TAREIKH YETU, MSIMU WA TATU (SILSILA 19): Sayyid Khalifa II aliyetawala muda mrefu zaidi Zanzibar

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • Sayyid Khalifa bin Haroub ndiye sultani wa Zanzibar aliyetawala muda mrefu zaidi Zanzibar kwa kudumu miaka 49 madarakani, na mbali ya Sayyid Said bin Sultan, ni yeye tu ambaye kiti chake kilirithiwa na mwanawe kisha mjukuu wake.

ความคิดเห็น • 32

  • @suadbarwani4117
    @suadbarwani4117 ปีที่แล้ว +4

    Ahsante sana Bwana Riadh na Bwana Mohd Ghassani. Sayed Khalifa alikuwa Ahsan ya mtu mie mdogo namkumbuka akipita na Gari nyekundu akitowa mkono kwa watu. Babu zangu Bwana Mohsin bin Ali na Bwana Mohd Said maisha wakenda kumuamkiya. na alipokufa ilikuwa msiba mkubwa sana .

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 ปีที่แล้ว +4

    Mimefurahi sana na msisitizo wa Sayyid Khalifah kukhusu Elim na khutba yake ya ufunguzi wa Skuli kusisitiza mafunzo ya Dini ya Kiislam.

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 ปีที่แล้ว +2

      Baada ya Mapinduzi Mbu walirejea na Mafunzo ya Kiislam yakaondoshwa, Kuran ziliitupwa bahraini na nyengine zilichomwa kabla Nyerere kulazimisha Zanzibar Haina Dini (Uislam) Kikatiba😂

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 ปีที่แล้ว +4

    kiukweli wazanzibar tukae tujitathmini nchi hii ilioofika leo tunasherehekea ufunguzi wa masoko na maduka darajani wakati nchi yetu ilikua inafanya mambo makubwa sana

  • @suadbarwani4117
    @suadbarwani4117 8 หลายเดือนก่อน

    Ahsanteni sana kwa kipindi hichi.kinachoeleza Historia Utawala wa Sayed Khalifa Mwenye Enzi Mungu Amrehemu Inshaallah bila shaka yupo katika Janat Alfirdous. kwa Mpenzi ya watu wake katika Watani wake Unguja, Jepo kuwa tuĺikuwa wadogo nakumbuka vilianguka vilio kwetu Baghani watu wakakusanyika kwa Bibi yetu Mama ýake Sheikh Ali Muhsin. Ahsante tena Riadh AlBusaidi na Mohammed. Ghassani.

  • @kindysuleiman5935
    @kindysuleiman5935 ปีที่แล้ว +2

    Jazaka Allah kheir shk riadh na Mohamed naomba hii hadithia iendelee tuu tunanufaika na hekaya hizi

  • @HusseinMohammed-kk9ts
    @HusseinMohammed-kk9ts ปีที่แล้ว +2

    Mungu amlaze mahali pema peponi na amsamehe kila alipokosea amin

  • @saidkhalifa34
    @saidkhalifa34 ปีที่แล้ว

    Namimi poa Naitwa Said khalifa sijui nitakuwa kama yeye wajina wangu😢❤

  • @kassimhaji1141
    @kassimhaji1141 ปีที่แล้ว +3

    Machozi yanataka kunitoka tulivokuwa tumeendelea zamani tulikuwa tuna elimu yetu ya juu Africa na afya ya juu mpaka mafuta yalitafutwa dah! Saivi tumerudi nyuma maskini wa kutupwa innalillah

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah ilivokua zanzibar hasara

  • @saidkhalifa34
    @saidkhalifa34 ปีที่แล้ว

    Mashallah
    Twayyb Wazee walipita kumbe ee hapo Awali Allah Awalipe khery

  • @kindysuleiman5935
    @kindysuleiman5935 ปีที่แล้ว +2

    Leo mtu aliechangia kujengwa mji huu anafutwa kwenye history na kupandikizwa waharibifu kama Ndio wakombozi history inajirudia

  • @salumhamed5074
    @salumhamed5074 ปีที่แล้ว

    Historia mzuri

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 ปีที่แล้ว

    Assalam aleiykum Warahmatullah Wabarakatuh
    Sheikh Riyadh na sheikh mohammed
    Tunaomba zaidi tupate
    Vitabu vya history ya kweli ya zanzibar wakati wa kifalme kabla ya mapinduzi manake tumepotoshwa
    Saaana maskuli

  • @mwalimuali1850
    @mwalimuali1850 ปีที่แล้ว +1

    Allah atufanyie wepesi juu kila hali

  • @saadnaim5518
    @saadnaim5518 ปีที่แล้ว +1

    Assalamu alaykum
    Sheikh Mohammad mimi naomba unisaidie kukipata hicho kitabu cha Tarehe ya Zanzibar
    Kwa ihsani yako
    Shukran

    • @riyadhalbusaidi
      @riyadhalbusaidi ปีที่แล้ว +1

      Waalaikumu Ssalaam Bw. Saad. Nisamehe nakujibu kwa niaba ya Sh. Mohammed. Bado sikuandika hicho kitabu cha Tarehe ya Zanzibar. Haya yote ni maelezo niliyoyakusanya kutoka kwa wazee na baadhi yaliyoandikwa na wana historia, zaidi yao ni wazungu. Katika hizi Silsila mimi nazungumza mengi ambayo hayakuandikwa wala hayajulikani hivyo. InshaAllah Mungu akinipa umri na khatua nitayatia katika kitabu ili tuihifadhi Tareikh Yetu.

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 ปีที่แล้ว

    Tunaomba vitabu vya kiengereza, kiswali na kiarabu kuhusu tareikh yetu tunaliomba hili tupate kujua history yetu na huenda ikasomeshwa maskuli

  • @salumhamed5074
    @salumhamed5074 ปีที่แล้ว

    Sawa

  • @mohammedkhkombo4439
    @mohammedkhkombo4439 ปีที่แล้ว +1

    Asalam alaikum nataka vitabu je mnapatikan wap Zanzibar?

  • @kassimhaji1141
    @kassimhaji1141 ปีที่แล้ว +1

    Kwa iyo sheh riadh utawala sayyid khalifa bin haroub yeye alikuwepo na ana umri gani saivi

    • @riadhalbusaidy
      @riadhalbusaidy 2 หลายเดือนก่อน

      Umri wangu hivi sas ni miaka 82

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 ปีที่แล้ว +1

    Hukuizungumzia sarafu nasikia kulikua na sarafu ya sayid khalifa

    • @riyadhalbusaidi
      @riyadhalbusaidi ปีที่แล้ว +1

      Hapakuwa na sarafu ya Sayyid Khalifa. Sarafu ya Dola ya Zanzibar aliiweka Sayyid Barghash bin Said katika ufalme wake ulionza 1870. Pesa hizo zilitumika kwa miaka mingi khususan ile "pesa moja"

    • @fatmasaid9765
      @fatmasaid9765 ปีที่แล้ว +1

      @@riyadhalbusaidi shukran jazaka Allah kheri Allah akupe wepesi uzidi kutuelimisha maana tulikua hatuyajui nimepta kujua mengi kutoka kwako

  • @salehabdullahsaleh.5090
    @salehabdullahsaleh.5090 10 หลายเดือนก่อน

    Nauliza....Katika utawala wa Unguja, lini ilianza kutumiwa lugha ya Kiswahili, ktk silsila za Watawala wa Kiarabu tokea Oman....?

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 ปีที่แล้ว +1

    Nimecheka eti baada ya mapinduzi wakarejeshwa upya

  • @shaabanideauniversal6591
    @shaabanideauniversal6591 ปีที่แล้ว

    Assalaam alykum
    Nataka kumuuliza sheikh Riadh swali moja.
    Je ni mwaka gani daraja la mjini lilivunjwa na kufukiwa maji ya bahari kutokea funguni hadi huku Mnazi mmoja? Na je ni yeye Sayid Khalifa ndo alisimamia huu ujenzi wa barabara hiyo?

    • @riadhalbusaidy
      @riadhalbusaidy 2 หลายเดือนก่อน

      jambo hilo limefanywa na serikali ya mapinduzi . Kwa hivyo awaulize watu wa serikali hiyo.

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 หลายเดือนก่อน

    Sultan Said Khalifa aliifnyia makubwa Zanzibar japo kuna watu fulani wanadai alikua Kibaraka, Jee hawa viongozi walioko leo ambao 'sio vibaraka' wamewafanyia yepi waZanzibari ???????????

  • @binabeidsalim6380
    @binabeidsalim6380 ปีที่แล้ว

    الشيخ بوسعيد ، هذا ليس تاريخنا ، هذا هو تاريخ المستعمرين الذين جاءوا لاستعمار قارة شرق إفريقيا