RECAP: MAPUNGUFU Collabo ya HARMONIZE na DARASSA, kama haitakuwa HIT SONG wamefeli KIBIASHARA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
  • Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
    We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
    #entertainment #news #music #funny

ความคิดเห็น • 73

  • @BarakaHarrison-l4t
    @BarakaHarrison-l4t 16 วันที่ผ่านมา +5

    Hiyo n hit song

  • @sheilacruz6458
    @sheilacruz6458 16 วันที่ผ่านมา +8

    Mbona Ngoma nikali sana

  • @AmaniNangerembe
    @AmaniNangerembe 16 วันที่ผ่านมา +4

    Nice one story brother El namando

  • @mdeeyoofficial813
    @mdeeyoofficial813 16 วันที่ผ่านมา +4

    Mbona zinatufikia uganda bro

  • @witnaofficial
    @witnaofficial 16 วันที่ผ่านมา +4

    Hakuna Ngoma Ya Harmonize,Ambayo haiwezi fika Congo

  • @furahachuma9039
    @furahachuma9039 16 วันที่ผ่านมา +7

    Wewe ni mchawi. Huwezi kila kukicha ni mapungufu ya Harmonize tu.

    • @joelmuhindo-xe9yj
      @joelmuhindo-xe9yj 15 วันที่ผ่านมา

      Ungali na yeye tu

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 15 วันที่ผ่านมา

      @@joelmuhindo-xe9yj Anakera sana huyu mwandishi. Yaani anaonyesha chuki za waziwazi kwa kijana mpambanaji mwenzie. Kama anaona hayo anayoshauri ni rahisi basi na yy aimbe.

  • @ShamanyekisimbaTravail
    @ShamanyekisimbaTravail 16 วันที่ผ่านมา +4

    Naenda na webror 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪

  • @witnaofficial
    @witnaofficial 16 วันที่ผ่านมา +5

    Wewe bro

  • @HospiaceMata
    @HospiaceMata 16 วันที่ผ่านมา +4

    Lengo lako kuudhohofisha muziki uwo ndo mana unatengeneza mazingira.

  • @charlesmunyenzie2155
    @charlesmunyenzie2155 16 วันที่ผ่านมา +6

    Wewe toa ujinga hapa. Nyimbo ni ya darassa af unamtukana harmonize. Ulitaka asimpe darassa collabo au? Harmonize habadiliki ww unabadilika nn katika uandishi habari wako? Kila cku nkifungua TH-cam ni ww na mapungufu ya harmonize, nguo umevaa zilezile hako ka t-shirt keupe.😂
    Broh wacha umama na uandike story kuhusu wasanii wako pendwa na umuache harmonize. Sie kwanza tushakuchoka kila cku mapungufu ya harmonize

  • @Sadiq-lu8xs
    @Sadiq-lu8xs 16 วันที่ผ่านมา +3

    Waambie bro mwanzo harmonize amejisahau toka single again naona yuajitafuta sna yuapiga vibao vya siasa badala atoe vtu vya kimataifa

  • @mugalujoseph1220
    @mugalujoseph1220 16 วันที่ผ่านมา +2

    Wew unalipwa na dainamo

  • @dominicmandela267
    @dominicmandela267 16 วันที่ผ่านมา +3

    bro wewe tulia apo.( wataka iwe hit kwani wewe mungu)

  • @MkomboziKaoneka
    @MkomboziKaoneka 16 วันที่ผ่านมา +3

    Kumamamako acha kumuandama konde wetu

  • @WazeewazeeWazee
    @WazeewazeeWazee 16 วันที่ผ่านมา +3

    Hio ngoma ni hit kionjo kina sema

  • @keytjogoo7921
    @keytjogoo7921 16 วันที่ผ่านมา +3

    Iyo kweli kaka wa sani kubadilika kwao nivigum san hapa ki bongo bomgo leo nime unagana na ww kuusu ilo

  • @furahachuma9039
    @furahachuma9039 16 วันที่ผ่านมา +12

    Wewe mbona haupigi hatua yoyote katika taaluma yako ya uandishi wa habari? Kila siku upo hapo hapo, swagger zilezile, maneno yaleyale. Roho mbaya nayo ni uchawi.

    • @mdeeyoofficial813
      @mdeeyoofficial813 16 วันที่ผ่านมา +2

      😅😅😅😅

    • @cabodelgadoentretenimentos2565
      @cabodelgadoentretenimentos2565 16 วันที่ผ่านมา +2

      😅

    • @charlesmunyenzie2155
      @charlesmunyenzie2155 16 วันที่ผ่านมา +1

      Hadi nguo NI zilezile😂, af anashinda kuogelelea harmonize

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 16 วันที่ผ่านมา +2

      @@charlesmunyenzie2155 Ha haaa, huyu anaongozwa na roho ya kwanini Harmonize anafanikiwa.

    • @priscamrekoni3451
      @priscamrekoni3451 16 วันที่ผ่านมา +2

      Imba we tuone 😏😏😏😏😏😏

  • @HazardHbcomEmmanuelprodduseign
    @HazardHbcomEmmanuelprodduseign 16 วันที่ผ่านมา

    Courage vraiment pour les informations nécessaires 🇨🇩🇨🇩 essayer de lui conseiller vraiment

  • @pausekay9467
    @pausekay9467 16 วันที่ผ่านมา +1

    kila siku mapungufu nhimbo za harmonize brother auna sakufanha hiii jah

  • @saadatiyahyashabani-yg2xy
    @saadatiyahyashabani-yg2xy 13 วันที่ผ่านมา

    Really good

  • @AugustinMuswabantu
    @AugustinMuswabantu 16 วันที่ผ่านมา +2

    Hivi unajuwa shida wanazopata wanamuziki kipindi wanaandika.

  • @TeophilBuilding
    @TeophilBuilding 16 วันที่ผ่านมา +1

    Nimekuja kugundua kua ermando unaweza kua unatombwa yaan unamkandamiza darasa kwakumuon Kam Anderdog ikiw ashafany makubw San kweny mziki makubw muno SAS unamkandaimzaje mmoj ikiw ni collabo ya wawil

  • @JulianaMushi-nq3kc
    @JulianaMushi-nq3kc 16 วันที่ผ่านมา +1

    Kila cku umekaa hapo kaa kiroba cha mavi hupigi hatua ukaenda hata cNN lkn ni konde tu unamuona hapigi hatua unakatisha mtu tamaa san wew huna jipya njoo na idea nyingine tumekuchoka

  • @JulianaMushi-nq3kc
    @JulianaMushi-nq3kc 16 วันที่ผ่านมา +1

    Hili lisengerema kila kitu cha harmo ni mapungufu mbona wew unaupungufu wa nguvu za kiume na hatukusemi umekalia mapungufu mchawi wew umekaa hapo tuu unasubiri konde atoe nyimbo uje na mapungufu toa na wew nyimbo isiyo na mapungufu mkunduchi wew

  • @EmmanuelMurhula-jb8cb
    @EmmanuelMurhula-jb8cb 16 วันที่ผ่านมา +1

    Hiyo ni hits Ila Unapenda amapiano mpaka unajisahau

  • @ChegeChigunda-ef6ox
    @ChegeChigunda-ef6ox 16 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu huwa anafirwa na diamond mbona haujawai kuongelea ngoma za wasafi

  • @FredrickSamson-kh4hz
    @FredrickSamson-kh4hz 15 วันที่ผ่านมา

    Acha ukuma ngoma kali hiyo😂😂😂😂

  • @sosbrayantbenjamin9701
    @sosbrayantbenjamin9701 15 วันที่ผ่านมา +1

    Yan bro unachukulia muzik ni rahis sana hujui yaliyopo nyuma ya pazia kuwa wakubwa kama wakina davido fatilia mitandao ya nigeria ujue kilicho mpelekea mohbad kuteseka muda mrefu na kafatilie mambo ya mavin record utaelewa

  • @johnmwasilu7087
    @johnmwasilu7087 15 วันที่ผ่านมา +1

    Almando wanaokuponda kuna siku watakuelewa tu. Wengi hawapendi wasanii wao pendwa wakikosolewa hata kwa uzuri

    • @tonnybrighton7528
      @tonnybrighton7528 15 วันที่ผ่านมา

      No maku tu huyu almando he is too personal

  • @pilimwanza8117
    @pilimwanza8117 15 วันที่ผ่านมา

    We nae muongo sana kuhusu single again ulimsifia kafanya promo na kafanya tour na colabo. Leo unabadilisha maneno. Dah

  • @user-kc5qs1bq9c
    @user-kc5qs1bq9c 16 วันที่ผ่านมา +1

    Broo hata ww umeferi kwamaana unakosoa kitu ambacho hakijatoka bado kwamaana hiki ni kionjo tu sasa kwanin ukosoe kitu ambacho hakijatoka ebu acha roho mbaya na wcb wako wanao kutuma Arumando

  • @ImaniMsafi
    @ImaniMsafi 15 วันที่ผ่านมา

    Lomeo Darass ft zuchu ❤❤

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 15 วันที่ผ่านมา

    Wee kila.cku n hamo Tu...hakuna wasanii wengn huko...Una feli pia wew...jiongeze kaka..kua mbunifu... design the background

  • @DanielDaniel-gx2ou
    @DanielDaniel-gx2ou 14 วันที่ผ่านมา

    Kinacho wasumbua nikwamba wanafanya kutengeneza ujamaa naurafiki tu hawatengenezi pesa pia atakuwalinda mashabiki zao nikweli unachokisema nikweli darasa anafeli sana ameiacha Ngoma yake namarioo wakati ile Ngoma ilikuwa tishio kwanza melody nzuri sana

  • @mkgorilla7200
    @mkgorilla7200 16 วันที่ผ่านมา +1

    Sema nini braza, na wew pia ni miongoni wa watu wanaofeli. Maana background hiyo hiyo, mic Ile ile, T-shirt hiyo hiyo yaani amna mabadiliko ndani yako. Tumekukariri hivo tu, piga step basi..🦍

  • @IsmailMussa-l5g
    @IsmailMussa-l5g 16 วันที่ผ่านมา +1

    I midy

  • @joelmuhindo-xe9yj
    @joelmuhindo-xe9yj 15 วันที่ผ่านมา

    Mzee wa ma pungufu😮

  • @tonnybrighton7528
    @tonnybrighton7528 15 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa n maku kweli

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 15 วันที่ผ่านมา

    Nilichokuja kugundua ni kwamba ukiona msanii anazungumziwa sana basi ujue huyo msanii ni gumzo au tishio kweny career yake kwaiyo sishangai kukuona unamuongerea Harmonize for Negative

  • @FidèleLebon-e5g
    @FidèleLebon-e5g 16 วันที่ผ่านมา +1

    una danganya baba

  • @ramazanitr8541
    @ramazanitr8541 15 วันที่ผ่านมา

    Chukua Pepsi mkubwa wao kwa mangi nakuja lipia 🚶🏾🚶🏾🚶🏾

  • @johnkhayimba794
    @johnkhayimba794 13 วันที่ผ่านมา

    Wwe umepiga hatua na hio bongo 5?

  • @mugalujoseph1220
    @mugalujoseph1220 16 วันที่ผ่านมา +1

    Ujama ni mshamba saaana kama aja msema konde ajarizika mbwa na mkia

  • @babubabz4507
    @babubabz4507 15 วันที่ผ่านมา

    Na pia uwache kupaka mkorogo katika mapungufu yako 😂😂😂

  • @babubabz4507
    @babubabz4507 15 วันที่ผ่านมา

    Ww mwanzo ungeweza kutowa mapungufu yako maana kipindi kibaya sauti yenyewe mbaya camera pia mbaya 😂😂😂

  • @michaeljuma254
    @michaeljuma254 16 วันที่ผ่านมา

    Dah kwenye hiyo Romeo and Juliet yake na zuchu uyu jamaa kaiharibu sana. Ile kolabo ya zuchu ni moto sana ila mwamba hafanyi promo kabisa sana

  • @SherzyrOscar
    @SherzyrOscar 16 วันที่ผ่านมา

    Kwako sio hit ila watu tumeielews

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi 14 วันที่ผ่านมา

    Nawewe ipo siku utapotea na wadishi wa habari

  • @tonnybrighton7528
    @tonnybrighton7528 15 วันที่ผ่านมา

    Mbona wewe huendelei ukafka hata sound city au trending Medias km Crown Efm Au Wasafi tako kweli ww😅😅😅😅

  • @NassirAbdala
    @NassirAbdala 16 วันที่ผ่านมา +2

    Wewe mbona unamuandama sana harmoniz wimbo bado haujatoka lakini unaanza kulaumu why

    • @john_1trader
      @john_1trader 16 วันที่ผ่านมา +1

      Tatizo mkiambiwaukweli mnapinga

  • @KOMASAVAOG-yb1mm9fk1r
    @KOMASAVAOG-yb1mm9fk1r 16 วันที่ผ่านมา

    Uyu jamaa uwa anafirwa na DIAMOND sio bure paka ww

  • @user-kc5qs1bq9c
    @user-kc5qs1bq9c 15 วันที่ผ่านมา

    Kiufupi broo unatumika na Wcb kutaka kumpoteza Harmo huo ndio ukweri na habari zako hazibalance kiufupi taaluma yako hutendei haki na hujui miiko ya uandishi wa habar broo

  • @Lanihsarumu
    @Lanihsarumu 14 วันที่ผ่านมา

    Huyu muandishi wivu na loho mbaya kwa konde

  • @officialcandleboy6923
    @officialcandleboy6923 13 วันที่ผ่านมา

    Bro tuna taka Nawewe huwe juu ya wengine hunao fanya nao kazi moja, ila bado huko hapo tu, au wewe ndo wale waku ridhika na kidogo chao

  • @raheemsaleh14
    @raheemsaleh14 16 วันที่ผ่านมา +1

    Km ile ya Bien wa saut sol fit Harmonize haiku hit cjui ilikuwa amapiano ile 😂😂 wakati Bien ni noma

  • @thierrybisimwa3312
    @thierrybisimwa3312 16 วันที่ผ่านมา

    Ngoma haijatoka umeshaiponda ww hater kweli, ww ni shabiki wa diamond sio mchambuwaji.

  • @ushahuri_tu
    @ushahuri_tu 16 วันที่ผ่านมา +1

    WATAKUTUKANA SANA KAKA ILA UNASEMAGA UKWELI SANA BRO . NA WAKIFATA UNACHO WAAMBIA TUNAENDA MBALI KWELI

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 16 วันที่ผ่านมา

      @@ushahuri_tu Mbona huyo kaka yako haendi popote, kila siku tshirt ni ile ile. Kama kuimba ni rahisi na yeye aimbe.

  • @wakwendwa1565
    @wakwendwa1565 16 วันที่ผ่านมา +1

    Mjinga wewe wacha kumuadama jeshi,toa Wimborne wako

  • @evansmumo3921
    @evansmumo3921 13 วันที่ผ่านมา

    Nawewe umbwa unakaa hapo hapo to kuchambua kazi za watu si utoe nyimbo i hit? We ni umbwa