Ninauza duka la bidhaa mbalimbali kama mashuka,pazia,vyombo nk,,ila kwa nje nina nafasi ya kutosha,majiran zangu wanauza vinywaji ila natamani pale nje niuze kitu tofaut ili kuwavuta watu pia,naweza kuuza ni

Broo asante
Mungu akupe afya njema sana mimi nina miaka 20 lakin napenda kujifunza kutoka kwako japo sjajiajil
Ahsante Kwa Nondo
@@upendolairumbe889 Asante sana kwa support yako
Thank you brother 🙏
@@AnnaMgala-n6g 🙏🙏
Kaka mm nahitaji kujua machimbo mbalimbali kama nguo za ndani za Kik na vyombo vya jikon
Kama mm nahitaji kujua machimbo ya bidhaa kama nguo za ndan na vyombo vya jikon
Ninauza duka la bidhaa mbalimbali kama mashuka,pazia,vyombo nk,,ila kwa nje nina nafasi ya kutosha,majiran zangu wanauza vinywaji ila natamani pale nje niuze kitu tofaut ili kuwavuta watu pia,naweza kuuza ni
Ninauza duka la bidhaa mbalimbali kama mashuka,pazia,vyombo nk,,ila kwa nje nina nafasi ya kutosha,majiran zangu wanauza vinywaji ila natamani pale nje niuze kitu tofaut ili kuwavuta watu pia,naweza kuuza ni
Kereti za soda watu hupenda kuzitumia misibani ,katika sherehe mbali mbali n.k