Country Boy: Young Lunya, 'Mimi niacheni' Hawezi kufanya mpaka niwepo!
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
- Country Boy ameongelea stori za watu kumshindanisha na Young Lunya, awataja ma rapa wake wakali wa muda wote! full stori Subscribe channel hii #LilOmmyTV #CountryBoy #Podcast
Like, Comment, Share
Tazama Part 1 hapa; • Country Boy: Young Lun...
katika interview zote huyu jamaa kakutendea haki anaelimu sana ungempa masaa mengi yani ananipa elimu ya maisha big up
Interview ndefu iko Part 1 na 2 so masaa yako ya kutosha ukiangalia utazikuta apo zote
LIL OMMY🔥🔥🔥🙌🙌 DOPE INTERVIEW
Swagger ahead to generation
Me wapilii aise nimekuwa na isubirii sipati 😂😂😂 Uwiiii htr sn the ambassador a'm in❤️❤️🔥🔥
Weye kalale uko😅🥰
@@awesomechannel8827 😂😂😂ndio naamka hivii alafu unasema nikalalee Tena jmn hunitakii memaa ww 🤣🤣🤣
Hongera
Always on chat with two icon@lilommy and country wizzy
Much respect brother.. we internationaly love and admire what you are doing!! But it would better than ever if you put some english subtitles in this so that all the peaple around the world could understand...
Elfu tano ya zamani ni laki mbili ya kisasa....... Zamani hio ni mwaka gani maana huyu mwamba anawezakua miaka sawa na baba wa taifa mwalimu Nyerere 🤣🤣🤣🤣
Dah… Yani hii interview 🔥🔥
Good interview king
Kila interview huwa nahakikisha nafatilia ☑️☑️
Country wewe ni 🔥🔥🔥 konde gang walikuwa wanakupoteza tu kimziki but ile label ilikuwa inakuporomosha kimziki mzazi - Ngoma ulizofanya nje ya Gang zote kwangu favourites zangu
Lebo znaweka limit ndio shida msanii anatoa ngoma kbao ila unawekewa limit.... ndiomaana harmonize alvyotoka wasaf alkuwa anataka uhuru....vvyo hvyo kwa Rich mavoko sema yeye alvyotoka akapoa..
@@oneyfrank628 gengeni hamna shuhuri bora mnyamwezi afanye yake tu namkubali sana huyu jamaa kule cjaona cha maana BUUUUUUUU...."
NGWAIR alijaaliwa kipaji
Wizzy 🔥🔥🔥🔥
Watu weng hawajui mzk.....mwanzo kulkuwa na hip-hop...ikaja gangster rap....sahv ni trap....mzk wa ckuhz cyo mistar...muhmu tuinjoi yan ndiomaana hata amapiano inatamba....fid q anapga hip hop fresh kabsa ila haiwez zid ngoma za bongo fleva kama za kna mond na harmonize na kna marioo....yan bongo ndio tulvyo....
This is truth
Nimempenda kwakuwa his open guy amefunguka kila kitu
GADAFF
moto we apprecite u mr
Part 2 mbna haionekani Mzee this Guy Ana Madini sna, anajua how to value hIs talents
SI ndio hii part 2 mzee
Imekaa poah Sana my brother 💯
Naminia xn brother
Umenifanya choz linitoke hapo kwenye issue ya mama dah😭😭
Niko hapa wakwanza😂😂😂
Noumaa #MVP #F3TH3R
Let’s go
@@LilOmmyTV Let's get it BRO 👊👊
moto we apprecite u mr
Daah huyu mwamba anajua had anaboa
mnyamwezi sana
God bless u
country boy anajua ila sema me sijapenda mixturing of language cuz it look like ulipania et sema kuna vitu unajua na kuna vitu una loose
Sasa mbna ww umechanganya lugha....Hilo jambo nkawaida ukshafaham lugha zngne....unaweza jkuta waongea kswahl alaf mara umeweka klugha.
@@oneyfrank628 😂😂😂🙌🙌🙌...umetisha sana...
yeeeh
Apo kwa lunya kulinganishwa na a reece........... Hapana jmn
Africa nzima ,akuna rapper kama ngwair na mkipata njoo mniue
Ngwair unayemuongelea yuko wap yaan unaongelea kilichopotea interview ya country unamleta ngwair jifunze kwenda nawakati
@@samweldaniel7255 ww ni mjinga ndio maana huwezishukuru kilicho kuwa kizuri
Umelogwa wewe Ngwair aimbie wafu duniani hakuna anaeweza kushindana nae..... Hata Harmorapa anamzidi kupumua
Aise nyote mkundu tu ..mbona mnadanganyana wizzy umeisha hata kwa runya hufiki Mzee .utaimba nn na wa south😂😂😂😂😂😂 mbona unataka kujikuza boya
Wewe wizzy mtu mmbadi na lazima afike mbali
Wote mbna wako levo Moja wanapga trap na rap....siye wabongo hatujui mzk tunataka kelele ndiomaana hip hop inazdiwa na ngoma lain bongo Sababu sisi hatutak mzk mzur tunataka makelele na tuburudke bac...kama big g...yan trap ndio mzk tunao cyo hip hop wala rap.
Unajikuza mnooo
Hd ana keraa Kwa kujikuza aisee😂😂
Hajkuz ila anajiamn...na hyo nvzur maana ukkosea unajrekebsha...
Mm imenibidi nikaangalie kazi zake.... dah hamna kitu huyu hata kwa Rosa Ree hasogei
@new_kondegirl here 😍😍😍😍