JOEL LWAGA - Sitabaki Nilivyo (Official Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- A Gospel and inspirational Song by an amazing Tanzanian singer Joel Lwaga
Under Push Up Entertainment label
Audio produced by; Innocent Mujwahuki
Video directed by; Director Ivan Tz
Contacts
mob: +255 716 747597
facebook: Joel Lwaga
insta: @joellwaga
I'm Muslim but hii nyimbo hunipa nguvu 🔥kuwa kwenye ndoa 11 bila mtoto na hii nyimbo ilinipa moyo Hadi nami nikaitwa mama🙏🙏
MUNGU akubariki Fatuma. Sio peke yako my, mi nilipata mtoto 1, ila alifariki. Mpaka leo sina. Ila najua ipo siku MUNGU atatenda. Hongera kwa ushujaa. Nakupenda
Waaooh are you sure... Je kweli ulipata mtoto. Ulimpatajee??
@@glorysungura3180May the Almighty Father, open up your womb for another blessing. Next year itashuhudia pia Glory. ❤
May God bless the fruit of your womb❤
Congratulations 🎉
naitwa haroun na hili jisongi limekuwa insperation kwangu kweny kila magum no matter mm ni muisla
Kwasas nazaraulik mbele za watu kwasab nafanya Kaz za ndani ila sitabbaki kama nilivo nitarud Tena kwenye huu wimbo
Its 2 am and i feel blessed 🎉❤ 22 Feb 2024
My hubby was in ICU for 7 days ,,in a coma.. We cried,, prayed to Almighty God to heal him,and he heard our prayers ,docs were amazed how he recovered,,,Brethren God is forever faithful.
Glory be to the Almighty God
Immaculate Ndinda
Hi how's your hubby doing now??
Florah Mushi @ thanks for your concern..he is healed completely,,, he went back to work...glory to the most high God..
Ooohh Glory to Big dear Daddy
Thanks lady, for the encouraging testimony!!
I used to sing this song when I was going through so much but it gave me so much hope and I thank God for this far iam…nothing is permanent my brothers and sisters.God has everything figured out for you.
I am a Muslim buh this songg 😪🖤🖤😭😭.Bless Him n the song 2.
Lemme get a like if I'm true
Woow
Indeed this song is just wonderful
@@ruthchombo9325 p
Wow .I can't understand Swahili fully .but Joel lwaga blesses my soul with his music .much love from 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
I'm a Muslim, BUT the song bless me...
God is not a religion. He's a spirit thats why it touches your soul ❤
Mungu is for us all. Whether you call him Allah or Jehovah or Yahweh... He loves everyone and He is the same unchangeable almighty God creator of the universe
Sitabaki kama nlivyo naamini in jeasus crust
Huge difference between spirituality and religion !...This is a spiritual song !..
Ooooh thx my sister
Mtetezi wangu yu hai naomba tuh kamilishe mwaka bila majeraha yeyote Na neno la leo kina toka katika kitabu cha Isaiah 54:7
Nilikuwa naimba huu wimbo kila asubuhi mwaka jana January, nikikiri moyoni mwangu, nilikuwa "financial rock bottom" na Mungu akasikia maombi yangu.Asante kwa huu wimbo.
Dios es fiel como en los tiempos del profeta eliseo Dios bendiga el esfuerzo de sus manos!
I remember crying from Dodoma to Dar nkiwa nimeweka earphones listening to this song..machozi yangu yalikuwa maombi yangu and God did it ...sahivi nina furaha mnooooo
Here 2024 November ❤
Hii wimbo nilikuwa nweka kwa status after rafiki yangu amelower self esteem yangu kwa sababu nilikuwa na shida ya uso it encouraged me❤
Kenyans are the true sons and daughters of Africa. They always appreciate Tanzanian and African music. Much love from Tz, as I can see most of the comments here are from Kenya. My appreciation to you guys.
Much love
Mungu wetu sote ,, anything involving God lazima tuwe ndani,,, sending love from Kenya
Nimempoteza mtoto wangu labour siku ya jumapili, ujauzito wake umenitesa sana lakini mwishowe alonipa ndio kamchukua😭😭😭😭 am so sad ila najua sitabaki kama nilivyo
Pole sana Deborah, nakuombea upate kuponywa maumivu na upate faraja tena.
Sitabaki kama nilivyo Baba yangu.Niwezeshe katika mapito haya
Hata Mimi Ni mwislamu maisha ninayo yapitia InshaAllah ipo siku yataisha hii nyimbo hunipa nguvu nisubirie mda wangu ufike
Ipo siku nitakuja irudia hii commt kwa ku like nitakapofamikia ni muslim Ila hii nyimbo inanipa nguvu wa kujiona mpy kila siku
Ndio nimesikiliza nyimbo hii zadi ya mara moja na imenipa uwezo nyingi sana ndio tunakamilisha mwaka wa elfu mbili ishirini na nne ninmungu na kwa nema yake n wengi walio fariki kutokana n maajali mbalimbali
When I first heard this song i was going through a very painful heart break. That relationship was 4 years and I went through emotional abuse. I had become depressed had been at my lowest. I got courage to leave that toxic relationship and God blessed me with a God fearing and loving husband. Just wanna encourage someone going through a hard time. God is close to the broken hearted He will heal you and restore you. This was 2 years ago.
Going through the same rn....my goodness
I can't even explain what am going through now😭😭😭😭😭😭this relationship will kill us some day
@@nadiaamisha2958 you can ask God for strength you leave before you die.
@@nadiaamisha2958 🤗😭
Thank you. I need this
Wow...Imani yangu Iko kwenye kipimo 💯...sitabaki kama nlivyo In Jesus name....ain't giving up no matter what Hali hii ni ya muda tu Kuna mahali naenda...
Kweli hapa nilipo ni kwa muda tu, sitabaki kama nilivyo ❤
Sitabaki kama nilivyo huu mwaka wa 2024 kuendelea mbele,mungu yuko upanda wangu
Kenyan gospel artist should learn from this guy pure inspiration gospel.. Willy Paul... Bahati seek guidance from Joel... Big up TZ Kwa sanaaa hatuwawezi proud to be a Kenyan though..gonga like if you agree with me... Likes ka zote
Amazing song, big up brother
Augustyne stynes very true
Augustyne stynes cf
Augustyne stynes you can say that again dear
And the guy looks humble. Waaaah. Great song
Miaka mitatu tangu nitoke kwa ndoa yangu,Kila siku nawaza mbona ikawa hivo lakini naamini Yesu hii Hali haitabaki Kama ilivyo,mtetezi wangu Yu hai
Mtetezi wangu yu hai
sitabaki kama nilivyo
yeah I believe in God
kama unaamin haya
gonga like,show love,
IN GOD WE TRUST
Emen
Nice song
For me I understood how god have power to recover u problem
Naupenda sna huu wimbo maana unafariji sana Mungu akubari sana Joel
I'm Kenyan and this song lifts me each time I'm low. Feel appreciated 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sitamani ya wengine,Wala sijilinganishi...sitabaki kama nilivyooo❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kama bado unaipenda hii nyimbo gongs like❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤
Ushindi wangu uko karibu asante Mungu🙏🙏
Kaka nakuomba umaarufu usikupe shida mtumikie zMungu tuu usibaki kama ulivo dunian mbingun ukapakosa nakupenda you bless me
I don't mind of what am going through coz I know my God is alive and I won't be like the way I am.
I heard Alikiba singing these song it motivated me❤
Hakika mtetezi wangu yu hai,, sitabaki kufanyishwa kazi hivi kama mtumwa kwa nchi si yangu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mimi ni muislam Ila sote ni wa mungu mashaallah nyimbo nzuri sana inatia nguvu 🙏
Baba Mungu akubariki sana na akuzidishie
Ikosiku utabeba mungu anatenba dada kwa wakatiwake utapokea
The last time I listened to this song I was crying n so emotional but today I'm so happy singing it loud, amen sitabaki nulivyo
Even me I was crying you can not believe
I am with you...💛
God is able
I went through alot in 2021 and God stayed with me and my family our God is a powerful he knows and will answer our prayers when need him to answer them the most.
⁰p
Sitabaki kama nilivo!!❤❤❤❤❤
Sitabakiiii kamaa nilivyooo.....kweli navukaaaa mteteziii wangu yu haii@....oooooow in his voice
Huyu wimbo ni afueni kwangu,mambo nayo pitia kwa sasa wakati mwingine naona Mungu amekuwa kiziwi kwa kilio changu na kipofu kwa shida zangu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭. Lakini najua siku yaja ya wokovu wake,na sitabaki kama nilivyo. Nirejeshe na ushuhuda baba ili uka pokee utukufu,Amen
@Beth,Nina ushuhuda kubwa juu ya huu wimbo,kuna wakati nilikuwa na shida ya fedha hata ya kulisha watoto, nilikuwa nawekaa huu wimbo naimba kwa kumaanisha nikimlilia Mungu,wakati huo nilikuwa nimeshindwa hata kuomba, nikaamua kufanya huu wimbo ombi langu.Mungu alinijibu na Sasa niko hapa na ushuhuda.Usife moyo endelea kuomba.
Amen mungu yu mwema
Beth,usivunjike moyo,Mungu ni mwaminifu atakuvusha
In an
Mungu nisiadie Kwa haya ninayopitia
31st July 2024 am here....God has been faithful and I know the new August will be of many blessings to each of us.....hatutabaki tulivyo🙏
❤❤❤❤❤ sitabaki kama niliivyoooooo........Hali hii ni ya mudaaaa sitabaki kama nilivyo ubarikiwe Sana mtumishiii.......mtetezi wangu u hai❤❤❤❤❤❤
Mimi ni Muslim pure kabisa but hii nyimbo kabla sijaenda kazini lazima niisikilize
Munguwetu ni mmoja
Am on my way 🦾🔥😪Sitabaki kama nilivyoo😊🙌🏾
God thank you I am living an answered prayer
Ivi kwa nini watu ni wabaya kiasi ivi? Una weka thumb down kwa nyimbo kama hiyi kweli? Yeyote Aliyeweka thumb down Mungu amsamehe. Keep it up bro u have an amazing voice.
Ni wimbo ambao lazima.niusikilize zaidi ya mara kumi kwa siku. Oh!my God bless me all the time!
Hallelujah 💗 I’ll not remain the way I am in Jesus name I speak in faith
Hii nyimbo kiukweli ukiisikia lazima itakuingia me c mpenz wa gospel lkn kwa hii hapana inanifanya nitokwe machozi maana hata mimi pia nna safari i wish siku 1 nifike hii safari ya mafanikio. SITABAKI KM NILIVYO...!!! Mungu akupiganie kwa kweli.
Kweli sitabaki kama nilivyooo
Hassan Abdul Kweli kabisa kaka
Hapana wew s upenz tu hata heshima ipo kuheshm ukristu s Jambo baya
Hakika
Soon u will be singing a new song....ameskia machozi yako
Am listening to this song my mother is very sick she can't get up in bed but i have faith in God and she will better soon 4:29
Sitabaki kama nilivyo
Mtetezi wangu yu hai
In the name of Jesus
Na my son hatabaki kama alivyo mtetezi wake Mungu aliyehai yupo Amen
01/06/2024 I am still here , I was here February 2018 situation was really hard and I get answers from GOD . MY GOD am here again 🙏
He Answers!!! Keep calling Him
Kwa nguvu zake MUNGU ninapo ingia mwaka wa 2022 MUNGU wangu anaenda kubadilisha historian yangu nami ntakua mbarikiwa Amina🙏🏾Ahsante BABA
Oh God,I pray that do what you sent me to do as your servant.I have accepted but scared if I do not do your will.
Wimbo huu ni tegemeo jipya kwa wale ambao wapo kwenye majaribu makubwa kama mimi
akulinde mungu mwema
Napitia changamoto katika ndowa yangu lakini nyimbo hii inanitia moyo sana,ubarikiwe mtumishi 1:19
Amen amen kaka yangu mungu akuyinuwe ipasavyo
Niliimba sana nilipofiwa na mtoto wangu wa kwanza aisee inaumiza sana half bora niishie kuzika mtoto tu nikapata ugonjwa haueleweki nyieeeeee 🙏🙏🙏🙏namshukuru Mungu sijabaki kama nilivyo💪🤲
Mimi mwislam lakin kwa huu wimbo aisee 😱hatari ,unagonga had kwa moyo
😘😘
Umeona kaka
Yani mungu anisamehe tu
Maymona Aliy 😂😂
yaani mimi nasali na soma madrasa ila kwa huu mwimbo mmmmh
Nyumbo nzuri
hii nyimbo ina ukuu alhamdulillah hunipa mwanzo mpya kila ninaporudi nyuma
Mungu akupe baraka zote uendelee kumuimbia
hii nyimbo inarudishaga nguvu zangu nikikata tamaa
Sijabaki kama nilivyo! Mungu amenivusha salama. Amenirejeshea miaka yangu yote iliyoliwa na Nzige! I give you all the Glory my Jesus Christ.
Uplifting praise song to date. Thankyou @Joel
Huu wimbo kuna mahali nimeusikia nakajikuta ninao kichwani kila napokuwa sintabaki kama nilivyo Amina 🙏🙏😖
Nikweli sitabaki kama nilivyo
Amina
Nawakilisha waumini wote KENYA...hatutabaki kudharauliwa tena,...mwenye ako ndani yetu ana uwezo mkuu wakubadilisha kila hali na kutupa new testimonies... Kwa jina LA YESU...!!hallelujah!
Immaculate Ndinda mungu ni mwema kila wakati natambua hashindwi na jambo lolote. unapopitia magumu usilalamike zaidi shukuru kwa kila jaribu maana mtetezi wetu anaishi
This song hits Sana nikiiba Tu nalipa ❤❤❤❤
I tripped last week and I almost lost my legs due to some spinal injuries but who is God? "Sitabaki kama nilivyo." lost my job. "sitabaki kama nilivyo." same month I lost my grandpa(my grandpa's fast cousin) "atutabaki kama tulivyo." Job underwent temptation and he never gave up on God. My time is coming and my blessing will be multiplied. "Sitabaki kama nilivyo."
Amen🙏
Take heart.
Hugs mum
It shall be well.
testimony followup?
Kweli sitabaki kama nilivyo yesu ni mwaminifu their is nothing to dislike about the song ministers to my soul 🙏 Asanti kwa wimbo na video
kwa kweli huu wimbo una nipa faraja sana
Naupenda sana huu wimbo nikiuskia najiona nimepata kila kitu mungu mwema kila wakati Amen
Hakika stabak Kam niliv siku moja mungu atamipa watoto zaid nyimbo hii ni mfariji wang😭😭😭😭🙏
Mwenyezi Mungu na akutendee sawa na maombi yako. Endelea kumtumainia na amini atatenda. Hajawahi kushindwa
Sitabaki hivi! Mungu anaenda kuniinua na kuniheshimisha 2025! Asante Yesu! 🙏🏾
I was diagonised with anxiety disorder,stress and insomnia a while back
my situation right now is confusing though i'm on medication
planning to take myself to mental health hospital.
what i know is God got me na sitabaki nilivyo.
It is well dear
It's well in Christ he paid all for us at the cross let's keep trusting and waiting on him.🙏🌹
Mtetesi wako yuhai
Wimbo unatibu Mapepo, uchawi, wanga, wafitina, washirikina na wazinzi keep it up Bro i like u melody and the masage of that song #SitabakiKamaNilivyo
Amen
Hali hii ni ya muda tuuu, hata corona ni ya muda tuu,mtetezi wangu yuu hai🙏🙏
Nikiskia wimbo uhu natokwa na machozi sana unanigusa sana naiman iko siku ntashinda majalibu yote
Am here to represent 🇰🇪 +254 this song is uplifting. It literally takes you to some spiritual level.
maureen mario thank you. Ive no words as a kenyan
wakati wangu upo.!!! Namwamini aliyeniruhusu nipite.Ameen
maureen mario its true and you feel close to God.🇰🇪
maureen mario safi
254 is well represented....huu wimbo wabariki
😢😢😢watching this from kamiti prison....najuwa mungu ata funguwa njia na ukweli...😢😢.......
This guy is anointed as a prophetic worshipper any song he sings speaks to all people of all walks of faith. Muslim or Christian or Hindu. More grace to you Joel Lwaga. 🙏🙏
Very true
Heard him for the first time a few minutes ago..God's timing is amazing. Thank You Lord! 🙏🏽👐🏽👐🏽
Jesus is the way the truth and the life. 👏 Jesus is the only way to the true God.
Sitabaki kama nilivyo. Najua mtetezi wangu yu Hai... God thank you for the victory you have given me... My life has never been the same ever since I let you in it whole heartedly... My prayer is that everyone who listens to this song might be blessed and changed... Situations go rough but once you turn to God without any doubts... He shows Himself to you by changing your story
Barikiwa sana Sauti safi kabisa endelea kubariki dunia mungu akulinde Maisha yako yote shalom 🙏🙏🙏
Yeye ndiye Alpha na Omega guys like and comment Amin as you believe
Silalamiki, wala sikufuru
Najua ni darasa napitishwa
Imani yangu ipo kwenye kipimo
Najua nitapita tu 🙏🙏🙏🙏 2020 gonga like hapa....Goosebumps za hii lyrics 🙌🕊️
Amen, najua wakati wangu uko, siogopeshwi na mapito ninayo yapitia
😭😭😭🙏
Barikiwa na Mungu Kaka courage kwa uduma n'a uwezo wa Mungu utembeye nawe
Sitabaki kama nilivyo,mtetezi wangu yu hai. My God is too faithful to fail me,too loving to leave me halfway!
I'm really blessed...the first time I heard this song was from baby Patrick....may his soul rest in eternal peace....I had to look for it in TH-cam...God bless you Joel...much love from Kenya!!
Millicent Adhiambo ughhuuuh
Heard it too from baby Patrick for the first time.May his soul RIP.
Millicent Adhiambo
His Olodumare song brought me here and am already in love with all his songs. Joel Lwaga you're indeed a blessing🙏
I love the song and most of the time I listen I find my self crying.Have been trusting God for healing of my brother and I know one day he shall testify the Goodness of God.I remember this is the song I played the day I visited him after discharge from Hospital
I can't explain the situation that am going through right now 😭😭😭😭😭😭ila najua kuwa sitabaki kama nilivyo🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Sure, with God everything is possible,hi pandemic is turning life up side ,down.lets believe in God 🙏
It shall come to pass
Kweli sitabaki vile nilivyo Iko siku Mungu ataniondolea shida nilizo!
Sitamani yawengine wala sijilinganish, najua wakati wangu UPO.. ""Hali hii ni yamuda tu..
Kweli napita kunamahali ninakwenda tu.
Siwez kubaki kama nilivyo,
Like ubarikiwe jumapili yaleo! Amen...
wasafi tv NIYETU SOTEtumewasha aminaaa😀😀😀
wasafi tv NIYETU SOTEtumewasha wimbo uuu,uwape moyo wanafunz wote wa kidato cha nne ambao wameanza mitihan november5
wasafi tv NIYETU SOTEtumewasha wimbo uuu,uwape moyo wanafunz wote wa kidato cha nne ambao wameanza mitihan november5
Kweli sitabaki kama nilivyo Mungu yupo ananiona wala sitokata tamaa!!
YES ITS ; Najua nitapita tuu,,, Wakati wangu Upoooo,,,,, Mungu akubariki saana sana .
Mtetezi wangu kweli yu hai##
God bless u 2019
Hii nyimbo iwatie nguvu watoto wanaofanya mtihani Wa darasa la saba 2018 mwaka huu Mungu awatie nguvu tuwaombe amina
Amen
naimani hili napitia kwa muda tu mungu atoniacha niabike katika majaribu yote aatoniacha kama nilivyo atanishindia daima.
Jamani mungu mkuu
Sitabaki kama nilivo
Kachenge Mvungi nikweli inawatianguvu kweli
Sitabaki kama nilivyo. Asante Kaka Joel Lwaga.
Sitabaki Kama nlivyo huu Ni mwaka wangu wamafanikio.. inshallah
4 years down the line and its still a go to song for me,it is both blessed and annointed 👌🙏
Oooooh Papa Joel ishi milele ilisiku moja niimbe nawe ku stige moja kwa utukufu wa Mungu naamini hiyo
Merci beaucoup cette chanson ina hamu ya kutumiya mungu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩