MANARA AFUNGUKA SABABU ZA KUACHANA NA RUBYNAH "NILIMUOA RUSHYNA ILI AMTIE ADABU RUBY"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 พ.ย. 2023
  • www.youtube.com/@Wasafi_Media...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 225

  • @SafiaOmar

    Mwanaume anae jielewa hawezi ongea huu ujinga public. Unaoa sababu ya kukomoa? Tena ana admit sikumpenda. How? Halafu ndio anajigamba anajua dini.

  • @firdaushamid8200

    Na wewe ukachapwa na Rushaina kichapo kikali Zaidi 😂😂😂😂😂😂

  • @hadijamandanje6189

    Hautampata isie na mapungufu,asie na mapungufu ni Allah tu

  • @aishaomary4498

    Yule Ruby mie pia nampenda Wallah

  • @user-km5jc6sv5f

    Yaani wake zake wote hakuna hata mmoja alie mfaa? Hapa tatizo nahisi lipo kwa huyu jamaa 😂

  • @mboneamalaki5674

    Kuna mambo mengine inabidi ujitafakari mwenyewe,Wanawake Watatu in short period of time unaachana nao na bado huoni aibu kuongea mbele za watu,this is insanity.

  • @frankmganda2424

    Shida sisi wanaume wengi tunatamani sana tukisha maliza tunaona wanawake hawa fai

  • @aliisaid854

    Kutoka Mombasa,huyu manara fala sana,rijali hasa hazingumzi upuuzi kama huu,sijui Alhajj wa vipi huyu sawa na Mzee yusuf tu wapuuzu wawili wakubwa wa Tanzania

  • @ayk20
    @ayk20  +2

    Ukiwa na mtoto ukampeleka shule zaidi ya 3 au 4 zikamshinda tatizo sio shule bali ni mtt sasa wanawake 3 au 4 wote wawe na kasoro hapo tatizo linaanzia kwake afu mwanaume kila siku kuzumgumza mapungufu tu ya wanawake redion kwa sababu tuu una jina wao wameamua kukaa kimya sio kwamba hawana mapungufu yko.

  • @safiasaleh669

    Tatizo anaoa vi binti na vi binti wanahitaji ma handsome boy mwenzangu bugati anataka aonekane mdogo wakati kidingi

  • @user-tt6jt8pz5m

    Mke ni WA AWALI TU UTAMKUMBUKASANA SANA SANA. NAHIDA

  • @Hawaa-cw6fl

    WW wanaume unamatatizo muongo sana na ww mwenyewe pia huna kifuwa

  • @user-wp8sl4vv8s

    Uwiiiiiiii daimond mshauri Kwa haji jaman,,,,,Kes ya Nyan unampelekea ngedere mrudishe ruby bhna

  • @EzekielDebora-cd2ib

    Nimecheka hapo Kwa Diamond anakushauri

  • @kamuboskasiko4787

    Uyoo muzungu ana matatizo kweli 😂😂😂😂

  • @asharamadhani8668

    Ifike mahala Manara ujitafakali, fanya self assessment, hivi wake 4 wote wana shida? 4 wote hawakua na maadili? Acha uongo bana Manara.

  • @adaboychibu1659

    Siku hao wanawake wakifingua mdomo usije kuomba huruma kwa wananchi!mana wee ndo mropokaji mkubwa alafu unawasingizia!haji hawezi kuishi na mwanamke kwa sababu anapenda sana starehe za kipuuzi yaani mtu mzima lakini anajifanya kama bado dogo!akuna mwanamke anaye weza kuishi na mwanaume haina ya Hajji!

  • @sidikassim6759

    Kiukwli huyu mze ana pepo la ngono anapenda vibinti snaa lakini hadumu nao ni mtu wa kupenda penda snaaa

  • @mgenimohammed608

    M nimekuelewa Ile mbaya kaka hajji kuusu mwenzako kutoa mambo nje inauma sana ...... Watu wote wana jua mambo yako

  • @Shalom2018

    Kiufupi itakuwa wewe ndio mwenye matatizo,haiwezekani wanawake wote uliokuwa nao wana matatizo