Always naheshiju sana jitihda zako bro msafi ...kuanzia kwenye kali za wana hadi kufika hapo naweza nikasema kitu kimoja ty .........in good .....way.................Hichi kipind cha planet bongo kipo on sport all mostly 5 .Na hii ni kutokana na machaguo sahihi ya guest (wageni waalikwa ) sio kila mmoja anatakiwa kupata nafasi ya kufika hapo ..inatakiwa iwe ndoto But for now brother msafi unatakiwa kutengeneza value yako na kipind ili kikipa nguvu na iki kiwe on sport at all
Wewe dada sio mdudu. Wadudu ni hao watatu. Akili yako ni kubwa sana.unaongea kwa mpangilio na kwa ufasaha. Mdudu anaongea chochote kinachokuja akilini mwake mwake😂😂
Tusingekuwa na akili tungekuwa tunaongoza kwenye matokeo ya kielimu miaka yote?,,kuanzia darasa la 7,,form 2,form 4,, na form 6,,,,miaka yote kuanzia uhuru mpaka leo isipokuwa ya kwanza kitaifa itakuwa ya pili kitaifa na ni wazawa wa hapa hapa R,,,je hiyo sio akili?? Chuga hii ni lifestyle yetu na sio uhuni
Hizi redio zimepoteza mwelekeo
Pigeni mdomoooo weeee kwa makonda mr misifa mtaisha ote ,,badilisheni jina ilo
Wananchi wamesha wachomea 📞😎
Nakuelewa depa
Always naheshiju sana jitihda zako bro msafi ...kuanzia kwenye kali za wana hadi kufika hapo naweza nikasema kitu kimoja ty .........in good .....way.................Hichi kipind cha planet bongo kipo on sport all mostly 5 .Na hii ni kutokana na machaguo sahihi ya guest (wageni waalikwa ) sio kila mmoja anatakiwa kupata nafasi ya kufika hapo ..inatakiwa iwe ndoto
But for now brother msafi unatakiwa kutengeneza value yako na kipind ili kikipa nguvu na iki kiwe on sport at all
I love you chuga USA kizaz og
🎉Arusha is my home,I can't blame,
Acheni upumbavu mnajifanya mnakosoa redio kisa kuwahoji hao wadudu. Kwani c sehem ya burudani? Acheni maushamba
É verdade irma ❤❤❤
Nikweli kabisa dada
Watoto Wa ARUSHAAA😂😂
Hii redio akiri amna
Chugasta tujuwane asee❤❤ milad Ayo usijichunishe wewe ni chuga😂😂😂
Kenyonyoooo!
Kwani silku hzi media zinahoji kila mtu daah mnatukosea Sana
Tanzanait ipo manyara haipo Arusha.
I like anavyoongea huyo dada kanyooka
Kusema kwer mi napenda rafudhi yao hawa R.chuga 😂😂
Hiyo ndio chuga yenyewe chuga kama USA na chuga USA hiyo pia chuga ni mkoa tofauti sana
Wazungu wanapika hapa lakin wadaa hawaeleweki
Alafu msichokijua mademu wanatembea na viwembe visu hiyo kawaida
😂😂😂
kenyenyo hiyokichwa nieemtee nihamna😂😂😂😂
Kwakua Wana Habari ni kama wako kwenye kuperereza hawa vijana. Watu wengi sio wabaya bali watu wemeshindwa kuwaendeleza kwenye vipaji vyao
Umesema vema waendeleze vipaji vya vijana
Msaada hyo playback ya ngoma Jina
Ngoma ni ya kwake moncentrozone inaitwa KOVU mzee
Yokeni hapo hamna ishu yoyote.washamba nyinyi.
Siku yangu yakwanza kujuwa bei za mauwa ni Valentim dey hii . Kumbe ni bei kubwa sana yakupita adi pesa ya gunia la mchele kilo 50.
Unaulizwa nn chuga jibu basi.mbona hamna ishuu watoeni humo studio 👺👹
😂
Wewe dada sio mdudu. Wadudu ni hao watatu. Akili yako ni kubwa sana.unaongea kwa mpangilio na kwa ufasaha. Mdudu anaongea chochote kinachokuja akilini mwake mwake😂😂
Kiboko yao Dangote
Watu wa Arusha akir hawana
Tusingekuwa na akili tungekuwa tunaongoza kwenye matokeo ya kielimu miaka yote?,,kuanzia darasa la 7,,form 2,form 4,, na form 6,,,,miaka yote kuanzia uhuru mpaka leo isipokuwa ya kwanza kitaifa itakuwa ya pili kitaifa na ni wazawa wa hapa hapa R,,,je hiyo sio akili?? Chuga hii ni lifestyle yetu na sio uhuni
Angalia media za nchi hii watangazaji wakubwa wanatoka R vp hawana akili? Pls have respect
Kila kitu pamoja na mashoga maana sijaona mkoa wenye mashoga wengi kama chuga😂😂😂