NAVY KENZO: Tuliifumua ALBUM yote tukarekodi upya, WASANII 2 wakubwa wa BONGO wametutosa COLLABO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 มี.ค. 2023
  • Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web.app/buy/6Ew6mE...
    Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

ความคิดเห็น • 147

  • @georgeburchard4872
    @georgeburchard4872 ปีที่แล้ว +23

    Ukisikia wasanii wenye sound ya kimataifa kutoka Tz ndio Hawa sasa! Ogopa matapeli! Hawana kiki Hawa Ila mambo yao ni makubwa Sana! Kimziki na kimaisha! Safi Sana! Low key Ni Siri ya mafanikio!

  • @johnmwandu2116
    @johnmwandu2116 ปีที่แล้ว +17

    Nime-like kabla hata yakusikiliza, nawajua hawa, hawanaga Mambo hovyoo Wala jambo dogo

  • @blackyoungmaestro
    @blackyoungmaestro ปีที่แล้ว +38

    Wabongo hawajui tu, these guys are a national treasure

  • @joycekisamo4896
    @joycekisamo4896 ปีที่แล้ว +11

    Yaani to me this is a shock...zaidi ya kuwa notice na kuwapenda kwenye "KATIKA" wakiwa na Diamond, yaani interview na Muziki wao umenipa shock!

  • @LizenMaker
    @LizenMaker ปีที่แล้ว +9

    Da Navy Kenzo wanakipaji sana, kwangu naweza kusema Africa ni favorite artists number 1 kwangu maana wanajua Sana.

  • @officialkingperfect26
    @officialkingperfect26 ปีที่แล้ว +6

    For sure any artist akisikiliza this interview anachakujifunza. This my best since this year Start

  • @samniza1763
    @samniza1763 ปีที่แล้ว +11

    I love this interview so much, talking to real people.

  • @pillayeriko1192
    @pillayeriko1192 ปีที่แล้ว +4

    i just love aika kwa jinsi anaongea vitu you can tell anaeza kua manager mzuri wa msaniii🔥🔥🙌

  • @samniza1763
    @samniza1763 ปีที่แล้ว +14

    You can tell hawa ni wasomi hakuna kiki wala uongo wala machawa is just hard work, and be creative.

  • @teophilletus8969
    @teophilletus8969 ปีที่แล้ว +5

    Mko vizur ila nakushaurin kuen makin mkifanyiwa enterviews heshimianen mnatuchangany mnapokua mnajibu na kuongea wote kwa pamoj peaneni nafas yakua mud huu anazungumzia huyu mud mwingn anazungumza mwingn na na presenter mnakua mnamp direct nzur ya maswal kwa mmoj mmoj aaah

  • @issrahayattv1356
    @issrahayattv1356 ปีที่แล้ว +3

    This the international people in Tanzania n hawaringii love them alot 🇰🇪🇹🇿❤️ zero kiki full talent period

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 ปีที่แล้ว +3

    am from 🇰🇪🇰🇪 hawa jamaa huaga nakubali....sema Bongo wanachukuliwa pouwa tu

  • @ayrunyjtayruny279
    @ayrunyjtayruny279 ปีที่แล้ว +5

    Estou adorando este entrevista 🇲🇿nawapenda Bure Navy Kenzo

  • @macdee_tv7622
    @macdee_tv7622 ปีที่แล้ว +3

    treasure these guys wapenzi wa mziki mzuri...good music for good people

  • @maramara5621
    @maramara5621 ปีที่แล้ว +2

    Hongera❤️🇰🇪shule ya robot kila moto watoto vijijini wanajua kutengeneza vijigari vya wire au vidoli vya nguo au Ganda la ndizi

  • @tobicongimelil7573
    @tobicongimelil7573 ปีที่แล้ว +4

    These guys are very smart,they know what they are doing!!,

  • @thelomiart
    @thelomiart ปีที่แล้ว +1

    Nimejifunza Mengi Sana kutoka kwa Navy Kenzo. These guys have energy. Real Energy

  • @eliaskalinda7007
    @eliaskalinda7007 ปีที่แล้ว +1

    Wooooow glad for visuals done ❤

  • @osteenngowi5440
    @osteenngowi5440 ปีที่แล้ว +2

    Dah...This guy's are humble.. Yan washikaji balaa

  • @saidabdulkadirmjahid8255
    @saidabdulkadirmjahid8255 ปีที่แล้ว +1

    All I can say is All the best Navy Kenzo You guys are amazing 🙏🏽