BINTI ALIYE CHUKULIWA MSUKULE NA BIBI YAKE HATIMAE ARUDISHWA/KIBOKO YA WACHAWI ALETA GUMZO KANISANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • BINTI ALIYE CHUKULIWA MSUKULE NA BIBI YAKE HATIMAE ARUDISHWA/KIBOKO YA WACHAWI ALETA GUMZO KANISANI

ความคิดเห็น • 155

  • @MariaKahind
    @MariaKahind 10 หลายเดือนก่อน +6

    Eeeeh baba nipe macho ya rohoni nikajuwe wabaya wote wanao nitesa kwa damu ya yesu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @revinakokutona3635
    @revinakokutona3635 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nabii Mungu akuweke

    • @revinakokutona3635
      @revinakokutona3635 6 หลายเดือนก่อน +1

      Naomba uniombee nabii naitwa levina Leutard

  • @BenardHabeli
    @BenardHabeli 7 หลายเดือนก่อน +1

    Benard luwilo niko dodoma namuomba mungu anijalie hekima kazi zangu azibariki zipate matunda mema ktk familia yangu nabaraka za mungu ziwe kangu nakwafamilia yangu nìpate pesa zakujikim nafamiliya yangu unoombee mchungaji

  • @BenardHabeli
    @BenardHabeli 7 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana yesu azidi kutuokoa naitwa benard luwilo nimlemavu wamguu wa kuume naomba mungu aniponye kwauwezo wanabii huyu akiomba juu yangu naamini kabisa nitapona amina

    • @FrebroniaNgowi
      @FrebroniaNgowi 3 หลายเดือนก่อน

      Nabii nisaidie niko moshi isaidie shida nyingi nadini memgi mtoto ndio mengi sana isaidie nabii jina nifebronia

  • @RazaloMesalieki
    @RazaloMesalieki 6 หลายเดือนก่อน +4

    Nabii Dominick kiboko ya wachawi naomba uniombee maisha yangu yaende SAWA na familia yangu pia nipate kuinuka kiuchumi baba biashara sangu sifunguke nipate matunda masuri pia baba angu wamemloga saifi ni mlefi wa kutupwa naomba utuombee baba maisha yetu yabadilike katika familia yangu

    • @allyiddi9682
      @allyiddi9682 6 หลายเดือนก่อน

      Baba niombee niinuke kiuchumi

    • @SophiaRophenous
      @SophiaRophenous 5 หลายเดือนก่อน

      Mchungaj nisaidie baba nipo ifakara nasumbuliwa sana nataman ningekuwa na uwezo ningefika

    • @ZipporahNyanchama-n4v
      @ZipporahNyanchama-n4v 3 หลายเดือนก่อน

      From Kenya nabii wa mungu niombee Niko natembea na jini Kwa mwili nimeteseka sana nisaidie

    • @LucasSimon-g5h
      @LucasSimon-g5h 3 หลายเดือนก่อน

      Mungu amenionekania juu yako naomba uniombee maisha yangu yaende vinzuri na mungu akubariki mno,

    • @LucasSimon-g5h
      @LucasSimon-g5h 3 หลายเดือนก่อน

      Naomba.niobee ni mimi Lukas mkalanga wa a

  • @MariamNyamoga-i8l
    @MariamNyamoga-i8l 7 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu asifiwe.... Mtumishi naota ndoto mbaya sana Hadi ndoayangu naichukia naomba uniombee nipone pia nifunguliwe kiuchumi pamoja nawanangu wafaulu ktk masomo Yao,...Asante mtumishi mungu akuongoze kwahi

  • @SalumLulida
    @SalumLulida หลายเดือนก่อน

    Endelea na uduma mungu abariki uduma uliyobarikiwa naitwa salumu lulida magomeni mwembechai daresalaam umetisha,kazi iendelee

  • @eliupendouronu1810
    @eliupendouronu1810 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutunze sana

  • @DeborahMatiko
    @DeborahMatiko 5 หลายเดือนก่อน

    Baba naomba kupitia Madhabahu haya mume wangu arudishwe kwenye kituo alicho kua anafanyia kazi tangu mwaka 2023 nami nipate kazi tujenge tumechoka kupanga pastor naomba uniombee

  • @Judith-m5k
    @Judith-m5k 4 หลายเดือนก่อน

    Amina. Mtumishi naomba unisaidie kumfufua baba wa mtt wangu alitolewa kafara.

  • @magrethmrutu7298
    @magrethmrutu7298 10 หลายเดือนก่อน +1

    Your the major prophet in our days. May the heavenly father keep you. Our family really loves you.

  • @JaneMosi-ev1xh
    @JaneMosi-ev1xh 4 หลายเดือนก่อน

    Shaloom mtumishi

  • @HusseinKimbawala
    @HusseinKimbawala 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu aibaliki kazi ya mikono ya kiboko ya wachawi

  • @magekimei4676
    @magekimei4676 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba unifungue maisha yangu mim magreth john

  • @godfreymwamaso2424
    @godfreymwamaso2424 8 หลายเดือนก่อน

    Amen eee Mungu naomba unitetee naomba unifungue kiuchumi maradhi ndoa uzao ujenzi gari naomba wale wote waliyonifunga nawateketeza kwa jina la yesu

  • @MeshackAndrea-uo3ko
    @MeshackAndrea-uo3ko 6 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wa mungu naomba uniombee niweze kufanikiwa katika maisha yangu nipo chuon ili niweze kusaidia wadogozangu walemavu

  • @eunicekiilu7485
    @eunicekiilu7485 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu azidishe kipaj chako nakuomba uniombee🙏🙏🙏nko na matatizo

  • @JamesMasai-bs9fm
    @JamesMasai-bs9fm 4 หลายเดือนก่อน

    Pasita naomba unitumiy 5:17 nambaa yako

  • @godcalist5654
    @godcalist5654 7 หลายเดือนก่อน

    Pastor Dominic kiboko ya wachawi jina Godfrey nipo sinza

  • @MariaKahind
    @MariaKahind 10 หลายเดือนก่อน

    Amen amen eeeh mungu unifunguwe na kila neno mbaya kwa maisha yangu na unipe rehema na hekima na watoto wangu in jesus name

  • @godfreymwamaso2424
    @godfreymwamaso2424 8 หลายเดือนก่อน

    Amen naomba unitabirie baba napitia mapito magumu sina pesa sina mke sina nyumba kila ninachokifanya hakiendi

  • @agnethashoo3097
    @agnethashoo3097 4 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi kiboko ya wachawi ,

  • @Paulo-ep1bz
    @Paulo-ep1bz 5 หลายเดือนก่อน

    Amina kubwa

  • @MelisaKokubanza
    @MelisaKokubanza 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akushidishie baraka

  • @TabuHassa
    @TabuHassa 10 หลายเดือนก่อน +1

    mungu nisaidie nikutane na jasoni na anipigie sm na anitumie pesa nyingi

  • @fidesmmanga9913
    @fidesmmanga9913 3 หลายเดือนก่อน

    Kwenye radio mnapatikana chanel gan

  • @kunbashkifimbo9780
    @kunbashkifimbo9780 5 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wa Mungu. namba umuombee mtoto wangu Chizostomus maana hayuko sawa kimasomo

  • @LovelyEagleRay-ls1wg
    @LovelyEagleRay-ls1wg 3 หลายเดือนก่อน

    Naitwa Jackson naomba umwombee baba yangu ni mgojwa pia mama yangu and uvimbe mkubwa tumboni naomba umwombee asante sana

  • @LovelyEagleRay-ls1wg
    @LovelyEagleRay-ls1wg 3 หลายเดือนก่อน

    Mtu wa mungu naitwa Jackson nimepotelewa na mwanangu wa kwanza mwaka wa 4 naomba unirudishie kijananangu ubarikiwe sana

  • @ShidaBundala
    @ShidaBundala 3 หลายเดือนก่อน

    Amiina baba namm naleo na funguliwa pamoja na mtoto amiina

  • @JudithRupia
    @JudithRupia 5 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu asifiwe mtumishi, nabii naumw tumbo naomb uniombee mtumish

  • @Rosemary-cb4fy
    @Rosemary-cb4fy 8 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @IgnasRaymond
    @IgnasRaymond 7 หลายเดือนก่อน

    Hakika Mungu kakutuma kwa ajili yetu. Naomba utuokoe watu wako tunateseka

  • @FrankMgumba
    @FrankMgumba 5 หลายเดือนก่อน

    Amina baba mim kwamajina naitwa sara isaya machera kutoka dodoma sema tupone baba

  • @wilsonmatunda4937
    @wilsonmatunda4937 5 หลายเดือนก่อน

    Sasa mbona mnakatisha video kabla ya tukio lenyewe!

  • @BerryTarimo
    @BerryTarimo 7 หลายเดือนก่อน

    Baba naomba unifungue Mimi na familia yangu kwa jina la Yesu

  • @DocasJhoni
    @DocasJhoni 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuzidishie mtumishi

  • @godfreymwamaso2424
    @godfreymwamaso2424 8 หลายเดือนก่อน

    Amen naomba unifungue nipone kichwa uchumi ndoa

  • @SteraZidadu
    @SteraZidadu 4 หลายเดือนก่อน

    Nabii mungu akuweke mi stera nakujaaaaaa baba

  • @JoyceGerson
    @JoyceGerson 3 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi yesu asifiwe naitwa joyce naomb uniombee ndoa yang imevurugwa npo arusha

  • @noelmbosa2736
    @noelmbosa2736 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akukumbuke maana mmmmm!

  • @UmaziMuweye-sq1jw
    @UmaziMuweye-sq1jw 5 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen

  • @JosephJon-y6g
    @JosephJon-y6g 9 หลายเดือนก่อน

    Baba nami niombee kufunguliwa kwenye maisha yangu

  • @AlexRweyunga
    @AlexRweyunga 10 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi mm Niko mbali na dar lakin nimeona maombi yako kwenye mtandao nawezaje kujiungamanisha kwenye ibada na kuombewa?

  • @DocasJhoni
    @DocasJhoni 8 หลายเดือนก่อน

    ❤Amina

  • @GenovevaSilivester
    @GenovevaSilivester 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nabii nitabiliwe hakuna mganga alieweza kunitengenezea nyota yangu ila naimani wewe baba dominic utanivua hili vazi la kutokufanikiwa

  • @JeremiahKonde
    @JeremiahKonde 3 หลายเดือนก่อน

    Nabii naitwa naza huruma mziray Nina shida ya uchumi wangu hauponsawa pia na familia yangu naomba uniombee

  • @AnnaMsigwa-b9h
    @AnnaMsigwa-b9h 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba yako mtumishi

  • @ErickBahati-t4k
    @ErickBahati-t4k 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki mtumishi

  • @RangeSiki-wq3ro
    @RangeSiki-wq3ro 7 หลายเดือนก่อน

    AMINA baba ubalikiwe sana

  • @CrissDecoor
    @CrissDecoor 4 หลายเดือนก่อน

    Baba naomba umuombehe mtoto wangu awezekutembea

  • @AlexSambagi
    @AlexSambagi 5 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu asifiwe .mtumishi wamungu mimi ninapo ishi panya wana nitesa sana na fanya biashara pesa zina potea tu hakuna cha maana ninacho fanya naomba unisaidie baba.

  • @JamesMassawe-t7r
    @JamesMassawe-t7r 7 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu asifiwe Nabii wa mungu kwa majina naitwa James massawe

  • @BerryTarimo
    @BerryTarimo 7 หลายเดือนก่อน

    Watesi wote wanaosumbua familia yetu wakate moto kwa jina la Yesu

  • @AndrewShola-ts5lp
    @AndrewShola-ts5lp 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @EstherDismas
    @EstherDismas 9 หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu wakiboko ya wachawi awapige wachawi wotewaliomua Binti yangu

  • @JudithRupia
    @JudithRupia 5 หลายเดือนก่อน

    Bean yesu asifiw ,nabii mim nasumbuliw na tumbo naomb uniombee

  • @TabuHassa
    @TabuHassa 10 หลายเดือนก่อน

    mungu nifungue nimjuwe mbaya wangu

  • @chioma3759
    @chioma3759 10 หลายเดือนก่อน +1

    Raheli Mlekwa Emmanuel naomba unisaidie mimi na familia yangu tunapitia magumu kwenye upande wa uchumi

  • @AnnaKosta-e1v
    @AnnaKosta-e1v 5 หลายเดือนก่อน

    Pasta Dominik niombee nakohoa sana

  • @JOHNJOSEPH-tv4bk
    @JOHNJOSEPH-tv4bk 3 หลายเดือนก่อน

    Napenda kufika kwenye mazabahu ya nabii ila2 uwezo wa nauri Sina had

  • @JoyKorir-s5c
    @JoyKorir-s5c 10 หลายเดือนก่อน

    Am watching u from Kenya pray for me

  • @kitwanakitwana316
    @kitwanakitwana316 7 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji uuko vizuri sana natamani nikuone

  • @CateLume
    @CateLume 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu wa kiboko wa wachawi anionekanie.

  • @Derrickcontez-sj3qf
    @Derrickcontez-sj3qf 9 หลายเดือนก่อน

    Eeee nabii wa mungu niombee Mimi Niko na shida kubwa baba

  • @EmersianaMsuya-cc8mw
    @EmersianaMsuya-cc8mw 6 หลายเดือนก่อน

    Nabii dominick naomba niombee mm na familia yangu fungua uchumi wetu

  • @AngelChanda-s3c
    @AngelChanda-s3c 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba waombee wanangu beyonce nastar🙏

  • @AnnaKosta-e1v
    @AnnaKosta-e1v 5 หลายเดือนก่อน

    Pasta niombee mume wangu ana michepuko wengi mnoo

  • @QBLodge
    @QBLodge 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nitabilie NAMI baba

  • @HadijaSaid06
    @HadijaSaid06 8 หลายเดือนก่อน

    Baba bwan yesu asifiwe nimejiungamanisha kweny maombi yako bab ila bado mm nikibeba ujauzito mimba zinatoka bab

  • @dianafredy3887
    @dianafredy3887 10 หลายเดือนก่อน +1

    Baba yangu Dominick nakutumia sms haujibu.najua una watu wengi.tunaomba muongozo tuliopo mbali na dar.mimi Niko Zanzibar baba.Mungu akubariki uione sms hii na uijibu

    • @laurentkimario
      @laurentkimario 10 หลายเดือนก่อน

      bwana asifiwe mtumish wabwana naitwa laurent pasta naomba unitabiria niwakina nani wana angaika namm mafanikio yangu maana kipato changu kime shuka sanaa

  • @SuzyFmaro
    @SuzyFmaro 10 หลายเดือนก่อน

    Amen mtumishi

  • @MiriamIbobo
    @MiriamIbobo 2 หลายเดือนก่อน

    Najiconnect na uwo uponyaji

  • @tumsifurudovikoNtakamulenga
    @tumsifurudovikoNtakamulenga 3 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi bwanayesu asifiwe sana ninashinda kubwa niombee nipatekufikakanisani

  • @FrankMgumba
    @FrankMgumba 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba uniombee baba nijifungue sarama namwezi wangu wamakadirio urikuwa mwezi wanna tarehe29 nashangaa mpaka reo sijajifungua natumbo rimekuwa rikiuma rinapoa sijajua shida nini naomba unisaidie baba

  • @malawanduJunior
    @malawanduJunior 10 หลายเดือนก่อน

    Pastor naomba niombe dada yangu amakufa kifo sio cha kawaida na mm kaka yake maisha yangu yamekuwa magumu kila ninachokifanya hakiendi sijuii kwa nini

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 10 หลายเดือนก่อน

      acha ujinga hao ni matapeli tena yesu mwenyewe anasema ukae nae mbali watu hawa

    • @stellamsokwa6785
      @stellamsokwa6785 10 หลายเดือนก่อน

      We nawe kama umetapeliwa ni wewe na mikosi YAKO tuache tunaoamini tupokee😏

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 10 หลายเดือนก่อน

      @@stellamsokwa6785 kasome matayo 7-22 yesu anasema ndio siku hiyo watu watabisha wakisema bwana bwana tufungulie tulifanya unabii Kwa jina lako tulitoa pepo kwa jina lako na tilifanya ishara kubwa na miujiza mingi kwa jina lako yesu anasema ndipo nitakapowajibu ondokeni machoni kwangu siwajui mtokako nyinyi watendao uovu Sasa ndio ujiulize kwanini yesu anasema lazima atawafukuza ? na wakati walikua walifanya miujiza mikubwa Kwa Jina lake? acha ujinga kuwa na akili

    • @pendorobert3552
      @pendorobert3552 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@Hussein-gx4quhawawez kukuelewa page ya wafuasi wake hiii

  • @OnesmoAndrea-j9u
    @OnesmoAndrea-j9u 10 หลายเดือนก่อน

    Nataman nipate namba yako mtumishi wa mungu

  • @EstherDismas
    @EstherDismas 9 หลายเดือนก่อน

    Baba Dominic naomba usome meseji zangu uombee mahitaji yangu nisaidie baba

  • @VeronicaJoseph-m4n
    @VeronicaJoseph-m4n 5 หลายเดือนก่อน

    Pasta kiboko yawachawi naomba uniombe mm Veronika George masunga

  • @margritkraeuchi8723
    @margritkraeuchi8723 9 หลายเดือนก่อน

    Mm namini

  • @AzinaKitery
    @AzinaKitery 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi Azina nakuomba unisaidie nateseka na watt wangu wametumikishwa ktk nguvu za Giza Niko kwenye mazingira magumu sana

  • @Rosemary-cb4fy
    @Rosemary-cb4fy 8 หลายเดือนก่อน

    Ee baba mungu wako akutane na wachawi wanao nitesa usiku wa Leo Kwa jina. la yesu

    • @SmilingDancers-zv8vz
      @SmilingDancers-zv8vz 6 หลายเดือนก่อน

      Naomba nabii nishughulikie ndoa yangu familia yangu inayumba

    • @SmilingDancers-zv8vz
      @SmilingDancers-zv8vz 6 หลายเดือนก่อน

      Naitwa ANGEL WILSON CHACHA NPO LINDI

  • @FrebroniaNgowi
    @FrebroniaNgowi 3 หลายเดือนก่อน

    Nabii naomba nifungue namm na familia yangu

  • @niyiesther6571
    @niyiesther6571 9 หลายเดือนก่อน

    Ameeen

  • @MwansityMkombozi
    @MwansityMkombozi 3 หลายเดือนก่อน

    ameeen

  • @AngerinaJohn-xg1hj
    @AngerinaJohn-xg1hj 7 หลายเดือนก่อน

    Ameni baba naomba wote wanaoni roga wauunguzwe na moto damu yayesu inikomboe

  • @LuluJackson-u6e
    @LuluJackson-u6e 3 หลายเดือนก่อน

    Mmmh kwakwel n hatar

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 9 หลายเดือนก่อน

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏

  • @Paulo-ep1bz
    @Paulo-ep1bz 5 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji kwa marina ya silingo maigwa Korea niombee mchungaji

  • @faustinmajambere2834
    @faustinmajambere2834 3 หลายเดือนก่อน

    Hi❤

  • @latifaomary7538
    @latifaomary7538 10 หลายเดือนก่อน +1

    naitwa marry naomba niombeee pst nimeachishwa kazi nahitaji kufanya biashara na pia nahitaji ndoa🙏

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 10 หลายเดือนก่อน

      acha ujinga hao ni matapeli

    • @ayubumichael6291
      @ayubumichael6291 10 หลายเดือนก่อน

      @latifaomary7538 ...kama ni suala la ndoa mimi nipo tayari kukuoa 🙏❤️💕❤️

  • @OmanOman-lq9jj
    @OmanOman-lq9jj 4 หลายเดือนก่อน

    Nai.twa amina lashidi. Niki Oman. Nimekuja kutembaya

  • @gladnesskimambo
    @gladnesskimambo 4 หลายเดือนก่อน

    Nabii naomba umuombee binti yangu aweze.kurejee nyumbn yuko Nairobi miaka 5 ss iv hajawh kuja nyumbn na sina mawasiliano nae yyt

  • @victormtivike6687
    @victormtivike6687 5 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi kiboko ya wachawi naomba umfungue mwanangu aweze kuongea anaitwa zainabu hassan

  • @PipinoRosalia
    @PipinoRosalia 4 หลายเดือนก่อน

    Nabii kiboko ya wachawi niombee Mimi na watoto wangu Frank Edith nikas zulea

  • @mosesndoipo
    @mosesndoipo 5 หลายเดือนก่อน

    Pasita naomba uniombe plz nafatwa na majaribu leo karibu nichomeke mungu Aliniokowa naomba maombi kwako 🙏🙏

  • @OmanOman-lq9jj
    @OmanOman-lq9jj 4 หลายเดือนก่อน

    Nai.twa amina lashidi. Niki Oman. 6:36 Nimekuja kutembaya

  • @PaulMasele911
    @PaulMasele911 10 หลายเดือนก่อน

    Niombee pastor kiboko ya wachawi nina muda ss sipati kaz

  • @HabibaHenry-ne1rw
    @HabibaHenry-ne1rw 9 หลายเดือนก่อน

    Nabii niombee na Mimi nifunguliwe na familia yangu

  • @RehemaJonas-yj7ed
    @RehemaJonas-yj7ed 5 หลายเดือนก่อน

    Nabii Dominik Hadi machoz yakanitoka naomba niombee wachaw wamenizunguk Kila mahali familia yangu ipo hatarin mume wangu wamempig kiuchum kiafya naomba niombee jaman