RAIS SAMIA AJIBU WANAOIPIGA VIJEMBE SERIKALI, AMPA BASHE MAAGIZO MAZITO "KAZI YAKE KUFUJA PESA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 12

  • @kostajoseph5811
    @kostajoseph5811 หลายเดือนก่อน +1

    UKO VZR RAIS WANGU MITANO TENAAAAA

  • @allymusira2153
    @allymusira2153 หลายเดือนก่อน

    Mama hata siku moja hawawezi kusema mazuri unayofanya , hongera sana Rais Samia

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj หลายเดือนก่อน +1

    Kongole mamaa, piga kazi,miruzi mingi hupoteza directions.

  • @user-ws2uw5rd8i
    @user-ws2uw5rd8i หลายเดือนก่อน

    Mama sukali mbona inaendelea. Kutelemshwa tuma watu wako kunatajili moja anaendelea vipi

  • @stevenmrama3123
    @stevenmrama3123 หลายเดือนก่อน

    Kwako umepiga mwingi mhe Raisi mungu aendelee kukuzidiahia uhai tu.ila sisi watanzania hasa viongozi ngazi ya kati tunapaswa kubadilika tunafanya madudu huku chini badala yake lawama na chuki inamwendea mhe Raisi.tunapaswa kuonesha uwajibikaji kwa kila mwenye nafasi.

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw หลายเดือนก่อน

    Watendaji wakae mashambani kwa sababu wamesomea kilimo kwa nn wakae mjini pikipiki zinawatosha wakae karibu na mashamba yaliko kwa pikipiki wanafika vizuri tu

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 หลายเดือนก่อน

    Gari Moja ya mtendaji Garma yake ni trekta 20

  • @kostajoseph5811
    @kostajoseph5811 หลายเดือนก่อน

    NAONA MITANO HAIKUTOSHI NINGEKUA A UWEZO , BASI TU MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU YENYE AFYA NA NGUVU

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s หลายเดือนก่อน

    Fukuza huyo bashe

    • @froma3732
      @froma3732 หลายเดือนก่อน

      Halafu awekwe nani

    • @frankmwinuka3413
      @frankmwinuka3413 28 วันที่ผ่านมา

      Mpina

    • @froma3732
      @froma3732 28 วันที่ผ่านมา

      @@frankmwinuka3413 OK tumekuelewa halafu apime Samaki kwa ruler kweli kama msomi unapima Samaki ashapikwa