MAAJABU ya TEKNOLOJIA! CHEKI BAJAJI ya MATAIRI MANNE KAMA RANGE - INA SITI NNE na BODI ya GARI...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • MAAJABU ya TEKNOLOJIA! CHEKI BAJAJI ya MATAIRI MANNE KAMA RANGE - INA SITI NNE na BODI ya GARI...
    CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
    ========================
    Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PESA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 93

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  9 หลายเดือนก่อน +1

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @MargarethaMayengo
    @MargarethaMayengo 9 หลายเดือนก่อน +8

    Kweli ni bajaji wapendwa mm nimeshazitumia sana kwenye nchi za wenzaetu na nimefurahi kuziona tena Tz Mungu awabariki kwa kutuletea hizi bajaji 🤝🤛

  • @alfeshhassan4181
    @alfeshhassan4181 7 หลายเดือนก่อน

    Masha allah tumeona mambo mauzri msh allah bajaji nzuri sna wllah
    Ila tunaomba kwa mwenye kujua je zip bajaji kma hizi za automatic

  • @misifaskills745
    @misifaskills745 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa mimi dereva wa pikipiki ukiniuliza ipi bora yenye faida kubwa kati ya bajaj hii ya mataili ma4 na na gari yoyote iwe ist, rumion au raum au sienta au mi nitachagua hii bajaj ya miguu 4 kwa maana gharama zake za uraji ww mafuta ni nafuu sana hivo unaona faida kuliko gari yoyote maana magari mengi madogo ni kuanzia cc900 ambapo mafuta lita 1 unatembea kilometers 10 hadi 14 mwisho. Lakini hiyo bajaj ni kilometers 28 hata ikwa 25 bado inafaa sana hata bei kwa abiria unampunguzia kabisaa kuliko wa gari wakat wote wanapata hadhi sawa wote hawanyeshewi na mvua wala jua wala vumbi nk.

  • @Eliya-vv1jp
    @Eliya-vv1jp 9 หลายเดือนก่อน +6

    bajaji gan inakuwa na tair 4 sas

  • @asherimbilinyi-of8cf
    @asherimbilinyi-of8cf 9 หลายเดือนก่อน

    Nimeikubali sana Tena sana ila ushauri wangu jitahidini kwenye suala la joints.zaidi yahapo hongeleni

  • @postinopius7761
    @postinopius7761 5 หลายเดือนก่อน

    Nzuri sana nimezipenda

  • @imanimulumbilwa6056
    @imanimulumbilwa6056 8 หลายเดือนก่อน

    Ongera sana kaka.
    Vipi mwisho wa Reli,tutazipataje?

  • @brothersalim001
    @brothersalim001 5 หลายเดือนก่อน +1

    JE INAYOO AC

  • @Users2523
    @Users2523 9 หลายเดือนก่อน +3

    Hii ni gari ila engine yake ni ya Bajaj. Ni nzuri kwa mafuta

  • @rayplan352
    @rayplan352 9 หลายเดือนก่อน +1

    mil 12 nanunua gari safi kabisa

  • @JoJo-xh7ph
    @JoJo-xh7ph 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bora ili IST zishuke bei

  • @ngombegeorge3577
    @ngombegeorge3577 9 หลายเดือนก่อน

    Ngoja ije mjini ... Mia 20 .speed iyo toyo haojue .. itakimbizwa na vijana mjini

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 9 หลายเดือนก่อน

    Safi sana aseee 👏 👏 👏

  • @lightonmichael272
    @lightonmichael272 9 หลายเดือนก่อน +3

    Muda si mrefu mnao tumia gar ndogo mtaitwa mnatumia bajaj😂😂😂

    • @jeremiapeter683
      @jeremiapeter683 9 หลายเดือนก่อน

      Ila kweli Kama Bajaji tu.ina Mil.13. ikishuka Bei saana 9..mil Hiyo si Ni Bei ya gari ndogo kabisaaaa..😂😂

    • @EdwardJohn-xz5oi
      @EdwardJohn-xz5oi 5 หลายเดือนก่อน

      ​@jeremiapeter683 kwani unadhani bajaji za miguu mitatu ni bei gani? Mwanza hapa tvs inaelekea kufika ml.10 Bado kidogo tu. Kwahyo usishangae hyo kuambiwa m 13.

  • @LevinaMichael-oy8cu
    @LevinaMichael-oy8cu 9 หลายเดือนก่อน +4

    Mnatuzalilisha sie tunaoendesha vigari vidogo

  • @KEFAfunny
    @KEFAfunny 9 หลายเดือนก่อน

    Anaye taka anione wapo hapo k/Koo msimbaz A Kwa nyuma kidongo

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 9 หลายเดือนก่อน +3

    Hii sasa imekuwa gari maana Toyota I S T ni sh milioni 12. Sasa bora ninunue Toyota.

    • @SophlaJackson-nt1nc
      @SophlaJackson-nt1nc 9 หลายเดือนก่อน

      Sio 12 inasoma mpaka 15 sasa new kabisa

    • @AnoldLyimo-h1e
      @AnoldLyimo-h1e 8 หลายเดือนก่อน

      Hiyo12 labda used

  • @angelatarimo1969
    @angelatarimo1969 2 หลายเดือนก่อน

    Meshusha bei nije nunua?❤

  • @Boaz22
    @Boaz22 8 หลายเดือนก่อน

    Million 13 bora ninunue guta moja na bajaji ya tairi 3 moja halafu nazipeleka kwetu makete, inarudi million 15 ndani ya miezi minne tu..

  • @franciskilasa4104
    @franciskilasa4104 2 หลายเดือนก่อน

    Wanauza wapi

  • @sadotkyabuguta3700
    @sadotkyabuguta3700 9 หลายเดือนก่อน

    Imetengenezwa wapi?.

  • @PreetMGuech
    @PreetMGuech 9 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh jamani hio si range sport au

  • @Salimfulla
    @Salimfulla 9 หลายเดือนก่อน

    Zilianza kuonekana hapa tz 2020 Kwa Bei nusu ya hiyo anayotaja...

    • @steverwillecha8559
      @steverwillecha8559 9 หลายเดือนก่อน

      Ungenunua boss

    • @Salimfulla
      @Salimfulla 9 หลายเดือนก่อน

      Tena zililetwa na serikali Kwa baadhi ya maafisa Kwabadala wa pikipiki, Ili kumsaidia wasioweza kuendesha pikipiki na kubeba maafisa zaidi,mwanza zilikuwepo.

  • @mfirimassawe9023
    @mfirimassawe9023 9 หลายเดือนก่อน

    Toen na mikopo pia😊

  • @sayeedbinazan
    @sayeedbinazan 9 หลายเดือนก่อน +1

    Leseni yake ni ya bajaji au gari?

    • @husseinshekimosha6721
      @husseinshekimosha6721 9 หลายเดือนก่อน

      Usha sema Bajaj Kwa Maana hiyo Leseni ya Bajaj

  • @farajamangala7955
    @farajamangala7955 5 หลายเดือนก่อน

    Zimesha fika Bei gani

  • @thebushguy5774
    @thebushguy5774 9 หลายเดือนก่อน +2

    Watu wa iphone kwani lazima muongee na simu mkituonesha😂

    • @is-hakaali5757
      @is-hakaali5757 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @GeorgeMichael13
    @GeorgeMichael13 9 หลายเดือนก่อน

    Sasa hiyo siyo bajaji Tena.... Bajaji haiwi na tyre nne ,.... Huo ni uharibifu tu wa material

  • @deevanbhe7239
    @deevanbhe7239 9 หลายเดือนก่อน +3

    Hilo gari tusidanganyane

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ila watu wa iiphone mnaakili ndogo sana 😅😅😅

  • @IshipalemyPasko
    @IshipalemyPasko 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hii sio bajaji tena

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ikisha kuwa na taili nne kisheria ni gari ilo

    • @dullamcthedirector9026
      @dullamcthedirector9026 9 หลายเดือนก่อน

      Wanaangalia Cc NDUGU Ndo iitwe Gari Na Ipewe Usajili Wa Gari Kuna baadhi Ya Pikipiki Za Matairi 4 Na staring Ya Pikipiki Na zinapewa Usajili Wa Gari.

    • @dullamcthedirector9026
      @dullamcthedirector9026 9 หลายเดือนก่อน

      Ila Hii Muundo Wa Gari Ila Cc Pikipiki Na Ndo Maana Namba Pikipiki

  • @walinaziontime7300
    @walinaziontime7300 9 หลายเดือนก่อน

    Hiii jau zakwetu tunapanda mbaka 12 tunaning'inia mbaka mlangoni Sasa hiki itakuajeee

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 9 หลายเดือนก่อน

    Machina! Hamna kitu at least ingekuwa india poa lakini mchina mh.

  • @juvenalmct71
    @juvenalmct71 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 8 หลายเดือนก่อน

    Hio ni gari sio bajaji

  • @charlescharz6821
    @charlescharz6821 9 หลายเดือนก่อน +1

    Izo Toyo za watoto co bajaj😂😂

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen 9 หลายเดือนก่อน +2

    Bajaji ama gari 😂😂 mbona me naona kamagari ndogo

  • @edithachibululu2419
    @edithachibululu2419 หลายเดือนก่อน

    Shusheni bei hadi m 9

  • @richytarimo4656
    @richytarimo4656 9 หลายเดือนก่อน

    mil 10 duhh Bei ya vits hyo full acc

  • @kenzomgeni7699
    @kenzomgeni7699 9 หลายเดือนก่อน

    Suzuki swift

  • @rashidmsuya5721
    @rashidmsuya5721 9 หลายเดือนก่อน

    Mchina mxhenz yani body ya suzuki bampa lambele na taa rangerover taanza juu jeep 🤣🤣

  • @DevothaAyubu
    @DevothaAyubu 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi na subiri zifike milion 8

  • @ahmadamigeyo3929
    @ahmadamigeyo3929 9 หลายเดือนก่อน

    Sio range iyo au naona vibaya

  • @official_masud
    @official_masud 9 หลายเดือนก่อน

    Maae 13M si bora ninunue IST 😅😅😅

  • @onekisstv8412
    @onekisstv8412 9 หลายเดือนก่อน

    Mbna nimegoogle aipo

  • @misiwaabednego3410
    @misiwaabednego3410 9 หลายเดือนก่อน

    Kama ni mchina hapo hamna kitu

  • @ismailmuna1604
    @ismailmuna1604 9 หลายเดือนก่อน

    Msitake Kuinyima Serekali Mapato Hakuna Bajaji Ya Tairi 4 Tairi 4 Ni Gari

    • @emmanuelherman-pb9dx
      @emmanuelherman-pb9dx 8 หลายเดือนก่อน

      Bajaj za tairi 4 zipo, za tairi mbili zipo, za tairi 3 zipo, ila hiyo sio Bajaj maana Bajaj ni kampuni inayotengeneza vyombo mbalimbali vya Moto, tusiishi kwa kukariri

  • @AthumaniSeleman-od4hu
    @AthumaniSeleman-od4hu 8 หลายเดือนก่อน

    Shid ipo chin sana mfanye utafiti mashine iwe juu kidogo

  • @samzali8554
    @samzali8554 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa mwenyewe hajui hata kuelezea kitaalam maana bajaj ni campny ya kihindi ambayo imejikita kwa utengezaji wa engine na piki piki. Sasa alitakiwa aseme tu ni TVS

    • @angiechasuka4187
      @angiechasuka4187 9 หลายเดือนก่อน

      Ameinsist ni TIVS, sio TVS…inawezekana ni kampuni mbili tofauti

  • @mdogojackb
    @mdogojackb 9 หลายเดือนก่อน

    Hilo ni gali hawa ni wao go San walikuw wanatafuta kiki

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 9 หลายเดือนก่อน

    Iyo ni gari bro

  • @Gab217
    @Gab217 9 หลายเดือนก่อน

    Hyo sio bajaji Bwana😂😂😂

  • @mmanyemaOg
    @mmanyemaOg 9 หลายเดือนก่อน

    Nnavyo Juwa Mm Bajaji hiitairi 3 gari hinatairi Nne Au Zaidi Ya Nne🤣🤣

  • @msatibongonyuzi14
    @msatibongonyuzi14 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo gari banah😂 suzuki jimny kabisa

  • @RehemaMasunga-ml7kt
    @RehemaMasunga-ml7kt 9 หลายเดือนก่อน

    Siku ukiuza mil 8 nitanunua

  • @ZuenaRamadhani
    @ZuenaRamadhani 9 หลายเดือนก่อน

    Hakuna bajaji hapo ilo gar

  • @ibrah_lankii
    @ibrah_lankii 9 หลายเดือนก่อน

    Unavimba nayoo

  • @AronMassawe
    @AronMassawe 9 หลายเดือนก่อน

    Kwan neno bajaj ni jina la chombo chenyewe au ni jina la kampuni inayotengeneza maana ata pikipiki boxer kunamahal nadhani zmeandikwa neno bajaj sasa nashindwa kuelewa

    • @imanmodern
      @imanmodern 8 หลายเดือนก่อน

      Bajaj Kiwanda, mtengenezaji wa. BOXER ndio huyo huyo Bajaj

  • @user-if8uh3cp8s
    @user-if8uh3cp8s 8 หลายเดือนก่อน

    Bey kubwa san

  • @BrightonMbukile
    @BrightonMbukile 9 หลายเดือนก่อน

    Yaan mnatuchanya nn maana ya Bajaj naona gar kabisa

  • @mousslihoudine9590
    @mousslihoudine9590 9 หลายเดือนก่อน

    hio sio bajaji ni gari kabisa

  • @ZakiaMdetele
    @ZakiaMdetele 9 หลายเดือนก่อน

    Shingapi hiyo

  • @albertchales9459
    @albertchales9459 9 หลายเดือนก่อน +1

    acheni ujinga hihonigari sio bajaji mbwa nyie

  • @juvenalmct71
    @juvenalmct71 9 หลายเดือนก่อน

    Nayitaka burundi

    • @Eliya-vv1jp
      @Eliya-vv1jp 9 หลายเดือนก่อน

      umeeleweka mi niwa kigoma ntakuletea

  • @kitengo1
    @kitengo1 9 หลายเดือนก่อน

    Bajaji kivipi hiyo ni gari

  • @sifuelinyaki3341
    @sifuelinyaki3341 9 หลายเดือนก่อน

    Nyi clobal kuna vile mna mende kwenye ubongo kabis.. yani bajaji iko adi na 4wrd embu niondokee nyie

  • @rashidkatundu9674
    @rashidkatundu9674 9 หลายเดือนก่อน

    10😂😂😂 s nanunua gar tu

  • @mousslihoudine9590
    @mousslihoudine9590 9 หลายเดือนก่อน

    bajaji gani mze sigari kabisa

  • @msamanga2277
    @msamanga2277 9 หลายเดือนก่อน

    Yani hajafikiria kabisa. Kwa cc ya Bajaj, uzito mkubwa umeongezeka, traction barabarani imeongezeka, bado huha brba watu

  • @Benjamin-t5b
    @Benjamin-t5b 9 หลายเดือนก่อน

    Ni bajaji wamechonga bodi

  • @mmanyemaOg
    @mmanyemaOg 9 หลายเดือนก่อน

    Nnavyo Juwa Mm Bajaji hiitairi 3 gari hinatairi Nne Au Zaidi Ya Nne🤣🤣