RECAP: DIAMOND kukutana na POGBA, ALIKIBA, R.KELLY, hatumtaki BONGO abaki ULAYA, nafasi ya mwisho

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
    We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
    #entertainment #news #music #funny

ความคิดเห็น • 59

  • @ChuxDaniel
    @ChuxDaniel หลายเดือนก่อน +5

    Bado Ronaldo CR7 tu we subili mungu yupo na kaka yetu❤❤❤

  • @AmaniNangerembe
    @AmaniNangerembe หลายเดือนก่อน +6

    You're perfect brother namando diamond platnumz is not artist of African but is 🌍 artist 🎉🎉🎉🎉

  • @LeonardmpembaMsemakweli-q8s
    @LeonardmpembaMsemakweli-q8s หลายเดือนก่อน +10

    KARIKA SIKU ZOTEE LEO UMEONGEA POINT LEO NAKUPA Maua yako ❤❤

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 หลายเดือนก่อน +6

    Brother leo umeua sana🫴🤏🔥🔥🔥🔥🔥

  • @user-jd6vr9xw1o
    @user-jd6vr9xw1o หลายเดือนก่อน +4

    Safi sana bro ,Leo maongezi yako yamenifurahisha 🎉🎉

  • @HazardHbcomEmmanuelprodduseign
    @HazardHbcomEmmanuelprodduseign หลายเดือนก่อน +2

    Courage Diamond Platnumz pour les œuvres

  • @paizinhosaide-cv9pm
    @paizinhosaide-cv9pm หลายเดือนก่อน +2

    Nakupenda bure

  • @Assamu_Officiel
    @Assamu_Officiel หลายเดือนก่อน +1

    Yessssiirr leo 😮

  • @user-vx3ud5pq2h
    @user-vx3ud5pq2h หลายเดือนก่อน +2

    Ukweli mtupu❤❤❤

  • @babalao3250
    @babalao3250 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana Mando

  • @BabeRymz
    @BabeRymz หลายเดือนก่อน +2

    Bro Inawezekana nimpango ya mwezi Mungu 🙏🙏🙏

  • @hamisibakari342
    @hamisibakari342 หลายเดือนก่อน +4

    BONGOdiamond
    Na sio Bongo5

  • @chazzylukumay2059
    @chazzylukumay2059 หลายเดือนก่อน +1

    Leo umeongea kitu🔥🔥🔥🔥

  • @EmmanuelMurhula-jb8cb
    @EmmanuelMurhula-jb8cb หลายเดือนก่อน +3

    Fact bro

  • @GaspardChishugi-q9v
    @GaspardChishugi-q9v หลายเดือนก่อน +4

    Ukweli kabisa, Diamond sasahivi iko level nyingine kabisa, mdaa si mrefu wasanii wainje wataanza imba kiswahili

  • @King-bureslepro
    @King-bureslepro หลายเดือนก่อน +4

    Umenena Leo pia umeitoa ushauri mzuri kwa simba

  • @AmisiIddi-w7d
    @AmisiIddi-w7d หลายเดือนก่อน +1

    Daaaaaa Bing up San bro

  • @zanzibarboyzanzibar509
    @zanzibarboyzanzibar509 หลายเดือนก่อน +1

    Kujitekenya na Kucheka Mwenyewe 😂😂😂

  • @Boyluke-luke
    @Boyluke-luke หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweliii

  • @CobbaltTz
    @CobbaltTz หลายเดือนก่อน

    Kaka unaongea kwel sana mtu akikisikiliza kwa umakini anaweza kufika mbali🔥🔥🔥🌏🙏🏿🙌

  • @user-cw4gr1bl1x
    @user-cw4gr1bl1x หลายเดือนก่อน +1

    Acha uwongo page gani 😄

  • @user-dk4fx1xp7b
    @user-dk4fx1xp7b หลายเดือนก่อน +2

    Ushaa Anza kuzingua xaxa Kaka diamond axifanye xhow Tanzania kwa nin xax 😮😮

  • @rabioabdala2222
    @rabioabdala2222 หลายเดือนก่อน

    Kkkkk we vipi,yani unataka adharau nchi yake

  • @Muba-rf1eb
    @Muba-rf1eb หลายเดือนก่อน +1

    Robo saa wangu neno nimoja tu diamond ni star diamond ni super star

  • @user-oe5ze5uq8m
    @user-oe5ze5uq8m หลายเดือนก่อน

    Weye nikupenda bure

  • @DiorMabaril-qy6yp
    @DiorMabaril-qy6yp หลายเดือนก่อน +1

    Hapo asirud tanzania kupiga show umetukosea san

  • @LameckZakaria-qg9vv
    @LameckZakaria-qg9vv หลายเดือนก่อน +1

    Tuka hapa akuna jipya pogba kashapotea mfuate mtu akiwa kwenye nafasi kwa sasa kashapotea

  • @KhamisLilos
    @KhamisLilos หลายเดือนก่อน +2

    Aa umezingua sana una muweka levo zakina rema simba acha kumushusha bx

  • @georgenomaawejamaa4472
    @georgenomaawejamaa4472 หลายเดือนก่อน +1

    We jamaa kunywa Pepsi hapo ulipo

  • @EdgaralbetoEdgr
    @EdgaralbetoEdgr หลายเดือนก่อน

    Mwamba ww ni noma

  • @user-xr4dp1cs5b
    @user-xr4dp1cs5b หลายเดือนก่อน +1

    Diamond sasa niapige na bend live saiii

  • @JackChildishKE
    @JackChildishKE หลายเดือนก่อน +1

    Team Arsenal ❤

  • @kiatu
    @kiatu หลายเดือนก่อน +1

    Local shows ni important bhana, Simba take his advice with a pinch of salt

  • @officialelman2
    @officialelman2 หลายเดือนก่อน +1

    Mavi yako hata 5 five African's stars DIAMOND hana nafasi unaongeaga mavi tu

  • @HamadMwagoani
    @HamadMwagoani หลายเดือนก่อน +1

    We Acha ushamba star n nani apo Kati awoo diamond anashoboka

  • @robertkisasa1346
    @robertkisasa1346 หลายเดือนก่อน +1

    Mtu hadi kapostiwa n mtandao mkubwa wa michezo 433 sio mchezo….BIG kashafika mbali tyr tatizo chama cha mapinduzi wanawarudisha sana nyuma wasanii kuwatumia tumia kisiasa😢😢😮

  • @user-jd6vr9xw1o
    @user-jd6vr9xw1o หลายเดือนก่อน +1

    Lakini kaka nyumbani ni nyumbani tu lazma atafanya

  • @zanzibarboyzanzibar509
    @zanzibarboyzanzibar509 หลายเดือนก่อน +2

    Fanya research vizuri Jose Chameleon wa Uganda kishakutana na Shakira, R Kelly, Shaggy Sean poal Bean Man, Uongozi wa Bed boys record wakampa mbaka offer ya ku Record Nyimbo moja nafikria Media yako ilikua bado haijazaliwa

    • @opsbunhalisi
      @opsbunhalisi หลายเดือนก่อน

      True kabisa bro @jchameleon ameshafika huko kitambo. Mwambie afanye research

    • @mugisafinehasi5470
      @mugisafinehasi5470 หลายเดือนก่อน

      Sasaa iyo j chameleon yupo wapi sasa

    • @zanzibarboyzanzibar509
      @zanzibarboyzanzibar509 หลายเดือนก่อน

      @@mugisafinehasi5470 Uganda na ni one of the Richest Musicians in EastAfrica, Tatizo media za bongo nyingi zinatoa Habari za kuwafuraisha wenyewe kwa wenyewe bila Research

  • @MuddyKazuba-en4mz
    @MuddyKazuba-en4mz หลายเดือนก่อน +1

    Kiukweli kwa leo unajalibu kuongea point sio kama siku zingin na nikushauli broo ukitaka tuendelee kukufatilia jitaid kuwa unaongea bila kuweka mpaka

  • @AlbertoCairo-k6t
    @AlbertoCairo-k6t หลายเดือนก่อน +1

    Baba unange vizul sana

  • @achawanunetv1167
    @achawanunetv1167 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa sijui huwa anatumia nini kabla yakuja kusema ungese wake 😂😂😂😂 Diamond msani mwenye hawezi akafanya show Ulaya / Marekani na akapata watu 1500 😂😂😂😂 bro acha kuwapotosha wasanii

  • @ShabaniMussa-o4e
    @ShabaniMussa-o4e หลายเดือนก่อน

    Zile ni shobo kk pogba kila mtu ana mjuwa so mtu wa majivuno na isitoshe kamuona ni ngozi nyeusi mwenziy

  • @user-qz8gn6bn6r
    @user-qz8gn6bn6r หลายเดือนก่อน

    Diamond mtu wamasifa mwampaisha stat gn wakati amepotea sio maarufu chocht fala ww pogba kashapotea

  • @NasoroOmary-tx5uo
    @NasoroOmary-tx5uo หลายเดือนก่อน

    Jamaa ukianzisha hoja kuhusu diamond duuh unajua kumpigia promo angalia bhana hivi vingine unampamba bure tyuu show ya ureno imebuma vile wataka akapaform wap acha ujinga

  • @user-qz8gn6bn6r
    @user-qz8gn6bn6r หลายเดือนก่อน

    Acha kumpaisha ww hajafikia kuw mkubwa uko n afirwe nyuma ndo hawe uko

  • @vansclassic2131
    @vansclassic2131 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli lkn jaribu wewe baci we kuweza ????

  • @user-nx4eg7sf8u
    @user-nx4eg7sf8u หลายเดือนก่อน

    Wewe ni chawa wake huna unalolijua hakuna mchambuaji tanzania zaidi ya Dudu Baya kwa sababu Dudu Baya anapeleka haki kwa anayestahiki na hasifiagi heti kwa sababu ni fan hatakama ni roll model wake ukikosea yeye anakuchamba tu tumpe maua yake Dudu Baya jamani.

  • @user-qz8gn6bn6r
    @user-qz8gn6bn6r หลายเดือนก่อน

    Mtu wako ywajipendekeza huyo fala ww kazi nikumuongelea2 mbona dimpozi alienda kukutana na Manchester United nzima amkusema pogba mwenyew alipoyea kitambo

  • @achawanunetv1167
    @achawanunetv1167 หลายเดือนก่อน

    Chawa wewe unataka upewe kazi wasafi Fm, uko unasifia ujinga sana. mbona nikama uko unamcheka kisomi😂😂😂

  • @MuddyKazuba-en4mz
    @MuddyKazuba-en4mz หลายเดือนก่อน

    Ivi hao wasani wa nigeria huwa wanakulipa au? Mbona kama unawapamba san

    • @ivankalisa9491
      @ivankalisa9491 หลายเดือนก่อน

      Kwan wew utakata ukweri nijeria ni wanouma

  • @user-qz8gn6bn6r
    @user-qz8gn6bn6r หลายเดือนก่อน

    Diamond ywajipendekeza fala ww mm najuw nshabiki wako

  • @alibachirofficial3939
    @alibachirofficial3939 หลายเดือนก่อน

    Ujinga mwingi bongo.
    Diamond na pogba mondi nimkubwa simanishi hella .
    😂😂😂😂

  • @user-qz8gn6bn6r
    @user-qz8gn6bn6r หลายเดือนก่อน

    Ww wamshabikia diamond fala ww hunachochot unachoogea kazi yako kumuongelea diamond2

    • @dontsto3865
      @dontsto3865 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂kanywe chai boss njaa inakusumbua😊