Mimi msimamizi wa union fait la force, umoja ni nguvu wa wakongomani waliotoka Zambia 🇿🇲 ambao wanaishi marekani na canada 🇨🇦 , kwa niaba ya Wana members woote, tunatoa pole tena kwa familia ya marehemu, M.Mungu amurehemu na amulaze mahala pema peponi.
Poleni saana
Ni uzuni saana
Mungu awafariji
Mimi msimamizi wa union fait la force, umoja ni nguvu wa wakongomani waliotoka Zambia 🇿🇲 ambao wanaishi marekani na canada 🇨🇦 , kwa niaba ya Wana members woote, tunatoa pole tena kwa familia ya marehemu, M.Mungu amurehemu na amulaze mahala pema peponi.
Pole kwa familiya nzima
Mes sincères condoléances 😭💔
😭😭😭