Navy Kenzo walitosa mamilioni ya Universal Music, walikata tamaa Vanessa akawarudisha - Part 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Sehemu ya pili ya #ChillnaSky na Navy Kenzo (Aika na Nahreel) ambapo wanazungumzia mafanikio ya album yao ya pili Story of the African Mob, kwanini waliutosa mkataba mnono wa Universal Music Group, walivyokata tamaa ya muziki na kujipanga kurudi shule lakini Vanessa Mdee akawashawishi waendelee kufanya muziki na mengine

ความคิดเห็น • 54

  • @mohamedmaalish2926
    @mohamedmaalish2926 3 ปีที่แล้ว +21

    NAVYKENZO U GUYS HAMFANANI N WASANI W KIBONGO YANIII NYIEE N INTERNATIONAL THE WAY MNAVYOIMBA 👌💯

  • @Mzayanine
    @Mzayanine 3 ปีที่แล้ว +22

    Dah hawa jamaa wamekuheshimu sana,hawafanyagi interview hovyo

  • @Swahili_Wisdom
    @Swahili_Wisdom 3 ปีที่แล้ว +4

    Smart Sana Hawa Watu..Nmepata Madin mengi About Ujasiriamal, uthubutu na kuwa na Maono ya Mbali ambayo Kama Watu Hawata Kuunga mkono Pengne Hawaoni Unapotaka ufke (They're limited to see beyond norms) Basi Achana Nao na ww uendelee ku pursue vision yako Watu Watakuelewa Mbelen period!

  • @eliasakhamisi9619
    @eliasakhamisi9619 3 ปีที่แล้ว +6

    These people are the finest of our country no blabla. I love them

  • @TheMastertz
    @TheMastertz 3 ปีที่แล้ว +3

    Leo hatimaye nimeangalia hii interview. Nimesikiliza kwa makini sana. Nimefurahi #navykenzo wameniangalia nawe na kuafiki kwamba soko halijakaa sawa. Kwa WaTanzania mnaoangalia, mnatusikia kweli? Mashabiki mna mchango mkubwa sana wa kuboresha mazingira ya wasanii wetu. Maana wadau wakuu Radio&Tv hawataki mabadiliko!! Wananufaika sana dhidi ya vijana masikini!!! Ahsante Dr kwa kuamua kuibua wasanii wapya. Interview zako ni bora na zenye kufunza zaidi kuliko jitihada za wadau kibao kwenye media. Sijui kwanini hatupendi kuona fahari ya wasanii wetu, wanariadha, wachoraji nk. Vijana tuinuane!!!

  • @fatmaomar8497
    @fatmaomar8497 3 ปีที่แล้ว +3

    Katika bongo nzima hawa jamaa nawapenda sana...Mashaa Allah...

  • @williamkhaemba2782
    @williamkhaemba2782 ปีที่แล้ว

    My Playlist i swear it's only their album....they are dope af💯🙌🙌...

  • @marcopius3710
    @marcopius3710 3 ปีที่แล้ว +6

    Raha ya kuwa wasomi lakin wangekuwa wasanii wetu wa vijiweni kusikia title ya UNIVERSAL wangekuwa wameshakulupuka na kusaini

  • @davinaheven4794
    @davinaheven4794 3 ปีที่แล้ว +3

    Nawapenda Sana Kenzo na Haika. Mungu azidi kuwabariki

  • @ivynzuki6708
    @ivynzuki6708 3 ปีที่แล้ว +4

    Can't get enough of them,all the best

  • @pauleverest438
    @pauleverest438 3 ปีที่แล้ว +2

    I love the interview 100%

  • @aminihaminih7846
    @aminihaminih7846 3 ปีที่แล้ว +2

    Yaani nawapenda ninyi na maisha yenu,mungu awasimamie zaid kwenye kz zenu ♥️♥️♥️♥️💪

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah, nice couple 😘

  • @mwangosi5003
    @mwangosi5003 3 ปีที่แล้ว +3

    Nice couple I like them and sky you are so good for Interview

  • @BarakaKitale
    @BarakaKitale 3 ปีที่แล้ว +2

    Interview nzur sana Navykenzo wako poa sana mziki wa bongo fitina nyingi

  • @williamkhaemba2782
    @williamkhaemba2782 ปีที่แล้ว

    I look up to them always 💯

  • @nikodemomola3478
    @nikodemomola3478 3 ปีที่แล้ว +1

    Interview nzuri sanaa,nawakubali sana navykenzo #SnS

  • @priscaiman2081
    @priscaiman2081 3 ปีที่แล้ว +3

    Wawoo ata Mimi nimeenjoy

  • @nasrahsamwely6871
    @nasrahsamwely6871 3 ปีที่แล้ว +2

    Nawapenda ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @emmanueldavid8977
    @emmanueldavid8977 3 ปีที่แล้ว +3

    Jamaa wanafanana hadi lugha 💥

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 3 ปีที่แล้ว +2

    Mnaonekana niwatu wenye furah sana mashallah

  • @iporasta1429
    @iporasta1429 3 ปีที่แล้ว +3

    Hao jamaa wanyamwezi sanaaaaaa

  • @bettyenoch2685
    @bettyenoch2685 3 ปีที่แล้ว +2

    You are so right, no variety, but we will get there.

    • @bettyenoch2685
      @bettyenoch2685 3 ปีที่แล้ว +1

      Same sound except Navy Kenzo and Beautiful Aika are unique. I downloaded their music. Kweli sound zinafanana. Congratulations Aika and Navy Kenzo

  • @apolinemalungano9155
    @apolinemalungano9155 3 ปีที่แล้ว +3

    Hawa watu wanahakili ya maisha

  • @hashiyatmohammedy156
    @hashiyatmohammedy156 3 ปีที่แล้ว +2

    Wako vizuri Hawa nawakubali nyimbo zao wanavyo imba na video wanavyo chukuwa nawakubali maana atamajinayao tu yalivyo

  • @kevoostreams900
    @kevoostreams900 3 ปีที่แล้ว +2

    Gud interview

  • @namsintimbwa3040
    @namsintimbwa3040 3 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda sana

  • @nzoisabazephania854
    @nzoisabazephania854 3 ปีที่แล้ว

    I'm your number one fan 💯

  • @djherotz6771
    @djherotz6771 3 ปีที่แล้ว

    Asee nawakubali sana hawa jamaa asee kwenye Bajaji yangu hukosi ngoma zao

  • @abdallamwagele7505
    @abdallamwagele7505 3 ปีที่แล้ว +3

    Couple

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 3 ปีที่แล้ว +4

    Nawakubali sana awa jamaa

  • @edwardjerome7323
    @edwardjerome7323 3 ปีที่แล้ว +3

    It's good interview ever

  • @habimanaiddy
    @habimanaiddy 3 ปีที่แล้ว +1

    good time daaah naiskia kila sikuu

  • @glorianikiza6033
    @glorianikiza6033 3 ปีที่แล้ว +1

    Best couple

  • @zclassicfashionz
    @zclassicfashionz 3 ปีที่แล้ว +2

    𝐊𝐚𝐳𝐢 𝐧𝐳𝐮𝐫𝐢 𝐬𝐚𝐧𝐚

  • @singasinga2663
    @singasinga2663 3 ปีที่แล้ว +3

    Sky sky #simulizinasaut nyie ni tv na nusu hongeren

  • @artemisneoy9596
    @artemisneoy9596 3 ปีที่แล้ว

    Kila siku nikisema mtu akizaliwa Kaskazini anakuwa tofauti sana... Salute guys!

  • @shikikitabunda1177
    @shikikitabunda1177 3 ปีที่แล้ว +2

    Wazungu hawa harusi haiwatishi😀😀

  • @lenoxbuhanza4926
    @lenoxbuhanza4926 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna valayatiis😂😂au vipi mwana

  • @brigitamakoha9941
    @brigitamakoha9941 3 ปีที่แล้ว +3

    Hii ndio ndoa,, hawanaga maneno

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 3 ปีที่แล้ว

    💥💥💥💥💥💥💥💥💥🇹🇿🇴🇲

  • @dicksondanickomfilinge2927
    @dicksondanickomfilinge2927 3 ปีที่แล้ว

    🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

  • @Emmy20233
    @Emmy20233 3 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda nyie duh sijui niseme nn

  • @abdallamwagele7505
    @abdallamwagele7505 3 ปีที่แล้ว +2

    Naika mbona ameloose weight

  • @elsenortolga1936
    @elsenortolga1936 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii t-shirt ya Bape ni beyi kali hua ninaipenda ila sina uwezo wa kuinunua tuh basi ila sina uwezo

  • @apangejulius9159
    @apangejulius9159 3 ปีที่แล้ว +1

    Killers

  • @sherin3171
    @sherin3171 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mdada kafanan na mwafulani🙈