BARBIE MIA:YOUNG LUNYA NI MPENZI WANGU/MIMI MARS,ANAIBA MWANAUME WA MTU/NIKIMKUTA NITAMCHORA TATTOO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • #wasafi #refresh

ความคิดเห็น • 317

  • @husseinyusuph5458
    @husseinyusuph5458 4 ปีที่แล้ว +22

    Kwaiy anavyoongea Kama hupend pita kulia inamaana hata wazaz wake wapite mbali na yeye au wazaz wake wavae miwani duuh!

  • @rojomacanga3981
    @rojomacanga3981 4 ปีที่แล้ว +12

    Sister remember today and tomorrow.

  • @frankbilla8171
    @frankbilla8171 4 ปีที่แล้ว +48

    Utoto
    Mpumbavu
    Hatodumu kwny muziki,
    Anatia huruma mno

  • @ramermohamedy4344
    @ramermohamedy4344 4 ปีที่แล้ว +25

    Baada ya miaka kumi atasema karongwa ndo maana haolewi kumbe kajiroga mwenyewe

  • @samyjohn2389
    @samyjohn2389 4 ปีที่แล้ว +60

    Aisee ni bora mngenihoji mm hata niwaelezee project yangu ya "Operation no more debts" kwa watz

    • @frankakuno.9511
      @frankakuno.9511 4 ปีที่แล้ว

      Hahahaha kabisa kuliko huu upuuzi

    • @NeemaKmussa
      @NeemaKmussa 4 ปีที่แล้ว +2

      Yaani bongo wanahojiwa wasanii tu

    • @misungwikids563
      @misungwikids563 4 ปีที่แล้ว

      @@NeemaKmussa Fact 👏

    • @masalumichael5147
      @masalumichael5147 3 ปีที่แล้ว

      Oya hiyo naona inanihusu sana kama Vp dondosha content mzee

    • @Adeen.1
      @Adeen.1 3 ปีที่แล้ว

      Ebhana hii operation naihitaji kwangu pia

  • @otchuwmwinyi8880
    @otchuwmwinyi8880 4 ปีที่แล้ว +15

    Kama kweli young lunya anatoka na uyo dada basi na yeye atakuwa hana akili sawa sawa

  • @chayogasperi9783
    @chayogasperi9783 4 ปีที่แล้ว +40

    Unadhani utakuwa binti milele ??
    Ujana unapita ngozi ikianza kuporomoka tattoo hazipendezi tena utuonyeshe ulivyoporomoka , umaarufu mnaoutafuta kwa nguvu huu utawafikisha wapi ??
    Hamna Baba , Mama , Shangazi , Mjomba mnaowaheshimu ??
    Au ndio mmeshindikana ??
    Humsikilizi Mama yako utafunzwa na dunia .

    • @amanimanase5794
      @amanimanase5794 4 ปีที่แล้ว +1

      Real broo u talking

    • @almasygharib7355
      @almasygharib7355 4 ปีที่แล้ว

      Chayo Gasperi watu wa hivi wanakufaga vijana hawafiki 60 huko

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 4 ปีที่แล้ว

      @@almasygharib7355
      Namuombea afike 70 ili aone hizo tatoo zake zinaonekanaje baada ya ngozi kupwerepweta .

    • @zubedarichard2311
      @zubedarichard2311 3 ปีที่แล้ว

      Nlienda Mwanza nkamuona mmbibi ana tattoo kama zote jmn

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 3 ปีที่แล้ว

      @@zubedarichard2311
      Bibi kashindikana huyo , afanye toba dunia tunapita tu hii .

  • @Kilticompany
    @Kilticompany 4 ปีที่แล้ว +50

    REFRESH MNAKWAMA WAPI WATU WA KUWAHOJI WAMEISHA. MTAFUTENI HATA JAYMONDY

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 4 ปีที่แล้ว +27

    Alisema Diamond alimlala na kumuumiza sana

    • @qassim1465
      @qassim1465 4 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂 kiaz huyu dem

    • @annaswedy5712
      @annaswedy5712 4 ปีที่แล้ว

      😅😅

    • @maryamashmrei9999
      @maryamashmrei9999 4 ปีที่แล้ว +3

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nilikua'nimesahau umenikumbusha

    • @qassim1465
      @qassim1465 4 ปีที่แล้ว +4

      Hana akili ata moja alaf kafanana na S2kizzy 😂😂😂 cjui ndugu yake

    • @faucynkrctian6607
      @faucynkrctian6607 4 ปีที่แล้ว +1

      @@qassim1465 mi naona dem yupo sawa nimapenzi yake haina aja ya kumshutum

  • @mohamedally342
    @mohamedally342 4 ปีที่แล้ว +18

    Ukiwa unajiamin sana mwishoe unakua mjinga

    • @latifamwanga1090
      @latifamwanga1090 4 ปีที่แล้ว +2

      Haaaaaaaa kumbeeeee nimeipenda hiyo

    • @mohamedally342
      @mohamedally342 4 ปีที่แล้ว

      @@latifamwanga1090 Ulidhan veep Bi Tifa

  • @Would436
    @Would436 4 ปีที่แล้ว +5

    Thanks rapa mkali bongo gonga like hapa

  • @fabiantanzania5795
    @fabiantanzania5795 4 ปีที่แล้ว +7

    presentiness is what everybody is seeking

  • @faucynkrctian6607
    @faucynkrctian6607 4 ปีที่แล้ว +1

    Aise uyu dem nimemtafuta kinoma thanks wasafi nimempata

  • @oldboy3760
    @oldboy3760 4 ปีที่แล้ว +3

    Uyu kafanana Na S2KIZZ

  • @nasekawanga1737
    @nasekawanga1737 4 ปีที่แล้ว +50

    Uyu mdada anadharau si mnamsikia jaman!?

  • @poshney1204
    @poshney1204 4 ปีที่แล้ว +20

    Ni ngumu sana kumshawishi nyani kwamba asali ni tamu kuliko ndiziiii

    • @joecm2764
      @joecm2764 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @munira5haroun972
      @munira5haroun972 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂yani nimecheka

    • @neyromosha9737
      @neyromosha9737 4 ปีที่แล้ว

      Umejua kunichekesha

    • @monicashayo2367
      @monicashayo2367 3 ปีที่แล้ว

      Hahaaa

    • @badmanno.1650
      @badmanno.1650 2 ปีที่แล้ว

      No msemo unasema hivi... Ni ngumu kumshawishi nzi kuwa asali ni tamu kuliko kinyesi..

  • @robbinsonwater4206
    @robbinsonwater4206 4 ปีที่แล้ว +4

    Yuyu mtoto Hana hakiri kabisa wazazi wake wameferi wapi uyu anahitajiwa kua Shure sahivi

  • @liciouscharles3370
    @liciouscharles3370 4 ปีที่แล้ว +9

    Sasa jaman na huo mwili atapigana na naniii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mimi mars?????tuweni serious kidogoo ukikasukuma hako kanakufaaa unapataaa kesiii

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 4 ปีที่แล้ว +1

    Kabint karembo lkn ziro brain.maskn mungu akusaidie umalze maisha yko salama....

  • @mogjosely8291
    @mogjosely8291 4 ปีที่แล้ว +1

    Soo kid
    Bina dam bna anjua mtu ana keleka alfu ana ishi kama ajui

  • @yudadaniel4867
    @yudadaniel4867 4 ปีที่แล้ว +86

    mwili mdgo na akili ndogo

  • @ntullyjanga33
    @ntullyjanga33 4 ปีที่แล้ว +5

    Young lunya lazma akimbikie kidemu mi tatoos kibao hvyo mmh wachoraji I see youu

  • @vailethjohn22
    @vailethjohn22 4 ปีที่แล้ว +1

    Yaani nakaaa niangalie leo kuna jipya gani humu kumbe mmetuletea huyu kijitu asieeleweka mbele niwapi na nyuma ni wapi yaani misijaona hata sababu yakutuonyesha hicho kidada alafu ety anajilinganisha na mim mars loooh utakaa sana coz sura huna shape huna yaani upo upo tu duuuh kweli refresh mmekosa watu wakuwahoji.
    Mgenitafuta hata mim mniulize biashara yangu inasaidia vip watu wengine kuingiza kipato

  • @mohamedmuhajiri8348
    @mohamedmuhajiri8348 4 ปีที่แล้ว +4

    Leo mnayumba refresh. Mtutafutie watu wanaojielw

  • @kelvinalfred703
    @kelvinalfred703 4 ปีที่แล้ว +10

    Refresh n nn shida asee mnafanya interview na watu wasio jielewa s bora mngenitafuta hata mm

  • @jonathanelixha4419
    @jonathanelixha4419 4 ปีที่แล้ว

    Mpumbavu kweli kweli we dada refresh unayumba bhana

  • @djemiraclassic8289
    @djemiraclassic8289 4 ปีที่แล้ว +7

    Duh

  • @joycejohn7754
    @joycejohn7754 4 ปีที่แล้ว +6

    Kazur lakin tattoo zmemuharbu kuimba anajua

  • @tatuta6529
    @tatuta6529 4 ปีที่แล้ว +8

    Mtoto mdogo zarau nyingi

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 4 ปีที่แล้ว +4

    Digitalized lady.

  • @mwambarockmwambarock739
    @mwambarockmwambarock739 4 ปีที่แล้ว +1

    💥💥💣nyie hamupendani 💢mnadangana 2💥

  • @emmanuelmongi6617
    @emmanuelmongi6617 4 ปีที่แล้ว

    nashukuru mungu sijapata dada bwege,fwala,jinga kama hili

    • @herikaniugu
      @herikaniugu 3 ปีที่แล้ว

      Kama hauna kizazi shukuru pia

  • @asayubeejr1199
    @asayubeejr1199 4 ปีที่แล้ว +4

    Eti mrembo dah kweli nyinyi hamjui warembo dah

  • @yaedlifemedia3203
    @yaedlifemedia3203 4 ปีที่แล้ว

    dada ajui atakujielezea big up sana komaa safar bado ndefu

  • @diniismail194
    @diniismail194 4 ปีที่แล้ว +4

    daaaah mars moto wew we nan kwan nyie refresh hapo mmezingua kinoma ani daaaah dem wenyewe mbovu kinomaaaaaaaaaah

  • @rosariosumbane9112
    @rosariosumbane9112 4 ปีที่แล้ว +2

    Akili zaje ni ndogo sana
    Yani anakua ndugu huyu família ingeninunia kila siku chai Mwendo wa makifi and mitama

  • @shazzynotta1789
    @shazzynotta1789 4 ปีที่แล้ว +14

    Katoto kadogo kasumbuf kama kajambazi iv

  • @papaayawarembo6995
    @papaayawarembo6995 4 ปีที่แล้ว +29

    Tattoo zenyewe za kilokoloko bora zingekuwa za kinyamwezi

  • @activestudios.
    @activestudios. 3 ปีที่แล้ว +1

    Kama kweli YOUNG LUNYA atakakuwa alikuwa amelewa

  • @franklinemoi8516
    @franklinemoi8516 4 ปีที่แล้ว +2

    Dahhhhh😎😎😎😎😎😎

  • @fatmahissa3019
    @fatmahissa3019 4 ปีที่แล้ว

    Kumamae sura chachuuuu mwili mdogi huna nyama utamsumbua nan kijuso

  • @goodluckjohn1177
    @goodluckjohn1177 4 ปีที่แล้ว +1

    Ukixhapata kansa uje utuombe msaada sis maaaviiiii

  • @sirlankagirl6256
    @sirlankagirl6256 4 ปีที่แล้ว +2

    Wazazi wako nawapa pooole bola mwezi 9 alkubeba mimba angelima mihogo😥😥😥

  • @ballisticsound4796
    @ballisticsound4796 4 ปีที่แล้ว +19

    OMG wtf am i watching

  • @bakariyassini3643
    @bakariyassini3643 4 ปีที่แล้ว +2

    Demu anajielew sana huyu

  • @afterx3172
    @afterx3172 4 ปีที่แล้ว +1

    Time will tell u

  • @Fgldesigns
    @Fgldesigns 4 ปีที่แล้ว +2

    Mama ako anakuonya afu huku unatuambia ni kitu cha kawaida.!
    Kivipi sasa mama ako angeanza kuona kawaida kwanza.

    • @faucynkrctian6607
      @faucynkrctian6607 4 ปีที่แล้ว

      Hii inatokea sana katika maisha mzee
      Sio kila kitu wazazi wako wanacho kitaka utaweza kukifanya

  • @mtasma1994
    @mtasma1994 4 ปีที่แล้ว +34

    Haya ni matunda ya elimu bure

  • @qaltumsaid3095
    @qaltumsaid3095 4 ปีที่แล้ว

    Hatar kweli kweli

  • @noelaabdallah7351
    @noelaabdallah7351 4 ปีที่แล้ว +7

    2016 ungeingia darasan ww 😭😭

  • @vanmohd92
    @vanmohd92 4 ปีที่แล้ว +9

    Tatoo! mmi sichor ng'0000 ntaiga vengne co iko

  • @willeydavid2108
    @willeydavid2108 4 ปีที่แล้ว +6

    Bora hata mngemtafuta nabii Tito mmhoji Sio huyu kinyago

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yani sitakuja kuuza smart phone yangu maana inanipa raha

    • @mmn7480
      @mmn7480 3 ปีที่แล้ว

      😄😄😄😄😄

  • @joelkahuya1940
    @joelkahuya1940 4 ปีที่แล้ว +10

    Huyu sindiye aliyesema aliwahi kulala na mond akaumizwa na ile dudu ya simba ilikua kubwa😀😀

  • @_Miseh2
    @_Miseh2 4 ปีที่แล้ว +23

    Bora mngenifata mimi mkanifanyia interview🤭

    • @fatmakiruwasha2378
      @fatmakiruwasha2378 4 ปีที่แล้ว +2

      Umesema asiyependa kuku tizama atizame pempeni na mama yako sihapendi nayeye atizame pempeni

    • @nurudovino288
      @nurudovino288 4 ปีที่แล้ว +1

      Watoto wa sikuhizi 🙄🙄😭😭😭

  • @energeticmbn4596
    @energeticmbn4596 4 ปีที่แล้ว +2

    Aiseeh angekuja kwangu nimuongezee tatoo maana kachora Hadi cko 😝😝😝😝

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 3 ปีที่แล้ว +1

    Jmn mimi nauliza kwani izo tattoo azifutiki adi mwixho wa huai wake🙈🙆‍♀️???

  • @mayuni4287
    @mayuni4287 4 ปีที่แล้ว

    Mwili Mdogo
    Akili ndogo
    kama mama yake hataki yeye afanya
    unafikili kuna nini apo

  • @fatumajuma592
    @fatumajuma592 4 ปีที่แล้ว +1

    Kuchora thambi wacha ujeuri mungu hapendi

  • @dianaemanuel4536
    @dianaemanuel4536 3 ปีที่แล้ว

    Jamani😁😁😁😁😁

  • @allynassoro2080
    @allynassoro2080 3 ปีที่แล้ว

    Amna mwanamke apo dah

  • @vanwizzy8658
    @vanwizzy8658 4 ปีที่แล้ว

    Kasenge haka.. Kanaongea ujinga balaaa sijui hata wanakahoji nn

  • @h.rukuba7464
    @h.rukuba7464 4 ปีที่แล้ว

    :Wewe dada dunia itakushape acha utani na maisha

  • @annykawanandy3933
    @annykawanandy3933 4 ปีที่แล้ว

    Nyoooooo me mwenyew bwana angu young lunya kenge ww utanifanya nn!

  • @markorujava1691
    @markorujava1691 4 ปีที่แล้ว +3

    Nitakua siweki mb maana zinaenda bure2

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 4 ปีที่แล้ว +1

    Khaah sio kwa kujichafua uko

  • @princeommy5793
    @princeommy5793 4 ปีที่แล้ว +2

    Kweli akili nusu kijiko

  • @jairaniselemani176
    @jairaniselemani176 4 ปีที่แล้ว

    Laziii

  • @peaceloveduniapeace2696
    @peaceloveduniapeace2696 4 ปีที่แล้ว +1

    Sema uyu mdada Mzuri Mnyamwezi akika yu sawa

  • @bitemajid9639
    @bitemajid9639 4 ปีที่แล้ว

    Huyu mtt mshezi sana hajui hata kuoga ana fanya naja shindwa hata kujifuta siku akimuona Mimi MARS si ana lia mwenye bila 7babu

  • @teamallyracing1780
    @teamallyracing1780 4 ปีที่แล้ว +1

    Hilo boya

  • @mariagrayson5414
    @mariagrayson5414 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyoooooko

  • @shebyboy5882
    @shebyboy5882 4 ปีที่แล้ว +1

    Enjoy mamy

  • @sabrinasab2910
    @sabrinasab2910 4 ปีที่แล้ว

    Kila mmja anajichora mtaenda kumueleza kesho mungu

  • @gladystarraphael9298
    @gladystarraphael9298 4 ปีที่แล้ว

    Mmmh mjinga kwl ww

  • @hadijamkilila2048
    @hadijamkilila2048 4 ปีที่แล้ว +1

    Ivi kuna mwanaume ataoa mwanamke wa staili hii

  • @thamiyuucute7098
    @thamiyuucute7098 4 ปีที่แล้ว

    Mungu atunusuru watoto kma hawaaa

  • @smitraminah6796
    @smitraminah6796 4 ปีที่แล้ว

    Toto jinga hili cjui ht radhi za wazaz hana,mweeh

  • @daprince7545
    @daprince7545 4 ปีที่แล้ว

    Mr. Magufuli still bado uko na kazi ngumu ya kuelimisha jamii .

  • @erickymajali2691
    @erickymajali2691 4 ปีที่แล้ว +1

    Zeeeeeroooo

  • @gullaalex6590
    @gullaalex6590 4 ปีที่แล้ว +9

    Mmh jaman embu tafute watu wa kuwahoji 🙆‍♀️

  • @bornfacecharles8096
    @bornfacecharles8096 4 ปีที่แล้ว

    Mimi Mars nakupenda Dadaangu sitaki upate kes hako katoto jaman si kanalingana na mwanao

  • @joyceglam4612
    @joyceglam4612 4 ปีที่แล้ว +1

    Watoto wa kibongo wamenishinda 🤔🤔🤔🤔

  • @hadijahmwajombe9588
    @hadijahmwajombe9588 4 ปีที่แล้ว +1

    ila unafanana na wema kwakweli

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 4 ปีที่แล้ว +2

    Kama Kuna kitu ambacho huyu mtoto atakuja kujutia baadae ni izo TATTOO, badae akija kuzeeka zitaungana zitakuwa kama Ramani ya dunia 😫😫

    • @allthingdranabeauty
      @allthingdranabeauty ปีที่แล้ว

      Siku izi waweza futa na ukabaki mzuri tu maana hiyo sio ya kiwembe

  • @activestudios.
    @activestudios. 3 ปีที่แล้ว

    SIO KWA UBAYA ILA HUYU MANZI YUPO KAMA SMIGO sema tu sura nzuri ila mwili na akili ni SMIGO MTUPU

  • @chiddybaba8648
    @chiddybaba8648 4 ปีที่แล้ว

    Refresh mnakosea nn jaman mmekosa watu wenye akili zao

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyo mtu au bui bui!? Mmeanza kuhoji wadudu?

  • @donatahamis6173
    @donatahamis6173 4 ปีที่แล้ว

    Wakina amber rutu wengn yan akana ata point unajishauwa kwa kip dada

  • @danielkembo2177
    @danielkembo2177 4 ปีที่แล้ว

    Ndo maana unaibiwa mme.. Mtt wa kike hulainiki

  • @everinemichael7457
    @everinemichael7457 4 ปีที่แล้ว

    Kumbe ad mama ako kakushindwa nilichogundua iyo ni laana,

  • @nurumohd3937
    @nurumohd3937 4 ปีที่แล้ว

    Hana akili huyu😏

  • @danieljumanne3643
    @danieljumanne3643 4 ปีที่แล้ว

    akizeek atasema ulikua tot sahv najuta

  • @cedricruta9984
    @cedricruta9984 4 ปีที่แล้ว +7

    Swali 1 anaelezea dakika 20 nzima aisee... very stupid interview... "yee ni rapper na me ni lapa"😂😂😂

  • @hawamashaka7235
    @hawamashaka7235 4 ปีที่แล้ว

    Mmh mtu mwenyewe umekaa kichangu changu

  • @deonidasntacho6051
    @deonidasntacho6051 4 ปีที่แล้ว +2

    Duuh hatar san

  • @faucynkrctian6607
    @faucynkrctian6607 4 ปีที่แล้ว

    Uyu msichana kafanana na Rihanna

  • @luqmanmohamedy3860
    @luqmanmohamedy3860 4 ปีที่แล้ว

    Laaana izo zinakutafuna

  • @amanitanzar
    @amanitanzar 4 ปีที่แล้ว

    Only God will judge you🙏....wote tuna dhambi nyingi lakini mungu katustiri tu🙏

    • @mwanahamisbwanga1184
      @mwanahamisbwanga1184 2 ปีที่แล้ว

      Mnyamwez fek ndg as hatuna tabia za kukaa uchiii nooo

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 4 ปีที่แล้ว

    Mh dunia imeisha jaman kwanini msisome

  • @liciouscharles3370
    @liciouscharles3370 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwan na yeye anakitu cha kufanyaa kumbe🤣🤣....