Samia Kwa UWT:'Simameni Mjibu Hakuna cha Kuhofia' Ni Kuhusu Anavyoshambuliwa, 'Ukweli Mnaujua'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • Mwenyekiti wa CCM Taifa Samia Suluhu Hassan akihutubia kikao maalum cha Baraza la UWT kilichofanyika Manispaa ya Songea, mkoa wa Ruvuma.

ความคิดเห็น • 42

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Katika serikali yako kuna mauwaji mengi kwa sababu katika serikali nyingine haijawai kutokea kuwashusha kutoka kwenye mabus na kuwauwa. Kuteka vijana na kwenda kuwatupa misituni

    • @musa-v3f
      @musa-v3f 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      ameanza mwenyewe kujitaja kuwa ni muuaji/the guilty are always afraid damu za watu wasio na hatia zimeanza kumtafuna na bado

  • @Simoni-p9j
    @Simoni-p9j 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Hapo hakuna rais huyu rais anahis Tanzania ni familia hajui kama hii ni nchi....

    • @musa-v3f
      @musa-v3f 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Hatuna uwezo wa kumtetea atakwenda jitetea mwenyewe mbele ya muumba

    • @wazirimwanazuoni5567
      @wazirimwanazuoni5567 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@musa-v3fKwan ww unadhan nan atakutetea kwa dhana zako mbaya kwa wengine?

    • @sadickissa1600
      @sadickissa1600 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Uwt ni tawi la ccm,hawzi kuesema lolote,

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Kwanini uwaue ao sisimizi kwani wamekukosea nini😢

    • @aishakhatib3107
      @aishakhatib3107 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Eti ccmizi, lkn kinyume ni chadema anawaua

  • @HAWAMBARUKU-t5d
    @HAWAMBARUKU-t5d 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kwa kuongea utopolo tu haujambo lakini majibu ya hoja za msingi zinazolikabili taifa huna na washangiliaji wa utopolo pia unao wa kutosha, mpo vizuri, utopolo oyeee. Pongezi kwenu wanaume mnaoingia vikao vya wanawake

  • @mgityanyahurya8375
    @mgityanyahurya8375 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kuongea kua muuaji nipale mauaji yanatokea na hakuna chochote kinaendelea kusema kuhusu kuwazi hayo mengine nivionjo Tu visivyo na msingi

  • @maryhando227
    @maryhando227 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Sitaki kusikia hata sauti nasikia kutapiga roho mbaya , please akina soka warudishwe

  • @josepherjosephpaul1138
    @josepherjosephpaul1138 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Naomba unisaidie km nilivyokuomba. Hujawahi kunijibu, Rais wetu wa Tz

  • @NiazonBukoke
    @NiazonBukoke 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hiyo inayoshangilia ni misukule au zimepewa maji kandoro yanywe

  • @GoodluckSimba-e1o
    @GoodluckSimba-e1o 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Raisi wangu unaposema mtu unamaanisha nini? naomba kukukumbusha kuwa kama unavyosifiwa huku mitaani kuwa ndio umefanya kila kitu hata kuziba nyufa za vyoo inabidi ukubali na mambo yote yanayohusishwa na watendani walio chini Yako (polisi)

  • @donaldbenedict5761
    @donaldbenedict5761 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tuonyeshe wauji maana wanakupaka matope wewe rais wa nchi hii

  • @musa-v3f
    @musa-v3f 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    ameanza mwenyewe kujitaja kuwa ni muuaji/the guilty are always afraid damu za watu wasio na hatia zimeanza kumtafuna na bado

  • @israelgeogia
    @israelgeogia 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    msiogope Tanganyika hawezi kuwa raisi Tena anguko hili ni la mungu na si la ccm ni mwisho wa ccm ila ni mungu mbongu na arizi vitawajibu na siyo Mimi Alla akbar

    • @ThomsMollel
      @ThomsMollel ชั่วโมงที่ผ่านมา

      🙏🙏

    • @CopperBelt
      @CopperBelt 38 นาทีที่ผ่านมา

      ​Rais samia ndio rais wa Tanzania tanganyika unaijua wewe uanefikiria na matako sio akili

    • @CopperBelt
      @CopperBelt 37 นาทีที่ผ่านมา

      ​@@ThomsMollel Mollel yajayo yanafurahisha

    • @ThomsMollel
      @ThomsMollel 34 นาทีที่ผ่านมา

      @@CopperBelt daaaah wananchi wanateseka sana

  • @maryhando227
    @maryhando227 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tunaomba walitekwa warudishe

    • @aishakhatib3107
      @aishakhatib3107 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Awarudishe hao ccmizi

  • @namungolubala1788
    @namungolubala1788 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    KEMEA MAUAJI KWANZA POLICE ZAKO ZINAMALIZA WATU WABAKAJI WAKOHAPO WAPORAJI WAKOHAPO UNASEMA NINIKWAHILO??

  • @aishakhatib3107
    @aishakhatib3107 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona ww unawaita mbwa wanabweka, wajibu ww c unayo mipasho, wala hujaua nguvu ya upinza umeuwa watu ,hakuna uchumi umerkua ,ndio hao ccmizi binadamu

  • @namungolubala1788
    @namungolubala1788 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    MAMA POLICE ZAKO ZINAKUHARIBIA AWAMU NYINGINE HAUPITI WANAUA WATU KISHAWANASEMA WARU WANAUWAWA NAWASIO JULIKANA KEMEAHILO 😢😢😢😢

  • @aishakhatib3107
    @aishakhatib3107 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wezi wakubwa, kwahiyo mtt akikukosea unamuua

  • @maggiehiza5884
    @maggiehiza5884 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Chawa lazima wasifie

    • @aishakhatib3107
      @aishakhatib3107 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kisha anawataja wanaoiba pamoja mbona hawataji wasiomuonea haya

  • @Somoeomarysaid
    @Somoeomarysaid 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Comment hizi niza watu wenye akili timamu au hiyo misukule inayotumwa kukashifu kila kitu? Mwenye macho ahambiwi tazama na mwenye masikio na asikie msondo ngoma akili kichwani mwako. Lkn yote ni tamaa ya madaraka.

    • @wazirimwanazuoni5567
      @wazirimwanazuoni5567 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Achana na hao wapuuzi maana hawajui watendalo. Kuna siku watalaaniwa kwa chuki zao za wazi. Hata Libya walimuita Gaddafi gaidi na dikteta na wakashirikiana na Wamarekani kumuua na leo wanalia sana

    • @HAWAMBARUKU-t5d
      @HAWAMBARUKU-t5d 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tunafahamu wote mnaounga mkono huu upuuzi unaoendelea hapa nchini ni familia, koo au jamii zenye wateule na kelele zenu ni kutetea ugali wenu tu hamza hoja za msingi

  • @aishakhatib3107
    @aishakhatib3107 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hayo maendeleo yako wapi

  • @aishakhatib3107
    @aishakhatib3107 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Umeishiwa ww dhangingi

  • @aishakhatib3107
    @aishakhatib3107 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mipasho upinde

  • @djumakonki1964
    @djumakonki1964 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Huyu ndiyo Rais wa Jamhuri.
    Maneno yake mazito sana na yanaukweli ,
    watanzania ndivyo wanavyotakiwa kujibiwa hivyo. maana muda uliopita wameishasahau yaliyo wakuta!
    Rais huyu kaleta UTULIVU na Amani sasa anaambulia matusi! Ama kweli WAFADHILAKA WAPUNDAKA , Wazee wetu walisema.
    Ongera Mama MwenyeziMungu akuzidishie kila la heri wewe na wananchi unaowaongoza.

  • @israelgeogia
    @israelgeogia 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    raisi wa mchongo

  • @Nadir_Abdullah
    @Nadir_Abdullah 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hongera raisi sana❤❤❤

  • @PaulKaisi
    @PaulKaisi 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mama yangu mpendwa Rais wangu moyo wangu Unaugua sana ila nakuombea sana lakini pia nyamaza mama usiwajibu

  • @josephmilandononi1096
    @josephmilandononi1096 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Piga Kazi Mungu anaendelea kukutetea kwa Watesi wako.Ubarikiwe Sana.

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mama pole kwa yote unayopitia Mh Rais wangu, ni ngumu kuvumilia matusi yanayoendelea mitaani ,lakini mama naimani yatapita na Nipo nyuma nakuombea Mungu aendelee kukutia nguvu na asikuvunje moyo ,akupe na Afya njema mama yangu inauma sana lakini Mungu yupo anakupigania kupitia maombi yetu.

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kabisa mama lazima wajibiwe tunaomba msizuie watu kujibiwa bara na znz wajibiwe kunyamaza ni kuaminisha uongo ,,ccm oyeeeéeeeee