BIBI AUAWA AKIDAIWA NI MCHAWI, MGANGA WA KIENYEJI AMPA DAWA ILIYOMUUA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 73

  • @YunisJerald
    @YunisJerald หลายเดือนก่อน +8

    😢😢😢😢 jamani watanzania 😢😢😢 Tunakosea wapi tu Mungu tusamehe tumekosa sana sasa hivi .

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward หลายเดือนก่อน

      Elimu duni. Duni, hatujitambii.

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi หลายเดือนก่อน

    Hii nilaana Vijay kukubali kuchonga nishwa na bibizao na mama baba na babu zao wakat ndio twawategemea watubariki sasa tunawaua wazee kwakuwabambikia makosa hio laana haitaondoka mwombeni mungu aondoe hio laana

  • @yohanakateko
    @yohanakateko หลายเดือนก่อน +3

    TANZANIA matukio ya ajabu ajabu tunaenda wapi cc jamani nani katuroga cc mungu atusaidie

  • @marymremi1051
    @marymremi1051 หลายเดือนก่อน

    Mungu samehe watanzania wako nyumahawajui watendalo ushirikina unamaliza watu mara albino mara viungo vya watu jamani hebu tumrudie Mungu jamani aibu sana mama yetu wamemkatili inauma sana

  • @othmantv2654
    @othmantv2654 หลายเดือนก่อน +2

    Waliomuua wajue tu nao watazeeka..halaf nao wataonekana wachawi hvyo hvyo😢

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 หลายเดือนก่อน +5

    Huyo mganga apewe hiyo dawa ili nae.anywe na wale watu walioshiriki nao wapewe wainywe.

  • @delsonandrea5223
    @delsonandrea5223 หลายเดือนก่อน +1

    Ambae hajipendi aje ajichanganye kwa mama angu au kwa ndugu yangu yyt, nitamtafta kwa ghalama yyt ppt alipo.

  • @NestoryMhagama-ci5pq
    @NestoryMhagama-ci5pq หลายเดือนก่อน +1

    Hayoo yote ni kuamin imani za kishirika Tz Mungu atusaidie sana

  • @YohanaRichard-e6p
    @YohanaRichard-e6p หลายเดือนก่อน

    Poleni sana, lakini naomba serikali ifute vibali kwa hao kamchape

  • @theodoramtejeta7901
    @theodoramtejeta7901 หลายเดือนก่อน +5

    Bibi apumzike kwa amani ameuwawa kikatili.

  • @MonicaRaila-tn5rb
    @MonicaRaila-tn5rb หลายเดือนก่อน +2

    Amina jamani duniani Kuna mahajabu Leo wanyonga wazazi wako ukidai kuwa ni
    Wachawi kumbuka ilicho kipanda ndicho utakacho kipanda malipo ni dunia tuu
    Usitafute mchawi matendo Yako ndio uchawi wako
    Hio viote ni ovifu kazi hawtaki kutowa jasho😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @ubuntubantu2404
    @ubuntubantu2404 หลายเดือนก่อน

    Kapewa sumu, Mungu mrehemu bibi

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs หลายเดือนก่อน

    I seeee sasa izi iman zinaisha lini et😢

  • @AshaMwamba-g3l
    @AshaMwamba-g3l หลายเดือนก่อน

    Nyiewatu wakapara mnahekaheka Sanaa daaaa jamanii 😢😢😢 polen

  • @HenryYokela
    @HenryYokela หลายเดือนก่อน

    Hao Kigoma wamejaa sana tena wengine wanapewa vibar nawenyekit wavijiji

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 หลายเดือนก่อน +3

    Nasikia waganga kama hawa na kigoma wapo ole wenu nisikie bibi zetu wameuwawa. Mimi nitakuja kuchinja waganga wote.

    • @aliciamwalimu582
      @aliciamwalimu582 หลายเดือนก่อน

      Kama mchaw auwawe

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 หลายเดือนก่อน

      ​@@aliciamwalimu582Uthibitisho wa kuwa ni mchawi utautoa wapi?

    • @Montana12-v2c
      @Montana12-v2c หลายเดือนก่อน

      ​@@rumdeesonsoa1811Washasema kapewa dawa akafa we umehoji matokeo ya hiyo dawa ilikua ni nini au umesikia kapewa sumu ???

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 หลายเดือนก่อน

    Kwa wajamba zangu huko jaman napaogopa hatari maana uchawi ndo wameuweka kipaumbele pumzika kwa aman bibi 😢

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 หลายเดือนก่อน

    sasa kapewa dawa au sumu😢😢😢😢

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 หลายเดือนก่อน

    Kamchape Yuko wapi sasa

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u หลายเดือนก่อน +1

    Hivi waganga siwamepigwa marufuku kwanini wananchi hamjachukua sheria mkononi kumpiga hadi kumuua na yeye??

  • @beatricekagali1048
    @beatricekagali1048 หลายเดือนก่อน

    Wachawi wanatutesa sana. Kama huyo mama ni mchawi.

  • @NabilaMohammed-x9w
    @NabilaMohammed-x9w หลายเดือนก่อน +1

    roho mbaya zimetujaa halafu kila kitu kinatupiwa serikali, wakati haya mengine ni ya jamii tu

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 หลายเดือนก่อน +2

    Rest in peace
    Hakika sisi ni wa m /mungu na kwake tutarejea inshallah jamn jamn daaa mie mbaka naogopa kulud Tanzania aise 😢

    • @ChikuOmmary-ii2xf
      @ChikuOmmary-ii2xf หลายเดือนก่อน

      Tanzania inchi Yetu ngumu sana

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi หลายเดือนก่อน

    Hao waganga wapigwe rissas

  • @Gdjn974
    @Gdjn974 หลายเดือนก่อน +1

    Nasoma comments weng wanajifanya wanalaan ila mioyo yao inajulikana wachaw wapo na wanatesa saana kikubwa wasikuandame ni kumuomba mungu ila yaweza ikawa alikuwa kwel mchawi me na ww hatujui ila serikal au din haiamin uchaw ingawa upo na wanatesa saana hao wachaw

    • @flavianajohn5250
      @flavianajohn5250 หลายเดือนก่อน

      Ila wewe hiyo ilikuwa dawa au sumu😳😳😳

  • @bensonphilip9673
    @bensonphilip9673 หลายเดือนก่อน +1

    Alooo huyu mungu sijui.tutamwambia nn

  • @kennedysuwa5910
    @kennedysuwa5910 หลายเดือนก่อน

    Ila huko kuna wachawi kuanzia ikola kipara msengaa na karema

  • @Loishiyevellomollel
    @Loishiyevellomollel หลายเดือนก่อน +1

    Ee mwenyezi Mungu utusamehe sisi wakosaji

  • @NeemaJumanne-h5d
    @NeemaJumanne-h5d หลายเดือนก่อน

    Sina cha kukoment ila sidhani kama kila mzee ni mchawi, wengine sio wachawi na wapo wazee wachawi jamani angalieni pande zote mbili

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 หลายเดือนก่อน

    Nilisema na ninasema tena.serekali ifute vibali vyote vya waganga wa kienyeji.hawa kina kamchape jeuri wanapata wapi?

  • @AyoubPapiy
    @AyoubPapiy หลายเดือนก่อน

    Kamchape yupo sikunyingi hapo mtaani na kaahafanya kazi sana hapo, ila sasa ameshasababisha kifo ndiomnataftana nani alimruhusu😅😅 Waswahili shida sana

  • @OstakiaCornely
    @OstakiaCornely หลายเดือนก่อน

    Tumrudie mungu Kuna mambo ya ajabu

  • @mnisi3694
    @mnisi3694 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢daaah hii nchi shetani anafanya kazi yake kabisa

  • @nuliatbaraka6350
    @nuliatbaraka6350 หลายเดือนก่อน

    Wachawi wanatishia amani ktk jamii inawezekana mchawi kwani sio rahisi wamfuate yeye umri sio sababu wapo vikongwe lakini hawatuhumiwi uchawi

  • @SophiaAthumani-ri4lu
    @SophiaAthumani-ri4lu หลายเดือนก่อน

    Da poleni ndugu zangu inauma sana.

  • @glorysungura3180
    @glorysungura3180 หลายเดือนก่อน

    Tunakoelekea siyo pazuri, watu hawana hofu ya MUNGU ndani mioyo yao. Wewe ni nani, unamuhukumu mtu kwa uchawi, wao niwatakatifu? Nani kawapa ruhusa ya kutenda hayo wanayoyafanya. Kila kukicha unasikia hili, na yote yanaumiza moyo. Inauma, hata huko kigoma wamejaa.

  • @MasoudBakari-i5w
    @MasoudBakari-i5w หลายเดือนก่อน

    Tanzania sasa hivi vifo vya ajabu vimezidi sana

  • @InocentPius
    @InocentPius หลายเดือนก่อน

    Safi Sana wachawi ndo dawa yao

  • @OmegaJustine
    @OmegaJustine หลายเดือนก่อน +1

    Inasikitisha sanaaa

  • @ZsbAlbarwani
    @ZsbAlbarwani หลายเดือนก่อน +3

    Hao waganga ndio wachawi wamekuja kumuuwa mama wa watu

  • @beatricekagali1048
    @beatricekagali1048 หลายเดือนก่อน

    Watu waache uchawi.

  • @novatusabond9253
    @novatusabond9253 หลายเดือนก่อน

    Kamchape na serikali nani ananguvu? Kamateni wrote walio husika watupwe ndani,wamempa sumu ya mamba hao

  • @JackobMwanawima
    @JackobMwanawima หลายเดือนก่อน

    Jmn apumzike kwa aman

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 หลายเดือนก่อน +2

    Mikoa ya Kanda ya Ziwa inaongoza kwa hayo mambo,, huu ni ukosefu wa shule

    • @zedekiahjulius6
      @zedekiahjulius6 หลายเดือนก่อน +1

      Katavi iko kanda ya ziwa?

    • @nabosedward4836
      @nabosedward4836 หลายเดือนก่อน

      Na kigoma ni kanda ya ziwa

    • @zedekiahjulius6
      @zedekiahjulius6 หลายเดือนก่อน

      @@nabosedward4836 sio kila mkoa ambapo kuna ziwa utaitwa kanda ya ziwa, singida kuna ziwa mikindani lkn ushawahi kuskia ni mkoa wa kanda ya ziwa?

  • @blandinamasele7192
    @blandinamasele7192 หลายเดือนก่อน

    Aliesema mchawi na yeye ni mchawi amejuaje?

  • @ubuntubantu2404
    @ubuntubantu2404 หลายเดือนก่อน

    Wananchi tubadilike imani hizi potovu hazifai

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😮

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 หลายเดือนก่อน

    hee😢😢😢😢

  • @VictorLyimo-so9xr
    @VictorLyimo-so9xr หลายเดือนก่อน

    Afungwe jela mganga

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 หลายเดือนก่อน

    Hao makamchape wahuni tu na matapeli

  • @MaurusMpinga
    @MaurusMpinga หลายเดือนก่อน

    Mbona salti

  • @EsteR-dt9iw
    @EsteR-dt9iw หลายเดือนก่อน

    Mmmmmh 😭😭😭mmmmm.h

  • @HazardEid
    @HazardEid หลายเดือนก่อน

    Wakwqnza leo like zenu plz

    • @mnisi3694
      @mnisi3694 หลายเดือนก่อน +3

      😢😢 umekuja kutaka likes hapa shenzi ww

    • @jenymtafya3430
      @jenymtafya3430 หลายเดือนก่อน +4

      Like tena , maana yake unafurahia huyu mama kufariki?😢😢 Mungu akusaidie kujitambua

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 หลายเดือนก่อน +2

      Weitakuwa mchawi like zikusaidie nini

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 หลายเดือนก่อน +4

    Kumbukeni Mwamposa watu wakikanyaga mafuta ya upako. Walikufa wangapi?
    Mnakumbuka Uganda watu zaidi ya 900 waliuawa kwakua ya imani yao? Mambo ya imani ni vitu ambavyo VIPO kwenye maisha ya watu. Hua hizo DAWA kama wewe sio mchawi haikuuwi

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 หลายเดือนก่อน +1

      Kumbe?!

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 หลายเดือนก่อน +3

      Je kama ni sumu ya kawaida kama ya panya hivi,NDO UMENYESHWA,HAIKUUWI PIA? HATA KAMA SI MCHAWI? maana naweza kumywesha sumu ya panya halafu akafa na nikawaaminisha watu unaona amekufa alikuwa mchawi,kumbe SI kweli hakuwa mchawi ni Kwa vile kanywa sumu real,ambayo yeyote ambaye angekunywa angeweza kufa awe mchawi au si mchawi.HAPO INAKUWAJE?😢

    • @N3nga_.09
      @N3nga_.09 หลายเดือนก่อน

      Hiyo ni sumu wewe Acha kutetea ujinga

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 หลายเดือนก่อน

      @@N3nga_.09 sitetei,ila ninachomaanisha,UKUTE HUYO MGANGA ANAWANYWESHA WABIBI WETU SUMU KABISA ILI WAFE NA WANAKIJIJI WAAMINI KWELI ALIKUWA MCHAWI,MAANA HATUNA UHAKIKA NA HIYO DAWA.

  • @YohanaRichard-e6p
    @YohanaRichard-e6p หลายเดือนก่อน +1

    Poleni sana, lakini naomba serikali ifute vibali kwa hao kamchape