako hongera kawnza mzarendo jina Kili Manjaro Aflc mungu aku zidishie hotel hiyo

  • @kwasimutokalondon-nafreddy5278
    @kwasimutokalondon-nafreddy5278 4 ปีที่แล้ว

    Vijana wajitahidi sana. Tuwape heko. Kibiashara na kihabari. Tatizo siku hizi mnaboronga sana Kiswahili. Mathalan : neno ' restaurant' mmekosa la Kiswahili? Hoteli, Mkahawa, nk? Baadae tutakuwa hatujulikani kama tunasema Kiswahili au Kiingereza?

  • @claysonjulius6520
    @claysonjulius6520 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mtangazaji anajua kazi!! He really knows what he does!