Young Lunya - Fimbo (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 4.4K

  • @shabs221
    @shabs221 3 ปีที่แล้ว +51

    Uko fiti Brother. Straight outta Kenya 🇰🇪. Hii ndio mziki ambayo tunapenda. Kazi safi.

  • @mcsailas8328
    @mcsailas8328 4 ปีที่แล้ว +268

    Jamaa linajua kinoma twende tumuwekee like za asante kwa ngoma kali

  • @ramosmnyalukolo
    @ramosmnyalukolo 8 หลายเดือนก่อน +35

    Nan bado analikubali hili goma mpaka 2024 agonge like apo ndichi😂🔥

  • @FadhilJoseph
    @FadhilJoseph 7 หลายเดือนก่อน +10

    Ngoma bado inaishi xnaa Kwa sisi ambao tumedhaulika xnaa na Leo tupo on top

  • @eliaskashuku3831
    @eliaskashuku3831 4 ปีที่แล้ว +40

    Swagger nyingi smart Code ...blessed de Lunya

  • @amadtraore3574
    @amadtraore3574 2 หลายเดือนก่อน +14

    Walio Rudi 2024 gonga like tu enjoy FIMBO 😎

    • @AngelMassawe-p2e
      @AngelMassawe-p2e 2 หลายเดือนก่อน

      Niko apaa😂

    • @amadtraore3574
      @amadtraore3574 2 หลายเดือนก่อน

      @@AngelMassawe-p2e masawe 😂

  • @nyaluboytz2707
    @nyaluboytz2707 4 ปีที่แล้ว +69

    Ingoma inanifanya na gombana na jirani maana siku nzima naisikiliza
    Mbuzi ipo siku nita fanya colabo na wewe nipo chini huku ulipo tokewa wwe oyooo lunya nakuomba like back

    • @crispinmsuha9089
      @crispinmsuha9089 4 ปีที่แล้ว +2

      Watoto wanalia sana DM sijui niwagongee

  • @christophermwakisyala1717
    @christophermwakisyala1717 4 ปีที่แล้ว +61

    Kama unkubali lunya gonga like basi

  • @deniscrodivick9871
    @deniscrodivick9871 4 ปีที่แล้ว +22

    wangap wana-resume hii ngoma several times kama mimi....thumb-up

    • @fredyyohana2606
      @fredyyohana2606 4 ปีที่แล้ว

      Young killer alikua anawaonea amekutana na beberu

  • @RandyMwanaKin
    @RandyMwanaKin 4 ปีที่แล้ว +12

    Congo 🇨🇩 tu naipenda 🇹🇿 🎶 🔥🤞🏼
    #randykinamber

  • @ramamanyama2944
    @ramamanyama2944 4 ปีที่แล้ว +20

    Nan Ameon Young Lunya Ana Uwezo Mkubwa Wa Kufikir Gonga like apo Chin Twende Sawa

  • @letionnews310
    @letionnews310 3 ปีที่แล้ว +7

    Tumshukuru Mungu kwa kutuletea rapa kama Young Lunya aiseee..coz anajua mpaka anajua tena

  • @collinskegodizo6530
    @collinskegodizo6530 3 ปีที่แล้ว +13

    Trap kaliii san kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 tumekubaliii sana

  • @addy03wamfizow
    @addy03wamfizow 4 ปีที่แล้ว +6

    Omay lunyaaaaaaa gonga like kama umelewa ngoma

  • @mtu-pori
    @mtu-pori 4 ปีที่แล้ว +33

    This is my favorite rapper of recent times in TZ. He reminds me of late 90s and early 2000s rappers in TZ, Hard Blasters in particular.

  • @RayDavid-i7p
    @RayDavid-i7p 22 วันที่ผ่านมา +1

    Mi nimemjua lunya kwa sabab ya chief godlove

  • @benjaminkimaro8348
    @benjaminkimaro8348 4 ปีที่แล้ว +13

    Brow salute sana
    Mm nimekubalii
    Unyamaaa💣💣💣💣💣🎧🎧🎧🎧
    all the time I'm here

  • @yasiniisere3482
    @yasiniisere3482 3 ปีที่แล้ว +7

    Bado nahic watu hawakuelewi lunya tembea na beat tutaeleweka mbele never give up rich gang is coming son

  • @dilaizer3196
    @dilaizer3196 4 ปีที่แล้ว +7

    Ngomaaaaaaa fire mzeee wangu duuuuh like za @YOUNG LUNYA

  • @youngshamash4834
    @youngshamash4834 ปีที่แล้ว +10

    Anae amini iligoma alichuji kama mimi like tujuane

  • @flashskaters
    @flashskaters 4 ปีที่แล้ว +41

    "Idadi ya wasiokubali imekua ndogo sana, unataka wengine" masterpiece

  • @vinchystyles1675
    @vinchystyles1675 4 ปีที่แล้ว +48

    ''Idadi ya watu wasionikubali imekua ndogo nahitaji nyingne"😀😀😀
    Unyama💪💪💪 gang gang🔥🔥🔥🔥

  • @happyjuma6718
    @happyjuma6718 4 ปีที่แล้ว +9

    Mnao dislike ndo mnazid kumpa challenge nyinginee......Go lunyaaaa

  • @kingkistar4948
    @kingkistar4948 3 ปีที่แล้ว +15

    Kama unaamini Young lunya mkali gonga like maan me haipiti siku bila kutazama hii ngoma......#FIMBO😢😢

  • @frankmkula8467
    @frankmkula8467 4 ปีที่แล้ว +8

    Fimbo Kama fimbo king lunya 🔥🔥🔥🔥 nimewapa nafasi ya kunijua jina,wanataka na ninapo kaa. Young lunya🔥🔥🔥🔥

  • @Mandugudigitalify
    @Mandugudigitalify 4 ปีที่แล้ว +42

    Lunya, YOU know this one is beyond dope!!!!

  • @kingrasdee445
    @kingrasdee445 4 ปีที่แล้ว +6

    Ngoma imesimam na n ya kimbele zaid, anaeamin ivo gonga like.

  • @shebbyjuma6612
    @shebbyjuma6612 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli Zama zimebadilka Hadi watoto wanatak mashine🤔🤔🤔💪💪💪💪💪🤘🤘🤘🤘🤘lunya

  • @charliekawiche8901
    @charliekawiche8901 4 ปีที่แล้ว +18

    Young lunya,young killer and conboi they will gonna change Tanzania hip hop

    • @chibzeric679
      @chibzeric679 4 ปีที่แล้ว

      Mwenye ata change hiphope ya tz ni mex cotez na young lunya.. Utakumbuka hii comment

  • @HamsoNuru
    @HamsoNuru 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mkuu am your big fun from Kenya 🇰🇪 254.napenda flow ❤ zako

  • @kanolemstafa4487
    @kanolemstafa4487 4 ปีที่แล้ว +23

    This is the best you are the best keep up going on more and more

  • @kelvinchaula7431
    @kelvinchaula7431 4 ปีที่แล้ว +2

    Maana zama zimeshabadilika mpka watoto wanapenda mashine

  • @yonadenge5519
    @yonadenge5519 4 ปีที่แล้ว +18

    UNYAMWEZI SANA VIDEO SAFI
    VINA VIMEKAA MWANZO MWISHO
    NEXT LEVEL
    GONGA LIKE KAMA UNAMCHEK YOUNG LUNYA MDA HUU

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 4 ปีที่แล้ว

      👇🏻💖💖💖👇🏻
      th-cam.com/video/kWzwu4jv75I/w-d-xo.html

    • @AgerLaw
      @AgerLaw 4 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/_2lVweaIvmw/w-d-xo.html

  • @willinjowritter206
    @willinjowritter206 4 ปีที่แล้ว +23

    Lunya has grow man..dope af.. much love and blessings from KENYA 💯

  • @dayson8458
    @dayson8458 4 ปีที่แล้ว +9

    Lunya is a beast in tz love from Kenya

  • @issaoyaya6357
    @issaoyaya6357 ปีที่แล้ว +6

    This man is enough when it comes to young rappers in Tanzania...people wont forget this era

  • @pascalthegshow3643
    @pascalthegshow3643 4 ปีที่แล้ว +10

    Kenya should learn from this.....TZ wakali wa ngoma an video....👌💥🔥❤❤

  • @robertmolla8620
    @robertmolla8620 4 ปีที่แล้ว +5

    Mwanzo walituona loko Sana, Sasa tunawakalisha ndomana.💥💥💥💥💥💥💥

  • @adamsdaud9268
    @adamsdaud9268 4 ปีที่แล้ว +9

    Idadi ya wasionikubali ni ndoqo nahitaji nyinqine, hata wambea nipate wenqine 👍👍 Jombaa anajuaa hadi keloo

  • @Tiscobabylon
    @Tiscobabylon 7 หลายเดือนก่อน +3

    Unyama mwingi apoh lunya wataelewa japo kuwa kiloho mbaya

  • @FredySemkiwa-or7kn
    @FredySemkiwa-or7kn 5 หลายเดือนก่อน +3

    Nikiskiliza hi ngoma nasjkia vizur san🔥

  • @georgembilinyi2824
    @georgembilinyi2824 4 ปีที่แล้ว +6

    Ma young young weng lkn c 2namojua young moja......YOUNG KILLER

  • @phibiojaxbrand
    @phibiojaxbrand 4 ปีที่แล้ว +5

    Sana kama una mkbali lunya ..like ihusike kwa wana woteee🔊🔊🔊

  • @ramseythozzy5258
    @ramseythozzy5258 2 ปีที่แล้ว +1

    sure mwanangu lunya goma liko swa mpka leo yni

  • @mnyamilyomary2518
    @mnyamilyomary2518 4 ปีที่แล้ว +14

    Kifupi lunya unajua sana👍 Noumaaaaaa🔥🔥🔥🔥

  • @jochrischriss9590
    @jochrischriss9590 4 ปีที่แล้ว +28

    YOUNGLUNYA WE NI NOUMAA SANA HAUJAWAI KUNIANGUSHA 🔥🔥🔥
    FIMBO NI HATARY SANA 🌍

  • @simoncine255
    @simoncine255 4 ปีที่แล้ว +7

    World Wide man "Mwanzo walituona local sana, Tunakiwasha, Tunakalisha"

  • @shariphidrissa4796
    @shariphidrissa4796 4 ปีที่แล้ว

    mbuzii naombo kamaaa nakubalii pia mimi mbuzii nomaa sanaaa semaa unajuh nini naombo kamaa mbuzii fanya kitu na conby

  • @jumanuri1849
    @jumanuri1849 4 ปีที่แล้ว +7

    Kali xanaaa MBUZI big up xanaa bro ur in an international level watoto wa bongo sio aliye ligi yako jay jux all da from Dubai

  • @officialmohtz79
    @officialmohtz79 4 ปีที่แล้ว +30

    King of hip pop lunya big up bro 💪💪

  • @williambundala8750
    @williambundala8750 4 ปีที่แล้ว +8

    We are taking bongo rap 2 De next level with young lunya appreciate

  • @janethlucas1482
    @janethlucas1482 2 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana ngoma zako am sush a huge fan of you napenda sana mziki wako a huge fan of you

  • @saidinanyani3019
    @saidinanyani3019 4 ปีที่แล้ว +41

    KILLER
    RAPCHA
    CONBOI
    MBUZI new era of HIP HOP TZ

    • @janembawala6009
      @janembawala6009 4 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/C_3CYe-TmVs/w-d-xo.html

  • @Kemdraphael
    @Kemdraphael 4 ปีที่แล้ว +5

    "maan zama zmebadilika hadi watoto wnapenda mashine" lunyaaa

  • @musason1680
    @musason1680 3 ปีที่แล้ว +8

    Ngoma noma kabisa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🥂

  • @charlesmpendahaki6635
    @charlesmpendahaki6635 2 ปีที่แล้ว +1

    Noma sana nagombana na watu kisa nikiwekaa hii ngoma ya fimbo

  • @mrgentle3257
    @mrgentle3257 4 ปีที่แล้ว +5

    🙌🙌 umeuaaaaaaa hatariiiii sanaaa🔥🔥🔥🔥

  • @MohamedHassan-hb9ii
    @MohamedHassan-hb9ii 4 ปีที่แล้ว +4

    Mrithi wa ngwea. Kama unakubaliana nami gonga like za kutosha.

  • @japhethmwanisawa7270
    @japhethmwanisawa7270 4 ปีที่แล้ว +3

    asee fanya unavyoweza kufanya na sisi tunakubali

  • @augustinmalipo3357
    @augustinmalipo3357 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubali kaka yani una kishwa kigumu kama ulivyo mungumu kwenye rapu Like from Congo

  • @zappe5528
    @zappe5528 4 ปีที่แล้ว +10

    Lunya, Rapcha, Con Boi na Salmin Swaggz..
    The new generation of Bongo Rap. Respek ✌🏾️✌🏾.

  • @pmpmediatz9752
    @pmpmediatz9752 4 ปีที่แล้ว +9

    Kama unaifaham money heist💰💰 gonga like hapa🔥🔥🔥

  • @timothykaiza327
    @timothykaiza327 4 ปีที่แล้ว +6

    Goma kalii, Young Lunya anajua na nusu ila Corous tu imepoa

  • @TwahaJumanne-z2l
    @TwahaJumanne-z2l 27 วันที่ผ่านมา

    Shabiki namba 1 wa lunya tz 2024

  • @patrickpeter8793
    @patrickpeter8793 4 ปีที่แล้ว +3

    Brother wewe ndio Hip pup Man in the world ninakukubali Sana brother hata siku yangu ya kufa nitaacha usia waweke nyimbo yako ya fimbo I love you so much brother

    • @selemanimkupe1225
      @selemanimkupe1225 3 ปีที่แล้ว

      Mimi Ni Lunya fan but I wonder you ...does Lunya sing hipp hop ?

  • @ambrosesulley2788
    @ambrosesulley2788 4 ปีที่แล้ว +5

    Banger rite here... Good Music with such creativity.

  • @ciraofficial8365
    @ciraofficial8365 3 ปีที่แล้ว +2

    Locked in from Nairobi Kenya. Nilipenda sana ile sample uliyotumia kwa Announcement freestyle. Kali sana. Fimbo nalo limeshaa ua

  • @selemanihamisi-fm9uw
    @selemanihamisi-fm9uw ปีที่แล้ว +1

    Duu young lunya namkubalo sanaa🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @BakarBakar-md1rp
    @BakarBakar-md1rp 7 หลายเดือนก่อน +3

    old school vition umebak wewe tu mnanya lunya

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 4 ปีที่แล้ว +16

    Real hip-hop artist from Tz 🇹🇿

  • @sirpworldwidefitness7364
    @sirpworldwidefitness7364 4 ปีที่แล้ว +46

    "There they Go south side there they go" I can feel nasty C over there 🦅

  • @IsakwisaMwaiseje-o2l
    @IsakwisaMwaiseje-o2l 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hapa ndipo naona mziki ni ulisi wa dunia

  • @poolboypoolboymanstrong8570
    @poolboypoolboymanstrong8570 4 ปีที่แล้ว +10

    #SIO UTAn mzee hit juu hit 💣⛽💪🏾

  • @beautifulprogram5317
    @beautifulprogram5317 4 ปีที่แล้ว +7

    They are THE moment. Most talented young artists out there.

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 4 ปีที่แล้ว +10

    Kwasasa young lunya runs the Tanzanian hip-hop... Ukibisha ntakuona mchawi tu

  • @rogermillar1696
    @rogermillar1696 2 ปีที่แล้ว +1

    mOJA kALI... maupendo kutoka mombasani

  • @exveljaden8782
    @exveljaden8782 4 ปีที่แล้ว +12

    Love from America 🏳️🇱🇷🇱🇷 he sing like d smoke

    • @jcudi_ke6396
      @jcudi_ke6396 4 ปีที่แล้ว +1

      wangapi wanakubali nifanye collabo na lunya th-cam.com/video/4ffoWLvaGKs/w-d-xo.html

  • @godblessnkyale8980
    @godblessnkyale8980 4 ปีที่แล้ว +3

    Tunakiwashaa ndomaana
    Oya wanga Teleko Teleko🔥🔥

  • @jipozeonline3983
    @jipozeonline3983 4 ปีที่แล้ว +4

    Hii kitu ni 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ShabanijumaMangola-sj4zh
    @ShabanijumaMangola-sj4zh ปีที่แล้ว +2

    Natamani uimbe hivi young lunya, ila usijisifie sanaa hii kaz imeenda Sana jitahid usimdis young killer kwasabab wote mnajenga nyumba moja Haina haja ya kugombania Fito. By the way young killer wa kitambo Sana wewe Fight na kizazi chako killer atakupoteza we mpe heshima yake tu, maan tumeanza kuskiliza ngoma za young killer since haupo kwenye game

  • @nurdinmsangi7351
    @nurdinmsangi7351 3 ปีที่แล้ว +8

    SALUTE MBUZI....STAY BLESSED

  • @atanasimbalinga1088
    @atanasimbalinga1088 4 ปีที่แล้ว +6

    M2 mbadi LUNYA MAFIA

  • @sirpworldwidefitness7364
    @sirpworldwidefitness7364 4 ปีที่แล้ว +10

    Lunya de professor got so many plans for us all we better stay humble 💥🦅

  • @yusufumbwene5669
    @yusufumbwene5669 3 หลายเดือนก่อน

    Brother wangu Ney ni mkomavu kifikra Allah akulinde inshaaallah

  • @dazedconfused5594
    @dazedconfused5594 4 ปีที่แล้ว +11

    Dude built a prison with this one, Bars after bars. 🔥 🔥

  • @norpogang281
    @norpogang281 4 ปีที่แล้ว +12

    Verse ya mwisho 🔥🔥

  • @shaniganguma5000
    @shaniganguma5000 4 ปีที่แล้ว +4

    This is more than fire ...big up

  • @omarsirleem7105
    @omarsirleem7105 ปีที่แล้ว

    2:04 There they go...Wanga there they go....naaa ukija kwenye mziki me ni kisiki you better know..... 2:41 idadi ya wasionikubali imekua ndogo sana nahitaji wengine 🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪

  • @johnsonchonja4032
    @johnsonchonja4032 4 ปีที่แล้ว +4

    Mbuuuuuuuzi 🔥🔥🔥

  • @khamishamza6550
    @khamishamza6550 4 ปีที่แล้ว +13

    Mi nashangaaaa comment ninying kuliko views jmn tuongeze views bx

  • @celokuhlefreeman9784
    @celokuhlefreeman9784 ปีที่แล้ว +7

    have you listen to the whole track without understanding the language/Lyrics?.. that's me right now🥰🥰..and tell you what, I'm enjoying it

  • @eliasmchomvu436
    @eliasmchomvu436 3 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri kijana kubali sana

  • @nicholausjimmy8393
    @nicholausjimmy8393 4 ปีที่แล้ว +6

    Paul maker with this beat damn,🌍🔥

  • @rashidkassim2171
    @rashidkassim2171 4 ปีที่แล้ว +3

    Duuuuh!!!! Noma sn big up.... Nakubal✌✌✌✌

  • @mcallande1317
    @mcallande1317 3 ปีที่แล้ว +4

    Beast mode🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥

    • @giftmoses9732
      @giftmoses9732 3 ปีที่แล้ว

      Ita wakadinali wafanye kitu na huyu

  • @anuarysiraji6193
    @anuarysiraji6193 3 ปีที่แล้ว

    Mamb mbaya nemb yamtaa chaf yao mwaka huu watahara ....mr GOT

  • @mrjohn4446
    @mrjohn4446 4 ปีที่แล้ว +4

    Young lunya your rap level is very extremely high.you must do.a song with young lunya x drake x young thug

  • @lumierembilizi966
    @lumierembilizi966 4 ปีที่แล้ว +57

    LYRICS:
    Intro...
    (Chorus)
    Hawatuwezi Oooh Nana
    Wanangu Gang Gang Sana (gang gang sanaa)
    Mwanzo walituona Local sanaa (Local sanaa)
    Tunakiwasha Ndoooo Mana (Heeeiya)
    Tunawakalisha Kama (FIMBO KAMA KAWA) Kawa (FIMBO KAMA KAWA) Kama ( FIMBO KAMA KAWA) Dawa
    (Verce 1)
    Wakija vibaya Wanakaa
    Wambea Vikao Watakaa
    Mawaki nafasi ya kuongea siwapi
    Huwaga Nawanyanyapaa
    Nimewapa Nasafi ya Kunijua Jina Wakataka na Nnapokaa
    Leo Napendwa Sababu Nnacho Nikikosa, Habari zitatapakaa
    Kung’aa Ndoozeetu
    Mambo wena Mfwetu
    Watoto kibao wanalia Dm
    Sijui Niwagongee Tuu
    Na nawawashia Full
    Hauzimi Moto wakiifuu
    Wanashanga kuona
    Rapper wakisasa mwenye pigo za kiold Skul
    Tatizo Hawajulikani
    Kwa Hivi Nnavyochana Nntabattle na Nani
    Kwa sasa Michongo yote ya Zamani
    Naipiga X Kama Petit Man
    Ni Mimi Tuu na Hizi Stimu za Mjani
    Chuki ni chuki kwani kitu Gani
    Acha Utani,
    Rapper Unayejaribu Kumdiss kwa sasa Hawezekani
    Si ndotunakimbiza
    Roho Tunawaumiza
    Napata kinyaa nikitema yai
    Sjui yai langu Viza
    Watu hawaishiwi Visa
    Ka Natoka Naumiza
    Kila wanaponiona Camera Kibao wakazani naigiza (Oh My)
    (Chorus)
    Hawatuwezi Oooh Nana
    Wanangu Gang Gang Sana (gang gang sanaa)
    Mwanzo walituona Local sanaa (Local sanaa)
    Tunakiwasha Ndoooo Mana (Heeeiya)
    Tunawakalisha Kama (FIMBO KAMA KAWA) Kawa (FIMBO KAMA KAWA) Kama ( FIMBO KAMA KAWA) Dawa
    (Verce 2)
    There They Go wanga There they Go
    Na ukija Kwenye Mziki Mi kisiki U Better know
    Why Unaniombea Dhiki, dhiki dhiki mwenzakoo
    Maana ukija kwenye mziki Kila nnachofanya Ni Miracle
    Marapa Wadogo nawaonea
    Mi ni kama Gonjwa naenea
    wanaonijua kitambo wanaelewa
    Toka enzi za Uongo na Umbea
    Kwenye Beat hawakai wanaelea
    Na Ikawe Funzo Buure nawapea
    nawaambia Ukweli Sitowaongopea
    Nawaona Kama Choo ndomana Nawanyea
    Anayewakimbiza katima michano, Kama sio mimi ni nani mwengine
    Dundo la Paul likipata Verce ya mbuzi siku zote huwaga Mashine
    Mwendo haupoi Nawakimbiza speed kwenye Kona haishuki Uspime
    Idadi ya watu wasionikubari Imekuwa ndogo sana Nahitaji Wengine
    Wanaobana Nawataka wengine
    hata Wambea Najitaji Wengine
    Mana zama zimeshabadirika mpaka watoto wanapenda mashine
    so Ningependa Wachawi Wengine
    Hata wanoko nipate Wengine
    masnichii wenginewengine
    Labda Nkapata Challenge Pengine
    (Chorus)
    Hawatuwezi Oooh Nana
    Wanangu Gang Gang Sana (gang gang sanaa)
    Mwanzo walituona Local sanaa (Local sanaa)
    Tunakiwasha Ndoooo Mana (Heeeiya)
    Tunawakalisha Kama (FIMBO KAMA KAWA) Kawa (FIMBO KAMA KAWA) Kama ( FIMBO KAMA KAWA) Dawa
    Outro...

  • @جمل_26
    @جمل_26 4 ปีที่แล้ว +4

    Kama umegundua ameweka na lyrics hapo chini gonga like hapa🤙

  • @mandelizer30
    @mandelizer30 ปีที่แล้ว +1

    Omaah🗣️🔊