BAADA YA KUREJEA ALLY KAMWE AONGEA HAYA/KUFANYA HAMASA NA HAJI MANARA/KAZI IMEANZA RASMI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 29

  • @YohanaMichael-sw8vj
    @YohanaMichael-sw8vj หลายเดือนก่อน +6

    Hakika Ally kamwe ni Kijana mstarabu sana sana Abaki kuwa msemaji tuu ni yupo vizur sana kaka huna baya kazi Yako ni mzury sana Maombi Yako kwako🙏🙏🙏🙏🙏

  • @YohanaMichael-sw8vj
    @YohanaMichael-sw8vj หลายเดือนก่อน +1

    Yanga ni Club kubwa sana nchini Tanzania🇹🇿 watu wata kataa lakini ukweli utabaki kuwa ni ukweli I Love Yangaaaaaa.....

    • @Farida-vg5ry
      @Farida-vg5ry หลายเดือนก่อน

      Ukubwa wa yanga haumfikii mnyama ilove you simba

  • @benjamimantoniomangoni6765
    @benjamimantoniomangoni6765 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani kwangu mimi ningeomba tu abaki huyu huyu Aliy, kwasababu Manara mara nyingi anatuletea migogoro kwenye timu yetu kwa maneno yake.

  • @tatupita8745
    @tatupita8745 หลายเดือนก่อน

    Ally kamwe chapa kaz yaan humu tuu😅😅😅😅😅

  • @wilbaldmkotha
    @wilbaldmkotha หลายเดือนก่อน +1

    AALI KOMWE HUNA MAAJABU. MANARA KASHAKUMALIZA WEWE KAPUMZIKE KWA AMANI

    • @Farida-vg5ry
      @Farida-vg5ry หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 huna jipya na ushamba wako

  • @AllyHamad-l4p
    @AllyHamad-l4p หลายเดือนก่อน +1

    Sawa watani zetu

  • @MchomvuMasoud
    @MchomvuMasoud หลายเดือนก่อน

    Huku Kuna wastaarabu km una taka matusi tafuta timu ya kutukania hapa kwa wasemaji wetu paache

  • @AdamuMmandowa
    @AdamuMmandowa หลายเดือนก่อน

    Sasa matusi ya nn kwenye mitandao jamani tu na usitarabu jaman

  • @bestman8182
    @bestman8182 หลายเดือนก่อน

    Bakwiti. Tala position na Kaizer.. eza makasi te. Ngolo oyo ameli masanga ya wapi?😅

  • @waziriwaziri8271
    @waziriwaziri8271 หลายเดือนก่อน

    Vipi mzee magoma yupo kama hayupo vunja mkutano mala moja

  • @emmanuelfaustine1994
    @emmanuelfaustine1994 หลายเดือนก่อน

    Mm ni mshabiki wa yanga kusema ikwel Tim yetu ni mbovu tunazoazoa tu mazee

    • @Farida-vg5ry
      @Farida-vg5ry หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂Ali komwe hana jipya

  • @iddihamisi1519
    @iddihamisi1519 หลายเดือนก่อน

    Ally kamwe

  • @AsiaNdaki
    @AsiaNdaki หลายเดือนก่อน

    Manara mwache2 kijana afnye kaz

  • @daudingumbi-o3x
    @daudingumbi-o3x หลายเดือนก่อน

    kamwe baki tu uwe msemaji tu tunakupen

  • @Aksa-yk1dp
    @Aksa-yk1dp หลายเดือนก่อน

    Ila alkamwe ety kuwasimanga

  • @FredMsuha
    @FredMsuha หลายเดือนก่อน

    Uyo ni msemaji ama mwongeaji

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 หลายเดือนก่อน

    Si alikiuzulu?

  • @KennethValentine-e4t
    @KennethValentine-e4t หลายเดือนก่อน

    Tunaimi na nyinyi

  • @GloryMateru
    @GloryMateru หลายเดือนก่อน

    Mtatukanas
    Sana
    Ss
    Ndo
    Yanga

  • @baranubakenneth9029
    @baranubakenneth9029 หลายเดือนก่อน

    Sasa huyu dogi anapoendelea, Zungu nae atakuwa nani pale?

  • @ebelken179
    @ebelken179 หลายเดือนก่อน

    Yanga damu

  • @user-hf7dz1zh5v
    @user-hf7dz1zh5v หลายเดือนก่อน

    sifa zakijinga

  • @jimonmwakalebela9470
    @jimonmwakalebela9470 หลายเดือนก่อน

    Msenge tu wewe unatafuta kiki

    • @robertmnyone1981
      @robertmnyone1981 หลายเดือนก่อน

      😅

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 หลายเดือนก่อน +1

      Kolo kichwa kimewaka..subiri kipigo 8/8

    • @AbdulaziziSaidi
      @AbdulaziziSaidi หลายเดือนก่อน

      Dah uongozi wayanga wawe makini saana wasikurike wasiangalie manenot waangalie ubunifu huyu ali kamwe anawezasaaana kubuni