Kitu Wazanzibar Wamemfanyia Makonda! Hatosahau

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2017
  • Subscribe / uwazi1
    THAMANI ZETU: Alichofanyiwa Makonda na Wazanzibar Hatosahau!
    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefanya ziara ya siku moja, katika mkoa wa mjini Magharib, Zanzibar kwa dhumuni la kutembelea vivutio mbalimbali na maeneo ya kihistoria yaliyopo katika kisiwa hicho, pia kuimarisha uhusiano wake mzuri wa kikazi na mkuu wa mkoa wa mjini Magharibi, Ayoub Mohammed Mahmoud.
    Aidha RC Makonda alitembelea katika Pango la Tumekuja lililojengwa enzi za utawala wa, Sultan Said Said Barghash kwa ajili ya kusafirishia watumwa.
    Alitembelea makumbusho ya jengo ambalo lilikuwa likitumika kuuzia watumwa enzi za Ukoloni ambalo lilifungwa rasmi mwaka 1873 na sasa eneo hilo linatumika kama kanisa “Kanisa la Mkunazini” mbali na kutumika kama sehemu ya Historia visiwani humo.
    Alifika pia eneo la Mtoni Marine, inakojengwa hoteli kubwa Afrika Mashariki ambayo iko mjini na yenye uwezo wa kupokea wageni wakiwa na Meli zao 12, pamoja na eneo la darajani unapofanyika ukarabati wa Jumba la treni ambalo limo kwenye orodha ya urithi wa dunia.
    Alihitimisha ziara hiyo kwenye shamba la Viungo la ‘Spice Farm’ la Kizimbani lenye viungo vya chakula na mboga mboga ikiwemo Tangawizi, Binzari, Pilipili Manga, Karafuu, mdalasini, Hiliki, mchaichai na kadhalika
    FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli. .

ความคิดเห็น • 11

  • @leonardmrope9528
    @leonardmrope9528 6 ปีที่แล้ว +1

    safi sana,,,,

  • @asiakheir3846
    @asiakheir3846 6 ปีที่แล้ว +1

    Haoni wanyamwezi sio wazanzibari,wazenji hamuwajui?

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 6 ปีที่แล้ว

    Mshamba mac...

  • @asiakheir3846
    @asiakheir3846 6 ปีที่แล้ว

    Mpaka mje Zanzibar ndio muitaje,mukiondoka hamuijuihasa,nyinyi mnapewa zawadigani mkiendabongo?

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 6 ปีที่แล้ว

    Hawajaulizwa wananchi kama wanataka muungano ??

  • @thequ33en65
    @thequ33en65 6 ปีที่แล้ว +2

    hata mm nimeshangaa huyo makonda imehusu nn huko visiwani bashite huyo

  • @zungubakathir1761
    @zungubakathir1761 6 ปีที่แล้ว +1

    Nyerere babaenu wataifa karume siyo babaenu ndomana mkamuuwa

  • @pajebeach2348
    @pajebeach2348 6 ปีที่แล้ว

    Makonda Ni Nani?bull sheet

    • @danieljoseph6309
      @danieljoseph6309 6 ปีที่แล้ว

      Bull sheet ndo nini😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 6 ปีที่แล้ว

    Hawajaulizwa wananchi kama wanataka muungano ??

  • @zanzibarsmzenji
    @zanzibarsmzenji 6 ปีที่แล้ว

    Hawana kazi haooo.
    Ccm ndio walomfagilia bashite na sio wanzaibar msizue