Maonyesho ya magari ya zamani Zanzibar yavutia watalii

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • Maonyesho ya magari kadhaa yakiwemo ya kawaida, yameandaliwa Zanzibar kwa lengo la kuinua kiwango cha utalii, lakini pia kusaidia watoto yatima.
    Huu ni msafara wa magari ya zamani ambayo yaliwahi kutumika katika miaka ya sitini na hamsini.
    Mpiga picha: Eagan Salla.
    Subscribe : www.youtube.co....
    Website : www.bbc.com/sw....
    Instagram : / bbcswahili
    Facebook: / bbcnewsswahili
    Twitter : / bbcswahili

ความคิดเห็น • 1

  • @moudy610
    @moudy610 2 ปีที่แล้ว

    Woh ! you keep the record well I partcipeted